Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Facebook yawa mwiba China, talaka nje nje

$
0
0
Shirika la habari la serikali nchini China, limeripoti ongezeko la wanandoa wanaotengana kufuatia matumizi ya kupita kiasi ya mtandao wa facebook jambo ambalo limefanya wapenzi kutumia muda mwingi kwenye mtandao huo.   Ripoti hiyo imedai kuwa ndoa nyingi zinavunjika na kupelekea kupeana talaka kutokana na wachumba wanatumia muda wao mwingi wakiwa kwenye mtandao  huo na hivyo

LIPUMBA: Tutaitisha Maandamano Mikoa Yote Yenye GESI

$
0
0
Chama cha Wananchi (CUF), kimesema kitaitisha maandamano kwenye mikoa yenye gesi ili kulishinikiza Bunge kupinga muswada wa mafuta na gesi uliopitishwa juzi.   Akihutubia wakazi wa Manispaa ya Kigoma/Ujiji na viunga vyake, Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, alisema haoni mantiki na hakuna sababu ya kufanya haraka kupitisha muswada huo.   “Suala hili linahitaji mjadala

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza Ashitakiwa Mahakamani Jijini Arusha Kwa Kukiuka Katiba Ya Nchi Hiyo

$
0
0
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza ameshitakiwa katika Mahakama ya Afrika Mashariki iliyopo jijini Arusha kutokana na hatua yake inayotajwa kukiuka Katiba ya nchi hiyo kwa kuwania kipindi cha tatu cha Urais.   Kesi hiyo pia inamjumuisha Mwanasheria Mkuu wa Burundi, Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi kwa nchi ya Burundi pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mujibu wa

Ali Kiba Finally Talks About His Beef With Diamond

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Multiple awards winning Tanzanian super star, populalrly known as Ali kiba is no doubt one of Tanzania’s most resourceful entertainers.    Ali Kiba won accolades in five categories, outshining his main competition, Diamond Platnumz in the recently concluded Kilimanjaro Tanzania

Achakazwa Sura na Mke Mwenziye

$
0
0
“Dunia imeharibika na binadamu hawana upendo wamegeuka kuwa na tabia kama za wanyama kila kukicha…” hiyo ni kauli yake Rehema Gwaya (41) mkazi wa Barabara ya Sokoine, Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma. Rehema ambaye ni mjasiriamali mdogo anayejishughulisha na kuuza juisi, alipatwa na mkasa wa kumwagiwa mafuta ya moto ya kupikia ambayo yalikuwa yanatumika kwa ajili ya kuchomea maandazi.

Ali Kiba Aendelea Kulikana PENZI La Jokate

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Tanzanian superstar Ali Kiba has denied ever dating Jokate Mwegelo who used to date the popular Diamond Platnumz. Ali Kiba who has been in Kenya for his Coke Studio Africa season 3 recording,said that he and Jokate are not dating but they are just friends. “Jokate is just one of my best friends. We

Mtoto atekwa, abakwa hadi kupoteza maisha

$
0
0
Mtoto mmoja aliyetambulika kwa jina la Ester Banzi, mkazi wa Tabata Msimbazi, jijini Dar es Salaam, ametekwa na kubakwa hadi kupoteza maisha baada ya mtu asiyefahamika kufanya kitendo hicho na kutokomea sehemu isyojulikana.   Inadaiwa kuwa siku ya tukio mtoto huyo alikutwa amefariki baada ya kuingiliwa kimwili na mwanaume ambaye inadaiwa kuwa alimteka kwanza kabla ya kufanya kitendo.

Diamond: Hakuna msanii ambaye nimewahi kumlipa wala yeye kunilipa kufanya collabo

$
0
0
Diamond Platnumz amesema kuwa ameshafanya collabo na wasanii A-list karibu wote wanaofanya vizuri Afrika, lakini hakuna hata mmoja ambaye amewahi kumlipa wala wao kumlipa kwaajili ya collabo hizo. “Nimefanya collabo na wasanii tofauti tofauti, karibuni A-list wote ya wanaofanya vizuri Afrika nimeshafanya nao.” Alisema kupitia XXL ya Clouds Fm.   Ameongeza kuwa mwanzoni haikuwa

‘You are so pretty’, ni kauli ya Jay Z alipomuona Vanessa Mdee

$
0
0
Vanessa Mdee anaweza kumfanya Beyonce anune au apate wivu kwakuwa muimbaji huyo wa ‘Nobody But Me’ aliwahi kulivutia jicho la rapper mwenye nguvu zaidi duniani, Sean Carter aka Jay Z. Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky, Vanessa alisema yeye mwenyewe alipokuna na rapper huyo wa ‘Run This Town’, mdomo wake ulipigwa ganzi kwa muda na maneno kushindwa kumtoka.   “Ooh my God! I was

Mambo Yameanza Kupendeza Dodoma.......Tazama Picha 11 za Ukumbi Mpya Wa CCM Utakaotumika Kumtangaza Mgombea Atakayeteuliwa na CCM

$
0
0
Muonekano wa nje wa Jengo jipya la Ukumbi wa Mikutano wa kisasa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Dodoma.    Ukumbi huu utaanza kutumika rasmi Julai 10 - 12, 2015 wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM wa kupitisha jina la Mgombea Urais atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Ukumbi huu unauwezo wa kuchukua Watu zaidi ya 3000.  Katibu wa NEC,

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Apata Ajali ya Chopa

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Chopa baada ya kuanguka juu ya mti jana jioni  katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha.    Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali ya Seriani mkoani Arusha kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.

Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini

$
0
0
WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.   Walitambulishwa jana katika mwendelezo wa mikutano ya hadhara iliyoandaliwa na uongozi wa chama hicho mkoa ambao jana ulifanyika katika kata ya Mpera katika Manispaa ya Tabora.   Wanachama wanaowania

CCM Kumtangaza Mgombea wake wa URAIS Jumamosi ya Tarehe 11........Tukio Hilo Litarushwa Na Vituo Mbalimbali ya TV Live kwa masaa Sita

$
0
0
Jana  tarehe 7 mwezi wa saba tumeanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20.    Pia utateua mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia CCM, na pia kutakuwa na kikao cha halmashauri kuu ambacho kitateua jina la mgombea wa urais kwa chama cha mapinduzi kwa upande wa

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya July 8

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  July  8

Mgombea ACT -Wazalendo Aahidi Kuwasaidia Wanawake

$
0
0
MTIA nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kahama kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Clara Masanja amesema endapo atapewa ridhaa na chama hicho na kushinda nafasi hiyo, atahakikisha anawajengea wanawake ujasiri ili waweze kujipigania wenyewe katika kupata nafasi za uongozi wa juu.   Mgombea huyo, aliyasema hayo mjini hapa jana wakati alipotangaza nia yake ya kuchukua fomu ya kuombea

Nape: Hakuna Nafasi ya Kukata Rufaa Majina Yakikatwa

$
0
0
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakutakuwa na nafasi ya kukata rufaa kwa wanachama  wa chama hicho walioomba ridhaa ya chama kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya Urais iwapo majina yao yatakatwa.    Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma jana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho, Nape Nnauye alipokutana na waandishi wa habari  wakati  akitoa taarifa ya ratiba ya vikao

CHADEMA Yaitisha Kikao cha Dharura Kujadili Adhabu Waliyopewa Wabunge wa UKAWA Bungeni

$
0
0
Homa ya Uchaguzi Mkuu imeifanya Chadema kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kujadili mambo ya kitaifa, ikiwamo adhabu waliyopewa wabunge wa Ukawa kabla ya kutoa tamko.    Kikao hicho kilichofanyika jana, pia kilihusisha wabunge walioadhibiwa kwa kufanya fujo bungeni wakipinga kuwasilishwa kwa miswada mitatu ya mafuta na gesi kwa hati ya dharura na hivyo kupewa adhabu tofauti

Mashabiki Wampa MAKAVU Lucy Komba Baada ya Kuweka Picha Mtandaoni Akichezea Maungo yake Nyeti

$
0
0
Staa wa Bongo Movies aliehamishia makazi ughaibuni, Lucy Komba ambaye ameolewa na  ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu walioishambulia picha yake hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye ukurasa wake mtandaoni.   Lucy alianza kwa kuweka picha hiyo ya kuchora ambayo ndiyo ilileta utata na kuibua majibizano ya maneno kati ya watu ambao waliona kuwa picha hiyo haina shida na

Rais Kikwete Ajiandikisha Kupiga Kura Kwa Kutumia BVR Kijijini Msoga........NEC Yasema Watu Milioni 11 Wamekwisha Jiandikisha Mpaka sasa

$
0
0
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema hadi sasa wameshaandikisha wapigakura zaidi ya milioni kumi na moja kati ya milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa nchini kote.    Kutokana na idadi hiyo, Jaji Lubuva amesema NEC ina uhakika wa kukamilisha kazi hiyo ya uandikishaji mapema Agosti mwaka huu.   Alisema hayo jana alipokuwa Msoga, Chalinze wilayani

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Kuwazuia Wananchi Kwenda Dodoma Hadi Mkutano wa CCM Uishe YAPINGWA

$
0
0
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuwazuia wananchi kusafiri kwenda Dodoma hadi Mkutano Mkuu wa CCM utakapomalizika, imepingwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa vijana wa chama hicho, Mtemi Yareld.    Juzi, Mulongo alinukuliwa na vyombo vya habari akiwaagiza polisi kuwazuia watu wanaotaka kusafiri kwenda Dodoma.   Kauli kama hiyo pia ilitolewa na Kamanda wa Polisi wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images