Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CCM Yazoa Viti Maalum Vya Udiwani 1021......Wapinzani 371

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetangaza idadi ya viti maalum kwa nafasi ya udiwani kwa kila chama.  Chini ya mgawo huo, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeongoza kwa kupata viti 1,021 na upinzani 371. Kwa mgawanyo huo, jumla ya madiwani wa viti maalum nchini ni 1,392 ambapo viti 14 vilivyosalia, vitajulikana baada kufanyika uchaguzi wa marudio katika kata 34 ambazo hazikufanya uchaguzi

BAVICHA Yawataka Wabunge wa UKAWA Kupigania Katiba Mpya

$
0
0
Wabunge wapya kutoka Umoja wa Katiba ya Wananchi  (Ukawa) wanaotarajia kuingia Bungeni wiki ijayo wametakiwa kupigania kupatikana kwa katiba mpya itakayowezesha kupatikana kwa tume huru ya taifa ya uchaguzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari mwenyekiti wa Bavicha wilaya ya Shinyanga mjini Bw. Samson Ng’wagi amesema kwamba  wabunge wa ukawa waliopata nafasi ya ubunge wanatakiwa  kusimamia

Kortini kwa mauaji ya polisi na raia Stakishari

$
0
0
Idadi ya washtakiwa waliofikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka saba ya mauaji ya maofisa wanne wa polisi na raia watatu katika kituo cha jeshi hilo cha Stakishari, imeongezeka hadi kufikia 10. Wakili wa Serikali, Hellen Moshi jana aliwataja washtakiwa hao kuwa ni Omari Makota (28); Rajabu Ulatule (22); Ramadhani Ulatule (20); Fadhil Lukwembe (23) na Ally Salum (63).

Ndugai: Bunge Lijalo ni Balaa

$
0
0
MCHAKATO wa kujaza, kurudisha fomu za kuwania nafasi ya Spikawa Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa wagombea ambao si wabunge, umemalizika rasmi jana ambapo mgombea mmoja Profesa Costa Mahalu aliyewahi kuwa  Balozi wa Tanzania nchini Italia, alishindwa kurudisha. Wagombea waliorudisha fomu hizo ni Leonce Mulenda, Samuel Sitta, Gosbert Blandes, Dkt. Kalokola Muzzamil, George Nangale, Banda

Anne Makinda Aukimbia Uspika.....Aingia Mitini Dakika za Mwisho Licha ya Kufanya Kampenj

$
0
0
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Kumi, Anne Makinda ameamua kukaa kando ya mbio za Uspika wa Bunge la 11, siku chache baada ya kufanya kampeni kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Taarifa za kuaminika zimeeleza kuwa Mama Makinda aliamua kuchukua uamuzi huo wa kujiweka kando ya mchuano huo baada ya kushauriwa na watu wake wa karibu kufuatia dalili walizoziona kwenye mchakato huo pamoja na mambo

Haya ndio maamuzi mapya ya mahakama kuhusu katibu mkuu wa zamani wa Simba

$
0
0
Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka mitatu hatimaye Mwenyekiti wa Chama cha Soka Pwani (Corefa), Hassani Othman maarufu kama Hasanoo ameachiwa huru kwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu. Hasanoo anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi na kusafirisha pembe za ndovu kutoka Dar es Salaam kwenda Hong Kong, zenye thamani ya Sh1.1 bilioni na wenzake amesota rumande kwa zaidi ya miaka

Kikwete Atinga Ofisini Kwake Leo Lumumba...Aanza Kupiga Mzigo Fasta

$
0
0
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi Ndogo Lumumba.  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada ya

Maalim Seif azugumza na Balozi wa EU na viongozi wa UKAWA....Atoa Msimamo Mzito

$
0
0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejea kauli yake ya kutotambua kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 25 mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kikao cha mashauriano na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, Maalim Seif amesema Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Bw

Prof. Jay Aanza Kuwapigia Debe Wasanii kwa Rais Magufuli

$
0
0
MBUNGE mteule wa Mikumi kupita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Haule aka Profesa Jay, amemtaka Rais John Magufuli kumteua msanii mmoja kuwa mbunge katika nafasi zake 10, ili akawakilishe kundi wasanii bungeni. Profesa Jay, ambaye pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, amesema kuwa Rais anapaswa kufanya hayo kwa vile serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewatumia

Lowassa Kuongea na Watanzania Leo jijini i Arusha

$
0
0
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa anatarajia kuhutubia mkutano wa kumnadi mgombea wa ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompa katika Uchaguzi Mkuu uliopita. Jeshi la Polisi limeridhia mkutano huo utakaofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro, lakini limepiga marufuku maandamano yoyote. Huu utakuwa mkutano wa

