Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

SERIKALI YARUHUSU TENA MIHADHARA YA DINI ILIYOKUWA IMEPIGWA MARUFUKU.

$
0
0
MIHADHARA ya dini iliyokuwa imepigwa marufuku na Serikali imeruhusiwa kuendelea kwa masharti ya kutojihusisha na mahubiri yanayolenga kupandikiza chuki miongoni mwa Wakristo na Waislamu. Serikali pia imewataka viongozi wote wa dini kuwakataa na kuwapiga marufuku watu wanaojiingiza katika nyumba za ibada huku wakiwa na malengo ya siasa. Akizungumza katika kongamano la Umoja wa Wahadhiri

EAC YAINGILIA KATI MZOZO WA TANZANIA NA RWANDA

$
0
0
Wakati Tanzania ikisema kuwa iko tayari kukaa meza moja na jirani yake Rwanda kumaliza hali ya uhasama iliyoanza kujitokeza katika siku za hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Richard Sezibera amesema jitihada za kidipolomasia zinafanyika kutatua tofauti hizo za kimawazo.    Bila kutaja taasisi wala wanaohusika katika jitihada hizo za

MADIWANI WALIOTIMULIWA BUKOBA WARUDSHWA

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera.Katika maamuzi yake, Kamati Kuu imebatilisha uamuzi uliofanywa na Halmashauri Kuu CCM ya Mkoa wa Kagera Agosti 13, 2013 wa kuwafukuza uanachama Madiwani hao. Hivyo

"WABUNGE WENGI NI WAUZA UNGA NA MADAWA YA KULEVYA"....WILLIAM LUKUVI

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amesema baadhi ya majina ya wabunge yametajwa miongoni mwa watu wanaoshukiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya lakini Serikali haiwezi kuwataja hadharani kwa haraka.    Majibu hayo ya Waziri Lukuvi yamekuja baada ya wabunge kumbana na wengine wakizomea baada ya kueleza ugumu wa kutaja majina ya

MWANAUME ALIYEKIRI KUCHANGIA MKE NCHINI KENYA ATIMULIWA KAZI....

$
0
0
  Mwanaume wa nchini Kenya ambaye aliridhia kusaini mkataba wa kuchangia mwanamke mmoja na mwanaume mwenzake amefukuzwa kazi na bosi wake. Mwanaume huyo Sylvester Mwendwa, ambaye mwishoni mwa wiki alitangaza hadharani penzi lake hilo la mkataba na mwanamke mjane, amesema bosi wake amemfukuza kazi ya bucha aliyokuwa akiifanya baada ya kusikia habari hiyo. Mwendwa ambaye alikiri kuwa

CAG ADAI KWAMBA MAGUFULI SIYO FISADI.....ATOA UFAFANUZI WA KINA KUHUSU ZILE BIL. 252

$
0
0
  MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema taarifa ya Sh bilioni 252 zilizokuwa zimeoneshwa katika taarifa ya Wizara ya Ujenzi, zilihamishwa kwenda Wakala wa Barabara (Tanroads) kulipia madeni ya wakandarasi na kwamba hapakuwa na ufisadi.   Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Utouh alisema vyombo vya habari viliripoti suala hilo tofauti,

KAGAME HATAKANYAGA TENA ARDHI YA TANZANIA.....WABUNGE WA RWANDA WASUSA JIJINI ARUSHA

$
0
0
RAIS Paul Kagame wa Rwanda, sasa hayupo tayari kukanyaga ardhi ya Tanzania kutokana na kile kinachoonekana kuwa ni mgogoro wa kidiplomasia unaoendelea kati yake na Rais Jakaya Kikwete. Wakati hayo yakifikia hapo, kikao cha Bunge la Afrika Mashariki (EALA), linakoketi mjini Arusha kilivunjika baada ya Spika wa bunge hilo, Magreth Zziwa, kugongana kauli na Mbunge mmoja wa Rwanda jambo

AUNT EZEKIEL APIGWA CHUPA USIKU AKIWA CLUB

$
0
0
MWIGIZAJI wa  sinema za kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi...  Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto. Watu walioshuhudia tukio hilo wamedai  kuwa, wakati Yvonne anatekeleza ukatili

RAY C AANZA KUKIRUTUBISHA KIUNO CHAKE....HIZI NI PICHA 3 AKIWA GYM

$
0
0
Zaidi ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika kiurahisi, umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila mfupa kwa jinsi alivyokua akicheza nacho.Huu  ni uwezo uliofanya mpaka maneno ya kiuno bila mfupa yakapata umaarufu kupitia yeye.   Siku kadhaa  baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani, Ray C akiwa ametoka kwenye matibabu ya matumizi ya dawa

