Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AIONYA CHADEMA

$
0
0
Msajili wa vyama vya Siasa nchini amewaasa wanachama na viongozi wa Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutumia muda wao kufanya shughuli za siasa ili kuchangia maendeleo ya nchi badala ya kutumia uwezo na muda wao kubuni mambo yanayoleta mtafaruku na kuhatarisha amani ya nchi. Pia amepinga tamko la chama hicho la kuanzisha mafunzo ya kujilinda kwa vijana wake nchi nzima.Kwa

MWANAMKE ANYONGWA HUKO SHINYANGA BAADA YA MUMEWE KUMTUHUMU KUGAWA PENZI NJE YA NDOA YAO

$
0
0
Na Kadama Malunde, Shinyanga  MWANAMKE mmoja Happiness Luhende mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Lubaga katika manispaa ya Shinyanga, ameuawa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kunyongwa na mume wake kwa kutumia kamba ya katani baada ya kumtuhumu kuwa anamsaliti kwa kufanya mapenzi na wanaumme wengine.Tukio hilo limetokea juzi jioni majira ya saa 12 jioni katika kata ya Lubaga, ambapo

MABINTI WAJIREKODI WAKIWA UCHI..... VIDEO YAVUJA

$
0
0
<!-- adsense --> Maadili ya kitanzania yamekuwa yakiporomoka  kila  kukicha  hasa kwa  watoto wa kike  ambao  wengi wao wamekuwa wakiendekeza  ufaska  wa   tamaduni  za  nchi  za  ng'ambo  wa  kujirekodi  wakiwa  uchi  na  kujipiga  wakiwa  uchi. Hii  ni  video  ya  mabinti  hao   walioamua  kujiumbua  wenyewe( Ni sharti uwe mtu mzima ) << BOFYA  HAPA  KUICHEIKI  ILIKO>>

BINTI ALIYEZALIWA BILA MACHO WALA PUA ATAKIWA KUTOA UBAVU WAKE ILI AFANYIWE UPASUAJI

$
0
0
Msichana Brave Cassidy Hooper (17) kutoka Charlotte, Kaskazini mwa Carolina Marekani aliyezaliwa bila pua wala macho anategemea kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kurekebisha uso wake. Brave anategemewa kufanyiwa upasuaji huo (July 31) mwaka huu ambapo inategemewa sehemu ya mfupa utaondolewa katika ubavu wake kwaajili ya kutumika kutengeneza paji la uso wake, mfupa huo utasaidia kama

PESA MWANAHARAMU:.. LADY GAGA AKUBALI KUPIGWA UCHI ILI KUUPAMBA UKURASA WA MBELE WA GAZETI

$
0
0
  Lady  Gaga  ametoa  kali  ya  mwaka  baada  ya  kukubali  kufotolewa  akiwa  mtupu  ili  kuupamba  ukurasa  wa  mbele  wa  gazeti  la  V magazine... Baadhi  ya  fans  wake  wamefunguka  na  kudai  kuwa  uroho  wa  pesa  utamponza  huku wengine wakidai   kuwa  msanii  huyo  atakuwa  amekubali  kuanikwa  hivyo  ili  kuvuta  "attention"  ya  mashabiki  wake  kwa  ujio  wa  albam yake  mpya 

WANAFUNZI WANUSURIKA KUFA BAADA YA BWENI KUTEKETE KWA MOTO HUKO IRINGA

$
0
0
WANAFUNZI 12 wa Shule ya Sekondari ya Mlowa iliyopo Wilaya ya Iringa Vijijini wamenusurika kufa baada ya bweni walilokuwa wamelala kuungua kwa moto na kuteketeza vitu ambayo vilikuwemo ndani.   Tukio hilo linadaiwa lilitokea baada ya hitilafu ya umeme wa nishati ya jua (Sola) iliyosababishwa na wanafunzi ambao walikuwa wamelala katika bweni hilo kuunganisha nyaya kienyeji kwa ajili ya

HII NDO HALI HALISI YA MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTER ALIYEMWAGIWA TINDIKALI

$
0
0
MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.  Wiki iliyopita majira ya saa moja jioni, mfanyabiashara huyo alimwagiwa tindikali na mtu mmoja ambaye hakufahamika na mara baada ya kutenda tukio hilo,

ALIYETIMULIWA KANIKASI AKIWA NA VAZI LA NUSU UCHI ADAI KUWA KANISA LIMEMUONEA, WALIMSUKUMA AKAANGUKA NA WAMEHARIBU VIATU VYAKE VYA "UINGEREZA"..!!!

$
0
0
  Wakati mwanamke wa kivazi kilichositisha ndoa kanisani kwa dakika kadhaa akidai hakuwa na tatizo kuvaa vile, Katekista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Peter, Yohane Maboko, amesisitiza kuwa alikiuka maadili ya Kanisa. Mwanamke huyo ambaye ameendelea kukataa kutaja jina lake, huku njia zingine zikimtaja kwa jina la Restituta Kalemera, alidai juzi kuwa kivazi hicho cha mabega wazi

MAREKANI YAMPA ONYO RAIS KAGAME WA RWANDA....YAMTAKA KUACHA MARA MOJA KUWASAIDIA WAASI WA M23

$
0
0
Marekani imeitaka Rwanda kuacha kusaidia waasi wa kundi la M23 ambalo linaendesha mapambano dhidi ya Serikali ya nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).Taifa hilo kubwa duniani limesema lina ushahidi wa kutosha kuonesha kuwa Rwanda inalisaidia kijeshi kundi hilo la waasi na baadhi ya maofisa wake wamo. Hii ni mara ya kwanza kwa Marekani kutoa kauli kali tangu kundi hilo

