WATU wanne wakiwemo ndugu watatu, wamepandishwa kizimbani katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka ya kusambaza
taarifa za uongo kwenye mtandao wa Whatsapp, kuwa nchi inaingia kwenye
machafuko wakati wa uchaguzi.
Washtakiwa hao Leila Sinare (36), pamoja na ndugu watatu, Godfrey
Soka (45), Deo Soka (40) na Monica Soka (32), walifikishwa mahakamani
hapo jana na
Watu Wanne Wapandisha Kizimbani Kwa Kusambaza Taarifa za Uongo Kwenye Mtandao wa Whatsapp
↧
↧
Rais Magufuli afanya kikao na Makatibu Ikulu jijini Dar
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada
↧
Hapa Kazi Tu: Magufuli Afuta Safari Zote za Nje ya Nchi Kuanzia Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo
asubuhi katika Ikulu ya Dar es Salaam amefanya kikao na Makatibu wakuu,
Manaibu Makatibu wakuu, Gavana wa Benki Kuu Prof. Benno Ndulu na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kutoa uelekeo wa
Serikali anayoitaka mara baada ya kuapishwa.
“Nataka Serikali iendelee kwa nguvu zote na katika kutekeleza
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Novemba 9
↧
Niko tayari Kukamatwa-Maalim Seif
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema yuko tayari
kukamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka, kama kitendo chake
cha kujitangazia ushindi ni kosa.
Maalim Seif alikuwa akizungumza
na viongozi wa majimbo, makatibu wa matawi, wajumbe wa mkutano mkuu,
wajumbe wa kamati za utendaji za ngazi zote na watendaji wa chama hicho.
Alisema
haoni hatua yake ya kuitaka
↧
↧
Babu Seya Atua Mahakama ya Afrika......Awasilisha hoja tatu, Alia na Serikali Kuvunja Sheria
Hatimaye mwanamuziki, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae,
Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za
Binadamu Afrika (AFCPHR) Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani.
Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/
2015, wanaiomba Mahakama ya
↧
Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba Anusurika Kifo Katika Ajali Mbaya Ya Gari
Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dk. Hellen Kijo-Bisimba amenusurika kifo ajalini.
Dk. Kijo-Bisimba alipata ajali mbaya ya gari katika daraja la Salender Dar es Salaam jana.
Katika ajali hiyo, Dk. Kijo-Bisimba anadaiwa kuvunjika mguu mmoja baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kupinduka mara nne.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi wakati akitoka
↧
Uteuzi wa Wabunge wa Viti Maalum Wapelekea Viongozi Wa Chadema Kujiuzulu
Viongozi wa ngazi za juu mkoani Rukwa akiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa
Chama hicho ngazi ya Mkoa, Zeno Nkoswe wametangaza kujiuzulu nafasi zao
kufuatia kutoridhishwa na uteuzi wa wabunge wa viti maalum uliofanywa
na viongozi wa chama hicho ngazi ya Taifa.
Viongozi hao wa Baraza
la Chadema wameeleza kuwa mbunge wa viti maalum aliyeteuliwa alikuwa
wakala wa TLP na sio Chadema kama
↧
Lowassa Azichambua Ahadi za Rais Magufuli
Aliekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Edward Lowassa, amewataka wananchi kulinganisha ahadi za
Rais, Dk. John Magufuli na CCM kuhusu elimu.
Ameyasema hayo siku mbili baada ya Dk. Magufuli, aagize watendaji
wa serikali kushughulikia utekelezaji wa sera yake ya kutoa elimu bure
kuanzia Januari mwakani.
Lowassa, chini ya mwamvuli wa Umoja wa
↧
↧
BAVICHA Waipa Serikali Saa 72 Iwe Imetoa Mikopo kwa Wanafuzi wa Vyuo Vikuu......Vinginevyo Wataitisha Mgomo
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), limetoa saa 72 kwa Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) kuhakikisha inawapa mikopo wanafunzi wote waliobaki wa Vyuo Vikuu na wakishindwa kufanya hivyo wataitisha mgomo nchi nzima.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa BAVICHA, Julias Mwita, alisema Serikali ya
↧
Taarifa ya Bodi kuhusu awamu ya pili ya mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
AWAMU YA PILI YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA MIKOPO KWA 2015/2016
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuutaarifu umma
kuwa kuna taarifa zinazosambazwa na baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa
Bodi haitatoa mikopo kwa waombaji wapya kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
Taarifa hizo si za kweli na hivyo Bodi inauomba umma kuzipuuza.
