Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Waziri aliyeanguka kuendelea kusaidia Jimbo la Mbozi

$
0
0
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amesema pamoja na kuanguka kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, bado anayo nafasi ya kushiriki kuleta maendeleo ya Jimbo la Mbozi.   Zambi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya, alisema hatosita kutoa ushirikiano pale atakapohitajika na mbunge mpya wa jimbo hilo, Pascal Haonga

Askari Polisi Afutwa Kazi Baada ya Video Kuonesha Akipokea Fedha

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Tanga limemfukuza kazi askari wa kikosi cha usalama barabarani aliyetambulika kwa namba F. 785 CPL Anthony Temu (46) wa kituo cha Polisi Kabuku kwa kosa la kufedhehesha jeshi hilo. Akitoa taarifa kwa vyombo ya habari ofisini kwake Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Zuberi Mwombeji amesema askari huyo amefukuzwa baada ya kuthibitishwa kwa taarifa iliyosambazwa

Agizo la Rais Magufuli kwa Muhimbili kuhusu mgonjwa aliyekuwa anaishi kwenye handaki Mlimani latekelezwa

$
0
0
Mgojwa huyu ni ndugu Chacha Makenge ambaye habari zake zilitangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari mwaka 2013 kujichimbia handaki aliloligeuza makazi yake, katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.

Mkurugenzi Mpya wa Hospitali ya Muhimbili Aliyeteuliwa na Rais Magufuli Aanza Kazi Rasmi Baada ya Mkurugenzi Wa Zamani Kufutwa Kazi

$
0
0
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Hussein Kidanto (kushoto) akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence Mseru (kulia) ambaye ameteuliwa juzi na Rais John Pombe Magufuli. Juzi Rais Magufuli amemuamishia Dk Kidanto katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence

Bibi Harusi Aliyetoroka Saa Chache Kabla Ya Ndoa Kufungwa Na Kumwacha Bwana Harusi Apatikana

$
0
0
Bibi harusi Doroth Msuya( Kulia ) Bibi harusi Doroth Msuya aliyetoroka saluni akipambwa saa tatu kabla ya kufungwa kwa harusi yao na kumwacha solemba bwana harusi, Joseph Machange amepatikana jijini Arusha. Polisi mkoani Kilimanjaro imesema binti huyo hakutekwa nyara kama ambavyo wanafamilia walitoa taarifa Kituo cha Polisi Himo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Fulgence

Polisi Wazima ndoa ya watoto Katavi.....Bwana Harusi ana Miaka 17, Bibi Harusi 14

$
0
0
 Jeshi la Polisi mkoani Katavi limefanikiwa kuzuia kufungwa kwa ndoa iliyohusisha watoto, muolewaji akiwa na umri wa miaka 14 na muoaji ana umri wa miaka 17. Kwa mujibu wa taarifa, bibi harusi ni mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mwamkulu iliyopo kijiji cha Senta John Mwamkulu, Wilayani Mpanda, mkoani Katavi, na bwana harusi aliacha shule alipokuwa darasa la tatu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya Novemba 11

Wizara Ya Mambo ya Nje Kutekeleza Agizo la Rais Magufuli ‘kijeshi’

$
0
0
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema imeanza kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa haraka kama jeshi juu ya kuiwakilisha Serikali katika masuala mbalimbali nje ya nchi baada ya kusitishwa safari za nje kwa maofisa wote wa ndani.    Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula alisema jana kuwa atawapelekea mwongozo mabalozi wote kutekeleza majukumu hayo kwa

Masanja Mkandamizaji Ashindwa Kura za Maoni Ludewa

$
0
0
Msanii wa Komedi, Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji ameshindwa kutamba katika kura za maoni zilizolenga kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Ludewa kwa tiketi ya CCM.   Mchakato huo wa kura za maoni unatokana na kufariki kwa aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho, Deo Filikunjombe hivyo Tume ya Taifa ya Uchaguzi ililazimika kuarishwa uchaguzi wa ubunge katika jimbo

