Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

MTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG

$
0
0
 Mtu mmoja jana alisema sasa hivi wasafiri watokao Tanzania wanakaguliwa kwa makini zaidi ya ilivyokuwa hapo awali kutokana na matukio ya kukamatwa na dawa za kulevya! Hii ni sifa mbaya mno kwa raia na Taifa zima!Iliyopachikwa hapo chini ni taarifa kutoka kwenye tovuti ya Serikali ya Hong Kong ya Julai 26, 2013 Hong Kong Customs yesterday (July 25) detected three drug trafficking cases,

MWANAMKE APEWA KICHAPO KIKALI BAADA YA KUZINI NA MCHUNGAJI WA KANISA JIJINI DAR

$
0
0
MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo. Tukio hilo la aina yake ambalo lilikusanya umati wa watu, lilitokea hivi karibuni maeneo ya Ukonga Mazizini, jijini Dar ambapo nabii huyo alipigwa hadi kuchaniwa nguo. Akielezea mkasa huo, mtoto wa

MWANAFUNZI ATUPIWA MAJINNI NA KUJIKUTA AKIWA UCHI GETINI KWA KAKA YAKE

$
0
0
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Pasco (21) ambaye pia ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari ya Samaritan iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara amekutwa getini kwa kaka’ke, Edward Raphael akiwa amefungwa kamba na matunguri. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni huko Yombo-Buza jijini Dar na kuibua sekeseke la aina yake kutokana na mazagazaga ya kichawi aliyokutwa

USABATO WADAIWA KUKIANGAMIZA CHUO CHA AURUSHA (UoA)

$
0
0
<!-- adsense --> Haya  ni  malalamiko ya  mdau anayesimulia  jinsi  USABATO unavyokiangamiza  chuo cha Ausha... Katika  maelezo  yake  aliyoyatoa  mzalendo forum, mdau  huo  anaripoti  kuwa  bila  kuwa  msabato  huwezi  kuajiriwa  chuoni  hapo, bila  kuwa  msabato  huwezi  kushinya  uongozi  wowote  wa  wanafunzi..... Je  kuna  ukweli  wowote??? HUU  NDO  UJUMBE  WAKE <<USABATO  WA  CHUO  CHA

PROGRAM YA AJIRA KWA VIJANA WALIOHITIMU VYUO VIKUU NCHINI....

$
0
0
PROGRAMU YA AJIRA Programu hii itatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu nchini,Taasisi za fedha na wabia wa maendeleo.Kwa kuanzia utekelezaji wake utaanza kwa kuendeleza programu ya mfano iliyoanzishwa na Idara ya kilimo, uchumi na Biashara katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (DAEA-SUA) na hatimaye kuwafikia wahitimu wa vyuo vingine vya elimu ya juu katika

VIDEO YA MWANACHUO AKIKATA MAUNO NUSU UCHI....

$
0
0
<!-- adsense -->   Katika hali isiyo ya kawaida, mwanafunzi mmoja wa kike wa chuo kikuu maarufu hapa nchini ametoa kali ya mwaka baada ya kuamua kupiga chini kitabu na kuanza kukata mauno huku akiwa na kikanga kimoja kiuoni na sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi hasa matiti....Video iko hapo chini: <<VIDEO  IKO  HAPA>>

MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM

$
0
0
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za kumshambulia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Warsama siku ya uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Makuyuni, wilayani Monduli. Nassari aliyefika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha saa 2:30 asubuhi jana ili kuitikia wito wa kutakiwa kuripoti kituoni hapo,

HAUSIBOI ALIYEMLAWITI BINTI WA MIAKA MINNE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA HUKO MPANDA

$
0
0
Mahakama  ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kijana, Baraka  Juma (22) mkazi wa kijiji cha Nkungwi  wilayani humo, kifungo cha maisha jela  baada ya kupatikana  na hatia  ya  kosa la kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri  wa  miaka minne  baada  ya kumhadaa na  kumlewesha bia. Akisoma  hukumu  hiyo  juzi, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga

MBUNGE WA CCM (IDD IZAN) NA WENGINE WAHUSISHWA KATIKA TUHUMA NZITO ZA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
Ni jambo la wazi  wamba biashara ya madawa ya kuleya   ni biashara ambayo mara nyingi hubebwa na watu wenye nazo au wenye madaraka fulani makubwa.Ni biashara ambayo ina faida kubwa na ya haraka pengine kupita aina nyingine yeyote ya biashara (halali na haramu).  Na kutokana na nguvu ya vyombo mbalimbali vya dola ulimwenguni katika kupambana na biashara hii, ni wazi kwamba bila kuwepo

RAIS PAUL KAGAME HATARINI KUSHITAKIWA ICC

$
0
0
ONYO lililotolewa na Ikulu ya Marekani dhidi ya Serikali ya Rwanda, linalomtaka Rais wa nchi hiyo, Paul Kagame, kuacha kuwasaidia waasi wa kikundi cha M23, lina kila dalili zinazomuweka kwenye kundi la viongozi wa Kiafrika ambao hatma yao baada ya kuachia madaraka inazungukwa na wingu la mashaka.Rais wa Marekani, Barack Obama, ambaye mapema wiki hii alikaririwa na vyombo vya habari

"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL

$
0
0
MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake.  Lulu alisema hayo juzi, katika kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV cha Jijini Dar es Salaam. “Sasa hivi nasali sana, namuamini Mungu katika maisha

