Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Nchimbi Avunja Ukimya CCM........Sadifa Ampa Makavu Lowassa

$
0
0
Mmoja wa makada wa CCM aliyekuwa rafiki  wa  karibu na Edward Lowassa  wakati  wa  mchakato  wa  urais  ndani  ya  CCM, Dk Emmanuel  Nchimbi, ameibuka na kudai kuwa, hana kinyongo na yaliyotokea Dodoma huku akionesha kuwashangaa wanaoendelea kunung’unika, akisema watu wa aina hiyo hawakuwa pamoja na chama. Aidha, Nchimbi, mmoja wa makada vijana waliokulia katika mfumo wa kisiasa ndani ya

YUSUPH MANJI na Abuu Juma WAKATWA Mbio za Udiwani CCM

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam jana kimetangaza majina ya wagombea udiwani katika majimbo 10 ya uchaguzi huku ikiwaengua, Yussuf Manji na Diwani wa Kata ya Jangwani Abuu Jumaa. Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba alitangaza wagombea wa udiwani kwa tiketi ya CCM wa kata 91 huku kata moja ya Mianzini katika Jimbo la Mbagala uchaguzi wake

Lowassa Awaonya Polisi.......Ampa Kibarua Kigumu Wenje

$
0
0
Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema anawatakia kila la heri wanaobeza nguvu ya umma. Kutokana na umati wa watu waliojitokeza jana kumlaki kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwanza alikowasili saa saba mchana, iliuchukua zaidi ya saa mbili msafara wake kuingia Viwanja vya Furahisha saa tisa alasiri, ambako ni takriban kilomita nane. Katika hotuba yake iliyochukua dakika

Butiku Aunga Mkono Wanaohama CCM

$
0
0
MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani. Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika. Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Rais Kikwete Atetea Uteuzi wa Dr. Magufuli Kugombea Urais........Magufuli Naye Arusha Dongo, Asema CCM Sio Safari ya Matumaini bali Ya Uhakika

$
0
0
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema uamuzi wa nani agombee urais kupitia chama hicho ulifanyika kwa pamoja na kufuata taratibu, hivyo anayetoka katika chama hicho kwa sasa ni kwa hiari na mapenzi yake. Akizungumza na wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Dar es Salaam jana, Rais Kikwete alisema uamuzi huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya CCM na ulipigiwa kura ndani

CUF: Hatutacha Kuandamana, Hiyo ni Haki Yetu Kikatiba

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF), kimepinga amri ya jeshi la polisi ya kupiga marufuku maandamano nchi nzima, na kulitaka lijipange kuyalinda katika kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu. CUF imetoa kauli hiyo baada ya wiki iliyopita Kaimu Mkuu wa Polisi, Abdurahman Kaniki, kutangaza kuzuia maandamano nchi nzima hadi uchaguzi upite kwa sababu za kiusalama. Akijibu kauli ya polisi, Naibu Katibu Mkuu

NEC Yawatoa Hofu Watanzania......Yasema Hakuna Wizi wala Uchakachuaji wa Kura Mwaka huu

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema kuwa imeunda timu ya ushindi ya kuhakikisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, mwaka huu yanatangazwa kwa wakati, ya kweli na haki kwa pande zote. Akizungumza na gazeti  la Nipashe jana lililotaka kujua mipango ya Tume ili kuondoa malalamiko ya wananchi, vyama vya siasa, wagombea na wadau kuhusu kucheleweshwa matokeo na kuzua hofu ya uchakachuaji,

Maajabu Niliyoyaona Mwanza Kwenye Mkutano wa LOWASSA Hayajapata Kutokea.....Watu Walipigwa Mabomu bila Kukoma, Wengine Walizimia

$
0
0
Haijawahi kutokea. Siyo mabomu ya machozi wala polisi wenye silaha walioweza kuzuia halaiki ya wananchi kufika kwenye viwanja vya Furahisha kuhudhuria mkutano wa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa. Hii ni kwa sababu umati uliojitokeza kuanzia Uwanja wa Ndege wa Mwanza ambako polisi walilazimika kupiga

Picha 4 za Mafuriko ya LOWASSA Huko Zanzibar

CCM Wayapuuza MAFURIKO ya Lowassa......Nape Asema Hata Mrema Alikuwa Kivutio. Ataka Gari la WAGONJWA Lipelekwe Kwa Lowassa Mapema

