Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lowassa Akaribishwa Rasmi UKAWA......Hapa kuna picha na kilichojiri Leo Katika mkutano wa UKAWA na Waandishi wa habari

$
0
0
“Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje”. Hii ni moja ya kauli  ambayo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM.   CCM ilikuwa na Wagombea zaidi ya 40 ambao walitangaza nia na kuchukua fomu za Kugombea Urais 2015 lakini baadae Chama hicho kikampitisha

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

IKULU Yaukana Mshahara Wa Rais Kikwete........Yasema Gazeti La Mwananchi Limepotosha

$
0
0
Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa”. Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni “uchambuzi wa mtandao wa African Review” inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho

Mbunge Wa CHADEMA Ahamia ACT-Wazalendo

$
0
0
Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam jana mchana. Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.

Mbunge Mwingine wa CHADEMA Arudisha Kadi na kujiunga na CCM

$
0
0
MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara, Leticia Nyerere ameng'atuka rasmi jana katika chama hicho na kudai kuwa anarudi nyumbani katika chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa idara ya habari maelezo jijini Dar es Salaam, Leticia alisema kuwa katika suala la kuhamia Chadema hakutafakari kwa kina

Kwa Nini UKAWA Wameamua LOWASSA Awe Mgombea wao wa Urais??..... Tundu Lissu Amelijibu Swahi hili kwa Ufasaha Kabisa

$
0
0
Kwa  Nini  UKAWA  Wameamua  LOWASSA  Awe  Mgombea  wao  wa  Urais??..... Tundu  Lissu  Amelijibu  Swahi  hili  kwa  Ufasaha  Kabisa  hapo  chni: Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now.    Na amekuwa hivyo kwa muda mrefu. Sisi CHADEMA tulimweka

Shindano la ‘Big brother Africa’ kutofanyika mwaka huu

$
0
0
Kumekuwa na uvumi mkubwa juu ya shindano kubwa la TV Africa, Big Brother Africa (BBA) kutokufanyika mwaka huu na inadaiwa sababu ni ukosefu wa wadhamini wa shindano hilo. Waandaaji wa shindano hilo, Africa Magic na Endemol wamesema shindano hilo la BBA 2015 linaweza lisifanyike mwaka huu na hivyo kuahirishwa mpaka mwakani. Manager wa Multichoice Ghana, Anne Sackey amethibitisha uvumi wa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya July 28

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  July  28

Hatupo tayari kuungana na chama kingine - TLP

$
0
0
Chama cha TLP kimesema hakipo tayari kuungana na chama kingine chochote kile kwa makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja badala yake kitasimamisha mgombea wake makini ambaye ataingia katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais. Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa chama cha TLP taifa Dominata Rwechungura wakati akiongea na wananchi wa kata ya Kishogo wilayani Bukoba ambapo

Kada mkongwe wa CCM Ambaye Alikuwa Waziri Katika Serikali ya Mwl. Nyerere Atimkia CHADEMA

$
0
0
Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi na ambaye aliwahi kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho, Nazar Nyoni (84), amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Nyoni ambaye pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Elimu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza, alisema ameamua kujiunga na Chadema baada ya kuvutiwa na maneno ya wabunge waliomaliza muda wao, Tundu

Mrembo akuhumiwa jela kwa video tata mtandaoni

$
0
0
Mnenguaji wa kike nchini Misri, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja kwa kosa la kuonekana kwenye video yenye utata mtandaoni.   Hukumu hiyo imetolewa na mahakama moja nchini humo kwa kosa la kuchochea ngono baada ya kuonekana katika video yenye utata katika mtandao.   Mrembo huyo aliyetambulika kwa jina la Reda al – Fouly alitiwa mbaroni, mara baada ya video hiyo ya miondoko ya Pop

Breaking News: LOWASSA Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA.....Asema CCM siyo Baba Yake Wala Mama Yake

$
0
0
Waziri  mkuu wa  zamani  Edward  Lowassa  ametangaza  rasmi  kukihama  chama  cha  mapinduzi, CCM mchana  huu  na  kutangaza  kuhamia  CHADEMA.....  Lowassa  ametoa  kauli hii Bahari  Beach , Dar akiwa  sambamba  na  viongozi  mbalimbali  wa  UKAWA   ambao  wamekutana  na  waandishi  wa habari  kuzungumzia  hatima  yake  kuelekea  ikulu  pamoja  na  mapungufu  yaliyojitokeza  wakati  wa 

