Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

January Makamba Atembelea Na Kujionea Athari Za BomoaBomoa Dar........Aagiza Serikali Za Mitaa Kufanya Tathmini Ili Kubaini Familia Zinazohitaji Msaada wa Kibinadamu

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, jana alitembelea maeneo ya  mabondeni  yaliyokumbwa na Bomoabomoa ili kujionea hali halisi ya wananchi ilivyo. Akizungumza mara baada ya ziara yake , January alisema  kila utaratibu lazima ukumbwe na changamoto, hivyo ,safari hii, kabla ya nyumba kubomolewa, lazima kila moja ifanyiwe tathmini kwanza. “

Msako Wahamiaji Haramu Wanaofanya kazi Nchini bila Kufuata sheria za Nchi Kuhamia kwa Mahausigeli

$
0
0
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imesema operesheni kwa lengo la kuwachukulia hatua raia wa nje wanaofanya kazi nchini bila kufuata sheria za nchi, ni endelevu na itagusa maeneo yote ikiwemo wafanyakazi wa majumbani. Msemaji wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga, jana alisema hawakukurupuka kuendesha operesheni hiyo, bali hakuna mgeni anayeruhusiwa kufanya kazi nchini bila vibali.

Mtu Mmoja Afariki Dunia na Wengine 4 Wamejeruhiwa katika ajali ya basi La Mohammed Trans Iliyotokea Mlima Sekenke Singida

$
0
0
BASI la kampuni ya Mohammed Trans aina ya scania T.858.AWY lililokuwa likitokea jijini Mwanza likielekea jijini Dar-es-salaam,juzi lilipata ajali na kusababisha kifo cha utingo wake na kujeruhi vibaya abiria wanne. Utingo huyo aliyefia hospitali ya wilaya ya Iramba akipatiwa matibabu,ni Abdallah Athuman (35) mkazi wa Shinyanga mjini. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake

Maalim Seif Sharif Hamad Kupasua JIPU Leo Saa Tano Asubuhi

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif  Hamad, leo  anatarajia kufichua siri ya mazungumzo ya kusaka suluhu, baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kufutwa mwaka jana. Maalim Seif,  anatarajia kuzungumza na waandishi wa habari  leo saa tano asubuhi kueleza hatima ya mazungumzo ya kisiasa ya kutafuta mwafaka Zanzibar “Maalim Seif kesho (leo), atazungumza na

Nikipata mwanamke atakayeweza kuziba nafasi ya Shilole ndio nitafuta tattoo zake – Nuh Mziwanda

$
0
0
Ingawa Shilole tayari amefunika tattoo aliyochora kifuani yenye jina la ex wake Nuh, kwa kuongeza mchoro wa ua juu yake baada ya wawili hao kuachana, Nuh Mziwanda amesema yeye bado hajaamua kufuta tattoo zake. Nuh ambaye alichora tattoo mbili, moja ikiwa na jina la Shishi Baby na nyingine ikiwa na sura ya Shishi amesema kuwa endapo atapata mwanamke wa kuziba pengo la Shishi ndio atafuta

AZAKI Yajitosa Mgogoro wa Zanzibar...Yataka Sherehe Za Mapinduzi Zitumike Kueleza Hatma Ya Kisiasa Zanzibar

$
0
0
 TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 10/1/2016 ________________________________________ Sisi wana Asasi za Kiraia nchini - AZAKI, tulikutana tarehe 17 Novemba 2015, ambapo ni zaidi ya wiki tatu baada ya uchaguzi mkuu kumalizika na kutathimini mwenendo wa uchaguzi mkuu na hali ya kisisasa visiwani Zanzibar.  Baada ya tathmini yetu ya kina

Spika wa Bunge Kutangaza Kamati Za Bunge Leo

$
0
0
Spika wa Bunge, Job Ndugai, anatarajia kutangaza kamati za Bunge leo chini ya utaratibu mpya na kwamba leo atatangaza Kamati ya Kanuni pekee. Baada ya kuitangaza kamati hiyo, nyingine zilizobaki atazitangazia mjini Dodoma wakati vikao vya Bunge vitakapokuwa vikiendelea mwishoni mwa mwezi huu. Utaratibu huo umebainishwa na Ndugai jana alipoulizwa  iwapo Kamati za Bunge zitatangazwa

Wanawake Wavaa VIMINI Wacharazwa Bakora Hadharani Wilayani Sengerema, Mwanza

$
0
0
Viongozi wa Kitongoji cha Kasalazi, kilichoko katika Kijiji cha Kanyara, Kata ya Bulyaheke, wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wanadaiwa kuwachapa fimbo hadharani wanawake wanaovaa nguo fupi zinazoonyesha baadhi ya sehemu zao za siri. Pia, viongozi hao wanadaiwa kuwatoza faini ya Sh 20, 000 wanawake wanaokutwa na nguo hizo kama njia ya kuwafanya wasiendelee kuvaa nguo hizo. Mmoja wa

Serikali Kugawa BURE Mbegu za Mazao Yanayohimili Ukame kwa Wananchi Wanao kabiliwa na Njaa

$
0
0
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imeanza mkakati wa menejimenti ya maafa ya ukame kwa kuwawezesha wananchi wanao kabiliwa na njaa kuweza kukabili maafa hayo kwa kuwagawia wananchi hao mbegu bure za mazao yanayohimili ukame katika halmashauri husika. Kufuatia hali ya ukame ambao umezikumba baadhi ya halimashauri hapa nchini katika msimu wa 2014/2015, baadhi ya

Elimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule Binafsi Serikali Imeamua Kujipa Muda wa Kutathmini

$
0
0
Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila shule. Aidha, Prof. Ndalichako amewataka wamiliki wa shule binafsi kujitathmini. Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo

Kesi Ya Hynes Kiwia ( Chadema ) Kupinga Matokeo Ya Ubunge Jimbo La Ilemela Jijini Mwanza Yafutwa

$
0
0
Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo imefuta rasmi kesi ya madai ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mbunge jimbo la Ilemela.   Kesi hiyo imefutwa kutokana na ombi maalumu la mleta shitaka Hynes Kiwia kutaka kupunguziwa gharama za kuendesha keshi hiyo jambo ambalo lilishindikana kutokana na ombi hilo  kutokidhi vigezo Katika shauri hilo lililofunguliwa mwaka jana Hyness Kiwia aliyekuwa

Wizara ya Afya yatoa Taarifa ya Ugonjwa wa Kipindupindu Nchini.

$
0
0
 Na Skolastika Tweneshe-Maelezo Jiji la Dar es salaam limeripotiwa kutokuwa na mgonjwa yoyote wa kipindupindu  kuanzia Desemba mwaka jana. Akizungumza leo na waandishi wa habari  jijini Dar es salaam  Naibu waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto Mh. Dkt Hamisi  Kigwangalla amesema kuwa licha ya ugonjwa wa kipindupindu kuanzia jijini Dar es salaam na kudumu kwa miezi minne

Tanzia: Leticia Nyerere Afariki Dunia

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya Doctors Community iliyopo Lan ham, Maryland jana saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.. Leticia aliolewa kisha kutengana na mtoto wa Hayati Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere mwaka 1996, ambapo walifanikiwa kupata watoto watatu. Leticia alikuwa

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Mbwana Samatta Dar na Kumpongeza kwa Kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametembelewa ofisini kwake na mwanasoka bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samata leo asubuhi  na kufanya nae mazungumzo ikiwa ni sehemu ya kumpongeza kwa mafanikio hayo makubwa ambayo Mbwana ameyapata na heshima kubwa aliyoiletea Taifa kwa ujumla. Baada ya mazungumzo hayo

Maalim Seif Sharif Hamad Aongea Na Waandishi wa Habari.....Asema CUF Haiko Tayari Kurudia Uchaguzi Zanzibar

$
0
0
Hatimaye, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ametoa msimamo wake na chama chake kufuatia mazungumzo ya siri ya kutafuta suluhu ya mkwamo wa kisiasa unaotokana na tangazo la kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar. Akizungumza leo na waandishi wa habari katika hotel ya kitalii ya Serena jijini Dar es Salaam, Maalim Seif amesisitiza kuwa hoja ya kurudia uchaguzi wa

Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Aliyelazwa Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Januari 11,2015

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika Taasisi ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam. Mheshimiwa Frederick Sumaye alilazwa katika Taasisi hiyo siku nne

Rais Magufuli Amtembelea Na Kumfariji Mama Maria Nyerere Kufuatia Kufiwa na Mkwewe Bi Leticia Nyerere

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2016 amemtembelea na kumpa pole mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kufuatia kifo cha Mkwewe Leticia Nyerere kilichotokea jana huko Maryland Marekani alikopelekwa kwa ajili ya kupata matibabu mapema mwezi huu. Pamoja na kutoa mkono wa pole kwa Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani Jijini

TANESCO Watakiwa Kufanya Kazi na Wazalishaji Wadogo

$
0
0
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo ameanza ziara yake Mkoa wa Njombe kwa kutembelea Mradi wa Kufua Umeme kwa kutumia mabaki ya miti ya Miwati (TANWAT.) Baada ya kukagua mradi huo, Prof Muhongo ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kufanya majadiliano na TANWAT ili waongeze uzalishaji kutoka Megawati 2.5 za umeme hadi kufikia Megawati 10. Aidha, ameagiza TANESCO

Mbwana Samatta Akutana na Mufti Mkuu Sheikh Zuberi

$
0
0
Jana tarehe 11 January 2016, Mwanasoka Bora Afrika Ndg. Mbwana Samatta alimtembelea Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika ofisi kuu za Bakwata zilizopo Kinondoni Jijini Dar Es Salaam. Mufti Mkuu mbali na kumpatia zawadi mbalimbali kwa ajili ya kumsaidia katika imani yake pia alipata nafasi ya kumuombea dua ya mafanikio zaidi huko aendako Ulaya na kumpa nasaha asisahau

Serikali Kutoa Bei Ekezi Uuzaji Ardhi Ili Kuwawezesha Wananchi Wasio Na Uwezo Kiuchumi

$
0
0
SERIKALI inatarajia kutoa bei elekezi ya uuzaji wa ardhi, tofauti na hali ya sasa ambayo viwanja vimekuwa vikiuzwa kwa bei ya juu na kufanya watu wasio na uwezo kiuchumi kushindwa kumiliki na kujenga nyumba. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Wiliam Lukuvi alisema jana kwamba serikali inaandaa utaratibu wa kutoa bei hiyo elekezi, itakayohusu watu wote. Alitoa taarifa hiyo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images