Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

NCCR - Mageuzi Waongea na vyombo vya habari...... Wamjibu Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake Wanaotumika Kukichafua Chama

$
0
0
Pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini NCCR Mohamed Tibanyendera  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.Picha: Karoli Visenti. SIKU moja kupita baada ya Makamu mwenyekiti wa chama cha NCCR-mageuzi, Reticia Mosore pamoja Katibu Mkuu wa chama hicho John Mwambabe kuibuka na kumtuhumu Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kukiua chama chao kwa kile wanachodai kuwa

Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na wapiga kura 1,400 wa CCM wahamia CHADEMA.

$
0
0
Viongozi wote wa CCM wa kata ya mkomazi na pamoja na wapiga kura 1,400 wa eneo hilo wilayani Korogwe wamejiunga na CHADEMA huku baadhi yao wakiamua kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwa tiketi ya chama hicho.   Wakizungumza katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika kijiji cha mikocheni kilichopo kata ya mkomazi wilayani Korogwe baadhi ya viongozi hao pamoja na wengine wa CCM katika

Tume ya Uchaguzi yalaani mauaji wakati wa kampeni Tarime.....Yaliomba Jeshi la Polisi Kuchunguza Taarifa za Vijana 1500 Waliopewa Mafunzo ya Kijeshi

$
0
0
Kwa masikitiko na mshangao mkubwa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepokea taarifa ya kutokea kwa mauaji katika Kijiji cha Mangucha Halmashauri ya Wilaya ya Tarime wakati wa Kampeni za Uchaguzi ambapo Bwana Mwita Bhoke Waitegi aliuawa. Tume inakemea vikali na kwa nguvu zote ukiukwaji wa Maadili unaopelekea uvunjifu wa amani na kusababisha vurugu ambazo hatimaye wakati wa Kampeni mauaji

MAFURIKO..!!........LOWASSA Apata Mapokezi ya Kishindo Muleba Mkoani Kagera Leo

Mabalozi wa CCM Wakamatwa Wakiandikisha Namba za Kadi za Wapiga Kura na Kuchana Mabango ya Lowassa Mwanza

$
0
0
POLISI mkoani Mwanza linawashikilia watu watatu kwa makosa mawili tofauti ikiwamo ya kukutwa wakiandikisha namba za kadi za wapiga kura na kuchana mabango ya mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa. Watuhumiwa hao ambao baadhi yao ni mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walikamatwa jana na wananchi kwa nyakati tofauti katika eneo la Mtaa wa Utemini na stendi ya Nyegezi jijini mwanza.

Wakenya Watatu Na Mtanzania Mmoja Wauawa kwa Ujambazi Arusha

$
0
0
Majambazi wane, wakiwemo raia watatu wa Kenya wameuwa na polisi mkoani Arusha baada ya kuhusika kufanya matukio mbalimbali ya ujambazi wa kupora silaha pamoja na fedha. Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha, Kamanda wa polisi, Liberatus Sabas amesema kuwa majambazi waliouwawa watatu ni raia wa Kenya ambapo bado majina yao kamili hayajajulikana huku raia wa Tanzania ametambulika

Aunt Ezekiel: Nimeamua Kuhama CHADEMA Na Kurudi CCM Baada ya Kuvutiwa na Sera za Chama........Sijapewa Pesa wala Gari

$
0
0
MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka CHADEMA  na kwenda CCM. Licha ya mrembo huyo kudai kupokea vitisho mbalimbali, pia alidai amehama chama hicho na kujiunga na CCM kutokana na kukubali sera za chama hicho. “Sera za chama nilichohamia zimenivutia na wala sikulazimishwa na

CHADEMA Kumshitaki Dr. Magufuli.......Yamtuhumu Kuiba na Kutumia Nembo ya M4C

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kumshitaki mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli kwa madai ya kutumia vibaya nembo za chama hicho. Ni baada ya Dk. Magufuli kutangaza kuwa nembo ya Movement for Change (M4C) ni  Magufuli  For Change wakati akifanya mkutano wake wa kampeni mkoani Kigoma kwenye Uwanja wa Kawawa uliopo Ujiji. Katika mkutano

Taarifa Ya CHADEMA-US Kukanusha Mbowe Kujisalimisha Kwa Dr. Slaa

$
0
0
Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa ya uongo na uzushi iliyoenezwa kupitia mitandao ya kijamii  tarehe 18 Septemba 2015 iliyoanzia kwenye JamiiForums yenye kichwa cha habari “Mbowe asalimu amri kwa Dr Slaa”.    Katika taarifa hiyo mwandishi amenitaja mimi Kalley Pandukizi kama mmoja wa viongozi wa CHADEMA tawi la DMV pamoja na viongozi wenzangu kuwa tumewapokea viongozi hao wa juu

Serikali Kushusha Bei ya Umeme Ifikapo Oktoba Mwaka Huu

$
0
0
Serikali imesema bei ya umeme nchini inatarajiwa kushuka kwa kiwango kikubwa baada ya kuanza uzalishaji wa nishati hiyo kwa kutumia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Kinyerezi, Dar es Salaam. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alisema hayo, Dar es Salaam, jana wakati akikagua mradi wa bomba la gesi na kuwashwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Ubungo II na Kinyerezi I.

