Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mchungaji Mtikila Atangaza Kuwafikisha Mahakamani Wasaka Urais 6 wa CCM......Yumo Lowassa, Sumaye,Membe,January Wassira na Ngeleja

$
0
0
CHAMA cha Democratic Party (DP) kimetangaza kwenda mahakamani kukishtaki Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na makada wake sita kutokana na kukiuka sheria ya nchi, taratibu pamoja na kanuni za uchaguzi. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama hicho Mchungaji Christopher Mtikila, wakati akizungumza na waandishi wa habari. Alisema makada hao pamoja na chama chao

Davina : Natamani Kuchepuka Ila Naogopa Ndoa Yangu Kuvunjika

$
0
0
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amekiri kuwa makundi huwa yanaharibu  watu walio kwenye ndoa kwa kuwalaghai kwamba wakaonje  nje kwa lengo  la kuangalia radha nyingine hali amabayo wakati  mwingine  mawazo hayo humjia lakini ghafla huhisi kama mumewe atamuona na kuhatarisha ndoa yake.   Akizungimza na Tanuru la Filamu , Davina alisema  kwamba alipata wakati  mgumu wakati

Pius Msekwa Asema Atakayekatwa Jina na Akaona Ameonewa Anaruhusiwa Kuhama Chama.......Kaongelea Pia Jinsi Escrow Inavyoitesa CCM

$
0
0
Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow imekijengea chama hicho chuki kwa wananchi na hivyo kinahitaji mgombea anayekubalika ili kishinde kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.    Msekwa, ambaye ni mmoja wa viongozi wa zamani wanaotarajiwa kutoa mapendekezo yatakayokuwa msingi wa kupata mgombea wa urais wa CCM, alisema

Chanel Ten, Star tv, TBC Zaadhibiwa na TCRA

$
0
0
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu ya faini kwa vituo vitatu vya televisheni nchini kwa kuonyesha vipindi vilivyokiuka kanuni za huduma ya  utangazaji (maudhui ) ya mwaka2005.   Uamuzi huo ulitolewa jijini Dar es salaam jana  na kamati ya Maudhui ya TCRA chini ya mwenyekiti wake Mhandisi Margaret Munyagi ambapo alivitaja vituo hivyo kuwa ni Channel Ten, Star TV na TBC1.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya July 9

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  July 9

Biashara ya NGONO Yashamiri Mkoani Dodoma.........Makahaba Wazagaa Kila Kona

$
0
0
BIASHARA ya ngono imeshamiri mkoani Dodoma wakati huu ambao vikao vya kumpata mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimekwisha kuanza.   Uchunguzi uliofanywa  katika baadhi ya kumbi kama  Club Maisha, Club Laazizi na Matei Lounge, Chako ni Chako, umebaini kuwapo idadi kubwa ya kina dada wakiwa wamevaa nusu uchi.   Katika maeneo ya katikati ya mji wa Dodoma zilikuwapo hekaheka

Kingunge Amtolea Uvivu Nape Nnauye......Ashauri Avuliwe Uongozi, Ashangaa Viongozi Kumfumbia Macho

$
0
0
Mwanasiasa mkongwe wa CCM, Kingunge Ngombale-Mwiru amemshukia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye kwa kauli zake alizodai zinaminya demokrasia na kwamba CCM haiwezi kusimama wanapopambana wenyewe kwa wenyewe.    Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kingunge (pichani), ambaye hivi karibuni aliweka bayana kumuunga mkono Mbunge wa Monduli, Edward

Dewji Atangaza Kutogombea Tena Ubunge Singida Mjini

$
0
0
Mbunge wa Singida Mjini (CCM) na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amewaliza baadhi ya wapigakura wake wakati akitangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa ya madai ya kubanwa na majukumu ya kifamilia na biashara.    Dewji ambaye amekuwa mwakilishi wa jimbo hilo kwa awamu tatu mfululizo, alitangaza uamuzi wake huo kwenye mkutano wa hadhara

Nassari Afunguka.......Asema Ajali ya Helikopta Aliyopata ni ya Kishirikina, Ndesamburo Asema Atanunua Nyingine

$
0
0
Wakati Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akisema anashindwa kuamini kilichotokea na kunusurika katika ajali ya helikopta juzi, mmiliki wa chopa hiyo, Philemon Ndesamburo amesema atanunua nyingine haraka kabla ya kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu.    Kauli hizo zilitolewa jana ikiwa ni siku moja baada ya helikopta hiyo inayomilikiwa na Ndesamburo kupitia kampuni yake ya Keys

Prof. Mwandosya Awaangukiwa Wabunge wa UKAWA........Asema siyo Picha Nzuri Rais Kuvunja Bunge Bila Wabunge Hao

$
0
0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum Prof.Mark Mwandosya amesema sio kitendo kizuri kwa wabunge wa upinzani kususia Bunge wakati Rais Jakaya Kikwete atakapokwenda kuvunja Bunge hilo leo. Akizungumza bungeni mjini Dodoma jana wakati akichangia Mswada wa Sheria wa Kuanzisha Tume ya Utumishi wa Walimu alisema si jambo zuri hata kidogo kwa jambo kubwa la Taifa kama hilo

Tano Bora ya Urais CCM Itatoka Ndani ya Kundi Hili.......Majina yao Kuanikwa leo, wengine 33 Kufyekwa.

