Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Pipi adai ‘kushare’ simu na mume wake

$
0
0
Muimbaji wa Bongo Flava, Pipi amedai kuwa yeye na mume wake hutumia simu moja. Pipi alikuwa akiongea na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM. “Unajua kama mtu sio mwaminifu katika ndoa yako hiyo ndio itakuwa tabu na mtu akiamua kucheat anaweza hata bila simu japo watu wengine wanaona ni wivu lakini hiyo ni misingi ambayo tumejiwekea tokea tulivyoana,” alisema. “Mimi na mume wangu

Wanachama wawili CUF wapigwa risasi kwenye uandikishaji kwa BVR

$
0
0
Wanachama wawili wa CUF  wamepigwa Risasi na watu wasiofahamika waliojifunika sura  zao  wakati wa kuandikisha wakupiga kura Makunduchi, Zanzibar.   Tukio hilo limetokea  jana    ambapo  majeruhi hao  wamelazwa katika Hospital ya  Hospitali ya Arahma.

Wabunge 35 wa UKAWA Wafukuzwa Bungeni

$
0
0
Wabunge  35 wa kambi ya upinzani bungeni jana walitolewa nje ya ukumbi wa bunge na spika wa bunge  Anne Makinda na kupewa adhabu ya  kutokuhudhuria vikao vitano kwa madai ya kukiuka kanuni za bunge .   Mara baada ya kikao cha bunge kuanza spika wa bunge alinza kwa kuwakumbusha wabunge namna ya kufuata kanuni hasa pale wanapotaka kuondoa muswada wowote.   Hali ilibadilika ghafla

Nyota ya Diamond Platnumz Inazidi Kung'ara.......Katajwa Kuwania Tuzo za Uganda (Uganda Entertainment Awards 2015 )

$
0
0
Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika.   Akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA) Platnumz anawania kipengele cha Best African Act akichuana na Wizkid (Nigeria), Patoranking (Nigeria), Tiwa Savage (

Lungi Maulanga alizwa na vibaka

$
0
0
Msanii wa Bongo Movie nchini, Lungi Maulanga amejikuta akilizwa na vibaka baada ya kuibiwa baadhi ya vitu vya ndani wakati akiwa katika mtoko wa usiku hali ambayo imemtia hasara na kumrudisha nyuma kimaendeleo.   Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa msanii huyo amedai kuwa tukio hilo lililotokea maeneo ya Magomeni, jijini Dar es Salaam limempa Lungi hasara kwani kitendo hicho ni

Zitto Kabwe Awataja Walioficha Mabilioni ya Fedha Uswisi

$
0
0
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo katika viwanja  vya Mwembeyanga jana amewataja watanzania walioficha mabilioni ya Fedha  katika Benki za nje ya nchi.   Akizungumza na  wakazi wa jiji la Dar es salaam Zitto Kabwe amesema  hivi sasa  uchumi wa nchi umeshikwa na watu wachache hususani wafanyabiashara ambao pia wameshika siasa au kwa wao kushiriki kwenye siasa moja kwa moja au

Dr Shein Apitishwa Kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CCM.

$
0
0
Kamati kuu maalum ya chama cha mapinduzi Zanzibar kwa kauli moja imempitisha Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi.   Hatua hiyo imefikiwa baada ya wajumbe wa NEC wa Zanzibar wanounda kamati maalum ya Zanzibar kukutana hapa Zanzibar katika ofisi kuu ya CCM na kuamua kumuidhinisha Dr Shein kugombea tena  kiti hicho cha urais baada ya wajumbe

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya July 6

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  July 6

Utafiti Urais 2015: Lowassa Aongoza Mbio za Urais.........Dr Slaa Ashika Nafasi ya Pili

$
0
0
Zikiwa zimebakia siku sita kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpata mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu, kura ya maoni iliyoendeshwa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia (REDET) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inamweka kileleni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuwa changuo la kwanza la wengi kwa kujipatia asilimia 27.0 ndani ya chama hicho.

