Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Novemba 17


Job Ndugai: Tutegemee Migomo Katika Bunge Hili la 11

$
0
0
Baada ya kuteuliwa na CCM na kupita katika mchakato wa kumpata mgombea Uspika wa Bunge la Kumi na moja bila kupingwa, Job Ndugai ameeleza changamoto anazotarajia kukutana nazo ikiwa ni pamoja na migomo. Akiongea na waandishi wa habari jana baada ya jina lake kupitishwa, Ndugai alilielezea Bunge la kumi na moja kama Bunge lenye utofauti mkubwa na mabunge mengine huku akidai kuwa ongozeko la

Serikali Kuwabeba Wanafunzi Wanaofeli Form Two na Darasa la Nne

$
0
0
Wakati wanafunzi wa kidato cha pili wakianza mitihani jana, Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza kwamba wanafunzi watakaofeli mtihani huo hawatorudia darasa, bali wataandaliwa utaratibu maalumu wa masomo ya jioni ili kuwawezesha kitaaluma. Utaratibu huo mpya uliotangazwa jana na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, unafuta rasmi utaratibu wa awali ambao Serikali

Sakata la Mkuu wa Majeshi Kulishwa Sumu: Serikali Yakata Rufaa Kupinga Mshitakiwa Kupewa Dhamana

$
0
0
Upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Tanzania (DIT), Benedict Ngonyani, anayetuhumiwa kusambaza taarifa katika mtandao wa kijamii wa Facebook kuwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Jenerali, Davis Mwamunyange, amelishwa sumu, umewasilisha mahakamani kusudio la kukata rufaa kupinga mshtakiwa huyo kupewa dhamana. Mwishoni mwa wiki iliyopita,

Live: Yanayojiri Leo Bungeni Katika Uchaguzi na Kiapo cha Spika wa Binge la 11

$
0
0
Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano linaanza leo Dodoma kwa kusomwa Tangazo la Rais la Kuitisha Bunge, uchaguzi na Kiapo cha Spika, Kiapo kwa wabunge wote Muda huu tayari wabunge wameanza kuwasili kwenye viwanja vya Bunge na wengi wamo kantini hapa wakipata staftahi kabla ya kuingia rasmi ukumbini. Update. Wabunge wengi wanaingia bungeni now harakaharaka maana mida wowote Kikao kitaanza.

Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu  wa  nguvu  za  kiume, ni  tatizo  linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume  duniani.  Zipo  sababu  nyingi  zinazo  sababisha  tatizo  la  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume.   Miongoni  mwa  sababu  hizo  ni  pamoja  na  maradhi  kisukari, presha,shinikizo  la  damu, moyo, figo, matatizo  kwenye  mishipa  ya  ubongo  &  mishipa  ya  uti  wa mgongo, matatizo  kwenye

Breaking News: Job Yustino Ndugai Achaguliwa Kuwa Spika wa Bunge la 11 La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

$
0
0
Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua  mheshimiwa  Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania. Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai  kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa. Mh Ndugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi    

Mtu Mwingine Auawa Kinyama Geita... kifo chake Utata Mtupu

$
0
0
Mtu ambaye hajafahamika jina wala makazi, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Kituo cha Afya Katoro wilayani Geita, baada ya kufikishwa na polisi akiwa hajitambui. Mtu huyo anasadikika kupigwa na watu wasiojulikana Jumamosi saa mbili usiku, huku tukio hilo likihusishwa na chuki za kisiasa zinazohusiana na vurugu zilizosababisha kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa

Kortini Kwa Kutumia Majina ya CCM na CHADEMA Kutapeli

$
0
0
Watu watatu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu. Washtakiwa hao wanadaiwa kusajili namba za simu za uongo, huku wakifungua akaunti ya benki ya NMB kwa jina la vyama vya Chadema na CCM wakitaka wachangiwe fedha za kuendesha kampeni za Uchaguzi Mkuu Wakili wa Serikali, Castuce Ndamugoba aliwataja

Viongozi Waliosaliti CCM Tabora Wasimamishwa

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora Mjini, kimewasimamisha viongozi wanne wa Kata ya Chemchem kwa kukisaliti chama hicho katika mchakato uliopita wa kura za maoni hadi Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 Mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu wa chama hicho, Kanuth Ndaghine alisema sababu za kuwasimamisha viongozi hao ni kukisaliti chama na kutosimamia kikamilifu

Bomoabomoa yaacha vilio na simanzi Dar

$
0
0
Manispaa ya Kinondoni jana ilisababisha vilio kwa wakazi wa maeneo wa wilaya hiyo ilipoanza ubomoaji wa nyumba zilizojengwa maeneo ya wazi na hifadhi kinyume cha sheria Juzi, Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Moses Kusirika alitangaza operesheni ya kubomoa nyumba hizo kuanzia jana na kuwa baada ya Kinondoni watahamia wilaya nyingine na mikoani pia.