Sentensi 50 Alizozisema Edward Lowassa Leo Wakati Akikabidhiwa Rasmi Kadi ya CHADEMA.......Yapo pia maneno ya Mbowe,Lipumba, Makaidi na Mbatia

$
0
0
1.Nimetumia wiki mbili kutafakari hatma yangu ktk Siasa, najua wengi wamesubiri kwa hamu. 2.Watu wangu wamesema fanya maamuzi magumu.. Namshukuru Mke wangu na familia wamekuwa na mimi ktk kipindi kigumu- 3.Nawashukuru watu wengi waliojitokeza kuniunga mkono wakati natafuta wadhamini- 4.Uchaguzi wa Mgombea CCM ulijaa chuki dhidi yangu, Kamati ya Maadili haikutakiwa kuchagua Mgombea-

Hapa Kuna Picha 5 Za Lowassa Na Mkewe Wakikabidhiwa Rasmi Kadi Za CHADEMA

$
0
0
Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,  James Mbatia akimpongeza Edward Lowassa punde baada ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA. Mke wa Edward Lowassa, Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Mwenyekiti wa

CCM Kumjibu LOWASSA Leo

$
0
0
Baada ya Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kutangaza kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM)  na kuhamia Chadema jana katika ukumbi wa Bahari Beachi jijini Dar es salaam, chama cha Mapinduzi kimetoa taarifa ya kuzungumza na Vyombo vya Habari  leo.   Taarifa hiyo ya chama cha Mapinduzi haijafafanua kuwa ajenda itakuwa nini katika kikao hicho lakini kwa mujibu wa watafiti wa masuala ya

CCM Wamjibu LOWASSA........Wasema Kuhama kwake Hakuna madhara na kwamba Watapata ushindi wa kishindo

$
0
0
 Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Dar, Juma Simba Gaddafi  jana  aliongoza  mkutano  wa  CCM  na  waandishi  wa  habari  uliofanyika  Peacock Hotel Dar, na  haya  ndo  mambo  aliyoyasema;   "CCM inatoa shukrani kwa ushirikiano mlioutoa katika Mkutano wetu Mkuu wa Kumtambulisha Mgombea Urais Dk. Magufuli pale Mbagala, CCM ni Chama chenye busara tumeona tuwashukuru "Tume ya Uchaguzi

Mwigulu Nchemba Atoa Ufafanuzi Baada ya Kuhojiwa na TAKUKURU

$
0
0
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Mashariki ameipongeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Singida kwa kumwita yeye na kumhoji kwa kuwa hilo ndilo jukumu lao la msingi. Mwigulu aliyasema hayo wakati akitoa ufafanuzi juu ya kuhojiwa kwake na taasisi hiyo kuhusu tuhuma za kukiuka Sheria ya gharama za Uchaguzi na Sheria za Kuzuia na

LOWASSA Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais LEO kwa Mbwembwe na Shamrashamra!!

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa alitambulishwa rasmi kuhamia CHADEMA July 28 2015 Dar es Salaam akiwa ameongozana na mke wake, Regina Lowassa pamoja na watoto wao. Kwenye Orodha ya Viongozi wa UKAWA ambao walikuwepo kumpokea na kumkabidhi kadi ya CHADEMA, alikuwepo James Mbatia, Prof. Lipumba, Dk. Emmanuel Makaidi, Salum Mwalimu na Freeman Mbowe. Salum Mwalimu

Habari Zilizopo Katika magazeti ya Leo Alhamisi ya July 30

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  July  30

Naibu Spika Job Ndugai ampiga Mgombea mwenzie

$
0
0
Mbunge wa Kongwa aliyemaliza muda wake ambaye pia ni naibu spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amempiga mgombea mwenzie kwa nafasi ya ubunge, Dk. Joseph Chilongani kwa madai ya kumpiga picha wakati anafanya fujo kwenye mkutano wa kampeni wa kura za maoni. Tukio hilo limetokea jana jioni wakati wagombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM wakiwa kwenye mkutano na wanachama
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images