Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ester Bulaya Aipasua CHADEMA Bunda

$
0
0
Aliyekuwa mshindi wa kura za maoni Bunda Mjini wa Chadema, Pius Masururi ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga CCM huku mwenyekiti wa jimbo hilo, Samuel Imanani  na wanachama 50 wakiwamo viongozi wakijivua uanachama. Masururi, aliyepata kura 65 mbele ya wapinzani wake wa karibu, Magembe Makoye (40) na Ester Bulaya (37) katika kura za maoni zilizopigwa Julai 29 mwaka huu, ametangaza

NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itatangaza  matokeo ya urais ndani ya siku tatu kwa sababu watatumia Mfumo wa Kusimamia Matokeo (RMS) ambao utawawezesha kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo. Licha ya kutakiwa kisheria kutangaza matokeo hayo ndani ya siku saba, NEC imebainisha kuwa mfumo huo utasaidia kuongeza kasi ya ukusanyaji wa matokeo kutoka sehemu mbalimbali nchini na

Mkapa, Mwinyi kumnadi Dk. Magufuli Jangwani.

$
0
0
Marais wastaafu, Ali  Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa, wanatarajiwa kushiriki kwenye ufunguzi wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli Jumapili, jijini Dar es Salaam. Pia uzinduzi huo unatarajiwa kupambwa na wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya wakiongozwa na Nasiib Abdul (Diamond) na bendi mbalimbali ikiwamo ya Tanzania One Theatre (

Lowassa, Magufuli na Wagombea Wengine wa Urais Warudisha Fomu za Urais NEC

$
0
0
  Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrasia na maendeleo chadema ndugu EDWARD LOWASA akizungumza na wanahabari mapema leo mara baada ya kurejesha Form na kiuwa mgombea rasmi wa uUais  Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha ADC CHIEF YEMBA akiwa na yeye amerejesha form hapa tume ya taifa ya uchaguzi Hashimu Rungwe mgombea urais wa tiketi ya chama

Christopher Mtikila, Chipaka na Malisa Waenguliwa Mbio za Urais.......NEC Yasema Hawajatimiza Masharti. Lowassa,Magufuli WAPETA!!!

$
0
0
Wanasiasa wakongwe nchini, Christopher Mtikila na John Lifa- Chipaka wametupwa nje ya kinyang’anyiro cha kugombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kushindwa kutimiza vigezo vya kisheria.   Mchungaji Mtikila anawakilisha Chama cha Democratic Party (DP) na Chipaka anawakilisha Tanzania Democratic Alliance (TADEA). Vyama vyote hivyo vilianzishwa mara tu Sheria ya

Jinsi ya Kutangaza Biashara yako Kwenye Mtandao Huu

$
0
0
I can help you promote your offline/online business, start-up, etc to my targeted blog readers and you will get a good value for your money. You can use Sponsored post, Banner ads or Text ads to advertise on my blog. Sponsored Post I can publish a sponsored post about your business,website, blog, start up, OR add your website address into an existing blog post as a sponsor of the

Lowassa Akwama Kuzindua Kampeni Baada ya Kukosa Uwanja wa Kutosha 'Mafuriko' Yake

$
0
0
Wakati mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, akitarajiwa kuzindua kampeni zake kesho jijini Dar es Salaam, mgombea kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa amekwama kuzindua kampeni zake  kama ilivyotangazwa awali. Ukawa unaoundwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (

Mwanafunzi kidato cha II auawa akimwokoa mwenzake asibakwe

$
0
0
Mwanafunzi wa kidato cha pili wa Sekondari ya Nyasubi, Ally Jacob ameuawa baada kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni alipokuwa akijaribu kumwokoa mwanafunzi mwenzake asibakwe. Tukio hilo lilitokea juzi saa 9:00 alasiri maeneo ya Nyasubi, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga. alikuwa akirejea nyumbani kutokea shuleni. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Justus Kamugisha alidai kuwa

Jeshi la Polisi Lapiga Marufuku vikundi vya Ulinzi vya vyama

$
0
0
Polisi nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa vinaingilia majukumu yao. Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam. Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao

CCM Yaanza na Mtaji wa Ubunge.....Mgombea Wake Mtwara Apita Bila Kupingwa

$
0
0
Jana ikiwa ndio  ni siku ya Mwisho kuchukua na Kurejesha Fomu za Urais,Ubunge na Udiwani Katika Majimbo Yote ya Uchaguzi Nchini,Chama Cha Mapinduzi Kimeanza Vema Harakati Hizo baada ya Aliekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Abdallah Dadi Chikota (pichani) kupita bila kupingwa kuwa Mbunge wa Jimbo jipya la Nanyamba,Mkoani Mtwara   Hatua hiyo Imetokea baada ya wagombea wawili wa Chama Cha

