Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Januari 18


Serikali Yaipiga Faini Ya Bilioni 3 Benki Ya Stanibic Kwa Kuhusika Na Ufisadi wa Dola Milioni 600

0
0
Hatua Ambazo Zimechukuliwa Dhidi Ya Stanbic Bank Tanzania Limited Kuhusu Ushiriki Wake Kuwezesha Mkopo Wa Serikali Wa Dola Za Kimarekani Milioni 600 ____________________ Utangulizi Mwezi Julai 2013, Benki Kuu ya Tanzania kupitia ufuatiliaji wa kawaida wa shughuli za mabenki iligundua matatizo yaliyohusiana na hasara itokanayo na mikopo na pia kuacha na kuondolewa kazini kwa viongozi

Bavicha Wataka Chama Cha Mapinduzi Kifutiwe Usajili Kwa Kuwa Kimeonyesha Ubaguzi wa Rangi Zanzibar

0
0
Baraza la Viajana wa Chadema (Bavicha)  limemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini kutoa tamko kuhusu vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyooneshwa na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wa sherehe za maadhimisho ya Mapinzuzi ya Zanzibar. Akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mwenezi wa Bavicha, Edward Simbeye alisema kuwa kutokana na vitendo

Tanzia: Mwandishi wa 'Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe' afariki

0
0
Mwandishi maarufu wa tamthilia na kitabu cha ‘Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe’, Edwin Semzaba amefariki jana. Mbali na kuwa mwandishi maarufu, Semzaba alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Pia, alikuwa mwenyekiti wa Umoja Wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA). Semzaba ambaye kitabu chake cha Ngoswe, Penzi Kitovu cha Uzembe kilimpatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya

Matokeo Ya Kidato Cha Pili Yaingia Dosari......Wamiliki Wa Shule na Vyuo Wataka Mfumo wa GPA Ufutwe

0
0
WAMILIKI wa Shule na Vyuo Visivyo vya Serikali wameiomba Serikali kufuta mfumo wa GPA unaotumiwa na Baraza la Mitihani (Necta) kupanga madaraja ya mitihani ya sekondari, kwa maelezo kuwa haufai kwa kuwa unahalalisha watahiniwa waliofeli waonekane wamefaulu. Akizungumza jana Dar es Salaam kuhusu matokeo ya kidato cha pili ambayo yametangazwa na Necta hivi karibuni, Katibu Mkuu wa

Mwalimu Apigwa Risasi Kichwani Kwa Kosa La Kujisaidia Haja Ndogo

0
0
POLISI wilayani Igunga mkoani Tabora inamshikilia mfanyabiashara kwa tuhuma za kumjeruhi kwa bastola mwalimu wa Shule ya Msingi Saint Leo. Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Hamisi Selemani alisema tukio hilo ni la usiku wa Januari 15 mwaka huu katika baa ya Kibo iliyoko barabara ya Mwanzugi mjini Igunga. Mganga Mfawidhi wa hospitali

Waziri Mkuu Majaliwa Amwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa SADC Gaborone

0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Botswana, Bw. Tshenolo Mabeo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama uliopo Gaborone Januari 17, 2016. Majaliwa amemwakilisha Rais John Magufuli katika Mkutano wa SADC. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC,Dkt, Srergomena Tax mjini Gaborone

Tundu Lissu adai Dk. Slaa amepata majibu aliyouliza kuhusu Lowassa Kama ni Mzigo Au Mali

0
0
Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameeleza kuwa tayari majibu ya maswali yaliyoulizwa kuhusu Edward Lowassa kuwa mali au mzigo kwenye chama hicho yamejidhihirisha wazi. Swali hilo liliulizwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa aliyedai kuwa alishindwa kupata majibu kama ujio wa Lowassa kama anaingia kwenye chama hicho

Saed Kubenea kufufua Sakata La Escrow bungeni

0
0
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (CHADEMA) amesema anatarajia kufufua hoja ya kujadiliwa upya kwa ripoti ya fedha zilizokwapuliwa za Tegeta Escrow zaidi ya Sh bilioni 200. Akizungumza jana alisema sababu za kutaka mjadala huo kurejeshwa ni kutaka kujua iwapo fedha hizo ni za umma au ni mali ya Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Sababu nyingine aliyoitaja Kubenea ni kutaka

