Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha za maelfu ya wananchi waliojitokeza kuuaga mwili wa askofu Kulola jijini Mwanza hapo jana

$
0
0
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akiongoza wanachi kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Askofu wa EAGT Moses, Kulola  Mchungaji Kadani Limbu ambaye ni Katibu wa Kanisa la EAGT Makao Makuu (Ujenzi) akisoma wasifu wa marehemu Askofu Kulola aliyezaliwa 1928 katika Kijiji cha Nyang’honge

JWTZ lasitisha likizo....Hali ya utayari wa Kijeshi ( Military readiness) yatangazwa.

$
0
0
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesitisha wapiganaji wake kwenda likizo na kuwaita waliokuwa likizo kurudi makambini. Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa vya kiinteligensia vijulikanavyo kama ‘KAINZI’,  uamuzi huo umeenda sambamba na kuweka hali ya utayari wa kijeshi (military readiness) kufikia asilimia 50 ( katika hali ya utulivu na amani nchini hali ya utayari wa kijeshi

Shoga lafumaniwa na mkewe "likiliwa jicho" ( likiliwa tigo)

$
0
0
Kuna kitu ningependa niwashirikisha marafiki wa ukurasa huu ingawa ni aibu lakini ni vyema pia na akina dada wenzangu na hata vijana wa kiume wajifunze kutoka kwangu. Mimi ni binti wa miaka 30 na nimebahatika kupata watoto wawili wakiume na wakike na namshukuru muumba kwani wana afya tele. Niliolewa miaka 5 iliyopita na kijana mmoja ambaye tulikuwa wapenzi kwa takribani miaka sita na

Mwanamke akamatwa na madawa ya kulevya katika uwanja wetu wa ndege mchana huu

$
0
0
   Mama mmoja  wa  kinigeria   amekamatwa na madawa ya  kulevya  mchana  huu  katika uwanja wa ndege wa JNIA  akijaribu  "kum-bypass "  Dr.Mwakyembe.  Mwana  mama  huyo aliyetambuliwa  kwa  jina  la  Ojo Athnonie  alikuwa  amevaa   bai bui kwa juu na kufunika sura yake  yote..... Taarifa  zinaarifu  kwamba  mama huyo alikuwa akienda na Ethiopian Airways na hivi sasa yuko  chini ya  ulinzi 

Uzalendo wamshinda DJCHOKA na kujikuta akikata MAUNO hadharani

$
0
0
  Video  mpya  ya  msanii  Diamond  imeendelea  kufanya  vizuri  kwa  kuwakuna  watu  wa  rika  mbalimbali  ambao  uzalendo umekuwa  ukiwashinda  na  kujikuta  wakimwaga  "radhi"   ili  kukata  kiu  yao.... Katika  upekuzi  wangu, nimefanikiwa  kumnasa  Dj Choka  akizungusha  kiuno  chake  hadharani baada  ya  mzuka  kumpanda  wakati  akisikiliza  ngoma  mpya  ya  Diamond.... Mcheki  hapo 

Picha 15 za mazishi ya askofu Kulola yaliyoongozwa na Rais Kikwete jijini Mwanza leo

$
0
0
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha waombolezaji wakati wa mazishi ya Askofu Moses Kulola leo.   Mtoto wa Marehemu Askofu Kulola, Willy Moses Kulola (kushoto) akiwa amesimama nyuma ya jenza la mwili wa marehemu baba yake. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa (kushoto) akishiriki ibada ya mazishi ya Askofu Kulola. Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Wilbroad Slaa (wa tatu

Picha 12 za mama wa kinigeria aliyekamatwa na madawa ya kulevya katika uwanja wetu wa ndege

$
0
0
Jitihada za kurejesha heshima kwa viwanja vya ndege nchini zilizoanzishwa na waziri wa uchukuzu Dk. Harisson Mwakyembe zinaonekana kuzaa matunda baada ya mwanadada kutoka nchini Nigeria Anthonia Ojo (25) kukamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya dar es salaam leo.   Mwanamke  huyo amekamatwa  akieleke Roma Italia kupitia Paris Ufaransa kwa ndege ya Ethiopian Airways  na  aliingia

Hali ya msanii Banza Stone ni mbaya

$
0
0
NGULI wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ameanza kuugua tena ambapo tangu Sikukuu ya Iddi hadi sasa yupo hoi kitandani. Akizungumza kwa huzuni na mwandishi wetu, Banza alisema alipomaliza shoo ya Sikukuu ya Iddi na Bendi ya Extra Bongo, alianza kuugua, akaenda Hospitali ya Yemen iliyopo Sinza, Dar ikagundulika ana malaria kali ambapo alipewa dozi ya siku saba. “

Mapenzi yamponza Aunt Ezekiel....Mkono uliopigwa chupa waanza kuoza

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ yupo hatarini kukatwa mkono kutokana na jeraha la chupa alilolipata hivi karibuni. Tukio la Aunt kupigwa chupa na mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Yvonne nje ya Club Bilicanas, Posta jijini Dar, lilitokea Agosti 26, mwaka huu wakati staa huyo alipokwenda kujiachia na mshosti zake. Baada ya kupigwa chupa siku hiyo, Aunt

Rais Kikwete na Paul Kagame wakutanishwa na Rais wa Uganda

$
0
0
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameitisha mkutano wa dharura wa marais wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa waalikwa kwenye mkutano huo ambao pia unatarajiwa kuhudhuriwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati hali ya

Ndugu wa bilionea aliyeuawa Arusha wazimia mahakamani baada ya kesi hiyo ku.....