"FAMILIA IMENITENGA BAADA YA KUOA ALBINO'...MUME

$
0
0
KIJANA aitwaye Priscus Mushi, mkazi wa Mbezi jijini Dar ambaye ni muumini wa Kanisa la Efatha linaloongozwa na Mchungaji Josephat Mwingira ameanika masikitiko yake baada ya kutengwa na baadhi ya ndugu kufuatia kuoa mlemavu wa ngozi ‘albino’ aitwaye Tumaini Murungu. Akizungumza katika Ukumbi wa Maji uliopo maeneo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo sherehe za ndoa zilifanyika, Mushi

BASI LA HOOD LAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI 15

$
0
0
Mtu mmoja amefariki dunia na 15  wamejeruhiwa baada ya basi  la Kampuni ya Hood  likitokea kilombero kwenda jijini  Dar es salaam kumgonga  mtembea kwa miguu na kisha kuacha njia na kupinduka katika eneo la Kiembeni  Mikese Mkoani  Morogoro.    Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro  Bonifasi Mbao  akizungumza kwenye  eneo la tukio amesema chanzo cha ajali  hiyo ni

SHEIK PONDA AFIKISHWA MAHAKAMANI TENA.....KESI YAAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA 11

$
0
0
Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda jana alisababisha kusimama kwa shughuli za Serikali wilayani Morogoro baada ya ofisi kadhaa ikiwamo ya Mkuu wa Wilaya na baadhi ya mitaa kufungwa ili kupisha kusikilizwa kwa kesi inayomkabili katika Mahakama ya Mkoa wa Morogoro.    Tofauti na Agosti 19, mwaka huu wakati aliposafirishwa kwa helikopta, jana Sheikh Ponda

WABUNGE WA TANZANIA NAO WASUSIA KIKAO CHA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

$
0
0
Kikao cha Bunge la Afrika Mashariki (EALA), jana kilivunjika kwa mara ya pili baada ya Wabunge wa Tanzania, kutoka ndani ya ukumbi wakipinga kanuni kuvunjwa juzi.    Baada ya wabunge wa Tanzania kutoka nje, Spika wa Bunge hilo, Margareth Zziwa aliahirisha Bunge kwa dakika 15 ili kuweka mambo sawa, lakini jitihada za kuwashawishi ziligonga mwamba na kuamua kuahirisha Bunge hadi leo.  

VIDEO YA MTOTO WA MIAKA 14 ALIYEJIFUNGUA MAPACHA WATATU....

$
0
0
Kwa kawaida miaka 14 inafaa kuwa ndio unafurahia ujana na utoto wako.  Lakini sivyo kwa msichana mmoja huko Bungoma, ambaye sasa ni mzazi, na si wa mtoto mmoja, bali watoto watatu, aliojifungua kwa pamoja.  Msichana huyo mdogo anasema alipewa ujauzito huo na kijana wa umri wa miaka kumi na sita, na kama anavyiripoti Agnes Penda ni taarifa ambayo inaongeza tu idadi ya visa vya

CHUPI NA SHANGA ZA MSANII SHILOLE ZAANIKWA NJE- FIESTA


VIDEO YA UCHI YA MRISHO NGASA AKIWA NA MDOGO WAKE FLORAH MBASHA GESTI YAVUJA

$
0
0
<!-- adsense --> Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni.   Mkanda huo  unamuonesha mchezaji huyo akiwa kwenye ‘suti yake ya kuzaliwa’ pamoja na msichana wakivunja amri ya sita.   Huku kukisikika muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa reggae, wapenzi hao

MWIGULU NCHEMBA ATAKA MBOWE NA DR. SLAA WAKAMATWE KWA MAUAJI YA RAIA

$
0
0
 MBUNGE wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba (CCM), amechafua hali ya hewa bungeni kwa kuitaka Serikali kuwachukuliwa hatua viongozi wa juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Mbunge huyo alisema mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe pamoja na Katibu Mkuu wake, Dk. Wilbroad Slaa, wanapaswa kuchukuliwa hatua kwa madai ya kusababisha mauaji ya raia. Mwigulu, ambaye pia ni

UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI

$
0
0
Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao wamevalia sare za Jeshi la Polisi wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha Fedha.  Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.. Habari  zaidi  baadae. <!-- adsense -->

TRAFFIKI FEKI ALIYEKAMATWA HIVI KARIBUNI ALIKUWA NI MFUNGWA WALIYETOROKA GEREZANI

$
0
0
MAZITO tena yameibuka kuhusu yule trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es Salaam ambaye yuko Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya kujifanya askari wa usalama barabarani.Habari za ndani kutoka Gereza la Isanga, Dodoma zinadai kuwa, trafiki huyo ana mambo mengi ya kushangaza ambayo Watanzania wengi hawayajui.Mtoa habari wetu alisema kuwa, James

RAY C AOKOKA RASIMI...HIZI NI PICHA ZAKE AKIBATIZWA

$
0
0
  Yule dada yetu msanii maarufu wa nyimbo za bongo fleva  leo hii amewaka bayana ya kuwa yeye na shetani sasa ni paka na panya. Ray C amethibitisha hayo katika post zake za instagram. 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images