Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Serikali Yatoa Picha Rasmi ya Rais wa Awamu ya Tano, Dkt John Pombe Magufuli

$
0
0
Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli itaanza kuuzwa Januari 08, 2015, katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) Mtaa wa Samora. Kila nakala ya picha hiyo itauzwa shilingi Elfu Kumi na Tano tu bila fremu.  Picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere itauzwa shilingi Elfu Tano tu.  Aidha, Picha hizo zitauzwa katika Ofisi za

Mtuhumiwa namba Moja Kesi Ya Mauaji ya Dk. Mvungi Afariki

$
0
0
Mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Dk. Sengondo Mvungi ameripotiwa kufariki akiwa gerezani, siku chache kabla ya kesi kusikilizwa. Taarifa ya kifo cha mshtakiwa huyo aliyetajwa kwa jina la Chibago Chiuguta mwenye umri wa miaka 33, zilitolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kueleza kuwa mshitakiwa huyo alikutwa akiwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya Januari 9

Sikuuu Za Kitaifa- 2016

Waziri Kitwanga: Hatua Kali Kuchukuliwa Kwa Yeyote Atakaye Kaidi Kulipisha Gari La Zimamoto Wakati Linaenda Katika Tukio

$
0
0
Katika kuhakikisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linafanya kazi kwa ufanisi mkubwa katika kupambana na majanga, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga ameliagiza jeshi hilo kumchukulia hatua kali za kisheria mtu yeyote atakayekaidi kulipisha gari la Zimamoto na Uokoaji pindi linapokuwa linawahi  eneo la tukio ili kuweza kuzima moto na kuokoa maisha ya watu  pamoja na mali zao.

Askofu Pengo Kutoka Hospitali Leo

$
0
0
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema afya ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo imeimarika na leo ataruhusiwa. Kardinali Pengo alifikishwa katika hospitali hiyo Desemba 31, mwaka jana kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

Kesi ya Mtanzania ( Rashidi Mberesero) Anayetuhumiwa Kwa Ugaidi Kenya Yaanza Kusikilizwa

$
0
0
Shahidi katika kesi ya shambulio la kigaidi lililofanyika mwaka jana katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya ameiambia mahakama kuwa Mtanzania Rashidi Mberesero anayetuhumiwa kushiriki, alikuwa akiswali katika msikiti ulio karibu na chuo hicho kwa siku tatu mfululizo. Kolombo Adao ambaye ni imamu wa Msikiti wa Garissa alidai mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mlimani, Daniel Ogembo kuwa

Wasiopeleka Watoto Shule Kuburuzwa k=Kortini Machi 30

$
0
0
SERIKALI imesema haitosita kuwafungulia mashtaka na kuwapeleka mahakamani ifikapo Machi 30, mwaka huu, wazazi ama walezi wote watakaoshindwa kupeleka watoto wao shuleni ili kupata elimu ya msingi na sekondari. Aidha, imepiga marufuku kwa jamii kutumia jina la ‘watoto wa majumbani’, badala yake waitwe wasaidizi hao ‘wasichana wa kazi’ au ‘vijana wa kazi’. Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya,

BomoaBomoa Yaipasua Kichwa Serikali.......Mwanasheria Wa Nemc Aliyehalalisha Jumba La Mchungaji Rwakatare Afukuzwa Kazi

$
0
0
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU ZOEZI LA KUHAMISHA WAKAZI WA MABONDENI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Utangulizi Nchi yetu ina kingo za mito na mabonde na maeneo mengi hatarishi ambamo watu wanaishi kinyume cha sheria, huku wakiharibu mazingira na kuhatarisha maisha yao.  Kutokana na uhaba wa makazi, hali ni mbaya zaidi katika mabonde ya Jiji la Dar es Salaam, hasa bonde la Mto Msimbazi.  

