Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Tundu Lissu Azungumzia Wanaotaka Kuihama CHADEMA Baada ya Lowassa Kupokelewa na Chama Hicho

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, amesema chama chao kinatarajia kupata wanachama wengi baada Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa kujiunga na chama hicho. Lissu ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo taarifa kwamba wapo wanachama wa CHADEMA ambao watakihama chama hicho kutokana na kutokubaliana na ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA. Akizungumza jana na waandishi wa habari Lissu alisema,

PICHA: Lowassa Achukua Fomu ya Urais CHADEMA

$
0
0
Edward Lowassa akionesha fomu ya kuwania urais aliyokabidhiwa leo Makao makuu ya Chadema,D ar. Umati wa watu waliojitokeza kumpokea Lowassa wakati akichukua fomu ya urais kupitia Chadema. …Akisaini katika kitabu cha wageni. Mnadhimu Mkuu kambi rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu akitoa yake machache. Lowassa akiwasiri kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Dar leo. Baada ya

BASATA imemfungia Shilole Mwaka Mmoja, Hakuna Kufanya Muziki

$
0
0
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia mwanamuziki Zuwena Mohamed ‘Shilole” kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja kutokana na kukiuka sheria na maadili.    Barua ya  BASATA  imesomeka  hivi “Tarehe 9 May 2015 ukiwa katika onyesho lako la muziki Ubelgiji ulicheza uchi mbele ya hadhira ya wapenda sanaa za Tanzania hivyo kudhalilisha utu wako na jamii ya

Lembeli ashinda kura za maoni Chadema, Bulaya almanusura.......Viti maalumu vyamuokoa

$
0
0
Wabunge wawili waliohama CCM hivi karibuni, James Lembeli na Ester Bulaya wamepitishwa katika kura za maoni kuwania ubunge kupitia chama chao kipya. Wakati Lembeli akipitishwa kwa kura za kishindo kuwania ubunge katika Jimbo la Kahama Mjini, Bulaya alishinda katika nafasi ya viti maalumu baada ya kushindwa katika kinyang’anyiro cha Jimbo la Bunda Mjini. Wanasiasa hao sasa wanasubiri

LOWASSA Aahidi Kuishinda CCM Uchaguzi Mkuu 2015

$
0
0
Waziri mkuu wa Zamani Edward  Lowassa  amewaahidi wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema pamoja na wale wa umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka 2015. Lowassa alisema hayo jana mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Demkorasia na Maendeleo ambayo itampa ridhaa ya kugombea

Batuli 'Amwaga Machozi' Baada ya Picha zake za Nusu Uchi Kusambazwa Mitandaoni

$
0
0
Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.   Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa

Maelezo ya Nape Nnauye kuhusu kuchukuliwa kwake na askari wa TAKUKURU.

$
0
0
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amefafanua sakata lake la kuchukuliwa na askari wa Takukuru kwa mahojiano muda mfupi baada ya kuchukua fedha benki, akisema alikuwa akielekea kulipa mawakala. Nape, anayewania ubunge wa Jimbo la Mtama, jana mchana aliamriwa na maofisa wa Takukuru kufika ofisi zao baada ya kutoka kuchukua fedha benki ya NMB eneo la Misonobarini mkoa Lindi.

Katibu CCM (W) akutwa na kura za maoni ofisini kwa mgombea

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani hapa kimetengua uteuzi wa aliyekuwa katibu wa chama hicho wilaya ya Newala, Juma Namkoveka, baada ya kukutwa akichapisha kura za maoni kwenye ofisi ya mmoja wa watia nia ya ubunge. Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe, alisema katibu huyo alikutwa akichapisha karatasi hizo juzi saa 4 usiku

Wanachama CCM Zanzibar wakataa kumuunga mkono Lowassa

$
0
0
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, wamesema hawapo tayari kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kwa kitendo cha kukihama chama hicho na kujiunga na Chadema.   Wametoa tamko hilo jana mbele ya waandishi wa habari katika ofisi kuu za CCM Kisiwandui. Akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya wanachama wezake, Katibu wa mkoa wa mjini CCM, Muhammed Nyawenga, alisema

Mwenyekiti wa Vijana Chadema Auawa Kwa Risasi

$
0
0
Mwenyekiti wa Vijana Chadema Tawi la Luis, Mbezi Luis, Dar es Salaam, Dennis Kasanga ameuawa kwa kupigwa risasi shingoni usiku wa kuamkia jana, huku taarifa zilizotolewa na polisi zikitofautiana na mashuhuda wa tukio hilo. Kasanga, mkazi wa Mbezi Luis alipigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa majambazi waliovamia baa inayojulikana kwa jina la Mtauli iliyopo njiapanda ya Barabara ya Goba na

Mbunge wa CCM Awakimbia TAKUKURU.......Ni Baada Ya Kunaswa Akigawa RUSHWA Kwa Wapambe Wake

