Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

AGNESS MASOGANGE AACHIWA HURU BAADA YA KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 4

0
0
Mtanzania Agnes Gerald, maarufu Masogange, ameachiwa huru na Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, baada ya kulipa faini ya R30,000 (Sh4.8 milioni) kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.    Wakati Masogange akitozwa faini hiyo mwenzake, Melissa Edward ameachiwa huru na mahakama hiyo, baada ya kukosekana ushahidi wa kumtia hatiani.  

Nguvu ya Umma na Vurugu za CHADEMA zashindwa kumuokoa mbunge wake aliyetupwa jela kwa siku 14

0
0
UTARATIBU wa Chadema kutumia kinachoitwa ‘nguvu ya umma na vurugu’ kushinikiza sheria ipindishwe kwa maslahi yake, umekwama kumnusuru Mbunge wa Ukerewe, Salvatory Machemli anayetumikia adhabu ya kukaa jela kwa siku 14.   Jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Sylvester Masinde, alikiri kuwa nguvu ya umma iliyodaiwa kutumika kumnusuru Machemli, ni upotoshaji na hali ilivyokuwa,

Mwili wa Dk Mvungi utawasili nchini leo saa 12. 50 jioni

0
0
Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi utawasili nchini leo 12.50 jioni kwa ndege ya Shirika la Ndege Afrika Kusini (Saa) ukitokea Afrika Kusini.    Msemaji wa Tume hiyo, Omega Ngole alisema baada ya mwili huo kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam utapelekwa kuhifadhiwa Hospitali ya Lugalo.  

Fundi magari mkoani Iringa ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumtaka kimapenzi mwanafunzi wa darasa la tano

0
0
FUNDI  magari  mkazi  wa kijiweni  katika  Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa Bw Abdul Husein (31)  amejikuta  akitupwa  jela  mwaka  mmoja na faini  ya shilingi 200,000 baada  kutiwa  hatiani  na mahakama  ya mwanzo bomani  kwa  kosa la kutaka  penzi  la nguvu  kwa  mwanafunzi  wa darasa la tano  . Fundi  huyo ambaye  anadaiwa  kukaribishwa katika  nyumba  hiyo   kama mlinzi wa  

"Huddah ni ‘mali ya serikali’, amelala na karibu dunia nzima....Mwanaume gani atampenda mwanamke kama huyo?"..Prezzo

0
0
Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa amefulia, mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi. Kwenye interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Africa mwaka huu.   “Tuliwahi kukutana

Jack Wolper , Snura na Aunt Ezekiel wauteka mtaa baada ya kujiunga na kundi la BAIKOKO na kuanza kutingisha mauno yao.

0
0
Mastaa wa filamu za Kibongo wenye jina kubwa mjini, Aunt Ezekiel, Jacgueline Wolper na Snura Mushi hivi karibuni walitisha kwa kufunga mtaa kutokana na mauno waliyokuwa wakikata mbele za wapiga ngoma wa Kundi la Baikoko, tukio lililojiri Mwananyamala, Dar nyumbani kwa msanii mwenzao Vanitha Omary. Wasanii hao waliwashangaza watu jinsi walivyokuwa wakijituma kukata mauno huku Wolper

SK Boys watukanwa na mashabiki kwa kutumia vibaya melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ kutengeneza Video ya nusu uchi

0
0
  Ni video ya wimbo ambao wametumia melody na beat ya single ya P Square ‘Personally’ na kuiweka October 26 2013, watu wengi waliyoiona hasa ukitazama mitandao ya kijamii kama facebook na twitter, maoni mengi yameiponda hii video na wimbo wenyewe ambao waamini umevuka maadili ya Kiafrika na kisanii pia wamevuka mipaka.   Sehemu ya waliotoa maoni wanalalamikia udhalilishwaji wa Wanawake

Je, wewe ni mwanamke na unatafuta mwanaume msomi wa kukuoa??... Unapenda kuolewa na mfanyakazi??...kama jibu ni Ndiyo, basi bofya hapa

0
0
  Habari  yako  Mpekuzi Mimi  ni  kijana  wa  kiume  mwenye  umri  wa  miaka  30.Elimu  yangu  ni  chuo  kikuu. Sina  mke  wala  mtoto. Makazi  yangu  ni  Dar  na  ni  mwajiriwa  wa kampuni  flan  ambayo  sitaitaja  kwa  sasa.Kupitia  blog  yako, naomba  uniwekee  ombi  langu  la  kutafuta  mke  wa  kuoa... Sichagui  dini wala  kabila  ila elimu  yake  ianzie  kidato  cha  nne  na  kuendelea.

Siri yafichuka...Diamond na Penny wadaiwa kuwa ni mtu na dada yake....Penny amwaga machozi baada ya kugundua kuwa ameliwa pasipolika

0
0
Mwanzoni  mwa  wiki  hii, taarifa  za  kuumiza  masikio  zilimfikia  mwanadada  Peniel  Mwingilwa "Penny"  na  kujikuta  akimwaga  machozi  baada  ya  kutaarifiwa  na  mzee  wa  ukoo  wake  kuwa  yeye  na  mpenzi  wake  Diamond  ni  ndugu  wa  damu... Taarifa  kutoka  kwa  mtu  wa  karibu  na  familia  ya  Penny  zimeeleza  kuwa  tukio  hilo  limezua  sintofahamu  kubwa  kati  ya 

Ratiba ya shughuli nzima ya kuuaga mwili wa Dr. Sengondo Mvungi hapo Kesho

0
0
  Dr. Sengongo  Mvungi  enzi  za  uhai  wake  

Kufuatia kashfa ya kubaka na kumwambukiza UKIMWI mwanafunzi wa sekondari: TAMWA, TGNP, LRHC wamtaka Professor Juma Kapuya wa CCM ajiuzulu

