Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete, Mkapa na Makongoro Nyerere Waishambulia UKAWA kwa zamu......Magufuli Aahidi Kuwashughulikia Mafisadi

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa na Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere wameshambulia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Wakizungumza kwa zamu katika Uwanja wa Jangwani jijini Dar es Salaam wakati wa kufungua kampeni za chama hicho wamesema, mgombea wa UKAWA hana sera za wapinzani. Katika mkutano huo

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Agosti 24

Mgombea Ubunge Jimbo la Ludewa Kwa Tiketi ya CCM, Deo Filikunjombe Apita Bila KUPINGWA

$
0
0
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Ludewa kwa tiketi ya CCM Bw. Deo Filikunjombe, amepita bila kupingwa wilayani humo baada ya Mgombea wa Chadema kushindwa kutimiza Masharti na Taratibu za Ujazaji wa Fomu. Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Ludewa, Ndg. Wiliam Waziri amesema leo kuwa Mgombea wa Chadema ameshindwa kutimiza taratibu za ujazaji wa fomu hizo hivyo kukosa sifa ya kuwa Mgombea wa

Mgombea Ubunge Sikonge, Said Nkumba (CHADEMA) arejea rasmi CCM

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Sikonge (CCM), Said Nkumba ambaye alihamia Chadema hivi karibuni ameamua kurejea katika chama chake cha zamani kwa madai alikosea njia. Nkumba ambaye alihamia Chadema baada ya kushindwa katika kura za maoni kugombea ubunge Sikonge, aliteuliwa kugombea ubunge kwa tiketi ya Chadema lakini wanachama wa chama hicho walipinga kitendo cha Kamati Kuu ya chama hicho cha

Picha: Mh Edward Lowassa Akiwa Amepanda Daladala ili kuangalia kero za wananchi

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa Mh Edward Lowassa akiwa kwenye daladala kuangalia kero za wananchi,ni maeneo ya Gongo lamboto kuelekea Chanika

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 25 Agosti

Magufuli Akataa Kumia Helikopta.......Asema Atatumia Gari ili Azijue Kero za Wananchi

$
0
0
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema katika sehemu kubwa ya kampeni yake, atatumia zaidi usafiri wa barabara ili apate fursa ya kuzijua kwa karibu kero za wananchi katika maeneo mengi ya nchi. Hata hivyo, alifafanua kuwa kwa maeneo mengine yenye ulazima wa kutumia usafiri mbadala, anaweza kufanya hivyo, lakini dhamira yake ni kutumia zaidi barabara. Aidha, amezitaja sifa ya

11 Mbaroni kwa Tuhuma za Kuchoma Moto Kituo cha Polisi Morogoro

$
0
0
POLISI mkoani Morogoro wanashikilia watu 11, wakazi wa Kijiji cha Mpofu wilayani Kilombero kwa tuhuma za kuvamia na kuchoma moto kituo kidogo cha polisi na ofisi ya serikali ya kijiji hicho. Watuhumiwa hao ni sehemu ya zaidi ya watu 100 wanaodaiwa kufanya uhalifu huo katika kituo hicho cha polisi Mbingu, katika taarifa ya Mgeta. Watuhumiwa hao wanadaiwa kufanya tukio hilo wakishinikiza

Nape: Ni UPUUZI Kwa ICC Kufuatilia Uchaguzi wa Tanzania

$
0
0
Baada ya Muendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao.    Asema kama kweli wanafuatilia mambo haya basi wafuatilie

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha afikishwa mahakamani jijini Dar

$
0
0
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kukamatwa jana jioni.Bado waziri huyo wa zamani ambaye sasa amehamia chama cha upinzani cha Chadema hajasomewa mashitaka yake lakini kwa mujibu wa vyanzo vya polisi, Masha anakabiliwa na kosa la kutumia lugha ya matusi kituo cha polisi.Masha amefikishwa