$
0
0
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Manyara, imemhusisha Mbunge wa Babati Mjini, Kisyeri Chambiri (pichani kulia), na tuhuma za kutoa hongo katika kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Takukuru inadai kuwa mbunge huyio alinusurika kukamatwa juzi usiku akiwa na wapambe wake waliokuwa wanagawa rushwa. Kamanda wa Takukuru mkoani Manyara, Mogasa Mogasa,

Mahakama Yafuta Kesi ya IPTL na PAP Dhidi ya Kafulila

$
0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa na Kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, PAP pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya PAP Bw Harbinder Singh Sethi dhidi ya Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe David Kafulila. Kesi hiyo illikuwa ikidai kuwa Kafulila alichafua jina la kampuni hizo na mhusika wake kwamba walichota zaidi ya shilingi bilioni 300 kwenye akaunti ya

Lowassa arejesha fomu ya kugombea Urais CHADEMA

$
0
0
Mh. Edward Lowassa amerejesha fomu ya kugombea urais CHADEMA na mwenyeji wake Makamu Mwenyekiti bara wa CHADEMA Prof Abdallah Safari amepokea fomu hizo. Prof Safari amesema mpaka sasa hakuna mgombea yoyote wa Chadema zaidi ya Mheshimiwa Edward Lowassa aliyechukua fomu ya kugombea Urais Mheshimiwa Edward Lowassa amedhaminiwa na wanachama zaidi ya milioni 1 na laki 6. Mwanasheria

Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI

$
0
0
Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura zimekubaliwa

Mtikila achukua fomu ya urais kwa shingo upande

$
0
0
Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Christopher Mtikila akigoma kusaini fomu za kugombea urais akitaka ufafanuzi wa mgombea binafsi, Mwenyekiti wa UPDP, Fahmi Dovutwa amekwama kwenye lifti za jengo lililopo katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (NEC) kutokana na kukatika umeme. Mchungaji Mtikila ambaye aliambatana na mgombea mwenza Juma Metu Juma, alitaka ufafanuzi wa

Wasomi waelezea tetesi za Dk. Slaa kujiuzulu siasa......Yadaiwa ni Shinikizo la mkewe

$
0
0
Wakati uvumi wa kujiuzulu cheo na kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Dk. Wilbroad Slaa, ukiwa umetawala kupitia mitandao ya kijamii na magazeti, taarifa zinadai kuwa sababu ya kuchukua hatua hiyo ni shinikizo kutoka kwa mkewe. Taarifa zilizochapishwa na gazeti moja likimnukuu Dk. Slaa mwenyewe, zilisema ameachana na siasa na kujivua wadhifa wake na atabaki

Hii ni picha ya John Pombe Magufuli miaka 40 iliyopita akiwa shule.

$
0
0
Alizaliwa mwaka October 29 1959 kwahiyo umri wake ni miaka 55 akiwa na headlines nyingi za uongozi alioanza nao mwaka 1995 alipokuwa pia naibu waziri wa kazi na leo hii ndiye mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia chama cha mapinduzi CCM. Hii picha yake hapa chini ni ya miaka 40 iliyopita akiwa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Katoke Seminari March 1975, sura imepotea au yuleyule?

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira , Dk. Makongoro Mahanga Atangaza Kuihama CCM......Asema Atahamia CHADEMA

$
0
0
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ametangaza kuihama CCM na  kuhamia  CHADEMA kutokana na kutokuwepo Demokrasia ya Kweli ndani ya CCM. Dr. Mahanga ambaye ni Mbunge anayemaliza muda wake  kwenye Jimbo la Segerea  kwa  tiketi  ya  CCM  ametangaZA azma hiyo leo mchana baada ya  rufaa yake ya kupinga ushindi wa aliyekuwa

Kura za Maoni CCM: Mawaziri Watano Waanguka.......Yumo Chikawe,Sillima,Mahanga na Makalla.......Aden Rage Pia Kaanguka!!

$
0
0
Matokeo ya awali ya kura za maoni kwa wagombea udiwani na ubunge kupitia chama tawala, yameanza kuanikwa, huku yakionesha kuwa baadhi ya mawaziri, wabunge na watendaji katika chama na serikali wameangushwa. Kwa mujibu wa matokeo ambayo mtandao huu umeyapata, kwa upande wa mawaziri walioshindwa ni pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe.    Hayo yamethibitishwa na

CHADEMA Yaanza Vikao Bila Dr. Slaa......Mbowe Asema Atazungumzia Suala Hilo Muda Ukifika

$
0
0
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (pichani) amezungumzia kukosekana kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa katika vikao vya chama hicho vinavyoendelea jijini, akisema: “Nitazungumzia suala hilo muda muafaka ukifika.” Mbowe alisema hayo jana katika Hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach kilipokuwa kinafanyika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema jana. “Siwezi kusema zaidi ya hapo,”
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images