Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Migiro athibitisha; kimya kingi kina mshindo mkuu

$
0
0
Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu.   Rekodi yake kitaifa na kimataifa lakini pia jinsia, ni mambo ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa Waziri huyo wa Katiba na Sheria, kuvuka hatua hiyo ya kwanza.   Dk Migiro ambaye pia ni

Balozi Amina Salum Ali alivyovuka kiunzi cha Kamati Kuu

$
0
0
Mwanadiplomasia Amina Salum Ali alitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mei 21 jijini Dar es Salaam.   Akizungumza kuhusu nia yake hiyo, Balozi Amina ambaye alikuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU) kwenye Umoja wa Mataifa (UN) alisema wanawake wamekuwa wanyonge kugombea nafasi za juu za uongozi kwa kukosa fedha, lakini sasa ni wakati mwafaka kwao

#Tano Bora: Magufuli Alivyopiga chenga Panga la CCM

$
0
0
Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.    Bila makeke, majivuno wala majigambo, Magufuli ambaye ni waziri wa ujenzi alipochukua fomu alisema tu kuwa kipaumbelea chake ni kutekeleza ilani ya uchagzi ya CCM.   Hata katika

Waasi wa Burundi Wapanga Kumpindua Rais Nkurunziza

$
0
0
Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo madarakani.    Waasi hao wameyaambia mashirika ya habari ya kimataifa kuwa wamekuwa wakiwapa mafunzo polisi na askari kwa ajili ya jaribio lingine la kumwondoa Rais Nkurunziza.  

Mgombea Urais wa UKAWA Kuwekwa Hadharani Muda Wowote Kuanzia Leo

$
0
0
Hatimaye leo wabunge wote wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wanakutana na viongozi wao  kumchagua mgombea urais atakayeviwakilisha vyama hivyo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.    Mkutano huo wa wabunge umekuja baada ya vikao kufanyika mfululizo wiki hii, huku kukiwa na mvutano kuhusu nani au chama gani kisimamishe mgombea urais.   “Tumeshakubaliana namna ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya July 11

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  July  11

Mabilioni Ya Pesa Yakamatwa Dodoma.......Membe Akanusha Kuhusika Nayo

$
0
0
Kuna habari zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo     “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe”

Mpasuko CCM: Wajumbe Waanzisha Varangati........Rais Kikwete Apokelewa Kwa Wimbo Wa Tuna Imani Na Lowassa.....!!!!.....Tuna Imani na Lowassa

$
0
0
Mambo yamezua jambo ambapo wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu inayokutana hivisasa chini Rais Dkt Jakaya Kikwete wameonesha wazi kupinga uamuzi wa mbunge wa Monduli Edward Lowassa jina lake kukatwa. Hayo yamedhihirika hivisasa wakati Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia kufungua mkutano huo ambapo imezoeleka wajumbe huimba kuwa na imani na Mwenyekiti ambaye ni Rais

Ninayo Video Ya Wajumbe Wa Halmashauri Kuu Wakiimba kuwa na Imani na Lowassa...........Wameimba mbele ya Rais Kikwete

$
0
0
Mambo yamekua mambo ndani ya ukumbi wa CCM huko mjini Dodoma baada ya baadhi ya wabunge walipoanzisha pambio hili  mbele  ya  Rais  Kikwete. Mkutano  unaendelea......Tazama  video  hapo  chini.

Polisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji........Wafuasi wa Lowasa Waamua KUTAMBAA Kupinga Jina Lake Kukatwa

$
0
0
Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu.   Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.   Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.   Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa. Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

Live Dodoma: Polisi Watumia Mabomu Kuwatawanya Wafuasi wa Lowassa Waliokuwa Wakiandamana

$
0
0
Wapambe wa Mbunge  wa Monduli Edward Lowassa  hivisasa wanafanya maandamano makubwa nje ya ofisi za CCM hapa makao makuu ya CCM wakipinga Mbunge huyo kuchujwa katika tano bora. Wapambe hao wanaimba nyimbo mbalimbali za kukiponda chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa chama hicho sio cha kindugu na  pia sio cha kifalme. Kwa namna nyingine  hali si shwari hapa mkoani Dodoma ambapo sintofahamu

Update Mpya Toka Dodoma.......Wapambe wa Lowassa Bado Wamekinukisha, Dr. Shein Kapitishwa Kugombea Urais Zanzibar na Mkutano mkuu ni saa 3 Usiku

$
0
0
Kazi ya upigaji kura inaendelea hivi sasa katika mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo majina matatu yatapatikana na kupelekwa katika mkutano mkuu utakaoanza majira ya saa 3:00 usiku. Aidha, mkutano  huo  umempitisha  mh. Ali Mohamed Shein  kuwa  Mgombea  wa  Urais  kwa  upande  wa  Zanzibari. Maandamano  nje  ya  ukumbi yanaendelea  kushinikiza  jina  la  Lowassa  Lirudishwe.

