Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wahispania Wagundua Tiba ya UKMWI

$
0
0
Wakati dunia ikiwa na zaidi ya watu 34 milioni wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), madaktari nchini Hispania wametangaza kugundua tiba ya ugonjwa huo wanayodai ni uhakika. Kwa kutumia damu ya kupandikiza kutoka kwenye kitovu mwana (umbilical cord) cha mtu ambaye ana vinasaba ambavyo havipokei virusi hivyo vya Ukimwi, wataalamu hao wa tiba wa Hispania wanaamini kuwa wanaweza kutibu ugonjwa

Wananchi Watumia Mabango Kufikisha Ujumbe Kwa Rais Magufuli

$
0
0
Wakati muda wa `mapumziko’ ya bomoabomoa ukimalizika leo huku jaribio la kupata zuio la muda likiwa limewekwa kiporo, wakazi wa Jangwani ambako nyumba zitaanza kubomolewa leo, jana waliweka mabango barabarani yanayotuma ujumbe wa aina mbalimbali kwa Rais John Magufuli. Bomoabomoa hiyo ilianza Desemba mwaka jana likilenga nyumba zilizojengwa kwenye Bonde la Mto Msimbazi, lakini

Mugabe Atumia Maneno Makali Kumjibu Mgombea Urais Wa Marekani Aliyedai Atamkamata na Kumfunga Jela

$
0
0
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameamua kumjibu mgombea urais wa Marekani, Donald Trump ambaye hivi karibuni alidai kuwa akiingia madarakani atahakikisha anawakamata na kuwafunga yeye na rais mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni. Mugabe alitumia hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maendeleo iliyofanyika jijini Harare juzi (Januari 3) kumjibu Trump. Alisema kuwa Trump ana damu ya Hitler.

Taarifa Muhimu Kwa Umma Kutoka TAMISEMI

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali  namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu

Magufuli afuta hati ya hekta 1,870 Kapunga

$
0
0
Rais John Magufuli amemaliza mgogoro wa ardhi baina ya wananchi wa Kapunga na mwekezaji wa Kapunga Rice Project Limited na sasa hekta 1,780 zitakuwa mali ya wananchi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alitangaza jana katika mkutano wa hadhara ambao licha ya mvua kubwa, wananchi walimsikiliza kwa makini na kushangilia baada ya kupokea taarifa hiyo. Kijiji cha

Mahakama ya Mafisadi na Wahujumu Uchumi Inafanyiwa Kazi- Mwakyembe

$
0
0
WAZIRI wa Katiba na Sheria,Dk.Harrison Mwakyembe amesema kuwa suala la kuanzisha mahakama ya mafisadi na wahujumu uchumi wanafanyia kazi na muda sio mrefu watatoa taarifa juu ya hatua walizofikia.  Dk.Mwakyembe ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP),amesema kuwa suala mahakama linafanyiwa kazi kwa karibu na ofisi yake kutokana na ahadi ya

Serikali yatoa siku 14 kwa mgodi wa Buckreef kuanza uzalishaji

$
0
0
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ametoa siku 14 kwa mgodi wa dhahabu wa Buckreef kuanza uzalishaji ama sivyo  wataandikiwa hati ya makosa na Afisa Madini Mkazi katika mkoa wa Geita. Naibu Waziri alitoa agizo hilo baada  ya kufika katika mgodi huo uliopo katika kata ya Lwamgasa mkoani Geita na kuona hakuna shughuli zozote za uzalishaji zinazoendelea. “Najua kuwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Januari 6


Waziri Mkuu Atembelea Kiwanda Cha Tumbaku Mkoani Ruvuma Na Kuwasimamisha Kazi Viongozi Wa Chama Cha Ushirika Cha SONAMCU.

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea kiwanda cha kusindika  tumbaku  cha mkoani Ruvuma na kuwasimamisha kazi viongozi wa Chama Cha Kikuu Cha Ushirika cha SONAMCU.   Akizungumza  jana jioni(Jumanne, Januari 5, 2016), katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Ndogo ya Songea, wakati alipokutana na wakulima wa zao la tumbaku wa Wilaya ya Namtumbo, Wananchama wa

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Azungumzia Sakata La Misaada Ya Mbunge Wa CHADEMA Kukataliwa Hospitalini

$
0
0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema misaada inayotolewa na watu mbalimbali kwa ajili ya kusaidia jamii ni lazima iwe imekidhi viwango vya ubora, hivyo haitakiwi kuangaliwa kwa vigezo vya dini, itikadi wala siasa. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisi kwake baada

Naibu Waziri wa Ajira Afuta Kibali cha Kazi cha Raia Wa Kigeni....... Aviadhibu Viwanda vya Lodhia na Sunflag kwa Kukiuka Taratibu za Kazi

$
0
0
NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha). Mavunde alitoa adhabu hiyo jana jijini hapa wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye viwanda hivyo huku akiongozana na wakuu wa idara