Hali ni Mbaya: 7 Wafariki kwa Kipindupindu Dar, 230 Wamelazwa

$
0
0
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imesema watu 7 wamekufa kwa ugonjwa wa kipindupindu huku wagonjwa 230 wakilazwa katika kambi mbali mbali maalum katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid amesema kuwa kati ya wagonjwa hao 194 ni kutoka Dar es Salaam na 36 ni kutoka Mkoa

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Ni Kampeni za Mtaa kwa Mtaa: LOWASSA Aibukia Tandale Sokoni Kuzungumza na Mama Ntilie na Wafanyabiashara Wengine

$
0
0
Mgombea wa Urais wa Ukawa Edward Lowassa  pamoja na mgombea mwenza Juma Duni Haji leo wamewashitukiza wafanyabiashara  katika soko la Tandika jijini Dar es salaam. Aidha, wagombea hao waliwasili katika soko hilo asubuhi ya leo ambapo shughuli zilisimama kwa muda. Kabla ya kuanza mazungumzo na wafanyabishara  hao,Lowassa   alikaribishwa  chai  na mmoja wa wafanyabiashara katika soko

Lawrence Masha apelekwa Segera hadi taratibu za dhamana kukamilishwa

$
0
0
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa shitaka la kutoa lugha ya matusi kwa maofisa wa polisi hapo jana. Baada ya kusomewa shitaka hilo, Masha amekana na kurudishwa Segerea hadi hapo nyaraka zake zilizowasilishwa kwa ajili ya dhamana zitakapohakikiwa. Masha amefikishwa mahakamani hapo

Magufuli: Wanaoiba dawa hospitalini watakiona cha moto

$
0
0
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameendelea kumwaga ahadi mikoa ya Katavi na Rukwa na kuahidi kuwa iwapo atachaguliwa kuwa rais wahudumu wanaoiba dawa katika hospitali nchini watakiona cha moto. Akiwahutubia wakazi wa Namanyere mkoani hapa leo, Dk Magufuli alisema anataka kutengeneza nchi isiyo na kero ikiwemo kuondoa tatizo la uhaba wa dawa. Mgombea huyo, ambaye jana

NEC yaonya vyama vya siasa vitakavyokiuka ratiba za kampeni

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevitaka vyama vyote vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015, kuhakikisha vinafuata na kuheshimu ratiba ya uchaguzi waliyojiwekea. Katika taarifa kwa njia ya video iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhani amesema kuwa vyama vyote vilishiriki katika kuandaa ratiba hiyo na kuwa viliiridhia

Polisi yamtahadharisha Lowassa staili ya kampeni zake

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtahadharisha mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowassa kuwa kampeni alizoanza kwa kuyatembelea makundi kadhaa zinaweza kutumiwa na maadui wa kisiasa kumdhuru. Hata hivyo, wanasiasa wametakiwa kufuata ratiba ya kampeni kwa kuzingatia mwongozo wa Tume ya Uchaguzi (NEC) ili kulisaidia jeshi hilo kukabiliana na vitendo viovu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Agosti 26

Waliotangazwa kupita bila kupingwa CCM wakatiwa rufaa

$
0
0
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kimekata rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa majimbo ya Mlalo, Bumbuli, Ludewa na Peramiho yaliyotangazwa kuwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamepita bila kupingwa kwa madai kuwa waliotangaza hawana mamlaka hiyo. Akizungumza Dar es Salaam jana, Wakili wa Chadema, Peter Kibatala alisema tayari utaratibu wa kuandaa rufaa hizo

Magufuli Akataa Mawaziri Wazembe......Asema Serikali Yake Haitakuwa na BlaaBlaa Katika Utendaji Kazi

$
0
0
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema serikali yake ya awamu ya tano haitakuwa na blablabla katika utendaji wa kazi na kuonya kuwa waziri atakayeshindwa kutelekeza majukumu yake, ataondolewa ili kupisha wenye uwezo. Dk.  Magufuli alitoa ahadi hiyo jana, wakati akijinadi kwa wananchi wilayani Nkasi na Kalambo,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images