Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

AGNESS MASOGANGE ATAPANDISHWA KIZIMBANI TENA TAREHE 13 AGOSTI MWAKA HUU

$
0
0
Hatima ya msanii anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, waliokamatwa Afrika Kusini na dawa za kulevya kesi yao inatarajiwa kusomwa tena tarehe 13 Agosti mwaka huu nchini humo. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Kudhibiti Dawa za Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa aliweka wazi kuwa

"WAKATI KIKWETE AKIONGOZA KUOMBA KONDOMU KWA OBAMA, MAGAZETI NAYO YALIISHIA KUANDIKA HABARI YA KUSHIKANA VIUNO".... GODBLESS LEMA

$
0
0
CHAMA cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza kutoa mafunzo ya kujihami kwa vijana wao maarufu kama Red brigedi kuanzia Agosti mosi, mwaka huu. Akitangaza tarehe hiyo jana wakati wa mkutano wa chama hicho uliofanyika Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini, kiongozi wa ulinzi wa chama hicho kanda ya Nyanda za juu kusini Lucas Mwampiki, alisema kuwa ameamua kuweka wazi adhima

WALIOWAUA WANAJESHI WA TANZANIA WATAJWA.....NI KUNDI LA "JANJAWEED" LINALOUNGWA MKONO NA SERIKALI YA SUDAN

$
0
0
WAKATI miili ya wanajeshi saba ikiwa imeagwa jana katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, imeelezwa kuwa kundi la Janjaweed linaloungwa mkono na serikali ya Sudan ndilo lililowavamia na kuwaua askari hao nchini humo  na kuwajeruhi wengine 17 . Wanajeshi hao wa Tanzania ambao walikuwa ni sehemu ya Jeshi la Kulinda Amani la Umoja wa Mataifa (Unamid), walifanyiwa

HUYU NDO MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI

$
0
0
MSHTUKO mkubwa ulijiri Jumamosi iliyopita, ikiwa ni baada ya kusambaa kwa habari za kumwagiwa tindikali, mfanyabiashara mwenye ‘levo’ ya ubilionea, Said Said Mohammed, 42, ambaye ndiye mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa Home Shopping Centre.   Said ambaye kwa utambulisho mwingine anajulikana kama Said Mohammed Saad, alimwagiwa tindikali Ijumaa iliyopita, saa 2 usiku, lakini habari zake zikavuma

"WAGANGA MSITOE DAWA KWA MAJAMBAZI ILI TUSIWAKAMATE....TUPENI DAWA SISI ILI TUWAKAMATE"

$
0
0
Inaripotiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Polisi katika wilaya ya Mufindi, PCD Ambwene Manyasi amewataka waganga wa jadi kuacha mara moja kuwapatia majambazi dawa za kutokukamatwa na polisi, na badala yake waganga hao wawapatie askari polisi dawa za kuwaona na kuwakamata wahalifu.Eliasa Ally wa gazeti la Majira anaripoti kutoka Mufindi kuwa kauli na wito huo umetolewa na OCD huyo katika Ukumbi wa

VIDEO: MAKAHABA YAKODISHA JUMBA LA NGONO.....BIASHARA YAFANYIKA MCHANA KWEUPE

$
0
0
Makahaba wamekodisha jumba na kuligeuza kuwa jumba la ngono kwa kuuza ngono mchana kweupe na raha zao. Tukio hilo limetokea katika jimbo la Nyeri, nchini kenya, kitu kilichowafanya wakazi wa eneo la tukio kulalamika na kupinga vitendo hivyo<!-- adsense -->

MJANE ALIYETIMULIWA KATIKA MSIBA WA MWANAJESHI WA JWTZ AJITOSA TENA KUHUDHURIA MAZISHI YA MUMEWE

$
0
0
FAMILIA ya Marehemu, Fortunatus Msofe, ambaye ni mmoja wa wapiganaji wa JWTZ, waliofia Darfur, wamemzuia aliyekuwa mchumba wake Amina Juma kushiriki katika mazishi na kumfungia mlango wa nyumba ya marehemu asiingie ndani mara tu baada ya taarifa za kifo cha marehemu kuwafikia.   Hata hivyo Amina amelazimika kwenda Tanga kushiriki shuguli za mazishi ya marehemu pamoja na kwamba familia ya

NAY WA MITEGO ASHANGAA KUONA WASHINDI WA BSS WAKIFULIA LICHA YA KULIPWA PESA ZA KUTOSHA

$
0
0
 Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.   “Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani. 

VIJANA WAUANA JIJINI MBEYA WAKIGOMBANIA PENZI LA MSICHANA

$
0
0
Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani na Tolo s/o Seko, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu. Chanzo ni ugomvi wa kumgombania msichana aitwaye Holo d/o Kulwa, miaka 16, Msukuma mkulima na mkazi wa Nkwangu. Mtuhumiwa

POLISI WAFANIKIWA KUMKAMATA MVUTA BANGI ANALIYEMUUA MDOGO WAKE KWA KUMKATA MAPANGA HUKO SINGIDA

$
0
0
 Jeshi la polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kumkamata Elibariki Alphoce (21) mkazi wa kijiji cha Kizega wilaya ya Iramba, anayetuhumiwa kumuua mdogo wake Mariam (9) mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Kizega.Elibariki anatuhumiwa kumuua mdogo wake Mariam Julai 16 mwaka huu katika kijiji cha Kizega kwa kumkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili na kisha

