Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya pwani waliojikuta wametoa mali halali na kupewa fedha bandia.
Baadhi ya wamiliki wa Maduka na watoa huduma za simu pesa wilayani Kibaha mkoani Pwani wamepata hasara kubwa baada ya kusambaa kwa noti bandia za shilingi
Noti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas
↧
↧
CCM Kuwashitaki Wakuu wa Shule 15 Kwa Ubadhirifu wa Fedha
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.
Akizungumza jana jijini Dar es SaIaam, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Abdallah Bulembo alisema zaidi ya shule 26 walizozifanyia ukaguzi, 15 zimekutwa zikiwa na upungufu na kubwa ikiwa ni pamoja na ubadhirifu wa fedha.
“Katika
↧
Mbunge wa Kinondoni Mhe. Maulid Mtulya Awasilisha Pingamizi Mahakamani kuhusu Zoezi la Bomoabomoa Katika Jimbo Lake
Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia amewasilisha mahakamani shauri la kupinga zoezi la ‘bomoabomoa’ linaloendelea jijini Dar es Salaam.
Shauri hilo lenye uwakilishi wa wananchi nane linatarajiwa kusikilizwa katika mahakama Kuu kitengo cha Ardhi, leo (Januari 4).
Kwa mujibu wa Mtulia, Shauri hilo lilifunguliwa mahakamani hapo Desemba 22 na kupata faili rasmi Desemba 28 mwaka
↧
Basi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa
Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam
- Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar.
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea
maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.
↧
Waziri Mkuu Afurahishwa na Hali ya Chakula Mkoani Ruvuma
TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI
WAZIRI MKUU
AFURAHISHWA NA HALI YA CHAKULA MKOANI RUVUMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa
amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa
inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini.
Akizungumza na viongozi wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali jana jioni (Jumapili, Januari 3, 2016)
katika ukumbi uliopo Ikulu ndogo
↧
↧
BAKWATA Yaitaka TRA Isipendelee Taasisi za Dini....Yadai Kanisa Katoliki Linaongoza Kusamehewa Lakini Halijalimwa Barua Yoyote
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) pamoja na taasisi zake limeiomba Serikali kutoa ufafanuzi masuala ya misamaha ya kodi kwa taasisi za dini ili kuondoa changamoto zinazoweza kusababisha upendeleo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana, mwenyekiti wa Taasisi ya Kiislam ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis alisema kama utaratibu wa kudai taarifa za matumizi ya
↧
Saed Kubenea Akana Tuhuma Dhidi Yake.....Asimulia Jinsi Alivyosoma, Akana Kuiba Laptop ya Prof. Lipumba
==> Hili ni Tamko La Saed Kubenea(mbunge wa ubungo) kupangua Tuhuma Mbalimbali zilizoelekezwa kwake
NIMESOMA andishi la anayejiita Seif Rashid, lililochapishwa kwenye mitandao kadhaa ya kijamii, pamoja na baadhi ya magazeti.
Andishi limejielekeza katika kunijadili binafsi: Jinsi nilivyofanikiwa kuwa mbunge wa jimbo la Ubungo, kuwa mmiliki wa kampuni ya Hali Halisi Publishers
↧
Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji
Jeshi la polisi mkoani mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS Kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata aliyekuwa akiishinaye nyumbani kwake
Askali huyo alimpiga kijana donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benk na kitambulisho cha kazi havipo.
↧
Tamko La Mhe. Dr. Hamisi A. Kigwangalla (mb) Naibu Waziri Wa Afya, Kuhusu Mwenendo Wa Ugonjwa Wa Kipindupindu Nchini
Ndugu Waandishi wa Habari,
Ninapenda kutoa taarifa kwa umma, kuhusu mwenendo wa ugonjwa wa kipindupindu ulioanza tarehe 15 Agosti, 2015 katika mkoa wa Dar es Salaam na kusambaa kwa kasi katika Mikoa mingine 21 ya Tanzania Bara ambayo ni Pwani, Morogoro, Iringa, Kilimanjaro, Dodoma, Kigoma, Geita, Mara, Manyara, Arusha, Shinyanga, Tabora, Singida, Tanga, Lindi, Rukwa, Kagera, Katavi,
↧
↧
PICHA: Rais Magufuli Akutana Na Abdallah Bulembo ,Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),DPP na Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini
↧
Yaliyojiri Leo Ikulu Baada Ya Rais Magufuli Kukutana na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),DPP na Mufti Mkuu wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wanne Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na kutakiana heri ya Mwaka Mpya, wamezungumzia mambo mbalimbali kuhusu mustakabali wa Serikali ya awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumzia yaliyojiri katika Mazungumzo hayo, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
↧
CCM Yalaani Vijana 1500 Kujitangaza Mashoga Mkoani Iringa
Picha ya Maktaba
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kimewataka vijana waliopo wilayani humo kuacha kujihusisha na masuala ya ushoga.
