Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Magufuli Amjulia Hali Muadhama Kadinali Polycarp Pengo Anayefanyiwa Uchunguzi Wa Afya Yake Muhimbili

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016.  Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili

Rais Dkt. Shein Atoa Salam za Mwaka Mpya.....Aahidi Zanzibar Itaendelea Kuwa Kisiwa cha Amani

$
0
0
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametoa risala ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2016 kwa wananchi na kueleza kuwa takwimu za mwanzo wa mwaka 2015, uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika. Katika risala yake hiyo kwa wananchi, Dk. Shein alisema kuwa huduma za jamii zikiwemo upatikanaji wa maji safi na salama, huduma za afya pamoja na elimu nazo

Waziri Mkuu Awapongeza Makatibu Wakuu Na Naibu Katibu Wakuu ......Awataka Wakuu wa Mikoa,Wilaya na Wakurugenzi Wajiandae Kula Kiapo

$
0
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam.  Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakiwa wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya waandishi wa habari. Waziri Mkuu Majaliwa pia amewataka viongozi hao, kuwa waaminifu, kuwajibika na  kutoa

Rais Magufuli atangaza vita na mafisadi, wauza dawa za kulevya 2016

$
0
0
RAIS Dk. John Magufuli, amesema Watanzania wote wanapaswa kuendelea kumuombea ili aendelee na kazi yake ya kupambana na mafisadi wahujumu uchumi na vigogo wauza dawa za kulevya nchini. Kauli hiyo iliitoa katika mkesha mkubwa wa kuliombea Taifa pamoja na kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema Taifa

Edward Lowassa Alalamikia Wafuasi wake Kuandamwa na Watendaji wa Serikali.

$
0
0
Aliyekua mgombea Urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua ili kuepusha  matatizo yasiyo ya lazima.   Akizungumza katika ibada maalum ya kukaribisha mwaka mpya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Jaruari 2, 2016

Magufuli Awakuna Wananchi Wenye Ulemavu, wamshukuru kwa kutimiza ahadi ya kuwakumbuka katika uongozi wake

$
0
0
Alianza na Dkt. Abdallah Possi, wakafuata Profesa James Epiphan Mdoe na Mhe. Amon Anastaz Mpanju na kusababisha mshangao wa furaha miongoni mwa wananchi wenye ulemavu kwa kile wanachokitaja kama kukumbukwa katika uongozi wa Serikali ya awamu ya Tano ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.    Rais alipomteua Dkt. Abdallah Possi kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, kazi, Ajira, Bunge

Meja Jenerali Gaudence Milanzi Aanza Kazi Kwa Mkwara Mzito......Asema Hawezi Kukubali Tanzania Ipoteze Wanyamapori na Mapato Kwa Uroho Wa Majangili

$
0
0
Mmoja  wa  Majenerali  wa  Jeshi  la  Wananchi  wa  Tanzania  walioteuliwa  kushika nyadhifa nyeti serikalini,Meja Jenerali Gaudence Milanzi,ameanza kazi kwa kutoa tahadhari kwa majangili akisema atatumia mbinu za medani  kuwakabili na kuwatokomeza kabisa. Akizungumza Muda mfupi baada ya kuapishwa mbele ya Rais John Magufuli kuwa Katibu Mkuu Wizara Ya Mali Asili na Utalii,Meja Jenerali

Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Usiku Machinjioni Dar

$
0
0
WAZIRI wa kilimo mifugo na Chakula,Mhe Mwigulu Nchemba usiku wa kuamkia leo amefanya ziara ya ghafla na ya kushtukiza katika machinjio ya nyama Vingunguti jijini Dar es Salaam. Katika ukurasa wake rasmi wa twitter,Mwigulu amesema kuwa lengo la ziara yake hiyo lilikuwa ni kwenda kujionea mwenyewe jinsi Serikali inavyopoteza mapato katika sekta hiyo ambapo amebaini kuwa zaidi ya mapato ya

