Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lowassa Amtuhumu Rais Jakaya Kikwete Kwa Kuuharibu Uchumi wa Tanzania...... Asema Vitu vimepandishwa na Tembo Wanauawa Hovyo

$
0
0
EDWARD Lowassa, mgombea urais wa Chadema amesema, Rais Jakaya Kikwete ameharibu uchumi wa Tanzania. Akizungumza na wafuasi wa Chadema pia UKAWA katika ofisi za Chadema mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais kupitia chama hicho jana mchana, Lowassa  alisema; “Rafiki yangu Jakaya Kikwete ameuharibu uchumi wa nchi yetu,” “Wakati Rais Mkapa anaondoka madarakani kilo ya sukari

Modwji Blog Inaomba Radhi Kwa Kutokuwa Hewani

$
0
0
Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii  kwa taarifa zaidi https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu. Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.

LOWASSA: Haijawahi Tokea Tangu Nchi Hii Ipate Uhuru

$
0
0
MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye ni mwakilishi wa UKAWA, Edward Lowassa alishtushwa kupokewa na umma mkubwa uliohudhuria wakati akichukua fomu za kugombea Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  jana. “Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu, maandamano makubwa kiasi hiki. “Nimesimama kuwashukuru kwa jinsi mlivyojitokeza. Mmeandamana

Mbowe Augua Ghafla Akimbizwa Muhimbili

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe jana aliugua ghafla akiwa katika maandamano ya kumsindikiza mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho, Edward Lowassa baada ya kuchukua fomu za kugombea urais katika Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC). Mbowe alishiriki katika maandamano yaliyoanzia Makao Makuu ya CUF yaliyopo Buguruni wilayani Ilala kuelekea NEC na baada ya Lowassa kuchukua fomu, mwenyekiti

Habari Mpya Kutoka MUHIMBILI Ambako Freeman Mbowe Amelazwa Baada ya Kuugua Ghafla

$
0
0
Hali ya mwenyekiti wa CHADEMA taifa na mbunge wa jimbo la Hai anayemaliza muda wake, mh Freeman Aikae Mbowe, imeendelea kuimarika.   Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili, anakopatiwa matibabu, mh Mbowe, amesema anaendelea vizuri na kwamba bado anaendelea kupumzika hospitalini hapo, kama alivyopangiwa na madaktari wanaoangalia hali

Dk Slaa aikana twitter inayomzushia mazito

$
0
0
Wakati kukiwa na taarifa zinazosambaa mtandaoni zikimuhusisha Dk Willibrod Slaa na akaunti ambayo imekuwa ikitoa msimamo wake wa kujitenga na shughuli za siasa pamoja na Ukawa, katibu huyo mkuu wa Chadema amekanusha taarifa hizo akisema hajawahi kuwa na akaunti ya twitter.   Dk Slaa, aliyekuwa anatajwa kuwa mgombea urais wa Chadema, hajaonekana hadharani katika matukio makubwa ya kichama

Serikali yasifu maandamano ya Lowassa

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe amesema wamefurahishwa na amani iliyotawala wakati wa maandamano ya kumsindikiza mgombea wa urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Lowassa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua fomu juzi. Waziri Chikawe alisema jana kuwa alishuhudia umati mkubwa wa watu wakiimba na kucheza katika hali ya amani na hilo ni jambo zuri

Wema Sepetu Atia AIBU......Anaswa Akibadilishana 'MATE' na Mwanaume Hadharani

$
0
0
Licha ya kudai kwamba skendo za ngono sasa basi, staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amekwaa aibu mpya baada ya picha zake kunaswa akiwa na mwanaume mwingine kwa mara nyingine, mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), wakiwa kwenye Mgahawa wa hoteli iliyotajwa kwa jina la Cape-town Fish Market iliyopo Msasani jijini Dar. Chanzo cha  habari ambacho

Majina rasmi ya wagombea Ubunge CCM 2015 yatajwa...Bofya Hapa Kuyaona

$
0
0
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kimetangaza majina ya wagombea ubunge, ubunge viti maalum, uwakilishi na uwakilishi viti maalum ambapo baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wametupwa nje na kuchukuliwa mshindi wa tatu.   Akizungumza leo na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya CCM mjini Dodoma, Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na Guninita wajiengua CCM na Kujiunga CHADEMA

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na aliyekuwa mwenyekiti mkoa wa Dar es Salaam John Guninita wametangaza leo kuachana na CCM na kujiunga Chadema. Makada hao wa CCM wametangaza kujiunga na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dar es Salaam leo. Wakizungumza katika mkutano huo, makada hao

Polisi Wazuia Msafara wa LOWASSA Kushiriki Mazishi ya Mzee Kisumo

$
0
0
Polisi mjini Mwanga, mkoani Kilimanjaro umezuia msafara wa mgombea urais kupitia Chadema, Edward Lowassa uliokuwa unaelekea Usangi kuhudhuria mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo. Vyanzo vya kuaminika toka mjini Mwanga vinasema, polisi walizuia msafara huo kutokana na kujumuisha idadi kubwa ya magari ya viongozi waandamizi wa Ukawa na wabunge wanaounda umoja huo jambo ambalo polisi

Maandamano ya Kumpokea Edward Lowassa LEO Jijini Mbeya Yamepigwa MARUFUKU.