NAY WA MITEGO ATANGAZA KUMPIGIA KAMPENI LOWASA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015

$
0
0
Haya  ni  mashairi  aliyoyaandika Nay wa  mitego  kwenda  kwa  mtoto  wa  Rais  a.k.a Riz One  akimtaka  amwambie  baba  yake  kuwa  mtwara  hawataki  korosho, wanataka   gesi  na  pia Lowassa  asiache  kugombea  urais  maana  yupo  tayari  kumpigia  kampeni-2015 ---------------- MASHAIRI YAKE: Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako Masela

'NASUMBULIWA NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....TATIZO LILIANZA MWAKA 2008."...NAOMBA USHAURI WA MATIBABU

$
0
0
<!-- adsense --> Huyu ni mtanzania mwenzetu ambaye amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwasha sehemu zake za siri.Leo ameamua kuziweka  aibu  pembeni  na  kulianika  tatizo  lake  akiamini  kuwa  jamii  itamsaidia  KIMAWAZO. ------------------- HUU NI UJUMBE WAKE: Mficha maradhi mauti humuumbua.Mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwasha sehemu zake za siri tangu mwaka

IRENE UWOYA NA LUCY KOMBA WASHIKANA UGONI

$
0
0
NYOTA wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krrish’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba amemshika ugoni msanii mwenzake, Lucy Komba mara baada ya kuziona picha za msanii huyo akiwa na mumewe, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ wakiigiza filamu. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kutokea nchini Swaziland, Uwoya amepinga vikali utetezi unaosemwa kwamba Lucy na

KAHABA LANASWA LIKIFANYA NGONO KATIKA MAKABURI YA MALAPA BUGURUNI

$
0
0
LICHA ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani watu wengi kuogopa kufanya maovu, jimama anayekwenda kwa jina la Joyce Benson (34), amefumwa akifanya ngono katika makaburi ya Malapa, Buguruni jijini Dar. Joyce amekamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita saa nane katika maeneo hayo akifanya biashara haramu ya kuuza mwili wake katika makaburi hayo kwa njia ya kujipatia fedha.  Joyce mwenye umbile la

RAIS KIKWETE AINGILIA KATI KODI ZA LINE.....AMEZITAKA MAMLAKA HUSIKA ZIKUTANE HARAKA ILI TATIZO LIISHE

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza Wizara za Serikali zinahusika na kodi na mawasiliano pamoja na makampuni ya simu za mikononi nchini kukutana mara moja kutafuta jinsi gani ya kumaliza mvutano wa kodi mpya ya kadi za simu hizo za mikononi. Rais kikwete ametoa maelekezo hayo jioni ya leo, Jumanne, Julai 23, 2013 wakati alipokutana na

VAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR....PADRI AGEUKA MBOGO NA KUWATIMUA WAPAMBE

$
0
0
KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae vizuri. “Ninatoa dakika 10 kwa aliyeingia na mavazi ambayo hayatakiwi kanisani humu kutoka mara moja akavae vizuri, la sivyo ndoa yao haitafungwa,” alisema Padri Haule wa Kanisa

BEYONCE AUMBUKA BAADA YA NYWELE ZAKE KUNASWA NA FENI AKIWA KATIKA SHOW HUKO CANADA

$
0
0
Jumatatu usiku (July 22) Beyonce alikuwa na show huko Montreal, Canada... Wakati anaimba wimbo wake wa ‘Hallo’ ghafla  nywele zake zikanaswa na feni iliyokuwa nyuma yake jukwaani hapo, nina uhakika kwa msanii mwingine angeweza hata kupoteza mwelekeo na huenda ingemharibia show.. Lakini uzoefu na kujiamini vilimsaidia Bey mama wa mtoto mmoja (Blue Ivy) ambaye hakutetereka na aliendelea

POLISI 117 WATIMULIWA KAMBINI KWA UTOVU WA NIDHAMU

$
0
0
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.  Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale waliopoteza sifa za kuendelea na mafunzo ya kijeshi baada ya kukutwa na makosa ya utovu wa nidhamu, utoro na matatizo ya kiafya. Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Matanga Mbushi, ambaye ni mkuu wa

FREEMAN MBOWE ATIWA MBARONI KWA TENA

$
0
0
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe le amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya ulinzi mkali  kwa takribani masaa matatu. Taarifa zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi  baada ya kuwatuhumu  kuhusika na mlipuko wa bomu la arusha katika mkutano wa CHADEMA. Kuachiwa huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi

BAADA YA KUPIGWA CHINI BIG BROTHER, HUDDAH AAMUA KUMALIZA HASIRA ZAKE KWA KUJIPIGA UCHI

$
0
0
Wengi waliamini  kwamba    Big Brother  imempa  fundisho  mrembo  huyu  na  kutegemea  mabadiliko   makubwa  ikiwa  ni  pamoja  na  kuuuheshimu  mwili  wake  baada  ya  Video  zake  za  uchi  kuvuja  akioga  bafuni... Hali  imekuwa  ni  tofauti  kwa  mrembo  huyu  asiyeijua  thamani  ya  mwili  wake.Tabia  ni  ngozi.Skendo,picha  za  uchi  huenda  ziko  katika  mishipa  ya  damu  yake....
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images