Akizungumza na waandishi wa habari jana,Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi,Jimson Mhagama alisema hatua ya vijana kuingia katika ushoga ni sawa na kulidhalilisha taifa.
Kauli ya Mhagama imekuja mara baada ya kuwepo kwa taarifa za vijana
↧
Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja. Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Davidi Misime amesema majira ya saa tatu usiku Jumapili, wananchi wa Kibaigwa walitoa taarifa jeshi la polisi kwa madai kwamba kuna gari limesombwa na maji na limetumbukia katika mkondo wa maji.Amesema baada ya jeshi kupata taarifa
↧
↧
Breaking News: Naibu Waziri -Tamisemi Suleiman Jaffo Amsimamisha Kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora, Suleiman Jaffo, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauli ya Manispaa ya Ilemela, John Wanga kutokana matumizi mabaya ya madaraka.
Waziri Jaffo amefikia hatua hiyo baada ya kubaini kuwepo kwa ufujaji wa fedha za ujenzi wa uzio wa halmashauli hiyo uliogharimu Sh. 347 milioni pamoja na kukaidi kuhamia kwenye nyumba ya
↧
Mwigulu Nchema Atumbua Majipu Mengine.......Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ranchi za Taifa Pamoja Na Wakurugenzi wa Bodi ya NARCO
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba jana alifanya ziara ya siku moja kukagua mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya ranchi ya Taifa ya Ruvu.
Akiongea na waandishi wa habari baada ya ziara hiyo, Waziri Nchemba alisema ujenzi wa ranchi hii ya Taifa ya Ruvu ulianza mwaka 2010 lakini hadi sasa haujakamilika kutokana na uzembe na kukosa uzalendo kwa baadhi ya watumishi
↧
Serikali Yanunua Mashine Mpya Ya CT-Scan Katika Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Yenye Uwezo Wa Hali Ya Juu
Na Magreth Kina-Maelezo
Serikali imenunua mashine mpya ya CT-Scan yenye thamani ya takriban dola za Marekani milioni 1.7 yenye uwezo wa hali ya juu kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili(MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam.
Ununuzi wa mashine hiyo, umefanyika kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Januari 5
↧
↧
Makamu Wa Rais Mama Samia Nae Ameanza Kazi Rasmi ......Jana Kaanza na haya Baada ya Kutua Geita.
Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan jana jioni aliwasili mkoani Geita na akakutana na uongozi wa mkoa huo ambapo alisisitiza suala la wananchi kunufaika na mgodi wao wa dhahabu wa Geita Gold Mine.…
"Wakati nilipopita kwenye kampeni nilipita kwenye mgodi wa Geita Gold Mine nikaangalia hali ya watu wa Geita nikawa na majonzi makubwa…sikuridhika kuwa na mgodi mkubwa kama
↧
Waziri Mkuu Awaonya Wanyonyaji wa Wakulima....Aziagiza Halmashauri Kujenga Vituo vya Ununuzi Vijijini Badala ya Kuendelea Kutumia Mawakala
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kanda ya Songea, wakati akiendelea na ziara yake mkoani Ruvuma.
Akizungumza na wafanyakazi wa Wakala hiyo, wadau wa kilimo pamoja na wananchi jana, (Jumatatu, Januari 4, 2016) nje ya majengo ya Wakala mara baada ya kukagua mahindi yaliyohifadhiwa katika maghala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya
↧
Pam D Ft Mesen Selekta – Popo lipopo (Official Video)
Pam D Ft Mesen Selekta – Popo lipopo (Official Video)
↧
More Pages to Explore .....