Kusudio La Kuchukua Hatua Dhidi Ya Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Yanayojiendesha Kinyume Cha Sheria

$
0
0
Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali anakusudia kuyachukulia hatua Mashirika yanayoendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kulipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamisi Kigwangala Akerwa na Kitendo cha Hospitali Binafsi Kumfanyia Vipimo vya Ziada Mgonjwa......Asema ni Matumizi Mabaya Ya Pesa

$
0
0
Serikali imepiga marufuku tabia ya baadhi ya hospitali au taasisi binafsi za afya kuwapima wagonjwa wanaotoka hospitali za Serikali vipimo ambavyo hawakuagizwa kuvipima na madaktari kutoka hospitali hizo kwani kufanya hivyo ni kuiongezea Serikali gharama  zisizo la lazima. Tamko hilo limetolewa na Naibu  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi  Kigwangala

Zitto: Rais Magufuli Ameshaipotezea Nchi Mapato ya Bilioni 8 Tangu Aingie Madarakani

$
0
0
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameilalamikia serikali ya Magufuli kwa kitendo chake cha kukaa kimya kuhusu ufisadi unaoendelea kufanywa na Harbinder Singh Seth, mmiliki wa IPTL ambaye huvuna kiasi cha malipo ya bilioni 4 kila mwezi kama malipo ya kuliuzia umeme shirika la ugavi wa umeme nchini, Tanesco. Zitto ambaye ni mmoja wa wabunge walioibua na kusimamia kidete sakata la ufisadi

Wadau Wakerwa na Nauli ya Sh 1,200 Mabasi Yaendayo Haraka (UDA RT).....Wadai Serikali Ikiruhusu Wataandamana Kupinga

$
0
0
NAULI ya Sh 1,200 iliyopendekezwa na watoaji wa huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka (UDA RT) imepingwa na wadau wa sekta ya usafiri, badala yake wameshauri iwe kati ya Sh 400 na 500 kutimiza malengo ya kusaidia wananchi wa kipato cha kawaida. Wamehoji sababu za mabasi hayo yanayobeba watu wengi kwa safari moja na yanayotumia barabara zisizo na foleni, yatoze nauli kubwa wakati

Mahakama kuu Kitengo cha Ardhi Yapiga 'Stop' BomoaBomoa Dar Hadi Kesi ya Msingi Isikilizwe.......Mkuu wa Mkoa Atoa Tamko

$
0
0
Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi imeweka zuio la kubomoa nyumba zilizopo katika wilaya ya Kinondoni hasa zile ambazo wamiliki wake wameleta ombi lao mahakamani kuzuia kubomolea. Akitoa hukumu hiyo jana  mbele ya walalamikaji, wakili wa Serikali, mawakili wa walalamikaji na wananchi, Jaji wa Mahakama hiyo kuu ya Ardhi Mhe.Panterine Kente alisema kuwa mahakama imezingatia maelezo

Waziri Maghembe Atema Cheche......Amsimamisha Kazi Mkurugenzi Pamoja na Maofisa wa Misitu wa Mikoa nchi Nzima

$
0
0
Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango na Matumizi Endelevu ya Rasilimali za Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Bw. Mohammed Kilongo na Maofisa wa Misitu wa Mikoa nchi nzima kupisha uchunguzi wa upotevu wa mapato ya Serikali. Akizungumza jana na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Wizara hiyo Dar es Salaam, Prof.

Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Awaonya Watumishi wa Afya Wanaoiba Dawa za Serikali.

$
0
0
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan amewaonya baadhi ya watumishi wa sekta ya afya nchini kujiepusha na tabia ya kuuza dawa zinazopelekwa na serikali kwenye zahanati, vituo vya afya na hospitali kwani hali hiyo inaweza kusababisha manung’uniko kwa wagonjwa na wananchi kuichukia serikali yao.   Alitoa onyo hilo jana alipotembelea na kuzindua majengo ya

Serikali Yaamuru Waliovamia Shamba la Sumaye Waondoke

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki amewataka waliovamia na kujigawia maeneo ya watu wengine likiwamo la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Ritha Mlaki waondoke mara moja kwa kuwa wamevunja sheria. Alisema zaidi ya watu 2,000 wakiwamo waliobomolewa nyumba katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam wamevamia na kujigawia mashamba

Waziri Mkuu Atoa ONYO Kali Kwa Madaktari Wanaotoa Mimba Wanawake.....Aapa Kuwafukuza Kazi Na Kuwafunga Jela

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Josephine John  ambaye amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma kwa matibabu. Alikuwa katika ziara ya mkoa huo Januari5, 2016. ******** Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaonya Madaktari vinara wa Hospitali ya Rufaa ya Songea ambao wanasifika kwa kufanya biashara ya kutoa mimba wanawake na wanafunzi kuacha tabia mara moja,lasivyo  atawafukuza kazi na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images