Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha za Mauji ya Polisi na Raia yaliyofanywa na Majambazi Usiku wa Kuamkia leo Jijini Dar

$
0
0
WATU wanaodhaniwa kuwa magaidi wamevamia Kituo cha Polisi Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam, jana usiku na kuua askari na raia kisha kupora silaha.   Kwa mujibu wa taarifa za awali  ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza

Mwigizaji Mkongwe wa Kenya, Mzee Ojwang Afariki Dunia

$
0
0
MWIGIZAJI nguli raia wa Kenya, Benson Wanjau 'Mzee Ojwang' amefariki dunia jana jioni akiwa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta, alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (Pneumonia).   Mzee Ojwang atakumbukwa katika Vipindi vya Televisheni kama Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na Kinyonga.Amefariki akiwa na umri wa miaka 78. Mambo 9 Usiyoyajua kuhusu mzee Ojwang 1.

Lulu Michael awapa presha Wasanii Wa Kike Wanaotaka Ubunge Wa viti maalum

$
0
0
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonesha kuwaumiza vichwa watu baada ya kutweet kitu ambazo kilileta sintofahamu katika jamii inayomzunguka.   Akitolea ufafanuzi wa tweet aliyoiweka ambayo watu wamedai kuwa ni dongo amesema kuwa aliandika tweet hiyo kama utani na kusema kuwa huweza pia ikawa na ukweli ndani yake. Amesema kuwa utani wake umefanya watu

Soko La Wakulima Kahama Lateketea Kwa Moto

$
0
0
SOKO la Wakulima lililoko Mtaa wa Majengo, wilayani Kahama mkoani Shinyanga limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane.     Chanzo cha moto huo kinadhaniwa kuwa ni shoti ya umeme iliyotokea kwenye jengo hilo, hivyo kusababisha jengo lote kushika moto na kuungua hadi kuteketea.   Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo ni kwamba hakuna mtu aliyefariki wala kujeruhiwa

UKAWA Wasema Magufuli Hawatishi na Hawamuogopi!!

$
0
0
Dakika chache baada ya CCM kumpitisha Dk John Magufuli kuwa mgombea wake wa urais, viongozi wa vyama vya upinzani wamesema hawatishwi na Dk Magufuli na wanamuona kama kada wa kawaida miongoni mwa wengi waliopo CCM na kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote.    Wamesema vita yao ni kuondoa mfumo wa uongozi uliopo na si ya mtu mmojammoja.   Wakizungumza jana viongozi hao, hasa wanaounda

Majambazi Yalitikisa Tena Jiji la Dar es Salaam

$
0
0
Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne. Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa. Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo

NEC Yatangaza Mjimbo Mapya 26 ya Uchaguzi

$
0
0
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.   Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kukata kwa majimbo hayo wamezingatia idadi ya watu pamoja na Jiografia katika majimbo mapya.   Amesema

Mjue Kwa Undani Mgombea Urais wa CCM, Mh. John Pombe Magufuli

$
0
0
AJIRA ya kwanza ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Joseph Magufuli (55) ilikuwa ni ualimu na atasherehekea siku yake ya kuzaliwa siku nne tu baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Kwa mujibu wa wasifu wake uliogawiwa kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM uliomchagua kuwa mgombea juzi katika Ukumbi wa Mikutano wa CCM uliopo Dodoma, Magufuli alianza kazi akiwa

Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda Zari – Diamond

$
0
0
Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady. Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.   Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have always prayed for."

Kesho Hapatoshi Dar es Salaam........Magufuli Anatambulishwa kesho na UKAWA nao Wanamtambulisha Dr Slaa Kesho hiyo hiyo

$
0
0
KITENDAWILI cha kumpata mgombea urais wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), huenda kikateguliwa kesho kwa vyama hivyo kumtangaza Dk. Wilbrod Slaa. Ukawa inaundwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR Mageuzi, Chama cha Wananchi (CUF) na NLD. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya vikao vya Ukawa vilivyofanyika mfululizo mwishoni mwa wiki,

Mkuu wa Jeshi la Polisi Azungumzia Tukio La Majambazi Kuvamia Kituo Cha Polisi Jana.......Asema Waliouawa ni Polisi 4 na Wananchi 3

$
0
0
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu akizungumza na waandishi wa habari leo katika kituo cha Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam, kutokana na Askari wa Jeshi la Polisi  na raia wa eneo hilo kuuwawa na majambazi waliovamia katika kituo hicho usiku wa kuamkia leo.  Viongozi wa Jeshi la Polisi nchini wakiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, wakitembelea