"ATAKAYETHUBUTU KUIVAMIA TANZANIA ATAKIONA CHA MTEMA KUNI. TUPO TAYARI KWA UCHOKOZI WOWOTE"....RAIS KIKWETE ATOA ONYO KALI

$
0
0
 Rais Jakaya Kikwete ametuma ujumbe kwa wale wanaoitishia Tanzania. Amewaambia wakithubutu watakiona cha mtemakuni kama ilivyokuwa kwa Idd Amin wa Uganda. Alisema mamlaka za ulinzi na usalama zilimdhibiti Amin alipofanya uvamizi katika ardhi ya Tanzania mwaka 1978 na kwamba hazitashindwa kufanya hivyo kwa mtu mwingine yeyote atakayechezea usalama wa nchi.

MWANAMKE E ALIYEPANGA KUMUUA MUMEWE AFIKISHWA MAHAKAMANI HUKO ARUSHA

$
0
0
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na Novatus Elias, walifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha /Arumeru, Devotha Kamuzora, wakisomewa makosa mawili ya kula

MWANAFUNZI AJIUA BAADA YA KUBAKWA HUKO SUMBAWANGA

$
0
0
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Flora Athanas (18) wa sekondari Mzindakaya wilayani hapa amejiua kwa sumu ya panya, baada ya kubakwa na mtu asiyefahamika. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, alisema jana kuwa mwanafunzi huyo alibakwa usiku wa kuamkia Jumanne yeye na mwenzake, katika chumba walimopanga, kutokana na kukosekana kwa mabweni katika shule hiyo. Kwa mujibu wa

VIDEO YA RAIS KIKWETE AKITOA ONYO KALI KWA WALIO NA NDOTO NA KUIVAMOA TANZANIA

DANGURO LA MAKAHABA LAFUMULIWA

$
0
0
 Hili ni sakata la  kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya madanguro katika uwanja wake na kuwapangisha makahaba katika eneo maarufu kwa jina la Kijiji cha Makahaba. Mwandishi wetu alipokea ujumbe mfupi ulioelezea ufuska unaofanywa na mabinti ambao hupewa eneo na kujenga vibanda kisha kujiuza kwa bei chee katika kijiji hicho maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Bada ya simu hiyo,

HUYU NDO MSANII ALIYETANGAZA KUMPORA MUME WA AUNT EZEKIEL...

$
0
0
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe. Vai wa Ukweli bila ya kupindisha maneno amedai kuwa hapati usingizi kutokana na kumzimia Sunday Demonte ambaye ni mume wa Aunt. Akizungumza na mwandishi wetu, Vai alisema ili kuonesha kuwa

MUME NA MKE WAUA MTOTO WAO WAKATI WAKIGOMBANA NDANI.....BAADA YA KUUA, MTOTO ATUPWA KWA JIRANI YAO

$
0
0
Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wakati wanapigana kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda wa polisi Mkoa Rukwa, Jacob Mwarwanda amesema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Julai 22, saa 5:30 za usiku baada ya Livinus Choma(31) na mkewe  Grace Choma(28) ambao wote wakazi wa Malangali kugombana usiku.Amesema baada ya mume na mke

AMANDA NA BWANA MISOSI WAMWAGANA...

$
0
0
HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi’ wanadaiwa kumwagana rasmi   Habari kutoka chanzo  ambacho ni mtu wa karibu wa wapenzi hao, zilieleza kuwa Amanda na Bwana Misosi walishamwagana kimyakimya ikiwa ni baada ya kushindwa kuelewana kitabia. Baada ya kuzinyaka habari hizo, mwanahabari wetu

"NILIJUA TU KWAMBA WANAFIKI WATAFURAHIA MATESO YANGU" ....AGNESS MASONGANGE

$
0
0
VIDEO Queen ambaye hivi karibuni alidaiwa kukamatwa na madawa yanayosadikiwa ni ya kulevya ‘unga’ nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa alijua watu wengi watafurahia kilichompata kwa kumuongelea kila wakati. Akizungumza na mwanahabari wetu kwa njia ya simu akiwa Sauzi, Masongange ‘alishauti’ kuwa watu wengi wanamuongelea vibaya bila kujua nini

KALA JEREMIAH NAYE ATANGAZA NIA YAKE YA KUMPIGIA KAMPENI LOWASSA....ANADAI LOWASSA NI JEMBE

$
0
0
Msanii wa Hip Hop na mshindi wa tuzo 3 za KTMA 2013, Kala Jeremiah amefunguka kwa kuandika waraka mrefu kuelezea jinsi anavyomkubali waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa kwamba anafaa kuiongoza nchini. Usome waraka wake huo wote; Mimi Kala Jeremiah nilikuwa msanii wa kwanza Tanzania kumsema mheshimiwa Edward Lowassa kupitia wimbo wangu uitwao wimbo wa taifa baada ya mheshimiwa

RAY C ATANGAZA KURUDI UPYA KWENYE GAME LA MUZIKI.....

$
0
0
Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray- C. Malkia wa kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray-C ametangaza ujio wake rasmi baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo miezi kadhaa iliyopita.Ni baada ya siku chache kupita toka Ray-C atamke kuwa anapenda sauti ya ‘dogo lake’ Recho na kuwa atakuja kufanya naye kazi, leo amethibitisha kuwa mwezi Agosti ndio
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images