Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

LADY JAYDEE, AFANDE SELE, MKOLONI NA JB WAKIMBILIA CHADEMA

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea kuwavuta wasanii kujiunga na chama hicho, ambapo sasa wasanii wanne wa muziki wa kizazi kipya, maarufu Bongofleva na filamu, wanatarajiwa kutangazwa kuhamia chama hicho wiki hii.  Wasanii hao wanadaiwa tayari kukubali kuingia kwenye chama hicho na wanatarajiwa kutangazwa rasmi hadharani katika mkutano wa hadhara utakaofanyika jijini

MWANAUME ANYWESHWA VIROBA NA "KULIWA JICHO" ( KABAANG) BAADA YA KULEWA

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Singida linamtafuta kijana mmoja mkazi wa Kibaoni katika manispaa hiyo kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake na kumharibu vibaya sehemu za haja kubwa baada ya kumnunulia pombe kali aina ya viroba jogoo tisa.   Kamanda wa polisi mkoani hapa, Geofrey Kamwela, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa 3:00 usiku eneo la soko la Kibaoni, kata ya Kindai, na kumtaja

HII NDO VIDEO MPYA YA DIAMOND..." MY NUMBER ONE"

$
0
0
  Diamond Platnumz - Number One (Official Music Video) <!-- adsense -->

CHADEMA WAMKANA AFANDE SELE....WADAI HAWAJAWAHI MUOMBA AGOMBEE UBUNGE MOROGORO

$
0
0
Gazeti la Habari Leo la siku ya leo tarehe 2 Septemba lenye kichwa cha habari "Chadema kuzoa wasanii mastaa" pamoja na mambo mengine, mwandishi amemnukuu mmoja wa wasanii toka mkoa wa Morogoro akisema amewahi kuombwa na viongozi wa mkoa wa CHADEMA kugombea Ubunge. NAOMBA KUWEKA KUMBUKUMBU SAHIHI. 1. Mimi ndiye mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Morogoro, ninayeongoza Baraza la Uongoz la mkoa

GEORGE BUSH ATANGAZA KIFO CHA MANDELA WAKATI HAJAFA

$
0
0
Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amejikuta ‘akiingia chaka’ kwa kutangaza ‘kifo’ cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela ambaye bado yuko hai.   Kosa hilo limetokea jana asubuhi (September 1) kwa bahati mbaya baada ya msemaji wa rais huyo wa 41 wa Marekani kujichanganya kwa kutosoma vizuri habari inayomhusu Mandela kupitia Washington Post hivyo kumfanya Bush

RWANDA YAPANDISHA USHURU WA MAGARI YA MIZIGO YANAYOTOKA TANZANIA

$
0
0
RWANDA imeamua ‘kucheza rafu’ kwa kuanza kuhujumu Bandari ya Dar es Salaam, kwa kupandisha ushuru wa barabara kwa magari ya mizigo yanayotoka Tanzania pekee kuanzia Rusumo hadi Kigali, kutoka dola za Marekani 152 za awali, hadi 500.   Kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka ndani ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kilichomalizika hivi karibuni Arusha, ushuru huo

MASANJA MKANDAMIZAJI AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUSINGIZIWA KUWA ANAUZA BANGI

$
0
0
<!-- adsense -->  Jana zilisambaa  habari  kwamba  masanja  mkandamizaji  na  msanii Diamond  wamedakwa  na  polisi  na  possport  zao  za  kusafiria  zimezuiwa.... Taarifa  hizo  zimemfanya  Masanja  afunguke  na  kudai  kwamba  habari  hizo  si  za  kweli, ni  habari  zenye  lengo  la  kumchafulia  jina. Masanja  ameenda  mbali  zaidi  na  kudai  kwamba yeye  ni  mtumishi  wa  mungu,

KASHFA YALIKUMBA JESHI LA POLISI TENA-CCTV ZAZIMWA KURUHUSU UJAMBAZI

$
0
0
SIKU chache baada ya tukio la wizi mkubwa wa fedha katika Benki ya Habibu mjini Dar es Salaam, siri nzito zimeanza kuvuja kuwa polisi wanadaiwa kuhusika katika tukio hilo kwa kuhujumu kamera za usalama za CCTV zinazomilikiwa na jeshi hilo.    Katika tukio hilo, watu wanaodaiwa kuwa majambazi walipora dola za Marekani 20,000 ambazo ni sawa na Sh milioni 32 za Tanzania. Katika tukio

MWANAMKE ANASWA NA SARE ZA JWTZ

$
0
0
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Saida Mohamed (30), mkazi wa Mwasonga Kigamboni, akiwa na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).  Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleimani Kova, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Agosti 31, mwaka huu, katika eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alisema

Baada ya mshindi wa Big Brother kutangaza kuwa hamjui baba yake, Mkenya ajitokeza na kudai ni baba yake.