$
0
0
Ndugu wa mfanyabiashara Erasto Msuya (43)aliyeuawa kwa kupigwa risasi Agosti 7, mwaka huu, wameangua kilio na kuzimia  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi, Kilimanjaro baada ya mahakama kuhairisha usikilizaji wa kesi hiyo. Ndugu hao  ni dada wa marehemu, Antuja Msuya na Bahati Msuya ambao katika tukio hilo, wote  walipoteza fahamu.

Kesi ya waziri mkuu Mizengo Pinda kutajwa septemba 16 mwaka huu...DPP adai kuwa hiyo ni kesi FEKI

$
0
0
KESI ya kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutokana na kauli yake ya kuruhusu wanaokaidi maagizo ya Dola wapigwe, itatajwa Septemba 16 mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Kesi hiyo ilifunguliwa Agosti mosi mwaka huu na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), dhidi ya Waziri Pinda na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wakipinga kauli hiyo

Hatimaye mshindi wa Big Brother afanikiwa kumpata baba yake ( Ni yuleyule aliyemkana )

$
0
0
Hatimaye teknolojia imefanikisha kuwakutanisha wazazi wa mshindi wa Big Brother Afrika ‘The Chase’ Dillish Mathews baada ya mwanaume mmoja aitwaye Abdi Galgayo Guyo kuja hadharani na kudai kuwa ni baba mzazi wa mshindi huyo wa The Chase. Siku moja tu iliyopita, Pulse iliandika habari kuhusu mwanaume wa Kenya aitwaye Abdi Galgayo Guyo aliyetembelea ofisi za Standard Media ya Kenya na

Video ya ngono ya wabongo yavuja.....Ni siku chache baada ya ile ya Mrisho Ngasa kunaswa

$
0
0
Baada  ya  video  ya  ngono  ya  Mrisho  Ngasa  kuvuja  na  kusambaa  kwa  kasi, video  nyingine  ya  wabongo  imevuja  wakifanya  uchafu  wao  huku  wakijirekodi..... <<VIDEO  IKO  HAPA,  BOFYA  HAPA>> Bofya  hapo  JUU   kujionea  ( watu wazima  tu) <!-- adsense -->

Breaking news: Freeman Mbowe atimuliwa bungeni

$
0
0
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo.  Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP.  Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba 2013 unamapungufu.

Mwanafunzi wa darasa la pili huko PWANI abakwa na wanafunzi wenzake wanne na kuharibiwa vibaya

$
0
0
MATUKIO ya uvunjifu wa maadili kwenye shule mbalimbali hapa nchini yameendelea kushamiri baada ya wanafunzi wanne wa Shule ya Msingi Lulanzi wilayani Kibaha mkoani Pwani kutuhumiwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia maumivu yaliyopelekea kulazwa Hospitali ya Tumbi kwa matibabu.   Akizungumza na mwandishi wa habari hizi jana babu wa mtoto huyo, Jacob Mrope alisema tukio

Picha tano za Rais Kikwete alipokutana na Kagame wa Rwanda huko Uganda

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda. Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao. Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota. <!-- adsense -->

Video ya wabunge wa Upinzani wakitoka NJE ya Bunge baada ya Freeman Mbowe kutimuliwa leo mchana.

$
0
0
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe alitolewa nje ya Bunge leo  mchana baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo.  Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP.  TAZAMA  VIDEO  YA  TUKIO  ZIMA  HAPO  CHINI. <!--

Wabunge wa UPINZANI nchini Kenya nao WASUSA na kutoka nje

$
0
0
Baadhi ya wabunge wa upinzani nchini Kenya wameondoka bungeni wakati mjadala mkali ukiendelea kuhusu kuunga mkono au kupinga nchi hiyo kujiondoa kutoka katika mahakama ya kimataifa ya ICC.   Wabunge hao wameondoka bungeni baada ya kusema kuwa kamwe hawataungana na upande wa serikali kuunga mkono hoja hii ya kujiondoa kutoka katika mahakama ya ICC.Ni kutokana na

Mheshimiwa SUGU anasakwa na polisi kwa kosa la kuwakashifu walinzi wa Bunge

$
0
0
  Taarifa kutoka Dodoma zinadai kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu... Baada ya kufungua Jalada hilo polisi wamechukua Difenda 6 na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi. Credit:Jf <!-- adsense -->
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images