Aidha,
Bodi ya Mikopo inapenda kutoa taarifa kwamba
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Nov 10
↧
Bibi Harusi Amkimbia Bwana Harusi Saa Chache Kabla Ya Ndoa Kufungwa
Mwanamke
aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha,
ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa
Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa
ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa
la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika
wa Lole, Mwika.
Mchungaji
mwenza wa
↧
↧
Dk Shein na Maalim Seif Wakutana Kwa Faragha Ikulu, Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Mohamed Shein na
mwenzake wa ya CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad jana walikutana kwa
faragha kwa takriban saa tano, lakini hakuna taarifa iliyotolewa kuhusu
kilichojadiliwa kwenye kikao hicho.
Kikao hicho, ambacho pia
kiliwahusisha marais wastaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano, Ali
Hassan Mwinyi na Amani Karume, kimefanyika katika
↧
Wawakilishi Wateule 27 wa CUF Zanzibar Wawasha Moto......Mawaziri Nao Waachia Ngazi
Wakati Jumuiya za kimataifa zikiendelea kushinikiza mgogoro wa kisiasa Zanzibar umalizwe, wawakilishi wateule 27 wa CUF Zanzibar, wamepigilia msumari wakisema wao ni wawakilishi halali na kwamba hawatambui kufutwa kwa uchaguzi wa Zanzibar.
Wawakilishi hao wamesema kuwa, sheria na Katiba ya Zanzibar haziruhusu mtu yeyote kufuta matokeo yao, kwa kuwa walishatangazwa na kupewa vyeti vya
↧
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Afungasha Virago
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salvatory Rweyemamu amemaliza mkataba wake na kuondoka huku akiwashukuru watendaji kwa muda wote aliokuwa nao wakimsaidia Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete.
Kuondoka kwake kunampa fursa Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli kuunda safu mpya ya Kurugenzi ya Mawasiliano. Salva aliteuliwa, kwa mara ya kwanza, na Rais Kikwete kushika
↧
Umoja wa Ulaya Waiasa Tanzania Kuhakikisha Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni ya mwaka 2015 Haikiuki Haki za Raia Wake.
Mkuu wa Umoja wa Ulaya, Mabalozi wa Ubelgiji, Denmark, Ufini, Ufaransa,
Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Hispania, Sweden, Uingereza
na Mabalozi wa Canada, Norway, Uswisi na
Marekani
wanatoa tamko lifuatalo katika Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania
==
Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubelgiji, Denmark, Ufini, Ufaransa, Ujerumani,
Ireland, Italia, Uholanzi, Hispania, Sweden, Uingereza na
↧
↧
Rais Dkt. John Pombe Magufuli Akusudia Kupunguza Wizara 8 kati ya Wizara 28 Zilizopo Sasa.....Lengo ni Kubana Matumizi Ya Serikali
Siku chache baada ya kufuta safari za vigogo nje ya nchi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli anakusudia kufyeka wizara 8 miongoni mwa 28 zilizopo sasa ili kubana matumizi.
Hatua hiyo ya Dr Magufuli ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi alizozitoa kwa wananchi wakati akijinadi kwenye kampeni zake za kuwania Urais kupitia Chama
↧
Kofia Ya 'M4C' Yatajwa Kama Kigezo Cha Kumvua Ubunge Peter Msigwa
Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Frederick Mwakalebela amefungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge wa jimbo la Iringa mjini yaliyompa ushindi Mchungaji Peter Msigwa wa Chadema huku akiitaja kofia ya M4C katika shtaka lake.
Msajili msaidizi wa mahakama kuu ya kanda ya Iringa , Ruth Massama amesema kuwa Mwakalebela alifungua shtaka hilo mahakamani hapo Oktoba 30 mwaka
↧
Zitto Kabwe Atoa Ushauri Muhimu Kwa Rais Magufuli Utakaosaidia Kuleta Mabadilko Kwa Watanzania
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa ushauri wake kwa
kiongozi mkuu wa nchi ili kuleta mabadiliko makubwa katika mfumo.
Zitto
ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook, japo hakutaja jina lakini
maelezo yake yanaonesha kuwa mwenye uwezo wa kufanya maamuzi hayo ni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo, ndiye mlengwa wa ujumbe
huo.
Hivi ndivyo alivyoandika
↧
More Pages to Explore .....