Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Chadema na Polisi Wavutana Msiba wa Mawazo.....Polisi Wapiga Marufuku Watu Kukusanyika Kuuaga Mwili wa Marehemu Wakihofia Kipindupindu

$
0
0
Serikali wilayani Geita na Polisi Mkoa wa Mwanza, wamepiga marufuku wanachama na wafuasi wa Chadema kukusanyika kwa ajili ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo (pichani). Akizungumza ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo alisema wamezuia mikusanyiko ya aina yoyote kutokana na kuwapo kwa mlipuko wa ugonjwa wa

Waliofukiwa na Kifusi Mgodini kwa siku 41 na kuokolewa Watakiwa Kupakwa Vinyesi ili Kuwaondolea Mikosi

$
0
0
Wazee wa kimila wa makabila ya Wakurya na Waluo wamesema watu watano waliookolewa kutoka kwenye machimbo ya Nyangalata, Kahama ambao waliwekewa matanga kabla ya kuibuka wanatakiwa kufanyiwa mambo ya kimila, vinginevyo watakufa kiajabu. Mmoja wa wazee hao, Ghati Ryoba (61) wa Mtaa wa Mwangaza, Nyamisangura – Tarime amesema: “Mtu akidaiwa kuwa amekufa lakini baadaye akaonekana, wazee wa ukoo

Wanachama 115 wa CHADEMA na CUF Wilayani Handeni Mkoani Tanga Wahamia CCM

$
0
0
Wanachama 115 wa Chadema na CUF wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, wamejiunga na CCM kwa madai kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa kuelewana hadi kipindi cha Uchaguzi Mkuu. Wakirudisha kadi na bendera juzi mbele ya Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Tanga, Mathew Mganga walisema walikuwa na nia ya kweli ya kuunga mkono Ukawa unaoundwa na vyama vyao lakini kutokana na kutokuwa na

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

$
0
0
WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo.      Fedha, hizo zimepatika baada ya wabunge 113 wa Ukawa kuchangishana kiasi Sh. 300,000 kila mmoja ambazo zitakabidhiwa familia ya Mawazo ambaye ameuawa

Agizo la Rais Magufuli kuhusu kununuliwa vitanda hospitali ya Muhimbili latekelezwa

$
0
0
Agizo alilolitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kutaka fedha zilizochangwa na wadau mbalimbali kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe Katika hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda na magodoro ya wagonjwa wanaolala chini limetekelezwa. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema fedha hizo zimefanikisha kupatikana

Kauli ya Zitto Kabwe Kuhusu Wabunge wa UKAWA Kuitwa "Watoto" Bungeni

$
0
0
WAKATI Rais Magufuli akimpa heko Mbunge wa Kigoma Mjini Kupitia chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kwa kitendo chake cha kutoungana na wabunge wanaowakilisha umoja wa katiba ya wananchi Ukawa kupiga kelele na kutolewa nnje ya Bunge na Spika Job Ndugai,Zitto ameibuka na kuwaunga mkono wabunge hao. Akizungumza nje ya bunge, muda mfupi mara baada ya bunge hilo kuhairishwa na Waziri Mkuu

‘Mzimu’ wa kanuni wamwandama Naibu SpikaBy

$
0
0
Ushiriki wa aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson katika masuala ya siasa na hatimaye kuchaguliwa Naibu Spika wa Bunge, umezidi kuibua maswali huku akidaiwa kuwa amekiuka kanuni za watumishi wa umma. Wasomi, wanaharakati na wanasheria wameeleza kushangazwa na uteuzi huo, kama ilivyokuwa Alhamisi alibobanwa kwa maswali bila majibu kuhusu ni lini msomi huyo wa sheria

Chadema Kufungua Kesi Kupinga Agizo la Polisi Kuzuia Kuagwa Mwili wa Alphonce Mawazo.

$
0
0
Baada ya zoezi la kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kushindikana kutokana na jeshi la polisi mkoani Mwanza kupiga marufuku mikusanyiko ya wanachama na wafuasi wa chama hicho kwa madai ya kuwepo kwa ugonjwa wa kipindupindu jijini Mwanza, hatimaye viongozi wakuu wa kitaifa wa Chadema pamoja na familia ya marehemu

Rais Magufuli Aokoa Tena Milioni 700 za Safari za Vigogo Ulaya

$
0
0
Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.    Badala yake Rais ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege

Afariki Kwa Kuchomwa na Kisu Sehemu za Siri

$
0
0
WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti mkoani Morogoro, mmoja wao kutokana na kuchomwa na kisu sehemu zake za siri alipokuwa akiamuliwa ugomvi wa kimapenzi katika Kata ya Dumila, wilayani Kilosa. Akizungumzia aliyechomwa kisu, Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema tukio hilo ni la Novemba 21, mwaka huu saa 6 usiku katika kata hiyo iliyoko Tarafa ya

