Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaandaa sherehe ya kumuaga Amiri Jeshi Mkuu tarehe 01 Septemba 2015 kwa gwaride rasmi litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru, kuanzia saa 2.00 Asubuhi hadi saa 6.30 mchana.
Waandishi wa Habari mnakaribishwa katika uwanja wa Taifa kwa ajili ya Coverage ya tukio hilo la kihistoria.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari
Jeshi la Wananchi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Laandaa Sherehe za Kumuaga Rais Kikwete
↧
↧
Polisi Yakamata Majambazi 38 Yakiwa na silaha Nzito pamoja na Milioni 170......Majambazi hayo yanadaiwa na mafunzo ya Kijeshi
Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.
Sambamba na kukamatwa watu hao, polisi pia imekamata bunduki 10, risasi 300 na bomu moja la mkono.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna, Suleiman Kova ametangaza leo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 1
↧
Lowassa Apokelewa Kifalme Njombe........Hapa kuna picha 14 za Mafuriko yake
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akiwasili kwenye viwanja vya Shirika la Nyumba (National Housing) Mjini
Njombe tayari kwa kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu,
anazoendelea kuzifanya kwa nchi nzima. Picha zote na Othman Michuzi,
Njombe.
Mgombea
Urais
↧
Magufuli Atikisa Songea......Aweka shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Kapteni John Komba
Mgombea
wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe
Magufuli akihutubia kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea jana ambapo mkutano huo
ulihudhuriwa na maelfu ya wananchi mkoani humo.
Akizungumza
katika mkutano huo wakati akiomba kura Dr. John Pombe Magufuli
aliwaambia wananchi hao kuwa anataka kuijenga
↧
↧
Lowassa: Miaka 50 ya Kuteswa na CCM Imetosha......Watanzania Msiogope Kufanya Mabadiliko
Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema mwaka huu ni wa mabadiliko ili kuiokoa nchi na madeni mengi ambayo yanasababisha uchumi kuyumba.
Lowassa ambaye ameambatana na Waziri Mkuu wa mstaafu wa awamu ya tatu, Frederick Sumaye, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, aliyekuwa Mwenyekiti wa
↧
Dr. Slaa Kuongea na Vyombo vya Habari Leo Saa Nane Mchana
Baada ya kutoonekana hadharani kwa wiki kadhaa, hatimaye Katibu Mkuu aliyepumzika wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa atajitokeza hadharani leo na kutoa ufafanuzi kuhusiana na masuala mbalimbali yanayoelezwa kuhusiana na yeye.
Taarifa zilizotufikia jana zilieleza kuwa Dk. Slaa atajitoa hadharani leo saa 8:00 mchana wakati atakapozungumza na waandishi wa habari
↧
Sheria ya Makosa ya Mtandao kuanza kutumika leo.
Serikali imewatoa hofu wananchi kuhusu Sheria ya Makosa ya Mtandao inayoanza kutumika rasmi leo kuwa haijatungwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, bali kwa maslahi mapana ya taifa na kuleta maendeleo ya nchi, kujenga uchumi imara na kupambana na wahalifu.
Aidha, serikali imewasisitizia wananchi kutumia vizuri mitandao kwa faida yao na taifa na
↧
Ahadi za UKAWA zaitikisa Serikali
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu zikiendelea kushika kasi, ahadi za mgombea urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa zimeanza kuichanganya Serikali na jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta aliibuka na kudai mgombea huyo anaahidi mambo ambayo tayari yanatekelezwa na Serikali ya CCM.
Ahadi ambazo zimemshtua Sitta ni ile ya ujenzi wa reli mpya ya kati na kufufua shirika la
↧
↧
LIVE UPDATE Kutoka Serena Hotel Ambako Dr. Slaa Anaongea
1.Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutujalia uzima.
2. Nimeamua kujitokeza leo hii ili kukomesha upotoshaji na kuuweka wazi ukweli.
3.Sina tabia ya kuyumbishwa na ninasimamia ninachokiamini.