"WALIOPENDEKEZA SERIKALI TATU NI WAZEE WANAOSUBIRI KUFA"...NAPE NNAUYE

$
0
0
MZIMU wa serikali tatu bado unaendelea kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo jana, Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alipinga tena uwepo wa serikali tatu na kudai kuwa waliotoa maoni hayo ni wazee wanaosubiri kufa.  Akizungumza jijini Dar es Salaam katika kongamano la Umoja wa Vijana (UVCCM) la kujadili mchakato wa Katiba Mpya, katika ukumbi wa Arnatouglo, Nnauye

NAPE NNAUYE AYAKANA MATUSI YAKE KWA WAZEE

$
0
0
Nape Nnauye ameamua  kuvunja  ukimya  na  kutoa  utetezi  wake  kuhusu  kauli  yake chafu  iliyochapishwa  na  gazeti  la  Mtanzania  likimtuhumu  kuwatusi  wazee  waliopendekeza  uwepo  wa  serikali  tatu..... Huu  ni  utetezi  wake: "Nimestushwa sana na stori ya gazeti la Mtanzania inayodai kuninukuu kuwa nimesema wazee waliopendekeza serikali tatu wanasubiri kufa! Kwakweli

AIBU: KAMANDA WA CHADEMA AREKODIWA AKIJIELEZA JINSI ALIVYOKUBALI KUCHEZEWA NYETI ZAKE NA KUSAGWA NA JIKE MWENZAKE

$
0
0
<!-- adsense --> Miezi michache baada  ya  kuvuja  kwa  video  inayomuonesha  mkurugenzi  wa  ulinzi  na  usalama  wa chama  cha  demokrasia  na  maendeleo (CHADEMA),Wilfred Lwakatare  akidaiwa  kupanga  mauaji  ya  mwandishi  wa  habari,video  nyingine  ya  kamanda wa chama  hicho,Linda Bezuidenhout  imenaswa  live....!! Tofauti  na  video  ya  Lwakatare,hii  ya  Linda inaonesha  mambo  ya

"NIKIKUTA NINA VIRUSI VYA UKIMWI NI LAZIMA NIJIUE MAANA SIPO TAYARI KUCHEKWA".....BABY MADAHA

$
0
0
Msanii  wa  filamu  bongo,Baby Madaha  amefunguka  kwamba  siku  akianza  kuona  dalili  za  ugonjwa  wa  UKIMWI  ndani  ya  mwili  wake   atakunywa  sumu  kwa  kuhofia  kuchekwa  na  jamii. Akiongea  na  mwandishi  wetu,Madaha  amedai  kuwa  kwa  sasa  anaamini  hana  ngoma  maana  siku  zote  hutumia  Kinga (kondom)   ili  asiambikizwe  gonjwa  hilo  japo  hana  uhakika  asilimia  zote 

"SIJAWAHI PIGA PICHA ZA UCHI...NIMEMFAHAMU SINTAH KUPITIA SKENDO YA KUGAWA PENZI KWA NATURE"...RAYUU AFUNGUKA TENA

$
0
0
Jana, Bongomovies.com imefanya interview kwa njia ya simu na mwanadada msanii Rayuu alaice Bungenzi kuhusiana na mambo mablimbali yanayoandikwa kwenye mitandao na tovuti mbalimbali nchini.  Katika interview hiyo waliweza kupata mambo manne  kama  ifuatavyo:   1. Hajawai kupiga picha za utupu na kuzisambaza ili kupata umaarufu Akiongea kwa msisitizo Rayuu amesema kuwa hajawai kupiga

MSHIRIKI WA TANZANIA (NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE

$
0
0
Jana usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem. Itakumbukwa kwamba siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem. Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa na Nando. Kwa mujibu wa sheria za Big

AGNESS MASOGANGE AFUTIWA DHAMANA YAKE NA KURUDISHWA RUMANDE

$
0
0
HUKU  akiwa hajui nini hatima ya kesi inayomkabili ya kunaswa na madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini, Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’ amepata balaa jipya Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo nchini humo, Masogange na mwenzake aliyekamatwa naye, Melisa Edward wamefutiwa dhamana hivyo wamerudi tena rumande. Habari zinadai kuwa, dhamana za wawili hao zimefutwa kufuatia

UKOO WATISHIWA KUTEKETEZWA KWA USHIRIKINA HUKO TABORA

$
0
0
Watu watatu wa ukoo mmoja wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na imani za kishirikina katika Wilaya ya Nzega Tabora, huku ujumbe mkali wa kuuawa kwa watu wengine ukiachwa katika Kijiji cha Nsanga.   Tukio hilo lilitokea katika kijiji hicho kilichopo Kata ya Ikindwa Nzega, Julai 25 mwaka huu, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Nzega Bituni Msangi alisema sababu ya

JACK WOLPER AMJIBU MBAYA WAKE ALIYETANGAZA KUWA YEYE NI KAHABA

$
0
0
  Msanii  nyota  wa  filamu  bongo, Jacqueline Wolper   amewataka  wasanii wa  bongo  movie  kuacha  tabia  ya  kupigana  majungu  ya  kinafiki  ambayo  huchangia  kujenga  bifu  za  kijinga.... Akiongea  na  mpekuzi  wetu, wolper  alidai  kuwa  kuna  mipaka  ya  watu  kuishi  lakini  kuna  baadhi  ya  wasanii  wanaamini  kwamba majungu  ndo  mshahara  wao  kiasi  kwamba  wasipomsengenya  mtu 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images