Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Magufuli Atwishwa Zigo la Katiba

$
0
0
JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limeitaka Serikali ya Awamu ya Tano kuanza kazi ya kukamilisha mchakato wa Katiba Mpya. Ni kutokana na serikali ya Rais Jakaya Kikwete iliyokoma Mei 5 mwaka huu baada ya Dk. Magufuli kuapishwa, kura ya maoni ilipangwa kufanyika Aprili 30 mwaka huu lakini haikufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Jukwaa la

Ukawa Wazua Hofu, Polisi Wajipanga Kuwakabiri

$
0
0
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umezua hofu kubwa bungeni kutokana na hali ya kutangaza msimamo wao wa kutokukubaliana na Rais John Magufuli kulihutubia Bunge. Jana umoja huo ulitangaza rasmi kwamba umemwandikia spika barua ya kuhoji uhalali wa Rais kulihutubua bunge wakati uchaguzi wa Zanzibar umefutwa na kulifanya taifa la Zanzibar kutokuwa na rais. Hali hiyo imeifanya serikali

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa Leo Saa Nne

$
0
0
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu Mteule zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 20

UKAWA Watahadharishwa Kutofanya VURUGU Leo Bungeni Wakati Rais Magufuli Akihutubia

$
0
0
Wabunge wa vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa wameonywa kutofanya jambo lolote litakaloashiria kuvuruga Bunge wakati Rais John Magufuli atakapolihutubia leo jioni. Akiongea jana mjini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye alisema kuwa Wabunge hao wa Ukawa wanapaswa kufahamu kuwa kitendo chochote watakachofanya kwa lengo la kuvuruga

Lipumba Amtahadharisha Rais Magufuli Kuhusu Dr. Shein Kuhudhiria Bungeni Leo

$
0
0
Wakati Rais John Magufuli akitarajiwa kuzindua na kulihutubia Bunge leo, ametahadharishwa kutoambatana na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kwa maelezo kuwa si rais halali wa Zanzibar kikatiba. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Profesa Ibrahim Lipumba alisema Zanzibar haina Rais, hivyo kiongozi huyo kushiriki Bunge kwa nafasi hiyo ni kuvunja Katiba ya nchi.

Niacheni na FITO Zangu-Shilole

$
0
0
Msanii mwanadada Shilole ambae kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya wa 'Nyang'anyang'a' amefunguka na kuwataka watu ambao wanamkejeli kuwa ana miguu mibaya wamuache na miguu yake hiyo. Shilole jana alipost picha kwenye Instagram ambayo ilikuwa ikionyesha sehemu kubwa ya miguu yake na baadhi ya watu walianza kusema kuwa afunike miguu yake hiyo kwani ni mibaya wengine walionyesha

Mambo 9 Usiyoyajua Kuhusu Mawaziri Wakuu wa Tanzania

$
0
0
1.Kassim Majaliwa anakuwa Waziri Mkuu wa Pili kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya Mizengo Pinda.   2.Hadi sasa ni waziri mkuu mmoja aliyeshika wadhifa huo akiwa serikali mbili tofauti, Rashid Mfaume Kawawa- Tanganyika na Jamhuri ya Muungano.   3.Ni Mzanzibari mmoja tu amewahi kushika wadhifa huo, Dk Salim Ahmed Salim.   4.Ni Waziri Mkuu mmoja tu aliyetumikia nafasi hiyo kwa

Wazanzibari Wanaoishi Uingereza Waandamana Wakitaka Maalim Seif Sharif Hamad Atangwe mshindi wa Kiti cha Urais

$
0
0
Wazanzibari wanaoishi nchini Uingereza jana walifanya maandamano wakidai haki ya kutangazwa ushindi wa Chama Cha Wananchi (CUF) katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika Octoba 25 mwaka huu Maandamano hayo yaliandaliwa na Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association (ZAWA) ambapo wazanzibari hao walitoka maeneo mbali mbali katika miji yao na kukusanyika katika eneon la  Downing Street kwenye

Naibu Spika Wa Bunge, Tulia Ackson Mwansasu Jana Alizomewa na Wabunge wa UKAWA Baada Ya Kushindwa Kujibu Swali

$
0
0
Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, amekalia kiti hicho kwa kuanza kuonja 'joto la jiwe' baada ya kushindwa kujibu swali lililomtaka aeleze muda gani aliojiunga na Chama cha Mapinzuduzi (CCM) huku akikumbana na zomea zomea kali kutoka kwa wabunge wa vyama vya upinzani. Mtafatuku huo uliibuka ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana, wakati Dk. Tulia alipokuwa akijinadi kwa wabunge kabla ya