Mwenyekiti ACT-Wazalendo Azomewa Ukerewe

$
0
0
KATIBU  wa  Chama  cha  ACT- Wazalendo  Mkoa wa  Mwanza,  Robart  Gwanchele, juzi alijikuta katika  wakati  mgumu baada ya wananchi   kumzomea  wakati  akihutubia  mkutano wa  hadhara  mjini Nansio.  Wananchi  hao walimzomea baada ya Gwanchele kuanza kuwashambulia madiwani na wabunge wa Chadema  kwamba licha ya kuongoza jimbo hilo miaka mitano, bado wameshindwa kutatua kero za wananchi.

Tukio la Kituo cha Polisi Kutekwa: Viongozi Wa Dini Wacharuka.......Wamtaka Rais Kikwete Afanye Mabadiliko ya Jeshi la Polisi

$
0
0
VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini wameandaa maandamano  kwa lengo la kumuona Rais jakaya kikwete ili kumuomba alifanyie mabadiliko makubwa Jeshi Polisi. Mabadiliko hayo ni pamoja  na kubadili mawaziri  wote wa mambo ya ndani,  mkuu wa jeshi hilo (IGP)  na  MA-CP wawili ambao wametajwa  kuendesha jeshi hilo  kimtandao  kinyume  na taratibu za kijeshi. Maandamano hayo yamefikiwa na

Emmanuel Mbasha Akutwa na Hatia ya Kesi ya Ubakaji

$
0
0
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imesema mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili Emmanuel Mbasha ana kesi ya kujibu katika shtaka linalomkabili la ubakaji linalomkabili.   Katika shtaka hilo Mbasha anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 17 (jina linahifadhiwa) ambaye ni shemeji yake.   Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, mwendesha Mashtaka Munde Kalombola alidai mahakama imemkuta

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya July 14

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  ya  July  14

Urais UKAWA Hali Tete......Lipumba Asusa Kuhudhuria Kikao

$
0
0
Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) jana  vimeshindwa  kumtangaza mgombea urais kama ambavyo ilikuwa imetangazwa hapo awali huku wakiahidi mgombea huyo kujulikana ndani ya siku ya siku saba.   Aidha, Jana kulikuwepo na  kikao cha vyama vinavyounda ukawa kilichofanyika kuanzia saa 4.00 asubuhi kwenye Hoteli ya Colosseum jijini Dar es Salaam,  lakini

Atakayewataja Watu Walioteka Kituo na Kuua Polisi Atapewa zawadi ya Milioni 50

$
0
0
Jeshi la polisi nchini  Tanzania limetangaza kutoa zawadi  ya shilingi za kitanzania million 50 kwa mtu yeyote mwenye taarifa za uhakika na za haraka zitakazofanikisha kuwakamata wote waliovamia kituo cha polisi stakishari na kuua askari na raia waliokuwa katika kituo hicho usiku wa kuamkia jana.   Akitoa tarifa mbele ya wanahabari  kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam

Diamond asema Zari atajifungulia Tanzania, ayataja majina mawili ambayo wamevutana kumpa binti yao

$
0
0
Diamond Platnumz ambaye ameonesha kuwa na shauku kubwa ya kuwa baba, amesema kuwa mpenzi wake Zari yupo Tanzania kwasababu zimebaki wiki chache kabla hajajifungua. Akizungumza kwenye exclusive Interview ya Mambo Mseto na Willy M. Tuva wa Radio Citizen ya Kenya, Diamond amesema kuwa anataka mtoto wake azaliwe nyumbani Tanzania. Diamond na Zari ambao wanatarajia mtoto wa kike, kila

Kingunge Aendelea Kumlilia LOWASSA......Asema CCM ni Chama cha Watu wote na Lowassa si fisadi kama inavyodaiwa.

$
0
0
Mwanasiasa Mkongwe katika medani za siasa nchini Tanzania ameibuka na kuzungumza na Waandishi wa Habari leo  kuhusiana na  mchakato wa kumpata mgombea Urais CCM uliopelekea jina la Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kukatwa. Akizungumza katika mkutano huo Kingunge amesema   Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika  kuwajadili wagombea

Matokeo ya Ualimu 2015 Nayo Yako Hewani

$
0
0
Tafadhali bofya kwenye jina la mtihani husika kuangalia   1.DSEE   2.DTE   3.GATCE   4.GATSCCE
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images