Rose Mhando Apigwa Pingu Dodoma......Asafirishwa Kwenda Dar

$
0
0
Kufuatia skendo ya utapeli inayoendelea kumwandama mwimbaji wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kupigwa pingu mkoani Dodoma, baadaye akasafirishwa hadi Dar kwa msimamizi wa kazi zake, Alex Msama, kwa lengo la kumlipia deni alilokuwa akidaiwa. Habari kutoka kwa chanzo zimeeleza kwamba, hivi karibuni, Rose alilipwa Sh. milioni 3 kwa ajili ya shoo huko Makambako mkoani

Rais Kikwete Awakemea Wanaotumia fedha ili kupata madaraka

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini kutowapa mwanya wanasiasa wenye dhamira ovu ya kuwafarakanisha Watanzania bali waendelee kukemea matumizi mabaya ya fedha, rushwa na hujuma katika Uchaguzi Mkuu hasa kipindi hiki. Alisema ipo haja ya viongozi hao kuendelea kuwakemea wanasiasa  wanaopenda madaraka kwa gharama yoyote wakitumia fedha kununua ushindi au ubaguzi wa rangi,

Diamond Afanyiwa Kufuru Nigeria

$
0
0
Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu kilichosafiri na staa huyo ambaye yupo nchini humo kwa ziara yake inayofahamika kama ‘Nana Tour’, tangu Diamond alipofika siku ya kwanza akiwa na mameneja wake, Salam, Babu

Sakata la Walimu wa Kike Kufanyishwa Mapenzi Usiku KICHAWI Lachukua sura mpya

$
0
0
SAKATA la walimu wa Shule ya Msingi Nambaza, katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, kufanyiwa vitendo vya kishirikina na kutishiwa maisha, limeendelea kuumiza vichwa vya viongozi wilayani humo. Viongozi hao, leo wanatarajia kukutana katika kikao ambacho kitamshirikisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, Ofisa Utumishi na Ofisa Elimu wa Wilaya hiyo ili kujadili hatima ya walimu wa shule

Mbunge Wa CHADEMA Ajivua Uanachama......Asema Kama CHADEMA Wanaubavu Wakalikomboe hilo Jimbo

$
0
0
MBUNGE wa Mpanda Mjini, Said Arfi, jana aliwaaga wapiga kura wake akiwaeleza kuwa uanachama wake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) utakoma mara baada ya kuvunjwa kwa Bunge la 10 mjini Dodoma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Kashato mjini hapa jana, Arfi, aliyekiwakilisha chama hicho kwa miaka 10 mfululizo, aliwaambia wananchi kuwa

Basil PesaMbili Mramba na Daniel Yona Wahukumia Kifungo cha Miaka Mitatu na Faini ya Milioni 5 Kila mmoja

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, imewahukumu kifungo cha miaka mitatu jela aliyekuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Bazil Mramba na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona baada ya kuwatia hatiani kwa makosa mawili. Akizungumzia hukumu hiyo, Wakili wa washtakiwa hao, Peter Swai, amesema kwamba hukumu hiyo imetolewa na jopo la majaji watatu ambao ni Jaji Samu Rumanyika, Jaji John

UKAWA Wajitoa Rasmi Bungeni....Waondoka Mjini Dodoma

$
0
0
UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge.    Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe amesema wabunge wote kutoka katika vyama vinavyounda umoja huo hawataingia tena

Kiunzi cha kwanza Urais CCM Ni Kesho- Dodoma

$
0
0
Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM itakutana kesho mjini Dodoma kuanza shughuli yake ya kupitia taarifa za wagombea 38 wanaoomba kuwania urais na kisha kuwasilisha ushauri wake kwenye kikao cha Kamati Kuu inayokutana keshokutwa.    Habari kutoka ndani ya CCM zinasema kuwa kamati hiyo inayoongozwa na mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine hukasimisha shughuli

Joto La Urais CCM: Ulinzi Waimarishwa Dodoma......Polisi Yapiga Marufuku Watu Wasio na Kazi Maalumu Kwenda Dodoma

$
0
0
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amewataka wageni wasiokuwa na shughuli muhimu ya kufanya mkoani hapa kutokuja katika kipindi cha juma hili ili kuepusha usumbufu utakaojitokeza.    Misime alitoa agizo hilo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kuhusu wiki hii ambayo inatarajiwa kuwa na ugeni mkubwa wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM ambao amesema

Tanzanian Women That Men Should Avoid Marrying At All

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});   #1. The High Maintenance Chick If this type of woman breaks a nail, she expects you to drop everything you’re doing to drive her to the salon immediately.    Her daddy always told her she was a princess and she expects to be treated like one at all times. She has

Lowassa Asukiwa Zengwe Ili Jina Lake LIKATWE

$
0
0
Wakati joto la uchujaji wa majina ya wagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) likizidi kuongezeka, taarifa zimezidi kuzagaa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kwamba, mikakati ya kumuondoa Edward Lowassa kwenye orodha ya watia nia nayo imezidi kupamba moto.   Ofisa mmoja wa CCM makao makuu mjini hapa, alisema kuwa wanachofanya wao kama watendaji ni kuandaa majina ya wagombea
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images