0
0
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa), kwa kushirikiana na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) na Kituo cha Msaada wa Kisheria (LHRC), kimelaani viongozi wanaotumia madaraka yao, nafasi zao na nguvu zao kisiasa kuwadhalilisha watoto wa kike. Mashirika hayo yanayotetea haki za wanawake na watoto, yamesema yamesikitishwa na habari zilizozoripotiwa kwenye baadhi ya vyombo vya

Video mpya kutoka kwa Jose Chameleone “Tubonge”...Ni bonge la video

0
0
  Ni  kawaida  yake....Huwa  habahatishi.... Bofya  hapo  chini  ujipakulie 

Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua mashabiki wake....wengi wasema amechemka.

0
0
Huu  ni  muonekano  mpya wa  Vicent  Kigosi ambao ni moja ya maandalizi ya movie  yake  mpya ... Ni  muonekano  ambao  kwa  kiasi  flani  umewachefua  mashabiki  wake  ambao  dakika  chache  baada  ya  picha  hizo  kuwekwa  walijimwaga  kwa  comment  ambazo hazikumuunga  mkono  kwa  asilimia  zote.  “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Aliadika  Ray  kwenye  moja  ya  picha

Dr. Slaa na viongozi wengine wa CHADEMA waukana waraka uliosambaa kumhusu Zitto Kabwe....Pamoja na kuukana, Zitto Kabwe adai wahusika ni CHADEMA wenyewe

0
0
Maneno haya yametoka kwenye ukurasa wa facebook wa mbunge Zitto Kabwe na yamesemwa na viongozi wa Chadema kama Dr Wilbroad Slaa,Edwin Mtei na Mabere Marando kuhusu waraka uliosambaa kumhusu Zitto Kabwe. Hii  ni Post ya Zitto Kabwe  aliyoiweka  facebook    Dr. Willbrod Slaa : ” Hatuna tatizo hata kidogo na Zitto Kabwe. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wetu kama kuna tatizo jambo

Mwili wa Dr. Sengondo Mvungi wawasili nchini Tanzania ....Ifiatayo ni ratiba nzima ya tukio la kuuaga mwili wake

0
0
 Mwili wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.  Wanachama wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku lililohifandhi mwili wa kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya.     Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akiwa uwanjani

Irene Uwoya hana UKIMWI...Haya ni majibu ya vipimo vya ngoma aliyoyatundika mtandaoni

0
0
   Irene  Uwoya  hana  UKIMWI..... Hii  si  kauli  yangu...Ni  kauli  ya  Mama  Krish  "Irene  Uwoya"  ambayo   imewekwa  katika  ukurasa  wake  wa  Instagram  ikiambatana  na  cheti  cha  maabara  kinachoonesha  kwamba  yeye  ni  mzima  wa  afya(  hana  ngoma )... Pamoja  na  ambatanisho  hilo, Uwoya  amewataka  watanzania  kujiwekea  mazoea  ya  kupima  UKIMWI   ili  kujua  afya  zao

Profesa Juma Kapuya ajikoroga....Amkana mwanafunzi anayedaiwa kumbaka, asema simu inayotumika kumtisha alishaigawa

0
0
SIKU chache baada ya Waziri wa zamani na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM) kutuhumiwa kumbaka na kutishia kumuua binti mdogo wa miaka 16, kiongozi huyo ameibuka na kutoa utetezi wa kujikanganya.    Akizungumza kupitia kwa wakili wake, Yasin Memba, mbunge huyo alitishia kuliburuza gazeti la  Tanzania  Daima mahakamani endapo halitamwomba msamaha ndani ya siku saba.

Umeme kuadimika kwa siku 11 nchini.... Na hii ndo mikoa itakayokumbwa na tatizo hilo

0
0
WATEJA katika mikoa inayopata umeme kwenye gridi ya Taifa wanatarajiwa kupata adha ya upungufu wa umeme kwa siku 11 kuanzia leo, kutokana na upungufu wa gesi kutoka katika Kisiwa cha Songosongo kilichopo wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi.   Hali hiyo imetajwa inatokana na kuwapo kwa matengenezo ya kiufundi kwenye visima vya gesi unaofanywa na Kampuni ya Pan African Energy Tanzania Limited (PAT

Makamu wa Rais Dr. Bilal awaoongoza wananchi kuuaga mwili wa Dr. Sengondo Mvungi jijini Da es Salaam leo

0
0
Jeneza lenye mwili wa marehemu Dkt.Sengondo Mvungi, likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,leo kwa ajili ya kuagwa  Jeneza likipelekwa sehemu iliyoandaliwa  Mashada ya maua na picha ya marehemu  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza kutoka salamu za rambi rambi za serikali wakati wa shughuli za kuaga mwili wa

Mwanamke akatwa mguu na mumewe na kutelekezwa bila msaada wowote.

0
0
  Hali ya wanawake inazidi kuwa mbaya ndani ya nchi yao TANZANIA inayosifiwa kuwa ni Kisiwa cha Amani ...   Tukio hili lilitokea mapema mwezi wa nane mwaka huu Kijiji cha Nyantira Tarime Mara. Katika mazungumzo yake, binti  HUYU alisema kwamba anatamani sana kurudi nyumbani kwa wazazi wake, tatizo ni kwamba kwa kuwa alilipiwa MAHARI na mume wake (aliyemkata panga mguu na kuutoa) hawezi kurudi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images