$
0
0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya RaisKamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo inakutana kuchuja majina ya makada wake 38 waliorejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia chama hicho na majina 33 ni lazima yapigwe panga ili kupeleka majina matano kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kupigiwa kura. Kwa mujibu wa habari kutoka mitandao ya kijamii, kwenye vijiwe na mijadala

Hotuba ya Rais Kikwete Wakati wa Kuagana na Wabunge na Kulivunja Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

$
0
0
Mheshimiwa Spika; Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kuishuhudia siku hii adhimu katika historia ya Bunge letu na nchi yetu. Hatimaye siku ya kuvunja Bunge la Kumi imewadia ili kuwezesha hatua husika za mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ziweze kutekelezwa. Nakushukuru sana Mheshimiwa Spika kwa kunipatia nafasi hii ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya July 10

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  July  10

Moshi Mweusi Watanda CCM.......Rais Kikwete Apangua Ratiba ya Vikao vya Kamati ya Maadili na Kamati Kuu, Kingunge Amvaa Kinana

$
0
0
WAKATI Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, akipangua ratiba ya vikao muhimu vya Kamati ya Usalama na Maadili pamoja na Kamati Kuu vilivyotarajiwa kufavyika juzi na jana, Mwanasiasa maarufu, Kingunge Kombale-mwiru  jana alikuwa uso kwa uso na Katibu Mkuu wa chama hicho katika jitihada za kumuokoa Edward Lowassa. Katika siku ya jana kulikuwe na minong’ono ya hapa na

Ijue Sayansi ya Kusimama na Kusinyaa kwa UUme ( Sayansi ya Nguvu za Kiume)

$
0
0
Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu Hatua  mbili  Muhimu  katika  Kusimama  kwa  Uume Ili  mwanaume   aweze 

Vikao Vyote vya CCM Kufanyika Leo Na Majina ya 5 Bora na 3 Bora Yatajulikana leo

$
0
0
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa mbele ya Mkutano Mkuu utakaofanyika Jumamosi Julai 11, 2015.   Nape amesema vikao vyote vinaanza leo saa

Wananchi Bunju Wachoma Kituo Cha Polisi

$
0
0
KITUO cha Polisi cha Bunju A, kilicho Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kimechomwa moto na wananchi waliokuwa wakiwatuhumu Askari Polisi kutotekeleza majukumu yao ya kazi kwa ufasaha.   Tukio la kuchomwa kwa kituo hicho limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camillus Wambura, ambaye alisema wachomaji walitekeleza uhalifu huo najira ya saa 3.00 asubuhi.

Hivi sasa ni Saa tano Usiku......Kikao cha Kamati Kuu Bado Kinaendelea

$
0
0
Macho  na  Masikio  ya  Watanzania  bado  yako  mjini  Dodoma  kujua  majina  ya  tano  bora  ya  Urais  wa  CCM.  Leo  vimefanyika  vikao  viwili  ambavyo  ni  kikao  cha  kamati  ya  maadili  na  kikao  cha  kamati  kuu  ambacho  kinatarajiwa  kutoa  majina   matano  ambayo  yanapelekwa   katika  kikao  cha  Halmashauri  kuu  ya  taifa  na  kubakiza  majina  matatu  ambayo  yatapigiwa 

Breaking News: Hatimaye 5 Bora ya CCM Imejulikana....Lowassa Kaenguliwa

$
0
0
Kikao cha Kamati Kuu ya chama cha mapinduzi (CC) kimemalizika hivi punde(saa saba usiku)  mjini Dodoma. Tovuti ya CCM imeyatangaza majina matano yaliyopitishwa na Kamati ya CCM (CC) kuwa ni ;   1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali

Mpasuko CCM: Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa Wapinga Jina la Edwarad Lowassa Kukatwa

$
0
0
Habari za Hivi punde kutoka makao makuu ya CCM mkoani Dodoma  ni kwamba wajumbe wa kamati kuu  watatu ambao ni  Dkt. Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa  wamepinga maamuzi ya kamati ya kumkata mmoja wa wagombea maarufu   na kumweka mgombea asiyekuwa maarufu.   Akizungumza usiku huu majira ya saa saba za usiku Dkt. Nchimbi amesema kwamba wao watatu hawajakubaliana na maamuzi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images