Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya August 3

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  August   3

VIDEO: Wema Sepetu Amrekodi Nuh Mziwanda AKIMTONGOZA........Shilole Azimia Baada ya Video Kusambaa Mtandaoni

$
0
0
Katika hali ya kushangaza, sauti ya mpenzi wa staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ inayosikika akimtongoza Wema Sepetu imemfikia Shilole na kusababisha azimie. Tukio hilo lililozua mtafaruku lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar kulipokuwa na pati ya bethidei ya mwigizaji Shamsa Ford. Kwa mujibu

Dk. Slaa apigwa 'STOP' CHADEMA..........Mbowe asema Wamempumzisha Kwa Muda Usiojulikana

$
0
0
Mwenyekiti wa chama cha Chadema Freeman Mbowe leo  amesema kwamba  chama cha Chadema kimempumzisha katibu mkuu wake Dk. Wilbroad  Slaa kwa muda  usiojulikana. Akizungumza   katika mkutano wa baraza kuu Chadema Mbowe amesema kwamba chama cha Chadema kimekubaliana kumpumzisha Dr. slaa kwa muda lakini nafasi yake ya katibu mkuu katika chama hicho iko pale pale. “Tumekubaliana kwamba katibu

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya August 4

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  August  4

Rais Kikwete azuia ‘ULAJI ’ Trafiki.......Ataka Baraza la Usalama Lianzishe Mfumo wa Kulipa Faini Kwa Njia ya Benki

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete ameliagiza Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, kuanzisha mara moja mfumo wa ulipaji faini kwa njia ya Benki na mitandao ya simu za mkononi ili kupunguza ushawishi wa vitendo vya rushwa kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini. Pia, ameagiza kuanzishwa mfumo wa kuweka alama kwenye leseni za madereva wanaokiuka sheria na kutumia njia hiyo kuwafungia, ikiwa ni

Mtikila Kumshitaki Lowassa na Magufuli

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema chama chake kinaandaa taratibu za kwenda mahakamani ili kumshtaki mgombea urais mteule wa CCM, Dkt. John Magufuli na mgombea urais wa CHADEMA, Bw. Edward Lowassa.   Alisema wagombea hao kwa nyakati tofauti, wameshiriki kuiingizia Serikali hasara ya mabilioni ya fedha ambapo wanasheria wa chama hicho wapo

Magufuli Kuchukua Fomu ya Urais Leo Saa Sita Katika Ofisi Za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

$
0
0
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli leo anatarajiwa kuchukua fomu ya uteuzi katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kusaka wadhamini na kisha kuidhinishwa kuwa mgombea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu. Waziri huyo wa Ujenzi anatarajiwa kuchukua fomu saa sita kamili mchana, na kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya

Nape Asema Wanaohama CCM ni sawa na Mafuta Machafu.......Amtakia Kila la Heri Edward Lowassa

$
0
0
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu. Aidha, amesema aliyekuwa Mbunge wa Segerea na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Milton Mahanga, alikuwa anatafuta sababu za kuihama CCM na anamtakia kila la heri, yeye na rafiki yake, Edward Lowassa. Nape

Mwenyekiti wa Wenyeviti CCM Taifa, Mgana Msindai Ahamia CHADEMA

$
0
0
Mwenyekiti wa wenyeviti ccm Taifa na mwenyekiti wa mkoa wa singida Mhe Mgana Msinda  akiwasalimia  wajumbe  wa  Baraza  Kuu CHADEMA **** Mwenyekiti wa wenyeviti wa CCM, Mgana Msindai jana alijiunga na Chadema na kutambulishwa katika mkutano wa Baraza Kuu la Chadema.   Mgana, ambaye aliwahi kuwa mbunge wa Iramba Mashariki (2000-2010) alitambulishwa pamoja na Mbunge wa Arumeru Magharibi (

Madereva watangaza mgomo mwingine nchi nzima

$
0
0
Mgomo mwingine wa madereva nchini Tanzania unanukia  kufuatia Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yayolifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro huo.   Kwa mujibu wa naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe amesema kwamba kutokana na Wizara kushindwa kutekeleza makubaliano hayo wanatarajia

Maelfu wamsindikiza Magufuli kuchukua fomu ya urais NEC

$
0
0
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dk. John Pombe Magufuli leo amechukua fomu ya kuwania urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).   Maelfu ya wananchi wamejitokeza kumsindikiza kiongozi huyo aliyeanzia makao makuu madogo ya CCM Lumumba, Dar kuelekea ofisi za NEC.