Dawa Mpya ya Ukimwi Kuleta Faraja kwa Wanandoa

0
0
Utafiti mpya wa ugonjwa wa Virusi vya Ukimwi (VVU), unatarajiwa kuleta faraja kwa wenzi, ambapo mmoja anaishi na virusi hivyo na mwingine akiwa hana. Faraja hiyo inahusisha kufanya tendo la ndoa bila kutumia kinga na hivyo kupata watoto bila kusababisha maambukizo yoyote mapya baada ya unywaji wa dawa. Ugunduzi wa dawa hiyo mseto ya kimiminika ijulikanayo kama PrEP, tayari imetumiwa na

OFFER: Markson Product Wanakuletea Dawa ya Kupunguza Tumbo,Nguvu za Kiume,Kuondoa Mipasuko Mwilini na Kupunguza Unene

0
0
Je, unapenda kuwa na shepu nzuri na muonekano wa kuvutia?  Dawa zetu  zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.    TUNAZO ZA:-1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/=3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/=4.Kupunguza unene na manyama uzembe@100,000/= 5.Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa  (a)Gely

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) afariki dunia

0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea. Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu,na baadae ikaelezwa kuwa amekwishafariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo. Marehemu alipata kuwa Katibu mkuu wa Simba

Mhariri wa Gazeti la Mawio Azungumzia Kufutwa kwa gazeti lake

0
0
Siku moja baada serikali kutangaza uamuzi wa kulifungia maisha gazeti la Mawio, Mhariri Mkuu wa gazeti hilo ambaye pia ni Mkurugenzi wa kampuni ya Victoria Media inayolimiliki gazeti hilo, Simon Mkina ameeleza jinsi walivyopokea taarifa hizo. Mkina amesema kuwa ingawa wamekuwa wakisikia habari za kufutwa kwa gazeti lao kweye vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii, bado hawajapata

Breaking News: Hali si Shwari Dar es Salaam....Wananchi Waliovunjiwa Nyumba Zao Wafunga Barabara Kwa Mawe na Kuchoma Moto Matairi

0
0
Jeshi la Polisi Jumatatu hii limezima ghasia za wananchi wenye hasira maeneo ya Kinondoni Mkwajuni jijini Dar es Salaam baada ya kupinga zoezi la bomoa bomoa kwa mara ya pili kufuatia kukataa kuondoka katika eneo hilo kwa madai hawana pa kwenda.Akizungumza na mtandao huu Jumatatu hii mmoja kati ya waathirika wa bomoa bomoa hiyo, Bi Fatuma Said, amesema wanashindwa kuondoka katika eneo hilo

Majipu Yazidi Kutumbuliwa...... Waziri Simbachawene Awasimamisha Kazi Wakurugenzi Kigoma na Mpanda

0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) amewasimamisha kazi Wakurugenzi Watendaji wa Manispaa za Kigoma, Mkoa wa Kigoma na Manispaa ya Mpanda, Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kuridhia na kutekeleza maamuzi ambayo yamesababishia Serikali hasara na upotevu wa fedha.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Mhandisi Boniface Nyambele

Wahariri Wa Gazeti La Mawio Wajisalimisha Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi Jijini Dar Es Salaam Leo.

0
0
Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Wahariri wa gazeti la Mawio wakizungumza  leo

Lowassa Awapongeza Walioshinda Umeya Manispaa Za Ilala Na Kinondoni Leo

0
0
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Mwenge jijini Dar es salaam leo, wakati wa alipowapongeza Wastahiki Meya wa Manispaa za Ilala na Kinondoni. Kulia ni Meya wa Manispaa ya Kinondini, Boniface Jacob na Kushoto ni Meya wa Manispaa

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Januari 19

Wabunge Wa CCM Wakutana Dodoma

0
0
Wabunge wa CCM wakimsikiliza Mbunge wa Kibakwi Mhe. Boniface Simbachawene wakati akifafanua mambo mbali mbali kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Isimani Mhe. William Lukuvi akichangia hoja kwenye semina ya wabunge wa CCM. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (katikati) ambaye ndie mwenyekiti wa kikao maalum chenye kutoa semina elekezi

Ahukumiwa Miaka 30 Kwa Jaribio La Kumbaka Mpenzi Wake

0
0
MAHAKAMA ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu mkazi wa Mtaa wa Mpanda Hoteli, Manispaa ya Mpanda, Frank Jonas (27) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutaka kumbaka binti wa miaka 17 . Hukumu hiyo ilitolewa Ijumaa iliyopita na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Chiganga Ntengwa.  Baada ya hukumu hiyo, baadhi ya watu walioshuhudia hukumu hiyo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images