Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tundu Lissu Ajibu Mapigo.......Asema Mwenye Richmond ni Rais Kikwete Mwenyewe

$
0
0
Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri. Juzi, akiwa Kigoma, Rais Kikwete alieleza kumshangaa Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 17

Picha 17: Mafuriko ya LOWASSA Yahamia Nyumbani Kwa Magufuli.....Maelfu Wamlaki Lowassa Chato

CCM Wajitabiria Ushindi Kwa Asilimia 69

$
0
0
SIKU moja baada ya vyama vinavyounda Ukawa kuomba kufanyika mdahalo utakaowajumuisha viongozi wa vyama, badala ya wagombea urais, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejitokeza na kutaka ufanyike mdahalo utakaowajumuisha wagombea urais wote, bila yeyote kukimbia. Katika kusisitiza kauli yao, CCM imesema mgombea wake wa urais, Dk John Magufuli amekubali kushiriki mdahalo wa wagombea urais,

Magufuli Apokelwa Kifalme Kigoma

$
0
0
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjiji waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji mkoani Kigoma.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma ambapo aliwaambia atajenga Tanzania mpya yenye uchumi wa Viwanda.  Mwenyekiti wa Jumuiya

LOWASSA: Asanteni Chato Kwa Mahaba Yenu.....Mnanifanya Nideke

$
0
0
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Watanzania (Ukawa), ameipenya ngome ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, wilayani kwake Chato na kupata mapokezi makubwa. Mkutano wa jana ulikuwa wa kwanza kufanyika mjini hapo akiwa ametokea Morogoro, mkutano mwingine

Penny Amwaga Machozi Hadharani

$
0
0
Mtangazaji matata wa Bongo Star Search (BSS 2015), Penniel Mungilwa ‘Penny’ wiki iliyopita alijikuta akiangua kilio bila aibu baada ya majaji wa shindano hilo kutaja washiriki waliokuwa wakiaga.   Akizungumza  na mtandao huu, Penny alifafanua sababu ya kushindwa kujizuia kuangua kilio ni kutokana na kwamba mara nyingi anakuwa na washiriki hao na ameshawazoea sasa aliposikia wanaaga

Pendeza na Markson Products......Wanadawa za Asili za Kuongeza Uuume, Kurefusha Nywele,Kusimamisha Maziwa Yaliyolala n.k

$
0
0
Katika kusherehekea miaka kumi na nne ya kampuni hii tumetoa punguzo kubwa la bei kama shukran kwa wateja wetu. Bidhaa zetu zimetengenezwa kwa mimea na matunda na hazina kemikali wala madhara.       TUNAZO ZA:- 1.Kerefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/= 2.Kuongeza shepu (hips na makalio) @120,000/= 3.Kuondoa mvi milele zisirudi @100,000/= 4.Kupunguza unene na manyama uzembe

Ray Awapa Makavu UKAWA

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameendelea kushusha maneno kwa chama kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) baada ya kufunguka hadharani kuwa hawakuwa na sera ambazo zingemfanya aendelee kubaki. Staa huyo ambaye kwa sasa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema kurudi kwake CCM hakumaanishi kama amehongwa kama watu wanavyoendelea kusambaza habari hizo bali amekwenda

Magufuli Asema M4C ni ‘Magufuli for Change’

$
0
0
Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema maana na neno M4C, linalotumiwa na Chadema ni "Magufuli for Change” akimaanisha ndiye atakayeleta mabadiliko. Dk Magufuli alitoa kauli hiyo jana katika Kata ya Nguruka, Jimbo la Kigoma Kusini mkoani Kigoma, alipohutubia mkutano wa hadhara wa kampeni ambapo aliwabeza wapinzani kuwa hawawezi kurudi kwa wananchi kuangalia shida zao. “

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa

Serikali Yakanusha Rais Kikwete Kutumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya Safari za Kikazi nje ya nchi uongozi wake wa miaka 10

$
0
0
Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilizotolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5). Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi

Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

$
0
0
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari: Ushiriki Wa Vyama Vya Nccr – Mageuzi, Nld, Cuf Na Chadema Katika Ukawa.   UTANGULIZI Sisi viongozi wa ngazi ya juu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu tukiwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa na viongozi wengine, tumekuja mbele yenu mtusaidie kufikisha ujumbe maalum kwa wanachama wetu na Watanzania wote wanaokiamini chama chetu,.

Umoja wa Ulaya Watabiri mchuano Mkali Kati ya CCM na UKAWA......Watuma Mamia ya Waangalizi Watakaopiga Kambi Nchi nzima

$
0
0
Umoja wa Ulaya (EU), umesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini, una ushindani mkali na siyo mwepesi kama chaguzi nne zilizopita chini ya mfumo wa vyama vingi. Tangu kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, wagombea urais wanaoonekana kuchuana vikali ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono

Uwoya Awashangaa Wasanii Wasioisapoti CCM

$
0
0
Mrembo wa filamu za kibongo nchini ambaye ameshapitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa viti maalumu, Irene Uwoya anawashangaa wasanii wenzake ambao hawakiungi mkono chama hicho wakati baadhi yao walikuwa karibu sana na Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake.   Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Uwoya amewachana wasanii ambao wamekuwa wakisema hawaoni

Mke wa LOWASSA Aondolewa Mkutanoni Simiyu

$
0
0
MGOGORO wa vyama viwili vya siasa CUF na CHADEMA ambavyo vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), katika Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, juzi ulichukua sura mpya.   Hali hiyo inatokana na  mgombea mmoja wa ubunge wa jimbo hilo kupitia CUF, Martine Makondo na wafuasi wake, kuvamia uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge wa CHADEMA, Martine Magire ambapo mgeni alikuwa Mama Regina

Msafara wa Sugu Washambuliwa kwa mawe Wakati Akielekea Mkutanoni

$
0
0
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, amejikuta katika wakati mgumu baada ya msafara wake kushambuliwa na mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Katika vurugu hizo, watu wawili wamejeruhiwa akiwamo dereva aliyekuwa akimwendesha mgombea huyo aliyejulikana kwa jina moja la Gabi,

UKAWA Wamponda Samuel Sitta Kumwachia Mkewe jimbo

$
0
0
MSAFARA wa mgombea mwenza wa urais kupitia Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, juzi uliingia katika Jimbo la Urambo mkoani Tabora, huku makada wa umoja huo wakimponda mbunge wa jimbo hilo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta, kwa kumwachia mkewe, Margaret Sitta kugombea jimbo hilo.   Sitta ambaye pia ni Waziri wa Uchukuzi, amekuwa mbunge wa

Polisi wamsaka 'Daudi Balali' anayemiliki ukurasa wa twitter.

$
0
0
Jeshi la Polisi nchini linafanya uchunguzi kumbaini mmiliki wa ukurasa wa twitter unaoendeshwa na anayejiita Daudi Balali, aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.   Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, aliyasema hayo wakati akizungumza na Gazeti  la  Nipashe ofisini kwake jana. Bulimba alisema

Sumaye : Magufuli Amepoteza Dira......Sasa Anadandia Slogan za CHADEMA

$
0
0
Siku moja baada ya Dk John Magufuli kupachika jina lake kwenye operesheni ya Chadema ya M4C, Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye amemuelezea mgombea huyo urais wa CCM kuwa ni mtu anayedandia hoja baada ya kupoteza dira. Wakati akipewa majibu hayo, DK Magufuli alikuwa akiendelea na kampeni mkoani Kigoma, ambako ajenda yake kuu ilikuwa ujenzi wa barabara, huku mgombea wa Ukawa, Edward
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images