Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi ya Januari 16


Rais Magufuli AMFUKUZA Kazi Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Kwa Utovu wa Nidhamu

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faisal Issa kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliouonesha katika kikao cha kamati ya ulinzi kilichofanyika  tarehe 15 Januari, 2016 Mjini Mwanza. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kupokea

Bandarini Hapakaliki....Wakurugenzi Watatu Wapigwa Chini na Kuhamishiwa Wizarani, Vigogo TCAA Wasimamishwa Kwa Ufisadi

$
0
0
SERIKALI imeendelea kuisafisha Bandari kwa kuwaondoa watendaji wa ngazi za juu na kuwahamishia wizarani ili kuongeza ufanisi katika utendaji, sambamba na kuongeza ukusanyaji wa mapato. Wakati hayo yakitokea Bandari, Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) amesimamishwa kazi huku Mhasibu Mkuu na Meneja Manunuzi wa taasisi hiyo wakihamishwa kwa tuhuma za kushindwa

Serikali Yacharuka.....Yamfungulia Mashitaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Six Telecoms na Wenzake Watano kwa Kuisababishia Serikali Hasara ya Bilioni 8

$
0
0
MKURUGENZI wa Kampuni ya Six Telecoms, Hafidh Shamte na wafanyakazi wengine watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni nane. Washitakiwa walifikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka mawili na mawakili kutoka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Jackline Nyantori na Johanes

Bunge La Tanzania Lafumuliwa Upya.....Hapa Kuna Taarifa Ya Bunge Kuhusu Mabadiliko Ya Muundo Wa Kamati Za Kudumu Za Bunge

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MABADILIKO YA MUUNDO WA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ____________________ Kamati ya Kanuni ya Bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai hivi karibuni, leo imekutana Jijini Dar es Salaam na Kuridhia mapendekezo ya mabadiliko katika muundo wa kamati za Bunge yaliyowasilishwa na Mhe. Spika ili kuendana na

Tazama Hapa Matokeo ya Kidato cha Pili 2015/16

$
0
0
Baraza la mitiani NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha 2 kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana ambapo wanafunzi 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu. BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO

Tanzania Hatarini Kukubwa Na Mafuriko Ya El-nino - Umoja Wa Mataifa

$
0
0
UMOJA wa Mataifa umeihadharisha Tanzania kuwa itakumbwa na mafuriko yatakayosababishwa na mvua za El-Nino na kutaka kuanza kuchukua tahadhari mapema. Taarifa ya Umoja huo ya uwezekano mkubwa wa mafuriko yatakayosababishwa na mvua za El- Nino imetolewa wakati serikali inaendelea kubomoa nyumba zilizojengwa maeneo hatarishi katika mabonde na maeneo yasiyoruhusiwa. Kwa mujibu wa taarifa

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye Aruhusiwa Kutoka Hospitali

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye aliyekuwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyoko Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameruhusiwa kurudi nyumbani. Ofisa Uhusiano Msaidizi wa MNH, John Steven, jana alisema Sumaye aliruhusiwa juzi jioni baada ya madaktari kuridhishwa na maendeleo ya afya yake. “Sumaye amepewa ruhusa ya kurudi nyumbani tangu juzi jioni,

Tanzania Yachafuliwa Burundi.......Yatuhumiwa Kupitisha Silaha Bandarini Dar es Salaam

$
0
0
RAIS Dk. John Magufuli ameombwa kuzuia upitishwaji wa silaha za kivita zinazodaiwa kupitishwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchini Burundi. Ombi hilo lilitolewa mjini hapa jana na vyama sita vya wanaharakati wa haki za binadamu na kiraia vilivyowasilisha maombi yao mbele ya Kamati ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) inayoendelea kusikiliza maombi hayo mjini hapa.

Tazama Video hii Na Maelezo Ya Mh Mwigulu Nchemba Akitumbua Vijipu Uchungu huko TUNDURU, RUVUMA.