Bomoabomoa Dar Yakumba makanisa, Waumini Waangua Kilio Hadharani

$
0
0
Bomoabomoa ya nyumba na makazi zilizojengwa kinyume cha sheria iliendelea jana katika Wilaya ya Kinondoni, ambapo Kanisa la Anglikana pamoja na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mivumoni zimekumbwa na bomoabomoa hiyo. Shughuli hiyo ya ubomoaji ilianza jana saa 12 asubuhi katika eneo la Mbezi Jogoo, ambapo nyumba 25, makanisa mawili, fremu mbili za biashara na sehemu ya kuoshea magari

KIAPO: Kassim Majaliwa Aapishwa Rasmi Ikulu Ndogo Dodoma Kuwa Waziri Mkuu

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, asubuhi hii amemuapisha Mbunge wa Ruangwa, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mjini Dodoma.   Hafla ya Kumuapisha Mh. Majaliwa imefanyika kwenye Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma na kuhudhuliwa na viongozi mbalimbali wa serikali wakiwemo, Makamu wa Rais wa Tanzania, Bi. samia Hassan Suluhu, Rais

LIVE TOKA BUNGENI: Rais Magufuli Yuko Bungeni Muda Huu Kwa Ajili Ya Kulizindua na Kuhutubia

$
0
0
Rais Magufuli mchana huu   analizindua  rasmi  Bunge  la  11  la  Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania  mjini Dodoma ambapo pia atatoa mwelekeo wa Serikali yake ya Awamu ya Tano katika miaka mitano ijayo. Kabla  ya  kuingia  ndani  ya  ukumbi  wa  Bunge,  Rais  amekagua  gwaride  maalumu  lililoandaliwa  kwa  ajili   Awali, kabla  ya  Rais  Magufuli  kuingia  Bungeni,Mwanasheria Mkuu wa

Breaking News: Wabunge Wa UKAWA Watolewa Nje ya Bunge

$
0
0
Wabunge  wanaounga  umoja  wa  Katiba  Ya  Wananchi, UKAWA  wametolewa  nje  ya  ukumbi  wa bunge  muda  huu  baada  ya  kugoma  kutambua  ujio  wa  Dr Shein bungeni  na  kuanza  kuzomea  huku  wakisema  Maalim Seif....Maalim Seif Spika  wa  bunge,Job Ndugai  aliwataka  wabunge  hao waache kuzomea  na  badala  yake  wakae chini  lakini  wakakaida, hali  iliyomfanya  awaamuru  watoke  nje

Magufuli Awaita UKAWA ‘Watoto’.....Spika Awapa Onyo Kali, Asema Atakuwa ‘Mbabe’ Kama Watarudia Tena

$
0
0
Rais John Magufuli amelaani vikali kitendo cha Wabunge wa Vyama vya Upinzani kuzomea leo bungeni. Rais Magufuli ameeleza kuwa tabia iliyofanywa na wabunge hao inaonesha jinsi ambavyo hawajakomaa kisiasa na kuwaita watoto huku akimpongeza Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kwa kuendelea kubaki Bungeni. “Ndio maana nimempongeza sana Mheshimiwa Zitto. Mheshimiwa zitto umekomaa na naamini

Video Ya Hotuba Nzima Ya Rais Magufuli Aliyoitoa Jana Bungeni

$
0
0
Rais Dk. John Magufuli akilihutubia bunge mjini Dododma jana wakati akilizindua bunge hilo. Marais Wastaafu, kutoka kushoto ni Ally Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar,Amani Karume. Rais wa Zanzibar akiwaangalia wabunge wa upinzani ambao walikuwa wakimzomea muda wote tangu alipoingia kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wa Rais

Nyumba na Makazi Yaendelea Kubomolewa Mbezi Beach, Kinondoni Dar......Tazama Video Hii Ujionee Ghorofa Hili Linavyoporomoshwa

$
0
0
Kijiko cha Manispaa ya Kinondoni kikibomoa nyumba ya Deus Kisisiwe iliyopo Block J Mtaa wa Libermann Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Ofisa wa Polisi akichukua picha wakati kijiko cha Manispaa kikiendelea na ubomoaji. Manispaa ya wilaya ya Kinondoni kushirikiana na Wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi wakiwa wameweka tangazo lao katika ukuta wa uzio wakimaanisha eneo

Rais Magufuli Aagiza Fedha Zilizochangwa Kwa Ajili ya Sherehe ya Kumpongeza Zipelekwe Hospitali ya Taifa Muhimbili

$
0
0
Baada ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda vya

UKAWA Wasimulia Kilichowafanya Walete Vurugu Na Kumzomea Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein

$
0
0
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema mipango yao ya kutomruhusu Rais Dk. John Magufuli kulihutubia Bunge akiwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, imefanikiwa. Mwenyekiti wa Umoja huo, Freeman Mbowe, alisema  jana kuwa walimua kuzuia Rais Magufuli asihutubie Bunge kwa vile Dk. Shein, muda wake wa kuwa rais ulikwisha tangu Novemba 2 mwaka huu kwa hiyo hakustahili kuhudhuria

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya Novemba 21

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images