Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard
Membe amesema kama CCM haitampitisha kuingia tano bora, atampigia
kampeni kwa moyo wa dhati Profesa Mark Mwandosya iwapo ataingia fainali
ya kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea urais.
Membe aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza na
wanachama wa CCM kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa
Membe: Nikikatwa Nitampigia Kampeni Profesa Mwandosya
↧
↧
Kinana: Wagombea Urais Mjinadi bila Kukashifiana
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amewataka wagombea wa nafasi
mbalimbali katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mkuu,
kujinadi bila kukashifiana na kudhalilishana.
Aidha, Kinana ambaye ameonya juu ya vitendo vya rushwa katika
mchakato huo wa kupata wagombea, amewataka viongozi wanaosimamia
mchakato wa kura za maoni kwenye kata na wilaya kutenda haki kwa
↧
Ahukumiwa Jela Miaka Miwili Kwa Kujiandikisha ‘BVR’ Vituo 3 Tofauti
MKAZI wa kijiji cha Masange kata ya Masange tarafa ya Bereko wilaya
ya Kondoa mkoani Dodoma, Adam Salum (28) jana alihukumiwa kutumikia
kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kukiri shitaka la
kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura katika vituo vitatu
tofauti kwa kutumia majina matatu tofauti.
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kondoa Jangandu
↧
NEC Yatangaza Mikoa Mipya uandikishaji kwa BVR
Tume ya Taifa ya Uchaguz i(NEC) imetangaza mikoa mipya itakayoingia
katika zoezi la uandikishaji kwa BVR,zoezi litakalohusisha kuandikisha
wananchi wenye sifa za kupiga pamoja na kupata kitambulisho chao papo
hapo.
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa jana na tume hiyo imebainisha kuwa
mikoa hiyo ni kama ifuatavyo; Geita, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Mara,
Arusha, Manyara, Kilimanjaro,
↧
Dive: Mwana FA Aliokoa Maisha Yangu Kipindi Nimekata Tamaa Na Kutaka Kujiua
Mtangazaji wa redio nchini Tanzania, Diva The Bawse, amedai kuwa
hatakuja kusahau msaada alioupata kutoka kwa mwanamuziki nchini Mwana
FA, baada ya kutaka kujiua na mwanamuziki huyo kufanikiwa kumshawishi
hadi kubadili azma yake.
Amedai kuwa alianza kazi akiwa katika umri mdogo jambao ambalo
changamoto zilimfanya alie na kutamani kujiua lakini mwanamuziki huyo
alitokea na kuweza
↧
↧
Soma Bajeti ya Mwaka 2015/ 2016 Iliyowasilishwa na Waziri Wa Fedha Jana Bungeni
Waziri wa Fedha, Mhe. Saada Salum
Mkuya (MB) akiwasilisha bungeni Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa
fedha 2015/16, Mjini Dodoma jana.
SOMA BAJETI YA MWAKA 2015/16 HAPA===>>>BAJETI
↧
Kesi Ya Kulawiti Inayomkabili Mwenyekiti Wa CCM Yapigwa Kalenda hadi Juni 26
1.Kesi ya Kulawiti:
KESI ya kulawiti inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) wilaya ya Uyui mkoani Tabora, Mussa Ntimizi, imeahirishwa hadi Juni 26 mwaka huu itakapotajwa tena.
Wakili wa Serikali, Juma Massanja, alisema kesi hiyo imeahirishwa kutokana na kutohudhuria mashahidi wa upande wa mashtaka. Ilisomwa juzi mbele ya Hakimu Jocktan Rushwera.
Mwisho
-------
2
↧
Mbunge ataka taaluma ya gesi Mtwara, Lindi
MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwany (CUF), ametaka Serikali kutoa taaluma ya gesi na mafuta kwa wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara.
Akiuliza swali bungeni jana, Barwany alisema kuna taarifa kupitia vyombo vya habari kuhusu juhudi za Serikali za kutoa taaluma ya gesi na mafuta.
“Je wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara wananufaikaje na je ni vijana wangapi hadi sasa wamepatiwa
↧
Wahitimu wa afya 400 kwenda hospitali za rufaa
SERIKALI ina mpango wa kuwapeleka wahitimu wa sekta ya afya wapatao 400 katika hospitali rufaa nchini.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Stephen Kebwe wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum, Diana Chilolo (CCM).
Katika swali lake, Chilolo aliitaka Serikali kupelekea madaktari katika hospitali ya Ikungi kwa kuwa
↧
↧
Serikali Yatoa Maelekezo Kwa Wenye Magari Mabovu Barabarani
WAMILIKI wa magari wametakiwa kufuata sheria ya kuyaondoa barabarani magari yao yanayopata ajali ndani ya saa sita.
Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Al-Shaymaa Kwegyir (CCM).