Mgonjwa ‘Aliyetibiwa’ na Rais Magufuli Kufanyiwa Upasuliwa Wiki ijayo

$
0
0
Mgonjwa aliyeahidiwa matibabu na Rais John Magufuli, Chacha Makenge amefanyiwa uchunguzi na majibu ya kipimo cha MRI na sasa anasubiri upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Chacha aliyekuwa amekwama kupatiwa matibabu kwa kukosekana vipimo vya CT Scan na MRI, amepatiwa matibabu hayo kwenye hospitali hiyo ya rufani chini ya uangalizi wa madaktari bingwa. Akizungumza na

Ratiba ya Uchaguzi wa Spika wa Bunge Pamoja na Uteuzi wa Waziri Mkuu

$
0
0
Spika  wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuchaguliwa mjini Dodoma Jumanne ijayo, ratiba ya Bunge hilo imeeleza.   Kutokana na ratiba hiyo, ni wazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitalazimika kumtaja mgombea wake atakayekuwa na nafasi kubwa ya kuwa Spika kati ya kesho na keshokutwa na kumaliza mvutano wa nani anafaa kuwa spika, baada ya wanachama 22 kujitokeza mpaka

Dr Magufuli Aifumua Ikulu.....Aipanga upya Kwa kupunguza Ofisi na Watendaji

$
0
0
Rais John Magufuli amezifumua na kuziunda upya baadhi ya ofisi za Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam pamoja na kuwaondoa baadhi ya watumishi ambao hawana ulazima katika mfumo wa utumishi wa Ikulu. Taarifa za uhakika zilizotufikia kutoka ndani ya Ikulu zimeeleza kuwa Rais Magufuli alianza kufanya ukaguzi wa ofisi moja baada ya nyingine zilizo Ikulu huku akitaka maelezo ya kina kuhusu shughuli

Raisi mstaafu,Jakaya Mrisho Kikwete Aingia Mtaani.....Afanya 'Shopping’ Mlimani City

$
0
0
Kwa mara ya kwanza tangu aondoke madarakani mwanzoni mwa mwezi huu, jana Rais Jakaya Kikwete alionekana akifanya manunuzi katika maduka yaliyopo jengo la Mlimani City, jijini Dar es Salaam. Kikwete, ambaye alikuwa amevalia suti maarufu kama ‘kaunda suti’ yenye rangi nyeusi, alionekana akiingia katika viunga vya Mlimani City saa 5:00. Mwandishi wetu ambaye alikuwepo katika viunga hivyo

Kijana Aliyesambaza Taarifa Za Mkuu wa Majeshi Kulishwa Sumu Akwama tena Kupata Dhamana

$
0
0
Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani anayekabiliwa na kesi ya kusambaza taarifa za uongo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange amelishwa sumu na kupelekwa nchini Kenya kwa matibabu anaendelea kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu Respicius Mwijage jana alimpa masharti

Dk Hellen Kijo-Bisimba Kupelekwa India kwa Matibabu

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi. Novemba 7, mwaka huu Dk Bisimba alipata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi na kuvunjika mshipa wa paja na goti sanjari na kujeruhiwa kichwa,bega na mgongo. Akizungumza jana akiwa katika Taasisi ya Tiba ya

Pigo CHADEMA: Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Auawa kwa Kukatwa Mapanga

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa maisha

UKAWA Waahidi Kutoa Mgombea Uspika Makini

$
0
0
Mbunge mteule wa jimbo la Hai na Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Freeman Mbowe (Chadema) amesema mchakato wa kumpata spika wa Bunge unaendelea ndani ya umoja huo. Mbali na hilo amesema siyo dhambi kumpata spika ambaye hatokani na wabunge na asiye kuwa na chama chochote cha siasa. Mbowe alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari juu ya

Uchaguzi Mkuu Zanzibar Wavunja Ndoa 4

$
0
0
Athari  za uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, zimeanza kujitokeza Zanzibar ambapo jumla ya wanawake wanane wamepoteza ndoa zao baada ya kulazimishwa kupiga kura kinyume na matakwa yao, kinyume na demokrasia ya mfumo wa vyama vingi. Wakizungumza na mtandao huu wanawake hao walidai kwamba wamepewa talaka na waume zao ambao walikuwa wanataka pamoja na kuwalazimisha kufahamu wanakweda kumpigia

LOWASSA Atoa Kauli Kuhusu Mauaji ya Mwenyekiti wa Chadema Geita Aliyeuawa Kwa Kukatwa na Mapanga

$
0
0
Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita: "Nimeshtushwa na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo, Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na familia yetu ya UKAWA.Hakika tumeondokewa na mpiganaji." (function(d, s, id) { var js, fjs = d.getElementsByTagName(s)[0]; if (d.getElementById(id))
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>