Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kakobe Arusha Kombora Zito kwa Nyalandu na Mwigulu

$
0
0
Katika hali isiyo ya kawaida Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe amefunguka na Injili nzito kwa kuwataja baadhi ya wagombea urais kwamba waingie katika wokovu kamili badala ya kuwa na wokovu aliodai ni wa kuigiza. Katika moja ya mahubiri yake kanisani kwake Mwenge, Sam Nujoma Road, Askofu Kakobe  aliwataja wagombea urais Mwingulu Nchemba na Lazaro

Njiwa mwenye Hirizi Asababisha Timbwili Baa

$
0
0
Timbwili la aina yake lilizuka mwishoni mwa wiki iliyopita baada njiwa aliyekuwa amefungwa hirizi na barua iliyokuwa imeandikwa kwa Lugha ya Kiarabu kuzunguka katika baa zipatazo 26 zilizopo Banana, wilayani Ilala, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa chanzo chetu kutoka eneo hilo, njiwa huyo alizunguka katika kila baa iliyopo eneo hilo na mwisho alitua jirani ya baa moja.   Kabla ya kutua

Profesa Tibaijuka Azomewa kwao na Wananchi Mbele ya Kinana

$
0
0
Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wa jimbo lake mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.    Hali hiyo ilijitokeza jana asubuhi katika Kata ya Nshamba wilayani hapa wakati msafara wa Kinana ulipofika kuzindua mradi wa maji. Kadhia hiyo ilianza baada ya Katibu wa CCM Mkoa wa Kagera, Ally Idd

Shilole kumzalia Nuh Mziwanda?

$
0
0
Msanii wa muziki nchini Tanzania Nuh Mziwanda, baada ya kuvuka kiunzi cha skendo ya kumpachika mimba binti na kumkana hadharani, jambo ambapo lilipelekea msukosuko katika penzi lake na mpenzi wake Shilole, hatimaye atamka hadharani mipango yake ya kuazaa na Shilole.   Akihojiwa  na eNews  ya  EATV  Mziwanda amesema kuwa yeye na Shilole, wanapenda sana kupata mtoto wao, ila anafahamu

Lowassa Apata Mapokezi Makubwa Geita.......Azoa Wadhamini 3,000

$
0
0
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana aliingia wilayani Geita na kupokewa na umati wa wananchi ambako alidhaminiwa na zaidi ya wana CCM 3,000. Kaimu Katibu wa Wilaya ya Geita, Killian Balindo alisema waliotakiwa kumdhamini Lowassa katika wilaya hiyo ni wanachama 45, lakini waliojitokeza wamefikia zaidi ya 3,000.   Akizungumza na wananchi waliokusanyika mbele ya ofisi ya CCM Mkoa

Kina Sheikh Farid Wagoma Kuingia Mahakamani.

$
0
0
Katika halia isiyo ya kawaida, Kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho ya Mihadhara ya Kiislamu (Jumiki) visiwani Zanzibar, Sheikh Ahmed Farid na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kula njama na kujihusisha ya ugaidi nchini waligoma kushuka kwenye basi la magereza ili kuingia mahakamani jana kutokana na hatma ya upelelezi wa kesi yao kutojulikana. Washtakiwa hao walifikishwa kwenye viunga vya

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja  na Mara.   Akizungumza na Waandishi wa Habari leo ofisini kwake Dr. Sisti  Kariah amesema kwamba Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha uandikishaji kwa BVR  katika mikoa  ya Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Mara zoezi ambalo lilitarajiwa kuanza leo

NEC kuwaburuza Mahakamani wananchi 100 waliojiandikisha zaidi ya mara moja Daftari la Wapiga kura

$
0
0
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha Mahakamani wananchi zaidi ya 100, wa Mkoa wa Njombe, baada ya kubainika kuwa walijiandikisha zaidi ya mara moja kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.   Naibu katibu wa Tume hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Daftari na Tehama, Daktari, Sisi Kariali, amesema kwamba wananchi hao wamebainika kwa kutumia teknolojia inayotumiwa

Urais 2015: Chama cha ACT – Wazalendo kutoa fursa kwa watangaza nia

$
0
0
Chama cha ACT-Wazalendo kintarajia kutoa fursa kwa watangaza nia wa nafasi mbalimbali katika mkutano wake wa kitaifa utakaofanyika tarehe 13 mwezi huu.   Hatua hiyo inafuatia joto la urais kuanza kupanda ndani ya vyama mbalimbali vya kisiasa nchini kikiwemo chama tawala cha Mapinduzi (CCM).   Kwa mujibu wa Katibu Mawasiliano na Uenezi wa Chama wa ACT –wazalendo  Sabini Richard

Diamond Platnumz Follows Dr.Dre And 50 Cent's Footsteps By Launching His Own Headphones.