Katika swali lake, Kwegyir alitaka Serikali kutunga sheria ya
kuwawajibisha wamiliki wa magari yanayopata ajali kulipa
↧
Serikali Yaahidi Kutekeleza Ahadi yake ya Elimu Ya Sekondari BURE Kuanzia 2015/2016
SERIKALI imesema itaanza kutekeleza ahadi yake ya kutoa elimu ya sekondari bure katika mwaka wa fedha 2015/16.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi, Celina Kombani wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Lushoto, Henri Shekifu (CCM).
Katika swali lake, Shekifu alitaka kujua kama tangazo hilo la Serikali la kutoa elimu ya sekondari bure
↧
Wakazi Wa Mgao Wamvaa Halima Mdee Kwa Kuwadhalilisha......Wamtaka Afute Kauli Yake
KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Waziri Kivuli, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halima Mdee kuhusu utoaji wa ardhi kwa bilionea Alhaji Aliko Dangote, wakazi wa kijiji cha Mgao, Halmashauri ya Mtwara Vijijini wamemtaka kufuta kauli yake.
Wakitoa malalamiko yao kwa vyombo vya habari, baadhi ya wakazi wa kijiji hicho ambao walijitambulisha kwa majina ya Seif Said na Mohamed
↧
MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kushepu Maziwa, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kuondoa Michirizi na Zingine Nyingi
Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za
Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi
zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara
..
Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na
zimethibitishwa
TUNAZO BIDHAA ZA:-
1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=.
↧
↧
Mwanamke Atiwa Mbaroni Akituhumiwa Kumuua Mwanae Mchanga Kwa Kumtumbukiza Chooni
JESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Dainees Fredrick (30), mkazi wa Kambi ya Raha, wilayani Hai, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake mchanga muda mfupi baada ya kumzaa kwa kumtumbukiza chooni.
Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kitendo hicho siku moja baada ya kujifungua ambapo alimfunga mtoto huyo wa kiume kwenye kanga na kumweka kwenye mfuko wa plastiki kisha kumtumbukiza
↧
Kortini kwa Kulawiti Mtoto
MKAZI wa Mbezi Beach Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu huko Kawe.
Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na alirejeshwa
↧
Siro Atoa Ushahidi Kesi ya Profesa Lipumba
MKUU wa Operesheni Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, Simon Siro (54) ametoa ushahidi katika kesi inayowakabili Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake 30 na kudai mkutano huo ulipigwa marufuku kutokana na taarifa za intelijensia za kuwapo kwa tishio la ugaidi.
Siro aliyaeleza hayo juzi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi
↧
Lowassa Avunja Rekodi Mkoani Shinyanga.......Wananchi Waumizana Wakigombea Kumuona, Avuna Wadhamini 7,114
Mh.
Lowassa, akipokea fomu zilizojazwa na wana CCM waliomdhamini mkoani
Shinyanga, kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Shin yanga mjini Charles
Sangula, Juni 11, 2015.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh.
Edward Lowassa, akipungia mkono wana CCM na wananchi wa Mkoa wa Shinyanga,
alipokuwa akiondoka ofisi za chama hicho wilaya ya Shinyanga mjini mara baada
ya kupata wana
↧
↧
Bajeti kuu ya Serikali 2015/ 2016: Kodi ya Pombe na Sigara Haijaongezwa.....Petrol, Dizel na Mafuta ya taa Kodi Imepanda.....PAYE Imepunguzwa, Penshen Imeongezeka
Kwa mara kwanza Bajeti ya 2015/16, ambayo ni ya mwisho ya Serikali ya Awamu ya Nne, haijaongeza kodi katika bidhaa za pombe na sigara, badala yake imeendelea kupandisha kodi katika mafuta huku ikiminya uingizaji wa bidhaa nchini kwa ajili ya kulinda viwanda na wazalishaji wa ndani na kuongeza ajira.
Pia, bajeti hiyo ya mwisho kwa utawala wa Rais Jakaya Kikwete imeweka kipaumbele katika
↧
Urais 2015: Wassira Awashambulia Wagombea Wenzake......Awabeza Wanaojaza Watu Wengi kwenye Mikutano, Asema hata yeye Akiamua Anaweza!!
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira amewashambulia watangaza nia wenzake kwa madai kuwa wanatumia pesa kusaka uongozi.
Alisema Tanzania inapita katika msimu mgumu kisiasa kutokana na baadhi
ya watu kutumia mabilioni ya fedha kusaka uongozi wa nchi, wakati
uongozi si biashara.
Wasira alitoa kauli hiyo jana wakati akiwashukuru wanachama wa CCM
↧
Urais 2015: January Makamba Apokelewa Kishujaa Mkoani Iringa, Apata Wadhamini 600
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba,
ameungwa mkono na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani
Iringa ambako alipata wadhamini zaidi ya 600.
Akizungumza na wadhamini wake hao, January alisema endapo atafanikiwa
kuwa rais atahakikisha CCM inalirudisha Jimbo la Iringa Mjini ambalo kwa
sasa linaongozwa na Mchungaji Peter Msigwa kutoka Chama
↧
More Pages to Explore .....