Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wamiliki wa Mabasi Kushitakiwa

$
0
0
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), limetishia kufungua kesi dhidi ya wamiliki wa magari watakaogoma na kusababisha usumbufu kwa wasafiri.   Tishio hilo limekuja baada ya Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kusema kuwa kitaitisha mgomo endapo serikali haitapunguza ushuru wa mabasi kutoka asilimia 25 kufikia asilimia 10.

Rais Kikwete Apata Tuzo ya Utawala Bora

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo na Taasisi ya African Achievers Awards, yenye makao makuu Afrika Kusini, kwa kutambua mchango wake katika kuimarisha, kuendeleza na kudumisha Utawala Bora, kwa miaka 10 ya uongozi wake.   Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, ilisema Kikwete anaungana na watu wengine wachache waliowahi kupokea tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa na kutolewa kwa

Nyambari Nyangwine Awalalamikia Vijana wa CCM Kumzomea Hadharani

$
0
0
MBUNGE wa Jimbo la Tarime anayemaliza muda wake, Nyambari Nyangwine, amedai kuchezewa rafu akisema kuna baadhi ya vijana wamekuwa wakinywa pombe aina ya viroba kwa ajili ya kumzomea ili aonekane hakubaliki kutetea nafasi yake.   Nyangwine ambaye anatetea nafasi yake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa akigombea Tarime Vijijini, ametaka mchatako wa kumpata mgombea ambaye

Magufuli Awataka Wananchi Wachague Wabunge Wachapakazi wa CCM Ili Iwe Rahisi Kwake Kuunda Baraza Zuri la Mawaziri

$
0
0
MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amewaomba wananchi wa mkoa wa Morogoro na mingine nchini, kuchagua wabunge wachapakazi kama yeye wanaotokana na CCM.    Lengo la ombi hilo, ni ili yeye atakapochaguliwa na Watanzania kuwa Rais, ateue wabunge hao kwenye nafasi ya uwaziri watakaowatumikia kikamilifu.   Akielezea uzoefu wake, Dk Magufuli alisema

Rais Kikwete Ateua Mkurugenzi mpya wa Tume ya Uchaguzi

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya utendaji katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala wa Tume hiyo, Kailima Kombwey kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi.   Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, Kombwey ambaye aliapishwa jana jioni, anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Julius Mallaba, ambaye

Diamond Platnumz ashinda tuzo nyingine Afrika Kusini ‘African Achievers Awards’.

$
0
0
Msani wa bongo fleva Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya ‘African Achievers Awards’ katika tuzo zilisofanyika Afrika kusini, Tuzo aliyoshinda Diamond ni ya Artist of the Year ‘Msanii Bora Wa Mwaka’.

Batuli: Rushwa ya Ngono iliniondoa Kaole

$
0
0
Msanii wa bongo movie Batuli ameweka wazi kuwa alikimbia kundi la Kaole sanaa Group baada ya kukutana na changamoto nyingi ikiwepo changamoto ya rushwa ya ngono.   Batuli alifunguka hayo Jumatano alipokuwa katika kipengele cha Kikaangoni kinachofanyika kila siku ya Jumatano kupitia ukurasa wa facebook wa EATV. Batuli alifunguka na kusema kuwa moja ya sababu kubwa ambayo ilimfanya kuondoka

Video fupi ikimuonyesha Rais Obama akicheza wimbo wa Sauti Sol Kenya.

$
0
0
Sauti Sol ni kundi maarufu la muziki kutokea nchini Kenya ambalo limefanikiwa kuvuka hata mipaka na kuteka kwenye nchi jirani kama Tanzania, Rwanda, Burundi na nchi nyingine za Afrika mpaka kupelekea kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kama za MTV na BET 2015.    Kundi hili lilipata mwaliko maalum wa kwenda kuimba Ikulu ya Kenya kwenye party ya kumkaribisha Rais Barack Obama wa Marekani

Video ya Rais Obama alivyosalimia kwa Kiswahili Kenya

$
0
0
Ndege ya Rais Obama ilitua July 24 2015 saa mbili usiku Jomo Kenyatta International Airport, Historia ikaandikwa kwa Rais huyo wa kwanza wa Marekani kutembelea Kenya.   Obama ni mmoja ya Marais wacheshi sana na wanaopenda stori za utani utani hivi wakati mwingine.   July 25 2015 Rais Obama amefungua Kikao cha Global Entrepreneurship Summit Nairobi Kenya, baada ya kukaribishwa na mwenyeji

Obama Aitaka Kenya iongeze Mapambano dhidi ya al Shabaab

$
0
0
Rais wa Marekani Barack Obama  jana  (25.07.2015) alifanya mashauri na mwenyeji wake Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Nairobi na kujadili maswala kadhaa yakiwemo usalama, uwekezaji na uongozi.   Rais wa Marekani Barack Obama ameitaka Kenya kuongeza jitihada za kulikabili kundi la wanamgambo wa al Shabaab kutoka Somalia.    Obama amesema Marekani inahitaji kushirikiana kwa karibu zaidi na

