Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

WAASI WA M23 WAMUUA MWANAJESHI WETU WA JWTZ HUKO KONGO

$
0
0
TAARIFA KUHUSU TUKIO LA KUFARIKI KWA AFISA WA JWTZ KATIKA JUKUMU LA KULINDA AMANI - DRC, GOMA 1. Kama mnavyofahamu, JWTZ linashiriki katika operesheni za Umoja wa Mataifa huko Goma DRC. Kikosi chetu kimeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda amani kama kinavyopangiwa na Jeshi la Umoja wa Mataifa nchini DRC lijulikanalo kama MONUSCO. 2. Tarehe 28 Agosti 2013 wanajeshi wetu wakiwa

"SINA MPANGO WA KUACHANA NA DIAMOND NA SIJAONA MWANAUME KAMA YEYE"....PENNY

$
0
0
Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel Mwingilwa ‘Penny’ ameibuka na kudai hatishwi na maneno hayo. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Penny ambaye sasa anapika na kupakuwa kwa Diamond alisema anamuamini sana mpenzi

RAIS KIKWETE AMUOMBA RAIS WA UGANDA AONGEE NA KAGAME ILI KUMALIZA UGOMVI ULIPO

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete, amewasiliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ili azungumze na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa nia ya kumaliza mvutano wa maneno kati yao kwa busara.   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema hayo jana bungeni, alipokuwa akijibu swali la Kiongozi wa Upinzani bungeni, Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe (Chadema).   “Tunataka suala hili limalizike kwa njia ya busara, ili

ALIYEMPIGA CHUPA AUNT EZEKIEL NDIYE ALIYEMCHANA LULU VIWEMBE

$
0
0
Mtuhumiwa aliyempiga chupa mwigizaji Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita nje ya Ukumbi wa Bilicanas ndiye aliyewahi kumchana viwembe mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwaka 2011. Kumbukumbu  zinaonesha kuwa, mwaka 2011 Lulu alivamiwa na wadada wa mjini baada ya kunaswa katika pozi tata na mwanaume wa watu maeneo ya Kariakoo, jijini Dar. Alipoulizwa juu ya sakata hilo, Lulu alitiririka hivi:

DIAMOND ATOA ZAWADI YA GARI KWA MZEE GURUMO

$
0
0
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Muhidin Gurumo akijaribu gari dogo alilokabidhiwa na mwanamuziki wa bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond ‘ kutokana na kutambua mchango wake baada ya kustaafu kazi ya muziki. Muhidin Gurumo akipokea funguo ya gari kutoka kwa Diamond Gari alilozawadiwa mzee Gurumo. <!-- adsense -->

JESHI LETU LA JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23

$
0
0
ASKARI wa Umoja wa Mataifa wanaolinda amani nchini DR Congo (MUNUSCO), wakiongozwa na vikosi vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) vimefanya shambulizi la nguvu katika eneo la  Kibati (Nyirangongo Territory, Goma, Eastern DRC), eneo hilo ndiyo iliyokuwa ngome kuu ya waasi wa M23 Shambulio hilo kubwa na la kwanza kufanywa na vikosi vya Umoja wa Mataifa limekuja siku moja, baada ya 

WAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ ( MONUSCO)

$
0
0
Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa ikiwemo  JWTZ.   Afisa mmoja wa Kundi hilo la M23 Museveni Sendugo, ameiambia BBC kuwa wanajeshi wake tayari wamerudi nyuma umbali wa kilomita tano kutoka eneo la mapigano. Wengi wa

WABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU ZIFUTWE

$
0
0
MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.   Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi, Ofisa ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, kuzomewa na kurushiwa maneno ya kejeli alipojaribu kuzitetea mbio hizo.   Chanzo cha mzozo huo kilitokana na maswali ya mbunge wa Musoma

DIAMOND NA LINAH WANASWA WAKITOMASANA HADHARANI

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo yametafsiriwa vibaya.   Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo

PICHA ZA UZINDUZI WA "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL

$
0
0
            MSANII wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi la uzinduzi wa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Foolish Age .  Baada ya move hiyo kali ya dakika 120 iliyooesha ukali wa staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha zingine 100 kusubiri wateja kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani kujitambulisha na kutoa shukrani

NANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER....