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa kitashinda Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwa sababu kina mtandao mkubwa wa wanachama kuanzia ngazi ya chini na kwamba kufurika kwa wananchi katika mikutano ya Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa sio ushindi, kikisema kura ni mahesabu. Aidha, kimesema kuwa mgombea huyo wa Chadema na umoja wa vyama vinne vya upinzani (Ukawa), amedanganywa na

Dar es Salaam Yakumbwa Na Kipindupindu.....Wawili Wafariki Dunia, 30 Walazwa

$
0
0
UGONJWA wa kipindupindu umeripotiwa katika Jiji la Dar es Salaam na watu wawili wamethibitika kufa. Wengine zaidi ya 30 wamelazwa katika hospitali za Mwananyamala na Sinza zilizopo Manispaa ya Kinondoni. Kutokana na tishio la ugonjwa huo, shughuli za kampeni za kisiasa za uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu wa Rais, wabunge na madiwani, zilizo kuwa zianze mwishoni mwa wiki hii, zimesogezwa

Mgawanyo wa Majimbo 253 ya UKAWA Wawekwa Hadharani

$
0
0
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya majimbo 265 ya uchaguzi Tanzania Bara huku majimbo 12 yakibaki kwenye majadiliano.    Kwa upande wa Zanzibar majimbo yote ya uchaguzi wamekabidhiwa Chama cha Wananchi (CUF) isipokuwa Jimbo la Mkwajuni ambalo wamepewa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).   Hatua hiyo imefikiwa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Agosti 18

Urais Waivuruga ACT-Wazalendo ya Zitto Kabwe.......Waliyemchukulia Fomu ya Urais Akataa, Asema Hajajiandaa Kisaikolojia

$
0
0
Hali ya hewa ndani ya Chama cha ACT- Wazalendo ambacho kinaongozwa na Zitto Kabwe, imechafuka, baada ya Kamati Kuu kumpitisha na kumchukulia fomu ya urais, Prof. Kitila Mkumbo, huku mwenyewe akisita kulipokea jukumu hilo. Kufuatia hatua hiyo, Prof. Kitila ameandika katika mtandao wa kijamii kuwa hajaandaliwa kisaikolojia kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya urais na jukumu

Lowassa AMLILIA Kingunge.......Asema CCM Hawataikwepa LAANA Ya Huyu Mzee

$
0
0
SIKU mbili baada ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kumvua Ukamanda Mkuu, mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, uamuzi huo umepokewa tofauti na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Edward Lowassa.   Tamko la UVCCM ambalo lilitolewa na Katibu Mkuu wa umoja huo,Sixtus Mapunda, lilisema wamefikia uamuzi

CCM Yatangaza Kamati ya Kampeni za Uchaguzi Yenye Watu 32 Chini ya Abdulrahman Kinana

$
0
0
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa jana Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dokta Jakaya Mrisho Kikwete imekamilisha kazi ya uteuzi wa Wagombea Ubunge katika majimbo mawili ya Singida Mashariki na Kiteto. Wagombea ubunge

Chadema watangaza majina ya wagombea ubunge

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa orodha ya majina 138 ya wanachama walioteuliwa na Kamati Kuu ya chama hicho kugombea ubunge wa majimbo ya uchaguzi. Orodha ya majina hayo ya wanachama walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo hayo, imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika kwa niaba ya Katibu Mkuu.   Taarifa imeeleza kuwa majimbo ambayo hayatakuwa

Mfanyabiashara Amuua Askari wa JWTZ Wakigombea Penzi la Baamedi ( Mhudumu wa Baa)

$
0
0
MFANYABIASHARA wa duka la vipuri vya magari mjini Tarime mkoani Mara, Tumaini Jacob amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya akituhumiwa mauaji ya askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Anadaiwa kumuua askari huyo wa Kikosi cha Nyandoto, Roja Elias kwa kumpiga risasi tumboni wakati wakiwa baa moja mjini hapa baada ya kutokea ugomvi wa kunyang’anyana mwanamke ambaye ni

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Agosti 19

Wana CCM 704 Toka Jimbo Analogombea Nape Ubunge Wahamia CHADEMA

$
0
0
Aliyekuwa mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana CCM wapatao 704 na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kile anachodai hakutendewa haki katika mchakato mzima wa kura za maoni. METHEW amesema kuondoka ndani ya CCM kumetokana na maamuzi ya wananchi ambao wameona haiwezekani na haitawezekana
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images