$
0
0
Jeshi la Polisi Mbeya limekataza maandamano ya Chadema ambao yalikua yafanyike leo Aug 14 wakati wa kwenda kumpokea Mwanachama mpya na Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema Edward Lowasa. Barua ya Jeshi la Polisi ambayo imetolewa na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Z.Msangi ikikataza maandamano hayo na kukubali kufanyika kwa mkutano tu iko  hapo 

TCRA Watoa ADHABU Kwa Kituo cha Televisheni cha ITV

$
0
0
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imetoa  adhabu ya onyo  kali  na  kukitaka  kituo cha  ITV kuomba radhi mara mbili mfululizo kwenye taariifa zake za habari baada ya kukiuka sheria ya utangazaji nchini ya Mwaka 2005.   Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na kamati ya maudhui ya utangazaji, katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Margaret Munyagi

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kada Mkongwe wa CCM Marehemu Mzee Peter Kisumo huko Usangi

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Jakaya Kikwete jioni ya jana, ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya mwanasiasa mkongwe wa Tanzania,  Peter Kisumo ambaye amezikwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngujini, Wilaya ya Mwanza, Mkoa wa Kilimanjaro. Akitokea Dodoma ambako amekuwa anaongoza vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Kikwete akifuatana na Mama Salma Kikwete

Jeshi la Polisi lapiga MARUFUKU Maandamano ya aina Yoyote wakati wa Kuchukua fomu za Wagombea na Kutafuta Wadhamini

$
0
0
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya aina yoyote wakati wote wa zoezi la kuchukuwa fomu, kutafuta wadhamini mikoani na hata wakati wa kurejesha fomu ili kuweka hali ambayo haitaleta usumbufu au kuhatarisha usalama wa raia na mali zao. Akitoa taarifa hiyo jana  mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam naibu inspekta jenerali wa polisi Abdulrahman Kaniki alisema  uamuzi

Benard Membe Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Kuanguka Mbio za Urais- CCM

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amefunguka kwa mara ya kwanza  na kuweka wazi kilichotokea mjini Dodoma na kusababisha ashindwe katika uteuzi wa kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Membe amekuwa kada wa tatu kueleza hadharani jinsi uteuzi huo ulivyoendeshwa ambao Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, aliibuka kidedea kati ya makada 42

Zari Aahidi Kupiga Picha za UCHI Ili Kuwafunga Mdomo Wanamsema Vibaya

$
0
0
Ubavu wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuwa atapiga picha moja ya utupu ili kuwakata vilimi wanaopenda kumzungumzia vibaya. Zari ametoa kauli hiyo hivi karibuni kufuatia wafuasi wa Mtandao wa Instagram kumnanga kuwa hakutumia busara kuposti picha zake za nusu utupu akiwa mjamzito. Alisema kwa kuwa watu wameshindwa kumuelewa kipindi hicho, wakati

Rais Kikwete atoa kauli kuhusu kupunguza gharama za kutuma pesa kwa kutumia simu

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali  imekusudia kupunguza gharama huduma za kutuma pesa katika mitandao ya simu kutoka nje ya nchi ili kuwawezesha Watanzania waishio ughaibuni (DIASPORA) kutumia fursa ya kijamii na kiuchumi zilizopo nchini ili kuliletea taifa maendeleo ya haraka. Alisema utaratibu huo utawezesha Watanzania hao kumudu gharama za ununuzi na uendeshaji wa rasilimali

Mabalozi 110 wa CCM Monduli wahamia CHADEMA

$
0
0
Mabalozi wa mashina mia moja na kumi wa CCM,Mwenyekiti,Katibu kata, Wajumbe wa kamati ya siasa ya kata pamoja na Wenyeviti wa mitaa minne katika kata ya Monduli mjini mkoa Arusha wamehama CCM na kuhamia Chadema. Tukio ilo limetokea Monduli mjini jana majira ya saa sita mchana wakati viongozi hao walipo kusanyika na kutoa kauli ya kuhama CCM na kuhamia Chadema huku wakisema  chama  cha 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images