$
0
0
Nando  ameendelea  kuitia  aibu  Tanzania  baada  ya  kukumbwa  na  kashfa  mpya  ya  wizi  wa  kamera  ndani  ya  jumba  la  big  brother. Wizi  huo  unadaiwa  kutendeka  baada  ya  Nando  kualikwa  kushiriki  fainali  za  Big brother  ambapo Dillish aliibuka  mshindi  wa  shindano  hilo..... Baada  ya   wizi  huo, kamera  za  jumba  hilo  zilimuumbua.Nando  alikamatwa  na  kuamriwa 

PICHA YA MWANAUME ALIYEGEUZWA KUWA MWANAMKE BAADA YA KUZINI NA MKE WA MTU

$
0
0
<!-- adsense --> Mwanaume  mmoja  nchini  Kenya  amejikuta  akiambulia aibu  ya  mwaka  baada  ya  uume  wake  kubadilishwa  kuwa  uke.... Mwanaume  huyo  anadaiwa  kufanyiwa  mchezo  huo  baada  ya  kufumaniwa  akizini  na  mke  wa  mtu  katika  kitanda  cha  mumewe... Taarifa  zinadai  kwamba, mume  huyo  alipomfumania  mkewe  hakufanya  vurugu  yoyote  na  badala  yake  alitoweka  na 

PICHA ZA UCHI ZA PENDO ZAANIKWA BAADA YA KUSHINDWA KULIPA DENI

$
0
0
<!-- adsense --> Picha  za  uchi  za  mrembo  Pendo  zimeanikwa  hadharani  na  mmiliki  wa  club  maarufu  ya  Westland  baada  ya  binti  huyo  kushindwa  kulipa  deni  lake..... Taarifa  zinadai  kwamba  Pendo  alikopa  pesa  toka  kwa  mmiliki  wa  club  hiyo  na  kuahidi  kuirejesha  pesa  hiyo  siku  ya  alhamisi  iliyopita.... Wakati  wa  mkopo  huo, Pendo  alipigwa  picha  za  uchi

RWANDA YAPELEKA WANAJESHI 1700 KUWASAIDIA WAASI WA M23 BAADA YA KUELEMEWA NA JWTZ ( MONUSCO)

$
0
0
KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake kuripotiwa kupoteza maisha.   Mapigano baina ya M23 na Jeshi la Serikali ya DRC linalosaidiwa na Kikosi Maalumu cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO), yameibuka upya ndani ya wiki hii.  

MWANAMKE ABAKWA NA KUCHOMEKWA KISU SEHEMU ZA SIRI.

$
0
0
Ukatili dhidi ya wanawake  umeendelea  kushika  kasi  ya  ajabu katika  bara  la  Afrika..... Ukatili  huo  unajidhirisha  baada ya  ongezeko  kubwa  la  matukio  ya  ubakaji  yanayoambatana  na  mauaji  ya  kikatili  kama  njia  mojawapo  ya  kuficha  ushahidi. Wiki  hii  mitandao  ya  nchini  Ghana  imeripoti  juu  la  tukio  la  mwanamke  mmoja  aliyebakwa  na  kuuawa  kikatili  kwa 

DIAMOND ATUHUMIWA KUIBA WIMBO WA DYNA..."MY NUMBER ONE"

$
0
0
 Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba na Pasha,Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia tena ndani ya tuhuma nzito  baada ya  madai   kwamba wimbo anaotaka kuuachia wa No.1 ni wa Dayna. Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna kwamba wangefanya wote. Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na

KINGUNGE AMSHANGAA KAGAME

$
0
0
MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amejitosa katika mgogoro wa kidiplomasia uliopo kati ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Rwanda, Paul Kagame.  Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu mwishoni mwa wiki nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kingunge alimshangaa Rais Kagame kwa jinsi alivyouchukulia vibaya ushauri wa Rais Jakaya Kikwete, aliompa juu ya waasi wa nchini

MWILI WA ASKARI WETU ALIYEUAWA NA WAASI WA M23 UMEAGWA JANA ZANZIBAR

$
0
0
Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefarika Nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani.  Ndege iliobeba Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar ikitokea Dar-es-Salaam.  Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakijumuika na Ndugu

NELSON MANDELA ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALI

$
0
0
RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95), jana aliondolewa hospitali na kurejeshwa nyumbani ambako ataendelea na matibabu ya maradhi ya mapafu.  Hata hivyo, taarifa ya Serikali ya Afrika Kusini imesema uamuzi huo hauna maana kwamba Mandela amepata nafuu kwa vile hali yake bado ni mbaya na wakati mwingine hudorora zaidi. Taarifa hiyo imeongeza timu ya madaktari wa Mandela

JWTZ YASIMULIA JINSI ASKARI WETU ALIVYOUAWA NA WAASI WA M23

$
0
0
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeleezea namna mwanajeshi wake, Meja Khatibu Shaaban Mshindo, alivyouawa baada ya kuangukiwa na bomu, wakati akiwa katika jukumu la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).   Pamoja na hayo, Watanzania wametakiwa kuimarisha mshikamano na kuachana na makundi yenye nia ya kuleta mgawanyiko, hasa katika kipindi hiki
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images