Kingunge Atabiri Anguko la CCM Iwapo Chama Hicho Hakitapitisha Mgombea Anayekubalika Kwa Wananchi Wengi

$
0
0
Kingunge Ngombare Mwiru, ambaye ni kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametabiri anguko na mpasuko mkubwa ndani   chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, endapo chama hicho  kitaacha kumpitisha mgombea urais anayekubalika kwa wananchi wengi. Kauli hiyo imekuja mara baada ya jina la Edward Lowasa kuenguliwa kutoka majina matano  yaliyopendekezwa na Kamati Kuu ya Halmashauri

Breaking News: Tatu Bora ya CCM Hii Hapa.....Membe Kaenguliwa

$
0
0
Kikao cha HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 3 ambao ni…  1) John Magufuli  2) Asharose Migoro 3) Amina Salum Ali

Mkutano mkuu wa CCM Waahirishwa Usiku huu.......Mgombea Kujulikana kesho Saa Nne

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuahirishwa kwa mkutano  mkuu  wa  CCM  hadi  kesho  saa  nne  asubuhi  ambapo  mgombea  rasmi  wa  chama  cha  mapinduzi  atatangazwa  baada  ya  kura  za  wajumbe  kuhesabiwa. Zoezi  la  upigaji  kura  limemalizika  muda  mfupi  uliopita. Waliopigiwa  kura  na  mkutano  mkuu  usiku  huu ni  wale  waliofanikiwa 

Urais CCM........Magufuli Apata Ushindi wa Kishindo

$
0
0
Chama  cha  mapinduzi, CCM kimemteua  Dr .Magufuli  kuwa  mgombea  wa  Urais  2015. Uteuzi wa  Dr. Magufuli  umetokana na  ushindi  wa  kishindo  alioupata  baada  ya  mkutano  mkuu  kukutana jana   usiku  kwa  ajili  ya  kupiga  kura  ili  kupata  jina moja  kati  ya  matatu  yaliyokuwa  yamependekezwa  na  Halmashauri  kuu  ya  CCM.  Matokeo  ni  kama  ifuatavyo 1.Magufuli.....87%

Urais 2015: Magufuli amteua makamu wa Rais Mwanamke

$
0
0
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuri mara baada ya kuteuliwa kuipeperusha Bendera ya Chama cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu ujao amemteua Samia Suluhu Hassan kuwa makamu wake wa Rais endapo atashinda katika uchaguzi mkuu ujao.   Akizungumza kwa furaha katika ukumbi mpya wa  CCM uliopo hapa mkoani Dodoma Magufuli amesema alipoteuliwa kuwa Naibu waziri Samia alikuwa ndiye

Video: Magufuli Aahidi Kupambana na Wezi,Wala Rushwa, Wabadhilifu na Wazembe Katika Serikali Yake

$
0
0
Magufuli  Aahidi  Kupambana  na  Wezi,Wala  Rushwa, Wabadhilifu  na  Wazembe  Katika  Serikali  Yake

Urais 2015: Membe, Kigwangalla wakubali yaishe

$
0
0
Waziri wa Mambo ya nje na  Ushirikiano wa  Kimataifa Mh. Bernard Membe  pamoja na  Mbunge wa Nzega  Dkt. Hamisi Kigwangalla wamekubali kushindwa katika kinyang’iro cha kuomba ridhaa ya kuteuliwa ndani ya chama cha Mapinduzi CCM zoezi lililohitimishwa leo.   Akizungumza na Mwandishi wetu mara baada ya Magufuli kutangazwa mshindi  , Mh. Bernad Membe amesema angechaguliwa mtu mwingine

Team Lowassa: Tumemkubali Dk John Magufuli

$
0
0
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ambaye pia alikuwa mwanamkakati katika kambi ya Edward Lowassa katika mbio za urais, amesema kambi yake inamuunga mkono mgombea urais aliyeteuliwa na chama kwa sababu anauzika.    Dk Nchimbi amesema Dk John Magufuli ni mgombea anayeuzika tofauti na wengine na kwamba kambi yao inamuunga mkono katika kukiwezesha chama kuendelea kushika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images