Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akutana Na Mabalozi Wa Qatar Na Kuwait Leo

$
0
0
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili kutoka nchi za Qatar na Kuwait.  Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao leo ,ofisini kwake ,Magogoni jijini Dar es salaam, Waziri Mkuu amewashukuru mabalozi hao kwa pongeza walizokuja kumpatia, pamoja na namna ambavyo nchi zao zimekua zikisaidia Tanzania, ambapo ameahidi 

Akamatwa Na Meno Ya Tembo Kilo 50 Yenye Thamani Ya Tsh Mil 120 Mkoani Katavi

$
0
0
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Nzuri Ndizu (44) Mkazi wa Kijiji cha Mbede Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amekamatwa akiwa na meno ya Tembo nane yenye uzito wa kilogramu 50 yakiwa na thamani ya shilingi milioni 120 ambapo ni sawa na Tembo wanne waliuwawa. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari aliwaambia waandishi wa Habari kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa mida ya saa

Serikali yatumia bilioni 459 kwenye mikopo ya wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2015/2016.

$
0
0
Serikali imetumia bilioni 459 kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu katika kipindi cha mwaka 2015/2016 ambapo jumla ya wanafunzi 122,486 wamenufaika. Hayo yamesemwa na Meneja wa Habari Elimu na Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Omega Ngole wakati wa mkutano na waandishi wa Habari leo Jijini Dar es salaam. “Walionufaika na mikopo katika kipindi cha 2015/

Wamiliki Wa Taasisi Za Fedha Watahadharishwa.

$
0
0
WAMILIKI wa Taasisi za Kifedha wanatakiwa kujiridhisha kama waajiliwa katika taasisi hizo kama wanahusika kwa njia moja ama nyingine katika uharifu unaohatarisha maisha ya wakazi wa jijini la Dar es Salaam. Hayo yamesemwa na  Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es

Serikali Yamzawadia Samatta Kiwanja Na Fedha

$
0
0
Mchezaji Mbwana Samatta aliyejishindia Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani nchini Nigeria amezawadiwa na serikali kiwanja kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na fedha taslimu ambazo kiasi chake hakijafahamika.  Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.Lukuvi anayeonekana katika picha  katika hafla iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyyat

Pato la Taifa laendelea kukua

$
0
0
Pato la Taifa katika kipindi cha Robo tatu ya mwaka 2015 limeendelea kukua kwa kasi ya asilimia 6.3 ikilinganishwa na kasi ya asilimia 5.4 katika kipindi cha mwaka 2014.   Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa alipokuwa akiongea na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam.   Dkt. Albina amesema kuwa kutokana na ongezeko hilo Serikali

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Januari 14

Nape Aitaka Chadema Imtimue Lowassa

$
0
0
CCM imemjibu mwanasheria Mkuu wa Chadema ikisema ili chama hicho kikuu cha upinzani kionekane kinapambana na ufisadi kwa vitendo, kinatakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli na kumvua uanachama Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho tawala, Nape Nnauye alisema Chadema iliachana na

Waziri Lukuvi Atoa siku 18 jengo la Ghorofa 16 Livunjwe D’salaam

$
0
0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 18 kwa uongozi wa Manispaa ya Ilala kuvunja jengo la ghorofa 16 lililopo katika Mtaa wa Indira Gandhi kabla halijaleta maafa. Akizungumza jana katika jengo hilo, Lukuvi alisema anashangaa hadi sasa kazi ya kuvunja jengo hilo haijaanza licha ya manispaa kuelekezwa kulivunja. Uamuzi wa Serikali  kulivunja ulikuja

Lowassa Amtembelea Sumaye Hospitalini.