$
0
0
Wiki iliyopita wakati mshindi wa $ 300,000 za Big Brother The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia akifanyiwa mahojiano na mwandishi wa Namibia, alisema anahamu ya kukutana na baba yake mzazi ambaye hawajawahi kuonana. Dillish Mathews & Abdi Guyo Baada ya siku chache kupita hatimaye jana (September 2)

U.N yawataka waasi wa M23 wasalimishe silaha zao haraka

$
0
0
Umoja wa Mataifa, UN umewataka waasi wa kundi la M23 kuweka silaha chini ili kumaliza mapambano yanayofanyika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuleta athari mbaya kwa wananchi. Umoja huo umesema kumalizwa mapambano kati ya majeshi ya umoja huo na waasi wa M23 kutasaidia kupatikana kwa njia za kuleta suluhu baina ya pande hizo mbili. Wito huo umetolewa

Maiti yafukuliwa na kutupwa nje ya mgahawa jijini Mwanza

$
0
0
Jeneza la mwili wa mtoto ambalo lilikutwa limetelekezwa mbele ya mlango wa mgahawa wa Ester. --- JENEZA lenye mwili wa mtoto mchanga, limezua taharuki kwa wananchi na wakazi wa Mtaa wa Ihago, Kata ya Mahina, Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza. Tukio hilo la kushangaza na la aina yake, lilitokea Agosti 29, mwaka huu, majira ya saa 12:00 asubuhi baada ya kugunduliwa na mfanyabiashara

Kisa cha aunt Ezekiel kupigwa chupa ni penzi la Jeff linalogombaniwa na warembo

$
0
0
Siri  ya  Aunt Ezekiel  kupigwa  chupa  club  na  kujeruhiwa  mkono wake imefichuka.Habari  za  uhakika  zinadai  kwamba  Aunt  alipigwa  chumba  na  mrembo  wa  kike  katika  harakati  za  kugombea  penzi  la  mwanaume...  Mwanaume  aliyekuwa  akigombaniwa  ni  Jeff  ambaye  anadaiwa  kuwa  ni boyfriend  wa  Yvonne ( aliyempiga  aunt  chupa ).. Kutokana  na  aibu  hiyo, mastaa  kadhaa 

Rwanda yanywea..Malori yaruhusiwa kupita kwa tozo ya zamani

$
0
0
Naibu Waziri wa Uchukuzi  Dk. Tzeba  amethibitisha kuwa Serikali ya Rwanda imeruhusu malori ya Tanzania yaendelee na safari kwa kulipa dola 152 badala ya 500 zilizoanza kutozwa hapo  jana.  Akiongea  toka  mkoani  Dodoma, Tzeba  ameweka  wazi  kuwa  Waziri wa Fedha wa Rwanda  aitwaye Gatete na wa  waziri  wa  Uchukuzi wa  Rwanda aitwaye  Rwakabamba, wameridhia tozo ya dola 152 iendelee

Serikali yajibu mapigo kwa mtandao wa Kenya ulioanza kuichokonoa Tanzania

$
0
0
Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari- (MAELEZO) Assah Mwambene akizungumza  na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam  kuhusu  mtandao wa kijamii wa nchini Kenya ulioituhumu  Serikali ya Tanzania.  -------------- Na Fatma Salum-MAELEZO   SERIKALI  ya Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu tuhuma mbalimbali dhidi yake zilizotolewa na mtandao wa kijamii wa nchini Kenya

Afisa utumishi wa manispaa ya Ilemela afikishwa mahakamani kwa rushwa ya ngono

$
0
0
   Afisa  utumishi  wa  manispaa  ya  Ilemela  ndugu Songoma  leo  amefikishwa  mahakamani  akikabiliwa  na  kesi  ya  rushwa  ya  ngono  kwa  mwalimu  aliyekuwa  akiomba  kuhamishwa  toka  Ngudu  kuja  Mwanza. Akisomewa  shitaka  lake   mbele  ya   hakimu  mfawidhi  wa  mahakama  ya  Mwanza, ofisa  wa  TAKUKURU  Bi. Debora amedai  kuwa   Songoma  alitenda   kosa  hilo  may  tano  mwaka  jana 

JWTZ yakamata wanajeshi wanne wa Rwanda waliokuwa Kongo

$
0
0
ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini Kongo (Monusco), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamedai kuwakamata maofisa wanne wa jeshi la Rwanda, katika mapigano ya wiki iliyopita nchini Kongo.Akizungumza na MTANZANIA Jumatano kwa sharti la kutotajwa jina, mmoja wa askari aliyepo ndani ya kikosi cha JWTZ huko nchini Kongo, alisema maofisa hao

Mke anayenyonyesha mtoto wa miezi miwili afumaniwa gesti akisaliti ndoa yake

$
0
0
Usiku wa kuamkia juzi ulikuwa mbaya kwa mke wa mtu, Rukia Issa au mama Sabrina baada ya mumewe, Shukuru Nia kumfumania gesti na mwanamme mwingine huku yeye akiwa na kichanga cha miezi miwili na nusu.. Rukia ambaye ni mkazi wa Goba, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam alifumaniwa katika gesti moja (jina tunalo) iliyopo Mbagala, Dar akiwa na mwanamme aliyefahamika kwa jina la Ally

" Siri ya ushindi wa Francis Cheka dhidi ya mmarekani ilikuwa ni tendo la ndoa ( Ngono ) "...Mkewe afunguka

$
0
0
SIRI ya ushindi alioupata bondia maarufu nchini, Francis Cheka ‘SMG’ dhidi ya Mmarekani Phil Williams imefichuka baada ya mke wa bondia huyo kutoka Morogoro, Tosha Azenga kutoa la moyoni. Akizungumza katika mapokezi ya mumewe mwishoni mwa wiki iliyopita alipowasili mkoani hapa, Tosha alisema mumewe amekuwa akifanya vizuri kutokana na ukweli kwamba kila anapokaribia pambano huwa

Dillish amkana mwanaume wa Kenya aliyedai kuwa ni baba yake mzazi

$
0
0
Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo Guyo aliyejitokeza juzi  katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia, Dillish amemkana na kusema baba yake ana asili ya Somalia. Mashabiki mbalimbali wamemuuliza Dillish kuhusu Guyo kupitia twitter, lakini Dillish ambaye ameonesha kushangazwa na habari hizo, jana 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images