Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha 3 za Mafuriko ya LOWASSA Zilizovunja Rekodi


Live Updates Toka Jangwani Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za UKAWA

$
0
0
9:31 Mchana: Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza Haji Duni wanaingia kwenye viwanja vya Jangwani wakiwa kwenye gari la wazi. 9:43 Mchana: Lowassa amefika meza kuu na kuketi, meza kuu pia wamo Maalim Seif, Duni, Mbowe, Mbatia, Sumaye, Salum Mwalim na wengineo. 9:48 Mchana: Sasa ni muda wa viongozi wa dini kuomba dua, Said Riko kwa niaba ya dini ya Kiislam anaomba dua na atafata

Taswira ya Magufuli Alivyotua Njombe

$
0
0
Mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Njombe katika kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.

January Makamba Ampa MAKAVU Lowassa

$
0
0
Aliyekuwa mgombea Urais wa CCM ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Januari Makamba, jana alimshukia mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa kwamba ni mroho wa madaraka. Makamba alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Barafu mjini Dodoma wakati akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. January alisema kuwa Lowassa ameivuruga demokrasia

Rais Kikwete Awatahadharisha UKAWA Kuhusu kauli za uvunjifu wa amani

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete amesema baadhi ya kauli zinazotolewa na Umoja wa Vyama vya Upinzani (Ukawa), zinaashiria uvunjifu wa amani pindi matokeo ya kura yatakapoanishwa baada ya zoezi la upigaji kura Oktoba 25 mwaka huu. Rais Kikwete alisema baadhi ya kauli hizo zimekuwa zikionyesha wazi viashiria vya uvunjifu wa amani na upotoshaji kwa kundi kubwa

Magufuli Aahidi Kuboresha Masilahi ya Polisi ili Waweze Kukabiliana na Majambazi.......Kaongelea Pia Afya Yake

$
0
0
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema serikali yake itaimarisha masilahi ya wafanyakazi wote wakiwamo polisi, ili wasiwe wanalinda na kukosa fedha za kula nyumbani na hatimaye kusinzia vituoni na kunyang’anywa silaha.   Hii ni mara ya kwanza kwa Dk Magufuli kuzungumza kwa kina mpango wake wa kudhibiti wimbi la uvamizi wa vituo vya polisi, linalozidi kukua nchini na

Hotuba ya Mgombea Edward Lowassa ya kuzindua Ilani na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu

$
0
0
Ndugu Wana Dar es salaam na Watanzania wenzangu Leo ni siku ya kihistoria. Baada ya miaka ishirini na tano tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe, vyama vya upinzani wa CHADEMA, CUF, NCCR na NLD umeungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi kupigania uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuwa na mgombea mmoja katika ngazi zote.Miaka zaidi ya hamsini ya utawala wa serikali za CCM na waasisi wake,

Wimbo Mpya: Snaida – UKAWA

$
0
0
Wimbo  mpya  unaohusu Umoja wa Katiba ya Wananchi ‘UKAWA’ kutoka kwa msanii chipukizi nchini, Snaida. Isikilize hapa….

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz – CCM No-1

$
0
0
Diamond kaamua kuja na hii mpya, ameipa jina CCM No-1 ikiwa ni maalum kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu mwaka huu. Isikilize hapa….

Yafahamu Mambo 10 ya Kuepuka Ili Sheria ya Mtandao (2015) Isikupitie.....

$
0
0
Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015. Zingatia haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate.    1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao

Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na Mkewe Watangaza Kuhama CCM na Kujiunga na CHADEMA

$
0
0
Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA /CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni

Lowassa AFUNIKA Iringa.....Maelfu Wahudhuria Mkutano wake, Awataka Wafuasi wake Wazilinde Kura Zisiibiwe

$
0
0
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema amechoshwa na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima hapa nchi kwa kukopwa mazao yao na kutozwa ushuru na serilkali bila ya wao kupata faida yoyote. Lowassa alisema punde atakapochaguliwa kuongaza nchi kitu kikubwa atakachokifanya kuwasaidia wakulima ni kufuta ushuru wote wa mazao kuhakikisha wakulima wananufaika na jasho

Magufuli Aahidi Tanzania Mpya Kama Atachaguliwa

$
0
0
Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk John Pombe Magufuli amemaliza kampeni katika mkoa wa Njombe na kuwaomba Watanzania kumchagua kwa kuwa ana mpango wa kuijenga Tanzania mpya. Dk Magufuli aliwaambia wakazi wa kijiji cha Mlangali wilayani Ludewa kuwa serikali za awamu nne zilizopita zilifanya makubwa kwa kuboresha mazingira ya maendeleo hivyo awamu yake itakuwa ni ya kukamilisha mabadiliko.

Samwel Sitta Ataka Akutanishwe na Lowassa Katika Mdahalo Ili Aanike Ukweli wa Richmond

$
0
0
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) na Mbunge wa Urambo aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta ametaka uandaliwe mdahalo kwenye vyombo vya habari kati yake na mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa uelezwe ukweli juu ya ukweli wa sakata la Richmond. Sitta ambaye alikuwa Spika wa Bunge wakati Lowassa alipojiuzulu kutokana na sakata hilo, alisema katika mdahalo huo, ataeleza ukweli juu ya

ACT-Wazalendo wazindua kampeni, Mghwira aahidi serikali ya umoja Ambayo Waziri Mkuu Atakuwa Zitto Kabwe

$
0
0
CHAMA cha ACT Wazalendo kimezindua kampeni zake jijini Dar es Salaam kwa kuahidi kitakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi, kitaunda serikali ya Umoja wa Kitaifa.  Aidha katika uzinduzi huo ambao viongozi mbalimbali wa chama hicho walihutubia, Mgombea Urais wa chama hicho Anna Mghwira alisema wananchi wakimpa ridhaa, waziri mkuu wake atakuwa Zitto Kabwe. “Nitakapounda serikali, katika katiba,

LOWASSA Asema anahitaji Kura Milioni 10 tu ili Awe Rais wa Tanzania........Asisitiza Tena Watu Wakipiga Kura Wabaki Wazilinde Zisiibiwe

$
0
0
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza kufanya hivyo tena, huku akihoji kama vyama tawala mbalimbali katika nchi za bara la Afrika vimeng’oka madarakani: “Kwa nini isiwe CCM”. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kampeni

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Kajala: Mimi ni Team Magufuli

$
0
0
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa kutoonekana kwake kwenye ushabiki wa vyama na wagombea kama wasanii wengine si kwamba hana ushabiki lakini moyoni mwake yupo Team ya Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kajala amesema kuwa pamoja na mbwembwe za watu kujiweka wazi kuhusu chama na wagombea wanaowakubali, yeye mambo yake ni kimyakimya kama alivyo

Masogange: Siishi kwa makalio yangu

$
0
0
Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanaomsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni. Akizungumzia  madai  hayo, Masogange amesema kuwa umbo lake amejaliwa na Mungu na halitumii kama vile wengi wanavyodhani kuwa anajinadi kwenye mitandao ili kuwakamata midume.   “Watu wengine sijui wakoje, kila mtu ana mfumo wa maisha yake

Wananchi Wafunga Barabara Baada ya Gari la Polisi Kugonga Wanafunzi wawili

$
0
0
  Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Jeshi la Polisi na kupelekea kifo cha Mwanafunzi Mmoja Akiongea na Mtandao huu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jaffary Mohammed amesema baada ya tukio hilo Wanachi walifunga barabara kutokana na hasira ya tukio lakini jeshi la Polisi limetuliza
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images