Dr.Tulia: Nina Sifa Zote Za Kuwa Mbunge.....Sijapandikizwa ili Niibebe Serikali

$
0
0
Mgombea unaibu spika kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Tulia Ackson Mwansasu, amekanusha madai kwamba amepewa nafasi hiyo kama pandikizi ili aibebe Serikali. Amesema madai kuwa ataibeba Serikali kwa kuwa ni mbunge wa kuteuliwa hayana msingi kwa kuwa haendi bungeni kumtumikia rais bali kuwatumikia Watanzania. Rais John Magufuli Jumatatu wiki hii alimteua Dk. Ackson kuwa mbunge wa

Vigogo wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Waanza Kuhojiwa na Polisi Kwa Kuvuruga Uchaguzi

$
0
0
Vigogo wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec), wameanza kuhojiwa na Jeshi la Polisi Zanzibar baada ya kuvurugika kwa Uchaguzi Mkuu na kusababisha Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salim Jecha, kufuta matokeo ya uchaguzi huo Oktoba 28, mwaka huu. Viongozi waliohojiwa na Polisi  ni Makamishna na Watendaji wa tume hiyo akiwamo Makamu Mwenyekiti, Jaji Abdulhakim Issa Ameir. Naibu Mkurugenzi wa

Rais Magufuli Amteua Kassim Majaliwa Kuwa Waziri Mkuu

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amemteua mbunge wa jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano. Uteuzi huo umetangazwa Bungeni alhamisi hii na spika wa bunge, Job Ndugai aliyesoma barua iliyoandikwa kwa mkono na Rais  Magufuli. Kabla ya hapo, mh Majaliwa alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali

Kijana Afariki Dunia Baada ya Kufanya Mapenzi na Nguruwe Wilayani Ludewa

$
0
0
Kijana mmoja aitwaye Simon Dustan Mwanjavala maarufu kama Mwachakala (15) mkazi wa kijiji cha Mbwila kata ya Luana wilaya ya Ludewa mkoani Njombe amefariki dunia muda mchache baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Nguruwe Tukio hilo la kustaajabisha limetokea jana wilayani Ludewa baada ya kijana huyo "kufumaniwa" akifanya mapenzi na mnyama huyo, ndipo walipomkamata na kumfunga kamba mikono

Zanzibar Yaondolewa Gharama za Vipimo

$
0
0
Serikali ya Zanzibar imeondoa gharama za uchunguzi kwa wagonjwa wanaohitaji vipimo vya CT-Scan, X-ray na Utra-Sound katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.   Kabla ya uamuzi huo, wagonjwa waliopatiwa huduma za vipimo hivyo walikuwa wakilipia kati ya Sh. 100,000 na 150,000 kwa mashine ya CT-Scan na Sh. 100,000 kwa Utra-Sound wakati huduma za X-ray ni Sh. 30,000.   Katibu wa

Kassim Majaliwa Aidhinishwa na Wabunge Kuwa Waziri Mkuu kwa Kura 258

$
0
0
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,mchana wa Alhamisi hii Limempitisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri mkuu mpya. Kuthibitishwa kwa uteuzi wake kumetokana na kura za ndio na hapana zilizopigwa na wabunge. Mh. Majaliwa amethibitishwa na wabunge kuwa Waziri Mkuu mteule kwa kupata kura za ndio 258 sawa na asilimia 73.5% ya kura zote 351 zilizopigwa. Kura za hapana ni kura 91 sawa na

Mwanasheria Mkuu Apinga Hoja za UKAWA...Asema Dr. Shein ni Rais Halali wa Zanzibar na atahudhuria Uzinduzi wa Bunge la 11

$
0
0
Mwanasheria mkuu wa serikali, George Masaju amepinga hoja  zilizoibuliwa na UKAWA kuhusu uhalali wa rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, Dkt Shein, kuhudhuria kwenye uzinduzi wa Bunge. Masaju ametumia ibara ya 102 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupangua hoja hizo  ambayo inaeleza kuwa, kutakuwa na serikali ya Zanzibar itakayo julikana kama serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

Breaking News: Dr Tulia Ackson Mwansasu Achaguliwa Kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

$
0
0
Dr Ackson Tulia Mwansasu ameibuka mshindi wa kiti cha Naibu Spika wa Bunge kwa kupata kura 250 sawa na asilimia 71.2% ya kura zote 351 zilizopigwa.   Mh. Magdalena Sakaya amepata kura 101 sawa na asilimia 28.8 ya kura zote zilizopigwa.   Hakuna kura iliyoharibika

Kassim Majaliwa Asimulia Kilichomfanya Amwage Machozi Baada ya Kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu

$
0
0
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa, amesema hakuwa na taarifa yeyote juu ya uteuzi wake uliofanywa na Rais. Akizungumza na Azam TV, Mheshimiwa majaliwa amedai usiri uliotumika ni mkubwa ambao hata yeye atauendeleza katika kuimarisha Serikali. “Huwezi amini mpaka asubuhi nafanya zoezi na Wabunge wenzangu sikuwa najua lolote, mimi ni kocha wa timu ya mpira ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images