KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkulima kutoka Kijiji cha Mjimtala
Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma, Eldoforce Bilohe (43) jana alitinga
makao makuu ya Chama Cha Mapindizi (CCM) kuchukua fomu ya kuomba ridhaa
kuteuliwa kuwa mgombea urais, bila kuwa na ada huku akiwa amebeba maji
ya chupa kwapani.
Bilohe ambaye alisema elimu yake ni ya darasa la Saba, aliwasili
makao makuu ya CCM muda wa
Mkulima wa Darasa la Saba Ajitosa Urais CCM
↧
↧
Lowassa Apata Wakati Mgumu Mkoani Mara Ambako ni Nyumbani kwa Wassira........ Maelfu ya Wananchi Wazuia Msafara Wake Wakitaka Wamuone
Waziri mkuu wa zamani Mh.Edward Lowasa aliyeko kanda ya ziwa kutafuta wadhamini amepata wakati mgumu alipowasili mkoani Mara baada ya makundi ya wananchi wakiwemo vijana,wanawake na watoto kumfuata kila alikokwenda wakitaka wapewe nafasi ya kumueleza kero zao jambo lililosababisha zoezi la kumdhamini kuwa gumu licha ya kufanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Heka heka za wananchi kutaka
↧
Maneno ya Wema Sepetu Baada ya Kutuhumiwa Kutoka Kimapenzi na Mume wa Linah
Siku chache baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini,
Esterlina Sanga ‘Linah’ kulalamika juu ya kitendo cha Wema Sepetu kumchukua aliyekuwa bwana’ake Nangari Kombo, muigizaji huyo
ameibuka na kutoa maneno yanayoashiria kejeli, kuwa aache presha, kwani
zile ni picha tu!
Wiki iliyopita zilisambaa picha mtandaoni zikimuonyesha Wema Sepetu akiwa amepozi
kitandani na kijana huyo,
↧
Magufuli Aendelea Kusaka Wadhamini, Agoma Kuzungumza
Waziri wa ujenzi Dkt. John Pombe Magufuri ambaye pia ni miongoni mwa wagombea waliochukua fomu za kuwania mbio za uraisi wa awamu ya tano amesema hawezi kuthubutu kuzungumza chochote mbele ya hadhara ya wananchi katika kipindi hiki kigumu cha kutafuta wadhamini na kwamba kufanya hivyo nikukiuka maadili ya chama chake.
Akizungumza mjini Bukoba wakati wa akitoa shukrani zake kwa
↧
Urais 2015: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe Achukua Fomu ya Kugombea Urais
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea,
Mathias Chikawe akionesha mkoba wenye fomu za kugombea urais katika
ukumbi wa mikutano wa NEC mjini Dodoma.
**********
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Nachingwea, Mathias Chikawe jana amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya
kugombea Urais kwa tiketi ya chama cha
↧
↧
January Makamba Achukua Fomu ya Kugombea Urais
Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara
ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya
kutangaza nia jana juni 10, amechukua fomu katika Ofisi Kuu za Chama
Cha Mapinduzi mjni Dodoma ya kuomba kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi
ya chama cha Mapinduzi.
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu Makmba alisema kwamba
ataendelea na safari
↧
Godbless Lema Asikitika Uandikishaji Kuahirishwa Jijini Arusha
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amesema uandikishaji wapigakura
katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, uliokuwa uanze jana na
kuahirishwa, umewasikitisha kama chama kwa kuwa wananchi hawakupewa
taarifa za usitishwaji wa uandikishaji huo.
Licha ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutoa taarifa kwa vyombo vya
habari kuhusu kusitishwa huko, wananchi walijitokeza jana kwenye
↧
Watu 6 Mbaroni kwa Kukutwa na Mifupa 6 ya Binadamu
JESHI la Polisi mkoani Tabora, limewakamata na kuwafikisha mahakamani
watu sita, kwa tuhuma za kukutwa na mifupa sita ya binadamu,
inayodhaniwa kuwa ni ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino).
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoani hapa,
Suzan Kaganda alisema watuhumiwa hao walikamatwa asubuhi ya Mei 22,
mwaka huu wilayani Igunga.
Kaganda aliwataja
↧
Zoezi la Uandikishaji wapiga kura Laendelea kwa Kusuasua mkoani Mwanza.