Dkt. Slaa Atoa Tathmini ya Maamuzi Ya Rais Magufuli

$
0
0
Aliyekuwa katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Wilbroad Slaa ametoa tathmini yake kwa siku chache za Rais John Magufuli alizoanza kazi katika Serikali ya Awamu ya Tano na maamuzi aliyoyafanya. Dkt. Slaa ambaye alikuwa mgombea urais kupitia Chadema mwaka 2010, ameeleza kuwa maamuzi ya kufuta safari za nje kwa watendaji wa serikali yaliwahi kuchukuliwa na Rais wa Serikali ya Awamu ya kwanza,

Uchaguzi Wa Ubunge Na Udiwani Ulioahirishwa Kufanyika Novemba 15 na Disemba 13

Benard Membe Ataka Rungu la Rais Magufuli la Kufuta Safari Za Nje Lifikie Mashirika

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amempongeza Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kwa kupiga marufuku safari za nje ya nchi, akisema mawaziri na watendaji wa Serikali walikuwa wakigongana angani na ndege utadhani Tanzania ilikuwa ikiwaka moto. Mbunge huyo wa zamani wa Mtama alisema uamuzi huo utaokoa fedha nyingi za Serikali na kumtaka Rais

Katibu UVCCM Wilaya Ateuliwa Kuwa Mbunge Viti Maalum Chadema

$
0
0
Katika hali isiyotarajiwa na wengi, Katibu wa UVCCM wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, Bi. Anna Gideria ameteuliwa na Chadema kuwa mbunge wa viti maalum. Bi. Gideria amejiuzulu nafasi ya ukatibu na kukabidhi barua yake kwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Manyara, Bi. Regina Ndege baada ya kutangazwa majina ya viti maalum na jina lake kuwa katika orodha ya wabunge wa Chadema. Akizungumzia hatua

Hatimaye Mashine Ya MRI ya Muhimbili Yaanza Kufanya Kazi

Makada wa CCM Waliochukua fomu Lumumba za Kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri

$
0
0
Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Karagwe Gosbert Blandes akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri

Rais Magufuli akabidhiwa rasmi ofisi Ikulu na Rais Mstaafu Kikwete

$
0
0
MAKABIDHIANO YA TAARIFA RASMI IKULU. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana na kushuhudiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM jijini Dar es Salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli. (picha:  Ikulu)

Lowassa kumnadi Godbless Lema Arusha Mjini Jumamosi hii....Pia Atalitumia Jukwaa Hilo Kuwashukuru Watanzania

$
0
0
Aliyekuwa mgombea wa urais wa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa anatarajiwa kupanda jukwaani Jumamosi kumuombea kura mgombea wa ubunge wa Chadema Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema. Akizungumza katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za ubunge katika jimbo hilo uliofanyika Soko Kuu jana, Lema alisema Lowassa atazungumza na Watanzania na kuwashukuru pia kwa kura nyingi walizompa. Awali,

Gazeti la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Lachapisha Taarifa ya Kufuta Rasmi Uchaguzi Wa Zanzibar

$
0
0
Wakati mazungumzo ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa uchaguzi mkuu wa Zanzibar yakiwa yamepamba moto, uamuzi wa kufutwa matokeo ya uchaguzi umetangazwa rasmi katika Gazeti la Serikali la Novemba 6, mwaka huu, hivyo kumaanisha uchaguzi huo sasa ni rasmi utarudiwa. Kwa mujibu wa gazeti hilo, uamuzi huo umechapwa chini ya kifungu 119 (10) na Sheria ya Uchaguzi Namba 11 ya Mwaka 1984.

Rais Magufuli Kuteua Wabunge Muda Wowote Kuanzia Sasa

$
0
0
Rais John Magufuli anatarajiwa, wakati wowote kuanzia sasa, kuwateua baadhi ya watu wenye sifa kuwa wabunge ili aweze kuwapa majukumu ya kuongoza wizara atakapopanga safu ya Baraza la Mawaziri, hivi karibuni. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inampa Rais mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi 10 kutoka miongoni mwa wananchi ambao anaona wanaweza kumsaidia katika utekelezaji
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images