Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Matokeo kidato cha sita 2015 yatangazwa....Bofya Hapa Kuyaona

$
0
0
Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2015 yametangazwa leo. Kuyaona matokeo hayo angalia hapo  chini….   >

Mhindi Aliyekamatwa na Milioni 700 Dodoma Arudishiwa Fedha zake

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekanusha taarifa zilizozagaa kuhusiana na Raia wa Asia kukamtwa na fedha zaidi ya sh. m.700 kwa madai ya kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM ili wamchague mmoja kati ya waliokuwa wanawania nafasi ya Urais Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na kamanda wa polisi mkoani hapa, David Misime mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Amit

CUF Wakanusha Kujitoa UKAWA.......Wasema UKAWA Haina mgombea Urais Mpaka Sasa. Wawashangaa CHADEMA Kutaka kumtangaza Dr. Slaa

$
0
0
Chama cha wananchi CUF kimekanusha madai ya kujiondoa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA na kusisitiza kuwa chama hicho hakitajiondoa, na kwamba mgombea wa urais kupitia UKAWA bado hajapatikana.   Chama cha Wananchi (CUF), kimesema hakikushiriki kikao cha juzi cha UKAWA kutokana na sababu za kikatiba za ndani za chama hicho kwa sababu wao kama chama bado wanajadiliana ili

Wakenya kumpokea Obama wakiwa uchi ?

$
0
0
Kundi la Wakenya, limejiapiza kumkaribisha rais wa Marekani, Barack Obama, nchini kwao wakiwa hawajavaa nguo ili kuonesha kuwa hawajakubaliana na kitendo cha kuruhusu mapenzi ya jinsia moja.   Obama anatarajiwa kutembelea Kenya kwa mara ya kwanza tangu kuwa rais na kutegemea kuwa na mkutano na wafanyabiashara kuanzia Julai 24-26 mwaka huu.   Kwa mujibu wa barua iliyosambazwa na

Rugemalila Atangaza nia Ya Kugombea Ubunge Kibaha mjini

$
0
0
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Rugemalila Rutatina amejitokeza   na  kutangaza nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika jimbo la Kibaha mjini.   Akizungumza katika  ukumbi ya Country side uliopo kibaha mjini jana   Rutatina amesema ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kutokana na kuona hakuna msukomo wowote wa maendeleo kwa muda mrefu

Sugu apata mpinzani ndani ya CHADEMA

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Joseph Mbilinyi aka Mr. Sugu ambaye ni mwana Hip Hop mkongwe amepata mpinzani aliyetangaza nia ya kuwania kiti hicho ndani ya chama hicho. Mpinzani huyo wa Mh. Sugu ni mwaandishi wa habari ambaye ni mwakilishi wa kampuni ya magazeti ya Free Media mkoani Mbeya, Christopher Nyenyembe ambaye amechukua

Jeshi la Polisi lapiga ‘stop’ uvunjifu wa amani sikukuu ya eid –el-fitr

$
0
0
Tunaelekekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr na ambapo wananchi wenye imani ya kiislam na hata madhehebu mengine hutumia muda huo kwenda kuabudu pamoja na muendelezo wa sherehe hizo kwenye maeneo mbalimbali ya starehe.   Jeshi la Polisi nchini linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria

Msani Maarufu wa Filamu Ajiunga na Chaa cha ACT- Wazalendo.......Wagombea Urais Kupitia Chama Hicho Kutangazwa Agosti 13

$
0
0
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga na chama hicho.Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa kitengo cha vijana Taifa wa NCCR Mageuzi, Deo Meck alipotangazwa kujiunga na chama

Ray wa Bongo Movie Akanusha Kujichubua

$
0
0
Msanii wa filamu, Vicent Kigosi maarufu kama Ray amekanusha madai kuwa anajichubua. Ray ameiambia Mpekuzi kuwa anasikitishwa na watu wanaodai kuwa anajichubua bila kujua kuwa mtu akiwa na maisha mazuri anaweza kubadilika.   “Kwanza sijichubui, tatizo unajua baadhi ya watanzania wengi, hawaelewi mimi sijichubui, ila maisha yamebadilika,” amesema.   “Unajua unapokuwa na maisha

Vanessa Mdee na Diamond watajwa kuwania tuzo za African Entertainment za Marekani

$
0
0
Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA, Diamond na Vanessa Mdee wametajwa tena kuwania tuzo za African Entertainment za nchini Marekani. Diamond ametajwa kuwania vipengele viwili cha kwanza kikiwa ni Hottest Male Single of the Year ambapo wimbo wake ‘Ntampata Wapi’ unashindana na Aye wa Davido, Original wa