Zoezi la uandikishaji wa wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki (BVR) mkoani Mwanza linaigia siku ya tatu huku kasi ndogo ya uandikishaji ikishuhudiwa katika baadhi ya vituo vya kuandikishia wapiga kura kutokana na uhaba wa vifaa pamoja na wataalam, hali ambayo imelalamikiwa na baadhi ya wakazi wa kata za wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kufuatia hali hiyo baadhi ya wakazi wa
↧
↧
Mahakama ya Afrika iamuru Burkina Faso kusikiliza upya kesi ya mauaji ya mwandishi
BAADA ya miaka 16 tangu alipouawa mwandishi wa habari za uchunguzi wa nchini Burkina Faso, Norbert Zongo, hatimaye haki imetendeka juu yake baada ya hukumu ya kihistoria iliyotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR) yenye makao yake jijini Arusha.
Katika hukumu hiyo iliyotolewa mwishoni mwa wiki, ACHPR iliamuru Burkina Faso kuifungua na kuisikiliza upya kesi hiyo
↧
Membe apata baraka za watumishi wa Mungu kugombea urais wa Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini juzi jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa na viongozi hao kwa ajili ya kumtakia kheri katika safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyekaa (
↧
Wanaotumia Dawa za Kufubaza Makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV) Wapewa Darasa
WAKAZI wa Mtaa wa Sechelela Kata ya Tambukareli Chadulu (A) Dodoma wanaotumia dawa za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (ARV), wametakiwa kuepuka matumizi ya unywaji wa pombe, uvutaji wa sigara na ngono uzembe.
Rai hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sechelela, Robarnt Pangaselo, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya wanafunzi hao kwenye mkutano wa hadhara
↧
Nassary Aandaliwa Sherehe Jimboni Kwake, Ni baada ya Kutatua Mgogoro wa Maji
Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila iliyoandaliwa na wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa maji uliokuwepo katika baadhi ya vijiji.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia
↧
↧
Umoja wa Ulaya Wataka Uchaguzi wa Tanzania Ufanyike Kwa Uwazi
BALOZI wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi, ameshauri Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ufanyike kwa uwazi zaidi ili kulinda amani iliyopo nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Balozi Sebregondi, alisema pia ni lazima Serikali ifanye maandalizi ya kutosha na wagombea washiriki kwa amani katika kipindi chote cha kampeni.
“Mwaka huu ni wa muhimu
↧
Urais 2015: Waziri Membe Atinga Jijini Mbeya, Apata Wadhamini 800
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia
mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika
kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili
mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake
za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo
↧
Kiongozi wa waasi wa ADF Aliyekamatwa Tanzania Agoma Kurudishwa Uganda
KIONGOZI wa Kundi la Kigaidi la Waasi la ADF nchini Uganda, Jamil Mukulu amedai hataki kurudishwa kwao kwa sababu hana imani na mahakama yoyote nchini Uganda.
Anadai anaamini kesi yake ikisikilizwa nchini humo hawezi kutendewa haki ni bora ikasikilizwa katika mahakama yoyote lakini si huko.
Mukulu alidai hayo kwa kupitia Wakili wake Martin Rwehumbiza ambaye aliwasilisha hoja
↧
Serikali Yatoa Onyo Kwa Raia Wa Kigeni
IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Shinyanga imesema imebaini kuwabaadhi ya raia wa kigeni wanatafuta mbinu ya kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Imesema imejipanga kuhakikisha raia hao hawapati nafasi yoyote ya kujiandikisha huku ikiwaonya wakazi na waandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kupitia mfumo mpya wa BVR kuwa makini na wageni hao.
Ofisa Uhamiaji
↧
↧
Makada 17 CHADEMA Kumkabili Ndassa
MAKADA 17 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametangaza nia ya kuchukua fomu za kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Sumve linaloongozwa na Richard Ndassa (CCM).
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika juzi Wilaya ya Kwimba, Katibu wa Jimbo la Sumve, Cosmas Jilala, aliwataja baadhi ya makada hao kuwa ni Mpelwa Kalungubhale, Ng’holo Malimi, Madaka Sunday,
↧
Lowassa Apokelewa Kwa Kishindo Mkoani Simiyu, Apata Wadhamini 5,000
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa,
akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi
baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea
Urais mkoani Simiyu jana.
Wanachama wa Chama cha
Mapinduzi(CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000
waliomdhani
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 11 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 11 Juni 2015
↧
More Pages to Explore .....