Watu 79 Watiwa Mbaroni Kwa Kuishi Nchini Bila Vibali na Kufanya Kazi Zinazoweza Kufanywa Na Watanzania

$
0
0
WATU 79 wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji nchini kwa kosa la kuishi nchini bila vibali na kufanya kazi wasizo na taaluma nazo.  Naibu Kamishna wa Uhamiaji Dar es Salaam, John Msumule jana alisema watuhumiwa hao wanatoka katika nchi 15. Nchi hizo na idadi ya wahamiaji haramu ni Nigeria (4), China (20), Ethiopia (23), Korea (9), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo-DRC (6), Somalia (3),Uganda

X-MASS OFFER: Markson Product Wanakuletea Dawa ya Kupunguza Tumbo,Nguvu za Kiume,Kuondoa Mipasuko Mwilini na Kupunguza Unene

$
0
0
Je, unapenda kuwa na shepu nzuri na muonekano wa kuvutia?  Dawa zetu  zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.    TUNAZO ZA:-1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/=3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/=4.Kupunguza unene na manyama uzembe@100,000/= 5.Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa  (a)Gely

Madereva wa Mabasi Ya 'Mwendo Kasi' wapanga kuigomea serikali

$
0
0
Madereva wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam wamesema watagoma kuendesha magari hayo kufuatia uongozi wa mabasi hayo kuwapa mkataba wa kazi usiokidhi mahitaji. Baadhi ya mahitaji hayo ni mshahara mdogo wa shilingi laki 4 kwa mwezi tofauti na makubaliano ya awali ya shilingi laki 8. Wakiongea na Eatv leo, madereva hao wamesema pia wameshangazwa na kitendo cha uongozi wa

Tundu Lissu Atofautisha Tuhuma za Ufisadi za Lowassa na Profesa Muhongo

$
0
0
Mwanasheria mkuu wa Chadema ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ametofautisha kilichomkuta Edward Lowassa kwenye sakata la Richmond na kilichomkuta Profesa Sospeter Muhongo kwenye sakata la Escrow bungeni. Akiongea katika kipindi cha Mada moto cha Channel Ten, Lissu alieleza kuwa kwa kutumia ripoti za kamati za bunge zilizomhukumu Lowassa mwaka 2008 na ripoti za kamati

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili ya Tarehe 10

Muswada wa Habari Kurejeshwa Tena Bungeni

$
0
0
MUSWADA wa Sheria ya Habari ambao uliwahi kupelekwa bungeni kisha kuondolewa kimya kimya, sasa unatarajiwa kurejeshwa tena bungeni mwezi huu.  Uwezekano wa kurejeshwa tena bungeni kwa muswada huo, kunatokana na kuundwa kwa kamati ya wanahabari sita, itakayoshirikiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (pichani) kupitia muswada huo kabla ya haujawasilishwa

EWURA Yasema Nchi Inaakiba Ya Kutosha Ya Mafuta

$
0
0
SERIKALI imewatoa hofu Watanzania kuhusu uwepo wa mafuta ya kutosha nchini baada ya kuamriwa kurudishwa kwa meli iliyokuwa imebeba shehena ya mafuta yenye kiwango kisichofaa. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi, alisema kuna akiba ya kutosha na hivyo watanzania wasiwe na

Wakazi wa Chamwino Dodoma Wala Viwavi Jeshi Kuikabili Njaa

$
0
0
Wakazi wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wanakula wadudu jamii ya viwavi jeshi, wanaojulikana kwa jina la fumbili kutokana na njaa kali iliyoikumba wilaya hiyo. Hata hivyo, chakula hicho huenda kikapotea wakati wowote kutokana na mvua kutonyesha hivyo wadudu hao, ambao huishi kwa kutegemea majani, nao kupotea kwa kukosa chakula. Mbali na fumbili, chakula kingine ambacho kilikuwa mkombozi

Wafanyakazi 360 wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote Wakamatwa Kwa Kufanyakazi Nchini Bila Kibali

$
0
0
Wafanyakazi zaidi ya 360 wa kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara, wamekamatwa kwa kufanya kazi nchini bila kuwa na vibali vya Uhamiaji. Kamatakamata hiyo imekuja baada ya agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga la kuwakamata wahamiaji haramu na wageni wanaofanya kazi bila vibali. Jana, ofisi ya Uhamiaji ya mkoa ilifanya operesheni katika kiwanda hicho, lakini

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatu ya Januari 11

Askofu Kanisa La Anglikana Atimuliwa kwa Ufisadi wa Mamilioni ya Pesa

$
0
0
KANISA la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN) lililopo jijini Mwanza, limemtimua rasmi Askofu kanisa hilo, Boniface Kwangu, kutokana na ubadhilifu wa zaidi ya Sh. 600 milioni.    Askofu huyo ni wa pili kutimuliwa na uongozi wa kanisa hilo baada ya mwaka 2007 aliyekuwa Askofu wa dayosisi hiyo, John Changae na yeye kufukuzwa kutokana na matumizi mabaya ya madaraka kitendo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images