Dk Magufuli Atinga Kijijini Kwake Chato ....... Azuru Kaburi La Aliyekuwa Mwalimu Wake Wa Darasa La Kwanza Biharamulo

$
0
0
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi  kwa wananchi huku akishangiliwa aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa wa Kagera jana.  Wakazi wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakati wa mkutano wa kampeni. Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli wilayani Kakonko, Kigoma.  Dk Magufuli

Mgombea Ubunge wa CUF ahamia CCM

$
0
0
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepasuka wilayani Mafia, mkoani Pwani, baada ya aliyeidhinishwa kugombea ubunge Mafia, Mohammed Albadawi, kuhama chama hicho na kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Albadawi pamoja na kuidhinishwa na CUF kuwa mgombea wake katika jimbo hilo, siku chache baadaye alikatwa na nafasi yake hiyo kupewa aliyekuwa mgombea wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM lakini

Chadema, NCCR-Mageuzi washikana Mashati Vunjo

$
0
0
HALI ya Umoja wa Vyama vinne vya Upinzani (UKAWA), si shwari ndani ya Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, kutokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na NCCR-Mageuzi kushindwa kuheshimu makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila kata. Hali hiyo imekuja baada ya wagombea udiwani wa Chadema kukataa kumuunga mkono mgombea ubunge wa jimbo hilo NCCR-Mageuzi, James Mbatia,

Marekani Yatoa Angalizo uchaguzi Mkuu wa Tanzania

$
0
0
Siku moja tu baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kutabiri kuwapo kwa ushindani mkali katika uchaguzi mkuu nchini utakaofanyika Oktoba 25, Serikali ya Marekani imeibuka pia na kutoa angalizo kuhusiana na uchaguzi huo unaohusisha wagombea urais saba wakiwamo Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Taarifa iliyotolewa jana kwa

Wanachama 100 Wa CCM Watimkia ACT- Wazalendo

$
0
0
Zaidi ya wanachama 100 kutoka CCM, Kata ya Chihanga, Manispaa ya Dodoma wamejiunga na ACT- Wazalendo. Akizungumza kwa niaba ya wanachama hao, Ally Amanzi aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM katika kata hiyo, alisema jana kuwa wamelazimika kuhama kutokana na kufilisika kisiasa. Amanzi alisema viongozi wa vyama hawaonyeshi kama wanaweza kuleta mabadiliko, badala yake

NEC: Matokeo Ya kura za Urais Yatabandikwa Vituoni Ili Kuondoa Malalamiko Ya Kura Kuibiwa

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura. Mpango huo umeelezwa na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji mstaafu Damian Lubuva alipozungumza na viongozi wa dini jijini Dar es Salaam ambao walimueleza hoja

Picha 9: Mafuriko ya LOWASSA Bukoba Mjini na Misenyi, Kagera

Lowassa kuiteka tena Dar es Salaam LEO

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chadema na anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Edward Lowassa anatarajia kuliteka tena Jiji la Dar es Salaam leo  katika mikutano mitatu. Lowassa anarejea tena jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya mikutano kwenye majimbo ya Kawe na Kibamba Septemba 7 mwaka huu na kunadi wagombea wa majimbo hayo. Lowassa alimnadi John Mnyika

Makamba: Watanzania Mchagueni Magufuli

$
0
0
KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amewaasa Watanzania kutofanya makosa kwa kumchagua Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuwa Rais wa Tanzania na badala yake wamchague Dk John Magufuli ambaye ni kiongozi makini anayejali shida za wananchi. Akizindua kampeni za Jimbo la Mtera Kijiji cha Nagulo Kata ya Mpwayungu, Makamba

UVCCM yamshangaa Sumaye kumpigia debe Lowassa

$
0
0
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Shaka Hamdu Shaka amesema anamshangaa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kusaidia kampeni mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa. Amesema uamuzi huo wa Sumaye ni sawa na pwagu kumfanyia kampeni pwaguzi. Shaka alitoa matamshi hayo jana katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images