Magufuli Si Mchezo: Jana Aliwambia Makatibu Wakuu Asiyetaka Kusaini Kiapo Cha Uadilifu Aseme Ili Amfute Kazi Hapo Hapo

$
0
0
Halfa ya kuapishwa kwa makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu 26 iliyofanyika jana Ikulu Jijini Dar es Salaam ilikuwa ya aina yake kutokana na kuapa mara mbili, huku Rais John Magufuli akiwaeleza kuwa asiyeweza kazi  aseme asile kiapo, akae kando. “Inawezekana tulizungumza kwa ujumla lakini kumbe si wote wanakubali masharti kuhusu rushwa, kutoa vitu vya upendeleo. Kwa hiyo, niwaombe

Mlinzi wa Lowassa Atimuliwa.....Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita ya Uganda, Alikuwa ‘bodyguard’ wa Nyerere aliyemfia mikononi

$
0
0
Aliyekuwa mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya kikazi. Mbali na taarifa hizo, imeelezwa pia kuwa sababu nyingine ya kufukuzwa kwake kazi kwa

VIDEO: Rais John Pombe Magufuli akiwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli akiwaapisha Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu Jijini Dar es Salaam, 01 Januari, 2016.

Kipindupindu Chatua Gerezani....Wawili Wafariki Dunia

$
0
0
Mahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu   Mkuu wa gereza hilo, Shaku Humba alisema kuwa wafungwa saba na mahabusu watano walioripotiwa kuugua ugonjwa huo.   Hata hivyo hakuwataja majina marehemu hao akisema kuwa hana mamlaka kisheria hadi hapo taratibu zitakapokamilika.   Mganga Mkuu wa Manispaa ya

Wananchi Kupanga Nauli za Mabasi Yaendayo Kasi

$
0
0
MAMLAKA ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), inatarajia kukusanya maoni ya wananchi juu ya viwango vya nauli za mabasi yatakayotoa huduma ya usafiri wa haraka Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa SUMATRA kwa vyombo vya habari kwenda kwa wananchi  ambapo ofisi hiyo itawaalika wadau wote wa usafiri hususani wananchi kuchangia maoni kwenye

Picha: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Atoa Semina Elekezi Kwa Makatibu Wakuu na Manaibu wao

$
0
0
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mwigulu Nchemba Atumbua Mtu JIPU Machinjio ya Pugu.......Ni Baada ya Kufanya Ziara Jana Usiku na Kurudi Tena Leo Asubuhi

$
0
0
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mh. Mwigulu Lameck Nchemba, amemfukuza kazi mkuu wa mnada wa mifugo wa Pugu, na watumishi walioshiriki kuiba ushuru wa serikali, alipoenda machinjioni hapo kukagua. Waziri Nchemba amesema alienda machinjioni hapo kutatua kero zinazowakabili wananchi na wadau wa machinjio hayo, huku akishirikisha wizara mbili ya Afya na TAMISEMI. “Nimerejea asubuhi

Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba 4 Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015, Wampita Diamond Platnumz

$
0
0
Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015.. Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel

Mkandarasi wa miundombinu ya usafirishaji umeme atakiwa kumaliza kazi ifikapo Aprili 2016.

$
0
0
Kampuni ya Joti structures inayojenga miundombinu ya usafirishaji umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Dodoma hadi Singida imetakiwa kukamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo ifikapo mwezi Aprili mwaka huu kama mkataba unavyoelekeza.    Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani wakati alipofanya ziara ya kikazi mkoani Dodoma ili kukagua miundombinu ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Januari 3

Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa Rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

$
0
0
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza rasmi leo jumapili ya Tarehe 3 Januri 2016.    Alisema Serikali imejipanga kikamilifu kuhakikisha kwamba katika muda wote wa maandamisho hayo kunakuwa na hali ya utulivu na usalama mkubwa katika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images