ICC Yamshtua Rais Kikwete

$
0
0
KATIKA kile ambacho kwa wakati huu kinaweza kuonekana kama kimemshtua Rais Jakaya Kikwete, ni hatua yake ya kurejea kauli ambayo imekuwa ikitolewa na viongozi wa Afrika dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Kwamba viongozi wa Afrika hawafurahii kwa namna ambavyo mahakama hiyo inavyofanya kazi zake kwa kuwashughulikia zaidi viongozi wa mataifa ya Afrika. Kauli hiyo ya

Wanachama zaidi ya 500 wa CHADEMA wahamia ACT -Wazalendo

$
0
0
Zaidi ya wanachama 500 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwemo viongozi wa kata mbalimbali katika wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wamekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo.   Wanachama hao wamefikia maamuzi ya kukihama chama hicho huku wakiwalalamikia viongozi wao wa CHADEMA wilaya na taifa kumkata mgombea wao wa ubunge jimbo la Ludewa

Breaking News: Waziri Mkuu wa Zamani, Fredrik Sumaye Aikimbia CCM Na Kuhamia UKAWA

$
0
0
Aliyekuwa Waziri mkuu wa Serikiali ya awamu ya Tatu Fredrick Sumaye ametangaza rasmi kujiunga na UKAWA  na kuungana  na Waziri mkuu wa awamu ya nne Edward lowassa.   Akizungumza na waandishi wa Habari leo  mchana Jijini Dar es salaam ,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi  ndani  ya  CCM  ikiwemo katika harakati za kumteua mgombea wa Urais kwa upande

Nyumba Ya Mgombea Ubunge wa CUF Anayedaiwa Kuipa Ushindi wa Bila Kupingwa CCM Yabomolewa na Wananchi Wenye Hasira Kali

$
0
0
Kundi la watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kuibomoa nyumba ya mgombea ubunge wa chama cha wananchi CUF jimbo jipya la nanyamba wilaya ya mtwara vijijini, twahiri saidi baada ya kushindwa kurudisha fomu ya ubunge na kutokomea kusiko julikana huku simu zake za mkononi zikiwa hazipatikani.   Wakizungumza kwa masikitiko baadhi ya viongozi wa chama hicho na wanachi wa jimbo

Wasanii Wageukana kwa Rais Kikwete

$
0
0
WIKI chache zilizopita wasanii waliandaa tafrija ya kumuaga Rais Jakaya Kikwete, aliyekuwa nao bega kwa bega tangu alipoingia madarakani mwaka 2005 akiwasaidia kwa mambo mengi. Hafla hiyo ilifanyika Mlimani City, sasa sikia kilichojiri baada ya shughuli hiyo kufanyika. Umoja wa Mashirikisho ya Sanaa Tanzania umeibuka na kuwacharukia wenzao walioratibu hafla hiyo wakidai kuwa hawakuwa

Sumaye: Nimejivua Uanachama wa CCM Na Kujiunga UKAWA Ili Kuongeza Nguvu ya MAGEUZI Itakayosaidia Kuing'oa CCM

$
0
0
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga kwenye vuguvugu la mabadiliko kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Sumaye ametangaza uamuzi huo leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Legde Plaza uliopo katika Hoteli ya Bahari Beach Jijini Dar es Salaam. “Leo nimeamua kuondoka CCM na kujiunga na UKAWA, uamuzi huu haukuwa

Magufuli Kuishika Dar Leo Wakati Akizindua Kampeni

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima. Katika uzinduzi huo, CCM pia inatarajiwa kuweka ilani yake ya uchaguzi hadharani, itakayonadiwa na mgombea urais wake, Dk John Magufuli na wagombea wengine wa ubunge na

Picha 2 Kutoka Viwanja Vya Jangwani jijini Dar Ambako CCM Inazindua Kampeni za Urais

Picha 10 za Mafuriko ya CCM Jangwani

MKAPA: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa....Chama cha Ukombozi ni CCM Tu

$
0
0
Rais  Mstaafu  wa  awamu  ya  tatu  mh. Benjamini  William  Mkapa  amesema  kuwa  wapinzani  wanaodai  vyama  vyao  ni  vya  ukombozi  ni  Wapumbavu  na  malofa  kwa  kuwa  watanzania  walikwisha  kombolewa  na  chama  cha  ASP  na  TANU  na  kwamba  chama  pekee  cha  ukombozi  kilichobaki  hivi  sasa  ni  CCM  pekee. Mkapa  ametoa  kauli  hiyo  leo  katika  viwanja  vya  Jangwani  jijini
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images