4.Sina ugomvi na kiongozi yeyote maana siasa sio uadui.
5. Siasa inapoongozwa kwa misingi ya upotoshaji, matokeo yake ni vurugu.
6. Naweka
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya leo Jumatano ya Septemba 2
↧
Tundu Lissu: Dr Slaa ni Muongo watanzaia Mpuuzeni.....Kinachomsumbua ni tamaa ya Urais. Tunamtaka Arudishe mali zote za Chama
Katibu Mkuu wa
Chadema, Dk Wilbroad Slaa, jana alitangaza rasmi kuachana na siasa baada ya kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa na hatimaye kumfanya mgombea urais wa chama hicho chini ya mwamvuli wa UKAWA.
Dr. Slaa alitoa uamuzi huo jana mbele ya waandishi wa habari ambapo pia mbali na kutangaza kuachana na siasa
↧
Serikali Yalikana Deni la Walimu
Sakata la madeni ya walimu limezidi kuchukua sura mpya baada ya serikali kusema haidaiwi na kwamba imebaini kuwapo kwa majina hewa ya walimu zaidi 4,000 yaliyowasilishwa kwa ajili ya malipo.
Imesema imegundua hivyo baada ya kufanya uhakiki wa deni la Sh. bilioni 19.6 lililowasilishwa na walimu baada ya kuwalipa madai yao kwa mara ya mwisho mwaka 2013.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa
↧
↧
Maaskofu Wamjibu Dr. Slaa Baada ya Kuwatuhumu Kuhongwa na Lowassa......Gwajima Naye Ampa Makavu, Asema Slaa Ametumwa na CCM
Baadhi ya viongozi wa dini na wananchi wamesema shutuma za aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kuwa baadhi yao walihongwa na Mgombea Urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa, ni upuuzi mtupu.
Wamemtaka atoe ushahidi wa madai hayo kwa kutaja majina ya viongozi na kiasi walichohongwa, wakisisitiza kuwa hizo ni siasa za majitaka na
↧
LOWASSA: Ujinga, umasikini na maradhi vitakuwa historia kwenye serikali yangu
Mgombea urais wa Chadema kwa mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amesema akiwa rais wa Awamu ya Tano atafuta maadui watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini waliodumu tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Lembuka katika Kijiji cha Madaba mkoani Ruvuma, Lowassa aliyekuwa
↧
Magufuli: Nitashusha bei ya saruji, mabati
Mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli amesema endapo atachaguliwa, atashusha bei ya vifaa vya ujenzi vikiwamo saruji na mabati kuanzia mwakani akisema tayari kuna viwanda vikubwa ambavyo vimeshaanza kujengwa nchini.
Akiwahutubia wananchi wa Namtumbo, Ruvuma jana, Dk Magufuli alisema kuongezeka kwa viwanda hivyo akitolea mfano wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote ambacho
↧
Picha 3 za Mkutano wa Lowassa Ruvuma
↧
↧
Aunt Ezekiel: CCM Siyo Baba Yangu Wala Mama Yangu
STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.
Aunt amesema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali
↧
Watanzania waliotekwa na waasi DRC waachiwa
MASHEIKH sita wa Tanzania waliochukuliwa mateka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameachiwa huru usiku wa kuamkia jana.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo
ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula, alisema Balozi wa
Tanzania nchini DRC kwa sasa yupo njiani kuelekea katika mji mkuu wa
nchi hiyo, Goma kwa ajili ya kuwaona mateka
↧
Sura ya mtoto wa Diamond itaonyeshwa kwa fedha
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ na
mpenzi wake, Zarina Hassani ‘Zari’, wamekubaliana kutoonyesha sura ya
mtoto wao wa kike, Tiffah hadi atakapofikia siku arobaini tangu kuzaliwa
kwake.
Alisema makubaliano ya kuendelea kumficha mtoto huyo asionekane kwa
jamii yametokana na makubaliano waliyonayo na makampuni mbalimbali
yanayomdhamini.
Diamond
↧
More Pages to Explore .....