Wiki Ya Mtikisiko: Lowassa na Timu Yake Wasubiriwa kwa Hamu UKAWA.......Zaidi ya Viongozi 950 Wa CCM Kutimkia CHADEMA Wiki hii

$
0
0
Ni wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa za Tanzania.   Hali hiyo inatokana na vuguvugu la kisiasa linalohusisha viongozi wenye ushawishi kuhama vyama vyao vya siasa na kutimkia kwenye vyama vingine, ikiwa ni siku

Mbowe Aundiwa Zengwe Ubunge Hai

$
0
0
Wanachama wa Chadema wamedai kufichua mpango unaofanywa na baadhi ya viongozi wa CCM wa kumwekea pingamizi Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe ili asiwanie ubunge.   Kiini cha mipango hiyo ni hukumu ya Mahakama ya Wilaya ya Hai iliyomtia hatiani kwa kosa la kumshambulia mwangalizi wa ndani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Nassir Yamin.   Katika hukumu hiyo, iliyotolewa Juni 17

Zitto Kabwe: Hatuna Mpango wa Kujiunga na UKAWA

$
0
0
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema hakipo tayari kujiunga na Ukawa kama ambavyo habari za uvumi zimekuwa zikizagaa katika baadhi ya vyombo vya habari  kuwa chama hicho kipo mbioni kujiunga na Ukawa.   Kauli hiyo imetolewa na kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe  jana na kusema kuwa taarifa zinazoenea kuwa chama hicho kitajiunga na Ukawa sio za kweli. "Leo( jana )  siku nzima nilikua

Picha ya Diamond na Zari Wakiwa Nusu UCHI Yawavuruga Mashabiki...

$
0
0
Stori zilizo zagaa mtaani ni  kuwa wawili hawa( Diamond  na  Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini  picha  hii  imeibua  hisia  tofauti  miongoni  mwa  mashabiki  wa  mastaa  hawa. Kundi  kubwa  kubwa  linawalaumu  wasanii  hawa  kwa  kupiga  picha  kama  hii  huku  likidai  ni  kumdhalilisha  mtoto  aliyeko  tumboni. Aunt  Ezekiel  aliwahi  piga  picha  kama  hii

Mbatia apita bila kupingwa kura ya maoni Vunjo.

$
0
0
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amepita bila kupingwa katika mchakato wa kumtafuta mgombea ubunge jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro kupitia chama hicho. Mbatia amepitishwa baada ya vikao vya Kamati ndogo kwenye ngazi ya matawi, kata na jimbo kumpa alama ‘A’ sawa asilimia 100 baada ya kuwa mgombea pekee aliyejitokeza kuomba kuteuliwa na chama chake kuwania

Familia ya Bobby Brown yathibitisha kifo cha Bobbi Kristina.

$
0
0
Bobbi Kristina Brown ,mtoto wa marehemu Whitney Houston ambaye alikuwa gwiji wa muziki wa R&B ,amefariki dunia baada ya kupoteza fahamu kwa muda wa miezi sita tangu alipokutwa taabani kwenye bafu lake na pindi alipofikishwa hospitalini na kukutwa na matatizo kwenye ubongo.   Bobbi amekufa akiwa na umri wa miaka 22,huku akivutiwa kuwa muigizaji na muimbaji mahiri na mwenye ubora wa aina

Mbunge Wa CHADEMA, Salvatory Machemli Apigwa Chini Katika Kura za Maoni.......Awakasirikia Wapambe Wake, Awanyang'anya Pikipiki

$
0
0
MBUNGE anayemaliza muda wake, Salvatory Machemli, amekuwa Mbunge wa kwanza wa jimbo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kubwagwa kwenye kura za maoni zinazoendelea ndani ya chama hicho. Machemli, aliyekuwa Mbunge wa Ukerewe mkoani Mwanza, alijikuta akishindwa kupata kura za kutosha katika uchaguzi huo uliofanyika juzi mjini Nansio, Ukerewe. Awali, uongozi wa Chadema Makao

Msindai Ajitwisha Msalaba Wake......Aachana na Lowassa

$
0
0
Aliyekuwa mmoja wa wapambe wakubwa wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa wakati wa safari ya matumaini, Mgana Msindai, sasa ameelekeza nguvu kuwania ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo jipya la Mkalama mkoani Singida. Msindai alikuwa mpambanaji mkubwa kuhakikisha Lowassa anafanikisha ndoto ya kuteuliwa na CCM kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao, hata kufikia hatua ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 27

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  July 27

LOWASSA Atua Rasmi CHADEMA.......Kutangazwa Muda Wowote Ndani ya Wiki Hii

$
0
0
Mpango wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumtangaza kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Lowassa, kujiunga na chama hicho uliotarajiwa kutekelezwa jana, umekwama huku kukiwa na taarifa za mgawanyiko ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Wiki iliyopita, Mtandao huu uliandika taarifa kwamba Chadema walipanga kumtangaza Lowassa Jumapili ya jana baada ya kumaliza
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images