Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Profesa Lipumba Awasili Nchini Akitokea Rwanda.....Asema Hataiunga Mkono UKAWA

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahimu Lipumba alirejea nchini jana jioni akitokea Kigali, Rwanda alikokwenda mara tu baada ya kujiuzulu wadhifa huo siku nane zilizopita. Profesa Lipumba aliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) saa 10.10 jioni kwa ndege ya Rwanda Air. Akihojiwa na Azam Tv kwa simu akiwa Kigali, siku tatu baada ya

Picha: Kinachoendelea Uwanja wa Kimataifa Jijini Mbeya Wakati Wapenzi wa UKAWA Wakimsubiri Lowassa Uwanjani Hapo

$
0
0
Mgombea  Urais  wa  UKAWA  Kupitia  CHADEMA  Leo  atakuwa  Jijini  Mbeya  kwa  ajili  ya  kutambulishwa  na  kusaka  wadhamini. Hapa  kuna  picha  kadhaa  za  shamrashamra  za  wananchi  wakimsubiri  kwa  hamu  kubwa  uwanja  wa  ndege  wa  Songwe. Endelea  Kuwa  nasi.

CCM Wakanusha Habari Iliyoenea Kuwa Mgombea Wake, Dr John Magufuli Ameahidi Kugawa Laptop Kwa Walimu Wote Nchini

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha uvumi ulioenea sehemu mbalimbali kuwa Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama hicho,Dkt.John Pombe Magufuli amewaahidi Walimu kuwapa Kompyuta kama CCM itapita madarakani.Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Chama hicho,Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye amesema kauli hiyo siyo ya kweli na haikutolewa na

JWTZ Wakanusha Kunyang'anywa Kadi Zao za Kupigia Kura

$
0
0
Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kanali Ngemela Lubinga (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mkutano na wanahabari ukiendelea. JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ), limekanusha kuwanyang'anya kadi za kupigia kura maofisa na askari wake kama ilivyodaiwa na mmoja wa

Lowassa Yupo Jijini Mbeya Kwa Ajili ya Kutambulishwa na Kutafuta Wadhamini.........Hapa Kuna Picha Toka Viwanja vya Ruanda Nzove

Lowassa Avunja REKODI Jijini Mbeya

LOWASSA Aahidi Kuunda Serikali Makini Itakayofanya Kazi Masaa 24 Kuwahudumia Wananchi

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana alipokewa na maelfu ya watu mjini Mbeya ambao kwenye uwanja wa Ruanda, Nzovwe, aliwaambia wananchi kuwa hatataka mchezo katika serikali atakayoiongoza. Pamoja na Jeshi la Polisi kutangaza kuzuia msafara wakati wa ziara ya waziri huyo mkuu wa zamani, hali ilikuwa tofauti jana wakati zaidi ya magari 20 yalimsindikiza kutoka

Nec: Fomu za Urais kurejeshwa Alhamis ijayo

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetangaza siku ya urejeshaji fomu za Urais na Makamu wa rais kuwa ni Alhamis ijayo. Aidha, imepiga marufuku maandamano na badala yake watu saba tu ndio wataruhusiwa kusindikiza wagombea. Taarifa ya Nec kwa vyombo vya habari jana na kusainiwa na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima, ilisema urejeshaji fomu utaanza saa 1:30 asubuhi hadi saa 10:00 jioni.

Daktari feki akamatwa Dodoma, tayari ametibu watu 20

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia mkazi wa Katesh katika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, Mohammed Abdallah (35), baada ya kukutwa akitoa huduma za kidaktari ambazo hana utaalamu wake. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime alisema Abdallah alikamatwa Agosti 12, mwaka huu saa tisa mchana katika kijiji cha Nyerere kata ya Hogoro tarafa ya Zoissa wilaya ya Kongwa, akiwa