Urais 2015: Lowassa, Haji Duni Wapitishwa Rasmi Kupeperusha Bendera ya Ukawa

$
0
0
Mkutano Mkuu wa Chadema kwa pamoja umempitisha Mwanasiasa Edward Lowassa kama mgombea Urais na Juma Haji Duni kuwa mgombea Mwenza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25 oktoba 2015.   Katika upigaji kura  Kanda zote zimepiga  kura ya NDIYO kwa Mh. Edward Lowassa  na hakuna kanda iliyosema HAPANA, huku wakishangilia kwa nguvu.   Kanda ya Kaskazini, Kanda ya kati, Kanda ya

Kinana Asema CCM Inashindana Na MAKAPI Yake

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amesema kwamba chama Chama Mapinduzi kinatarajia kupata ushindi mnono katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika mwezi oktoba mwaka 2015. Akizungumza na Wanachama wa CCM leo katika ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba jijini Dar es salaam mara baada ya mgombea wake wa Urais Dk.John Pombe Magufuli kuchukua fomu ya kugombea urais tume ya Taifa ya

Picha: Vigogo wa CCM Wajiunga Rasmi na CHADEMA Katika Ukumbi wa Mlimani City Mchana

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Mh.Freeman Mbowe(kushoto) akimkabidhi kadi ya chama hicho Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki Ndg.Mgana Msindai ambaye ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA.    Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15

PICHA: Magufuli Alitikisa Jiji la Dar es Salaam Wakati Akichukua Fomu ya Kugombea Urais

$
0
0
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt  John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa

Kikwete: CCM Si Chama Cha Mchezo.......Wapinzani Watakiona cha Mtema Kuni Mwaka Huu

$
0
0
MWENYEKITI wa Taifa wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema chama hicho sio chama cha mchezo na kuvionya vyama vya upinzani kuwa watakiona cha mtema kuni katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Amesema CCM itapata ushindi katika uchaguzi huo kwa kuwa imejipanga kwa hoja na imeleta maendeleo nchini, huku akieleza kuwa wapo watu wenye tamaa ya uongozi ambayo imekithiri. Aliungwa mkono na

Waziri mwingine, wabunge 4 waanguka kura za maoni CCM

$
0
0
SIKU mbili baada ya mawaziri watano kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya CCM, waziri mwingine, Gaudentia Kabaka anayeshughulikia Kazi na Ajira, naye amedondoshwa katika jimbo la Tarime Mjini. Kabaka, kabla ya kujitosa katika siasa za majimbo, alikuwa mbunge wa muda mrefu wa viti maalumu. Aidha, katika kura hizo zilizofanyika kote nchini, zimewaacha katika hali mbaya wabunge

Nuh Mziwanda Ajibu Tuhuma za Kumtongoza Wema Sepetu

$
0
0
Baada ya kusambaa sauti ya Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, muimbaji huyo ameibuka na kukanusha kuwa sauti hiyo sio yake na kumtuhumu Wema kuitengeneza sauti hiyo. Akizungumza na mtandao  wa  Bongo5  akiwa na mpenzi wake Shilole, Nuh amesema kitendo kilichofanywa na Wema pamoja na timu yake sio cha kistaarabu. “Mimi nimetake easy, ni mambo ya dunia kwa sababu ni mambo ya dunia

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0
OFFER/ PUNGUZO LA BEI KWA MWEZI HUU...PENDEZA NA KESSY PRODUCTS (BEFORE & AFTER) KWANZA NIDAWA ZA ASILI ZISIZO NA MADHARA WALA KEMIKALI, NA MATOKEO BAADA YA WEEK 2 HADI 4. 1.Kutoa Mvi sugu 70000/2.Refusha nywele nakuzuiy kukatika 50000/3.Tengeneza Shepu (hips NA Kalio)kwa@kupaka 50000/@daw yamaj 80000/@vidonge 1,00,000/ 4.Punguza kitambi kwa@kupaka 55000/@mkanda was Daw 80000/@daw ya kunywaa

Dr. Slaa Atasababisha Mpasuko CHADEMA- Wasomi

$
0
0
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Freeman Mbowe, kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Wilbrod Slaa, baadhi ya wasomi wamedai huo ndiyo mwanzo wa kupasuka kwa CHADEMA.   Walisema mpasuko huo pia utavihusisha vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao.   Baadhi ya wanachama
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images