$
0
0
Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amemtembelea Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Hosptitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa. Lowassa ambaye alifika hospitalini hapo jana saa 7:00 mchana akiwa na mke wake Regina, aliwapongeza viongozi wengine ambao wamekwisha kufika hospitalini

Utambulisho Wa Mwanamuziki Mpya Wa Studio Ya Muziki Ya “the Industry”

$
0
0
Uongozi wa Studio ya Muziki ya The Industry iliyoko chini ya Wanamuziki Producer Nahreel na Aika Marealle unapenda kuchukua Nafasi hii kuwatangazia Umma Kuwa kuanzia Tarehe 14 January 2016 Wamemuingiza Msanii mpya wa Kike aitwaye Rosa Ree, Rose Ree ni muimbaji wa Muziki aina ya Rap ambae kazi zake zitaanza kusikika/Kuonekana siku si nyingi kuanzia sasa katika Redio Mbali mbali na TV Stations

Maalim Seif Sharif Hamad Amwandikia Barua Papa Francis Kumwomba Aingilie Kati Mzozo wa Zazibar

$
0
0
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amemwangukia Papa Francis kwa kumwandikia barua, akimuomba kutumia ushawishi wake na Tanzania kumaliza mzozo wa kisiasa kisiwani humo kabla hali haijawa mbaya. Kwa mujibu wa barua yake ya Novemba 25, mwaka jana, Maalim Seif alimwomba Papa kutumia ushawishi alionao kwa serikali ya Tanzania ili kuhakikisha haki inatendeka na kuepusha

Lowassa Akutana na Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko Kutoka Soko la Kariakoo

$
0
0
Aliekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiliko kutoka soko kuu la Kariakoo, Jijini Dar es salaam waliomtembelea Ofisini kwake jana Januari 14, 2016. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Team Mabadiriko kutoka soko kuu la Kariakoo, Severin

Rais Dkt. Magufuli aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Januari 14, 2016. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa. Picha na IKULU.

Kesi ya Kafulila: Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Wakili wa Serikali

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora Chini ya Jaji Sam Rumanyika jana Januari 14, 2016 imetupilia mbali mapingamizi ya Wakili wa serikali yaliyowasilishwa na kujadiliwa Januari 11, 2015 katika mahakama hiyo.Katika mapingamizi ya serikali Wakili wa serikali kwa niaba ya msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria wa serikali aliweka mapingamizi na kutaka mahakama itupilie mbali kesi ya Kafulila David kwa

Agizo la Serikali la Kukamatwa Waliomuozesha Binti wa Miaka 13

$
0
0
(PRESS RELEASE). WIZARA YAAGIZA KUKAMATAWA KWA WALIOMWOZESHA MTOTO WA MIAKA 13 WILAYA YA KISHAPU, MKOA WA SHINYANGA WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa masikitiko makubwa na inataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wazazi wawili tofauti wanaotuhumiwa kuwaozesha watoto wao wa umri wa miaka 13 na kuwakatisha masomo katika mkoa wa Shinyanga na Dodoma.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya January 15

Lowassa Atangaza Kugombea Tena Urais Mwaka 2020

$
0
0
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana alitangaza  kwamba anajiandaa kugombea tena urais utakapofika uchaguzi mkuu ujao Oktoba 2020.  Lowassa alitangaza hayo mbele ya wafanyabiashara wa sokoni Kariakoo jijini Dar es Salaam wanaojiita Team Mabadiliko, waliokwenda kumtembelea ofisini kwake Mikocheni, Dar es Salaam. Lowassa alisema bado anazo nguvu na kumwezesha kugombea nafasi hiyo ya

Wizara ya Nishati Yalikana Gazeti la Mtanzania

$
0
0
WIZARA ya Nishati na Madini imeikanusha habari iliyotolewa kwenye gazeti la Mtanzania la tarehe 14 Januari 2016 kichwa chake cha habari kilichosomeka “HARUFU YA JIPU MRADI WA UMEME” aliyoandika mwandishi wa gazeti hilo Jonas. Habari hiyo ilieleza kuwa, mradi uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Mh Jakaya Mrisho Kikwete uligharimu shilingi Trilioni 1.6 na kwamba fedha za ujenzi

Serikali yatoa tamko kuhusu tiba asili na tiba mbadala

$
0
0
Ndugu Wananchi, Katika nchi yoyote ile uhuru usio na mipaka ni jambo la hatari; lakini pia hakuna haki isiyo na wajibu. Vivyo hivyo, katika huduma za Tiba Asili na Tiba Mbadala hapa nchini kuna Sheria, Kanuni na Taratibu za Maadili zinazoweka masharti, uhuru na mipaka; pia haki na wajibu wa kila mdau.    Huduma za tiba asili na tiba mbadala ni huduma zinazotambulika na Jamhuri yetu, watu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images