Mtabiri: Kifo cha mgombea Urais Mwaka huu kipo palepale

$
0
0
MTABIRI maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahya ameibuka na kusema kwamba utabiri aliowahi kuutoa kwamba kuna mgombea urais atafariki, bado upo palepale. Maalim Hassan alisema kuugua ghafla kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ni dalili tu za ukamilifu wa utabiri wake lakini suala la mgombea urais kudondoka na kufa akiwa jukwaani akifanya kampeni

Leo LOWASSA Yupo Jijini Arusha Kusaka Wadhamini.......Hapa kuna Picha 5 Akiwasili Uwanja wa Ndege

Jionee Mafuriko ya LOWASSA Jijini Arusha

Mafuriko ya LOWASSA Yatanda Kila Kona ya Nchi.....Wanachama Maarufu wa CCM Wahamia UKAWA

$
0
0
KAMBI kuu ya upinzani katika siasa za Tanzania, imezidi kuimarika. Matukio mawili, moja la jana, jingine leo hii, yametokea na kuongeza nguvu ya kampeni ya kuitoa CCM madarakani chini ya kaulimbiu ya “Toroka uje.” Katika tukio la kwanza jana jioni, kambi ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ilimpokea Omari Ayubu Kimbau, kada machachari wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akihamia Chama cha

Rais Kikwete Ammwagia Sifa MAGUFULI.........Awafananisha Wapinzani na Moto wa Mabua ambao Hauwaki Ukadumu

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema ukiona Waziri anajisifia kafanya mambo kadhaa kwa uwezo wake, huyo ana matatizo ya ufahamu na ni mpenda sifa, kwa sababu mambo anayoyafanya anatekeleza majukumu aliyopewa na Rais na kwa mujibu wa muongozo aliopewa. Alisema hayo jana wakati akiagwa jijini Dar es Salaam na taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Ujenzi, huku akiongeza kuwa vuguvugu za kisiasa

Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Kujulikana Leo

$
0
0
MGOMBEA urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, anatarajiwa kujulikana leo baada ya Kamati Kuu ya chama hicho kupendekeza jina la mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho. Jana Kamati Kuu ya chama hicho ilikutana jijini Dar es Salaam, kujadili majina ya wagombea wa nafasi ya urais na ubunge.    Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa chama hicho, Samson Mwigamba alisema

Msafara wa Lowassa Ulivyopigwa MABOMU Na Polisi Jana jijini Arusha

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema na Ukawa, Edward Lowassa jana kwa mara ya kwanza alikumbana na joto la upinzani baada ya msafara wake kushambuliwa na mabomu ya polisi. Tukio hilo, ambalo lilifanyika mbele ya msafara wa Lowassa, lilitokea jana eneo la Daraja la Nduruma katika Jiji la Arusha na kusababisha umati wa watu kutawanyika na wengine kutelekeza magari yao. Wakati Mwenyekiti

Breaking News: Polisi Watumia Mabomu ya Machoz Mwanza Kuwatawanya wafuasi wa Lowassa

$
0
0
Muda  huu  polisi  wanapiga mabomu  uwanja  wa  ndege   jijini  Mwanza kuwatawanya  wananchi  waliokusanyika  kumpokea  Lowassa.Mabomu  yamepigwa  muda  mfupi  baada  ya  ndege  inayosadikiwa  kuwa  ni  ya  Lowassa  kutua  uwanjan, hali  iliyowafanya  wananchi  walipuke  kwa  furaha  huku  wakiimba  nyimbo  za  Chadema.Kadhia  hiyo  iliwafanya  Polisi  watumie nguvu  ya  ziada  kuwatawanya  

Rais Kikwete Ahutubia Baraza la Vijana wa CCM ( UVCCM) Jijini Dar

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.  Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli.   Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.  Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa

Kingunge Ngombale Mwiru Avuliwa Ukamanda wa UVCCM Taifa.

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:- 1. Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana na tabia na mwenendo wake wa hivi karibuni kuenda tofauti na maadili na taratibu za

Lowassa Avunja Rekodi ya Mapokezi Jijini Mwanza

Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images