Mbaroni Kwa Kusafirisha Matenga 8 ya Bangi

$
0
0
POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu, wakazi wa Manispaa ya Morogoro na Kinondoni, Dar es Salaam kwa tuhuma za kusafirisha matenga manane ya bangi iliyohifadhiwa pamoja na ndizi. Bangi hiyo ilikuwa ikisafirishwa katika gari kubwa iliyokuwa ikitokea mkoani Singida kuelekea Dar es Salaam na miongioni mwa wanaoshikiliwa ni pamoja na dereva wa gari hilo, Venance Patrick (44), mkazi wa

Mmoja wa Watano Waliookolewa Mgodini Baada ya Kufukiwa Kifusi Kwa Siku 41 Afariki Dunia

$
0
0
MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Joseph Ngowi amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema kuwa chanzo cha mauti hayo ni kutokana na majeruhi huyo

Utata Watawala Kifo cha Ghafla Cha Msemaji Wa Madereva, Rashid Saleh

$
0
0
Aliyekuwa Katibu na Msemaji wa Chama cha Madereva, Rashid Saleh amefariki dunia ghafla huku chanzo cha kifo chake kikizua utata miongoni mwa wananchama wa chama hicho na wananchi.   Taarifa za awali kifo cha Rashid Swaleh zilielza kuwa alifariki baada ya kuugua ghafla ugonjwa ambao bado  haujabainika.   Madereva na wananchi wengine walifika katika hospitali ya Muhimbili wakiwa na

Wabunge Wagonga Mwamba Kwa Rais Magufuli......Agoma Kuwaongoza Hela Ya Posho,Apunguza Mikopo Ya Mashangingi

$
0
0
Wakati Serikali ikihaha kutafuta fedha kwa ajili ya kuendeshea shughuli zake, wabunge wameingia kwenye mvutano na ofisi ya Bunge kuhusu fedha ambazo  wanastahili kupewa kwa ajili ya kununulia magari yao. Mwaka 2010, wabunge walilipwa Sh90 milioni kwa ajili ya ununuzi wa magari hayo aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop), ambayo ni vitendea kazi vyao. Wabunge hutakiwa kulipa nusu ya fedha

Saed Kubenea Kumburuza Mahakamani Spika wa Bunge Job Ndugai Kwa Kuvunja Kanuni Na Kuwaruhusu Polisi Kuingia Bungeni

$
0
0
Mbunge wa Ubungo (Chadema), Saed Kubenea amesema atamfikisha mahakamani Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa kuvunja kanuni baada ya kuwaingiza polisi ndani ya ukumbi wa chombo hicho. Polisi hao waliingia ndani ya ukumbi huo wiki iliyopita wakati Rais John Magufuli alipofika kwa ajili ya kuhutubia Bunge. Kubenea alisema kitendo cha askari kuingia ndani ya Bunge kwa mara ya mwisho kilitokea

Magufuli 'Alivyoivua Nguo' Serikali Ya Rais Kikwete...... Aanika Jinsi Mabilioni ya Safari Ne Yalivyoumiza taifa.

$
0
0
Uamuzi wa Rais Dk. John Magufuli kueleza kwa kina namna safari holela za nje ya nchi zinavyoligharimu taifa mabilioni ya fedha, umeianika wazi Serikali iliyopita ya Awamu ya Nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na kuibua mjadala mkubwa miongoni mwa baadhi ya wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini. Wachambuzi mbalimbali wa masuala ya kiasiasa wanasema kuwa ujasiri wa Rais Magufuli kueleza

UVCCM Wakerwa na Tabia ya Wabunge wa UKAWA Kuwazomea Viongozi wa Kitaifa

$
0
0
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), umesikitishwa na vitendo vya  wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) bungeni muda mfupi kabla ya Rais Dk. Magufuli kulifungua rasmi Bunge la 11 mwishoni mwa wiki. Wabunge hao wa Ukawa waliwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli na kuamriwa  na Spika wa Bunge Job Ndugai watoke nje. Wabunge

Serikali Yatoa Masharti Kwa Watumishi wa Umma Kusafiri Nje ya Nchi

$
0
0
Ofisi ya Rais imesambaza mwongozo unaoweka masharti ambayo watumishi wa umma wanaotaka kusafiri nje ya nchi watatakiwa kutimiza ili wapewe kibali, ikiwa ni mkakati wa kutekeleza agizo la Rais John Magufuli la kudhibiti safari holela za nje. Rais alitoa agizo hilo baada ya kikao baina yake na makatibu wa wizara kilichofanyika Ikulu siku chache baada ya kuapishwa, akisema ofisi yake ndiyo

Breaking News: Rais Magufuli Afuta Sherehe za Uhuru Disemba 9

$
0
0
Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.

CCM Yaibuka Kidedea Jimbo la Ulanga Lililoachwa Wazi Baada ya Kifo cha Marehemu Celina Kombani

$
0
0
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ulanga baada ya mgombea wake, Goodluck Mlinga kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.78 akiwashinda wapinzani wake katika uchaguzi uliofanyika jana wilayani Ulanga mkoa wa Morogoro. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo katika Ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga usiku wa kuamkia leo, Isabela Chilumba
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>