$
0
0
Diamond Platnumz is following footsteps of American big names like Dr. Dre, DJ Khalid and 50 Cent in the headphone and earphone business as he is all set to launch his own.    Through his instagram today the east African music superstar revealed at while wishing supermodel Flaviana Matata happy birthday. He will officially launch his headphone at the end of this year. Congratz to

Sitta awaonya wanasiasa chokochoko za muungano

$
0
0
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Samuel Sitta amesema kuna wanasiasa wanafanya chokochoko za Muungano huku akisema ikiwa atafanikiwa atateuliwa na chama chake kuwania urais atawashughulikia. Akizungumza na waandishi wa habari katika Kijiji cha Wawi alipozulu kaburi la Makamu wa Rais wa Tanzania, marehemu Dk. Omar Ali Juma, Waziri Sitta alisema kwamba kumejitokeza watu wanaouchimba

Mbunge aitaka Serikali ianzishe idara ya vipodozi

$
0
0
MBUNGE wa Mji Mkongwe, Ibrahim Sanya (Chadema), ameitaka Serikali kuanzisha elimu ya madhara ya vipodozi visivyo na viwango kwa shule za msingi.   Akiuliza swali bungeni jana, Sanya alisema kuanzishwa kwa elimu hiyo kunatokana na Serikali kushindwa kudhibiti uingizwaji wa vipodozi hivyo  nchini hali inayosababisha kuogezeka kwa matumizi.   “Kwa nini Serikali isishirikiane na Wizara ya

Nape: Malalamiko ni mengi kwa watendaji wabovu

$
0
0
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Nape Nnauye, amesema katika ziara zote walizofanya katika kipindi cha miaka mitano bado wananchi wanalalamikia utendaji mbovu kwa baadhi ya viongozi wa serikali. Kauli hiyo aliitoa juzi Wilayani  Muleba,  alipokuwa akizungumza na wana CCM ambapo alisema watendaji hao wamekuwa wakishindwa kukamilisha miradi ya maendeleo.  

Viongozi 73 Wasulubiwa Baraza la Maadili

$
0
0
JUMLA ya viongozi 73 wameshafikishwa mbele ya Baraza la Maadili katika kipindi cha mwaka 2010/11 hadi 2014/15.   Takwimu hizo zilitolewa bungeni jana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Fakharia Shomar Khamis (CCM),   Katika swali lake Mbunge huyo alitaka kujua idadi ya viongozi ambao ahadi sasa

CCM ikisimamisha mla rushwa, itapoteza dola, asema Wassira

$
0
0
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kosa kumsimamisha mgombea mla rushwa, kitapoteza dola.   Akizungumza jana na waandishi wa habari baada ya kudhaminiwa katika ofisi za CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Wassira alisema kamwe wana CCM hawatakubali kupoteza dola, badala yake atateuliwa mtu safi.   Mgombea huyo alisema

Wagombea Urais CCM Wakimbia Mdahalo Dar

$
0
0
Mwenyekiti wa Mdahalo, Ally Mfuruki WAGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), juzi walikimbia mdahalo wa kupambana kwa hoja ulioandaliwa na wenyeviti wa sekta binafsi na kujulikana kama ‘CEO round table of Tanzania’.   Mdahalo huo ulikuwa na lengo la kujadili mambo makuu mawili, ikiwa ni sekta ya uchumi na utawala bora na kwa jinsi gani wagombea hao wakipata ridhaa

Mwandosya Awataka Wagombea Urais CCM Waache Kuwajadili na Kuwasema Vibaya Wagombea Wenzao

$
0
0
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya, ameonya wanaojadili wengine badala ya hoja katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu kuwa hawawezi kuisaidia nchi kwa mtindo huo.   Profesa Mwandosya alisema hayo mjini hapa jana, alipokuwa akitafuta wadhamini ambao CCM imewataka kwa mtu anayetangaza nia ya kugombea urais na kuchukua fomu.   Kwa

Amina Salum: Tanzania Inahitaji Rais Mwanamke

$
0
0
MGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.   Akizungumza na waandishi wa habari pembezoni mwa uwanja wa ndege wa Karume kisiwani Pemba, Balozi Amina alisema kwamba wanawake ni watu wanaaminifu wanaojali dhamana zao.   “Wanawake

Rais Kikwete: Sina Mgombea Ambaye ni Chaguo Langu

$
0
0
LICHA ya idadi kubwa ya makada wa CCM waliojitokeza na wanaoendelea kujitokeza kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais kupitia chama hicho tawala, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza muda wake amesema hana mgombea, hivyo asihusishwe nao.   Amesema baadhi wamekuwa wakiomba ridhaa yake, lakini hakuna aliyemkatisha tamaa huku akimtakia kila la heri anayejiona ana ubavu wa kutaka kumrithi

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 10 Juni 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe 10 Juni 2015
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images