$
0
0
Ufuatiliaji wa Ugawaji wa pembejeo kwa wakulima,Nimefika wilaya ya Tunduru,Kata ya Nandembo na kata jirani kwaajili ya kujiridhisha na namna ugawaji wa pembejeo unavyofanyika kwa wakulima.   Nimekutana na mchezo mchafu wa ugawaji wa pembejeo unaohusisha wakala wa pembejeo kula njama na viongozi wa serikali wa kata na vijiji kuwasainisha wakulima kuwa wamepokea pembejeo(Mbegu +Mbolea) ilia

Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Ashinda kesi ya Uchaguzi dhidi ya Kippi Warioba

$
0
0
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imefuta kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Ubunge, iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa kiti hicho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, dhidi ya Mbunge wa Kawe, Halima Mdee. Jaji Zainabu Mruke alitoa uamuzi huo jana, kwa kuwa Warioba aliomba kuondoa shauri hilo mahakamani baada ya kukubali hoja za pingamizi la awali zilizowasilishwa

Basi la Kiruto Kutoka Kondoa Kwenda Dar Lapata Ajali Mbaya Gairo na Kuua Watu Kadhaa

$
0
0
Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Tunafuatilia na tutawalete taarifa kamili.

UKAWA Washinda Kiti ca Umeya Kinondoni na Ilala, Dar es Salaam

$
0
0
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob (katikati) akiongoza sala ya kufungua mkutano wa kwanza baada ya uchaguzi wa kumchagua Meya na Naibu Meya wa manispaa hiyo. ****** Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu, uchaguzi wa kuwachagua Mameya wa Manispaa za Kinondoni na Ilala, umefanyika na Umoja wa Vyama vinavyunda Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamefanikiwa kuongoza Manispaa hizo.

TCRA Yavifungia Vituo 27 Vya Radio Na Tv Kwa Kukwepa Kodi.......Miongoni Mwa Vituo Vilivyofungiwa ni Star Tv, Radio Free Africa na Kiss Fm

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya TV kikiwemo kituo cha Star TV, Radio free Afrika, Kiss Fm na Uhuru FM kwa kushindwa kulipa kodi ya lesseni kwa wakati .. Akitangaza uamuzi huo, mkurugenzi wa habari na mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy, amesema kuwa mitambo ya vituo hivyo itazimwa ifikapo kesho saa 6 usiku, na itawashwa baada ya vituo hivyo kulipa

Nape Nnauye Alifungia Milele Gazeti la Mawio

$
0
0
Serikali kupitia Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nauye, imelifungia kwa muda wote gazeti la kila wiki la MAWIO linalochapishwa na kampuni ya Victoria Media Services Ltd. Katika tangazo lake lililotolewa kupitia gazeti la Serikali notisi namba 55 ya Januari 15, 2016 Serikali imebainisha kuwa imechukua uamuzi huo wa kulifungia gazeti la Mawio kwa muda wote kwa

Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa Chapigwa Faini Ya Milioni 50

$
0
0
Serikali imetoa siku saba kwa kiwanda cha sukari cha Mtibwa kulipa faini ya shilingi milioni 50 baada ya kudaiwa kukiuka sheria za mazingira. Baadhiya mambo yaliyobainika ni kukosa mfumo mzuri wa kuhifadhi na kusafirisha taka ngumu na taka maji, kutohifadhi vyema kemikali zinazotumiwa na kiwanda hicho pamoja na kutumia kuni kuendesha baadhi ya mitambo yake hususani eneo la kuchemshia.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Januari 17

Waziri Nape Ataja Sababu Za Kulifuta Gazeti la MAWIO katika Daftari la Msajili wa Magazeti.

$
0
0
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeamua kulifuta kutoka katika Daftari la usajili wa magazeti, gazeti lijulikanalo kama “MAWIO”. Amri ya kulifuta Gazeti hilo imetolewa leo 17 Januari, 2016 na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipokutana na Waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) uliopo Jijini Dar es Salaam. Mhe.

Waziri Kitwanga Atangaza vita ya Bodaboda

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga amesema katika kuhakikisha Serikali inapambana na uhalifu, Jeshi la Polisi limeanza ukaguzi maalumu wa bodaboda na kufunga kamera za CCTV katika miji mikuu ili kufuatilia matukio mbalimbali. “Kutokana na majambazi kubuni mbinu mpya kila siku, ikiwamo ya kutumia bodaboda kuvamia benki na wanaotoka benki na kuwapora fedha, kuanzia sasa

Tamko la Star Tv, RFA Na Kiss Fm Baada Ya Kufungiwa Na Serikali Kwa Miezi Mitatu

$
0
0
Manejimenti ya sahara media group ambao ni wamiliki wa Star Tv, RFA na Kiss Fm  imesema haijapata barua au taarifa rasmi yeyote kutoka mamlaka ya mawasilano Tanzania TCRA  ya kutakiwa kufunga vyombo vyake. Imesema wameshtushwa na taarifa hiyo ikizingatiwa kwamba wamekuwa wakilipia leseni ada zake na ada za masafa kwa kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 500 hadi kufikia mwezi October 2015.
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images