Chadema yapangua ratiba fomu za ubunge, udiwani

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelazimika kupangua ratiba ya awali ya uchukuaji fomu za ubunge na udiwani kwa wanachama wake, baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza majimbo mapya 26 ya uchaguzi hivi karibuni.   Aidha, kimeruhusu wanachama wote wenye sifa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uteuzi wa ndani ya chama katika nafasi za udiwani na ubunge katika

Bosi wa Kampuni ya UDA Kukamatwa

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simon Group, Robert Kisena na mwenzake kwa kuwa hawajafika mahakamani kusomewa mashitaka yanayowakabili.   Hakimu Mkazi Thomas Simba alitoa hati hiyo baada ya kukubali ombi lililowasilishwa na upande wa Jamhuri wakati kesi hiyo ilipotajwa. Akiwasilisha ombi hilo, Wakili wa Serikali,

Madereva Wapanga Kugoma Tena

$
0
0
MADEREVA nchini wametishia kufanya mgomo kwa mara nyingine kuanzia wiki ijayo na kwa muda usiojulikana iwapo serikali kupitia kamati iliyoundwa kushughulikia matatizo yao haitawaita na kuongea nao kuhusu posho zao za ndani na safari za nje.   Kauli hiyo imetolewa jijini dar es Salaam jana na Katibu mkuu wa Chama cha Madereva, Rashid Salehe ambapo alisema madereva hao wamemtuma na kuitaka

Magufuli Atambulishwa Zanzibar........Aahidi Kufuata Nyayo za Nyerere na Karume

$
0
0
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema endapo akifanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa Tanzania, ataongoza nchi kwa kufuata nyayo za waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amani Karume.   Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo mjini Unguja, Zanzibar jana, baada kupokewa na mamia ya wananchi kwenye Uwanja wa Ndege wa Karume, huku akiwa na

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 17 July

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Ijumaa  Ya  Tarehe 17  July

Lowassa KUKATWA: Nape Amjibu Kingunge.......Amtaka Afanye Lolote Analotaka

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemtaka mwanasiasa mkongwe, Kingunge-Ngombale Mwiru kufanya anachotaka kufanya. Juzi Kingunge alijitokeza hadharani na kuzungumzia na waandishi wa habari huku akiwaambia kwamba kilichofanywa na CCM katika kumpata mgombea wa urais, Dk. John Magufuli ni haramu. Dalili ya CCM kupasuka vipande zimeanza kuonekana dhahiri, baada ya Kingunge kujitokeza hadharani

Aunt Ezekiel Awatibua Waislam

$
0
0
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam.   Aunt alifanya tukio hilo hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar kisha kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki ambapo mbali na kuombewa dua na

Msanii Ester Kiama Amwaga Machozi baada ya Kudaiwa ana UKIMWI

$
0
0
Msanii anayekuja kwa kasi katika anga la filamu, Ester Kiama amejikuta akiangua kilio kufuatia madai yanayoenezwa kuwa ana ‘ngoma’.    Taarifa ya ‘kuungua’ kwa staa huyo zimekuwa zikisambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii huku mwenyewe akidai anasingiziwa na hivyo juzi kati akaamua kwenda kupima.   “Hizi habari kwamba nina ngoma zimekuwa zikienea sana na hakuna kitu

Baada ya Lowassa KUKATWA........Vijana 30 wa CCM-Vyuo Kikuu Wahama na Kujiunga na CHADEMA

$
0
0
Vijana hao wakiwa katika Tawi la Chadema, Mwananyamala jijini Dar. VIJANA takribani 30 wa vyuo vikuu ambao ni wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jana  wamesalimisha kadi zao za CCM katika tawi la Chadema lililopo Mwananyamala, jijini Dar es Salaam kwa madai kuwa hawakuridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa CCM. Mmoja wa vijana hao akichukua kadi yake ya

Msako wa 'Magaidi' Yaliyovamia Kituo Cha Polisi Stakishari Washika Kasi

$
0
0
SIKU moja baada ya jeshi la polisi kuwaaga kwa heshima za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa kazini katika kituo cha Stakishari, Ukonga, Dar es Salaam, jeshi hilo limeongeza nguvu katika operesheni kwa kujumuisha mikoa ya jirani.   Mikoa hiyo ni pamoja na Pwani na Tanga pamoja na mikoa mingine iliyo karibu ili kuhakikisha wahalifu waliofanya kitendo hicho cha
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images