Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

SERIKALI YALEGEZA MSIMAMO KUHUSU KODI YA LINE....WAZIRI WA FEDHA AKUBALI KUWAPELEKEA WABUNGE WAJADILI UPYA

$
0
0
Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi kwenye laini za simu za mkononi, imeeleza pia mpango wa kufunga mtambo maalumu ili kubaini malalamiko ya kampuni za simu kudaiwa kuiba fedha za watumiaji. Katika kile kinachoonesha kusikiliza kilio cha wananchi, Serikali imesema inapitia maoni na mapendekezo yaliyotolewa na wadau ili kuiangalia upya sheria

COMPUTER ZA USHAHIDI ZILIZOTUMIKA KWENYE UWIZI WA ATM ZAIBIWA NDANI YA KITUO CHA POLISI - MAKAO MAKUU MWANZA

$
0
0
Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya wezi wa mashine za kuchukulia fedha(ATM). Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10,

WAVAA VIMINI WAPIGWA MARAFUKU KUINGIA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

$
0
0
MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ezekiel Mpuya amesema tangazo lililotolewa hospitalini hapo la kuwataka watu kuvaa mavazi ya heshima wanapoingia hospitalini hapo lilikuwa likihusu watumishi wa hospitali hiyo na si wananchi wa kawaida. Akizungumzia suala hilo juzi, Dk Mpuya alisema kuwa Katibu wa Hospitali hiyo alitoa tangazo hilo kimakosa hali ambayo ilisababisha

SHILOLE ATANGAZA BIFU LA NGUMI BAADA YA SINTAH KUMPONDA KUWA ANAUWEZO MDOGO KIMUZIKI

$
0
0
MWIGIZAJI wa kike wa filamu na muziki Bongo zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemtangazia hali ya hatari msanii mwenzake wa filamu na mtangazaji wa televisheni Christina John ‘ Sintah’ kuwa popote atakapomkuta lazima amchape kwa kipigo ambacho hatasahau katika maisha yake... Shilole  ametoa kauli hiyo kufuatia kuandikwa na mwanadada huyo katika mtandao wake akimbeza kwa kejeli. . “Ni kweli sisi

LADY JAYDEE NA JUMA NATURE WAJIPANGA KUTOA NGOMA YA PAMOJA

$
0
0
Baada ya kumpa shavu The Heavy Weight MC Profesa Jay kwenye joto hasira, Lady JayDee a.k.a Anaconda anaendeleza utamaduni wa kuwapa mashavu wasanii wakongwe na wakali..hivi karibuni alirekodi wimbo na Q chilah, and guess Who’s next, ni Juma Kassim Nature Kiroboto. Kupitia akauunti yake ya twitter Anaconda amewapa fans wake good news kuhusu ujio wa ngoma yake na Juma Nature, huku

"MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UMEKUFA KISHERIA"....HII NI KAULI YA TUNDU LISSU

$
0
0
Mbunge wa Singida Mashariki akiongea kwa nini anaamini Muungano wa Tanzania umekufa alipokuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango.<!-- adsense -->

MAPENDEKEZO YA CCM KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA

$
0
0
<!-- adsense --> Mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wanachama na viongozi wake.UTANGULIZI1.1 Mnamo tarehe 03/06/2013 Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilitangaza rasimu ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.1.2 Rasimu hii ya Katiba itajadiliwa katika mfumo wa aina mbili wa mabaraza:Mabaraza ya Katiba ya

LINAH AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA

$
0
0
Mrembo na mwanamuziki wa kike nchini, Linah Sanga amezikanusha ripoti zilizosambazwa leo kuwa amebakwa na rapper Kimbunga na kudai kuwa ameshangazwa mno na taarifa hizo. Taarifa hizo zimeanza kusambazwa leo mchana baada ya akaunti ya Facebook inayoonekana kuwa ya rapper Kalapina yenye jina ‘KalApina Kikosi Cha Mizinga’ kuandika:   “Mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya

MSANII SHETTA AMALIZA BIFU NA BABA YAKE BAADA YA KUZINGUANA TANGU AKIWA NA MIAKA 7

$
0
0
 Baraka za mwezi Mtukufu wa Ramadhan zimeitembelea familia ya Baba Qayllah, Shetta Bilal. Baada ya miaka mingi ya maelewano hafifu na baba yake mzazi, leo baba na mwanae wameamua  kusameheana Kupitia Instagram, Shetta amepost picha (hiyo juu) akiwa na baba yake mzazi Mzee Bilal ambaye ni Sheikh, pamoja na mdogo wake Awab na kuandika: Wit my daddy n my young broda Awab….. #happyday baada

JOSEPH LUDOVICK AFUNGUKA....ADAI KWAMBA MATESO YOTE ANAYOYAPATA NI KWA AJILI YA CHADEMA

$
0
0
SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka na kuelezea tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake, ikiwamo uhusiano wake na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba. Ludovick, ambaye anadaiwa kurubuniwa na

KILA MTU ANAHAKI YA KUPENDA...." NATAFUTA MPENZI WA KIUME ILI AWE MUME WANGU BAADAE"

$
0
0
<!-- adsense --> Huu  ni  mkusanyiko  wa  maombi  ya  wadau  wanaosaka  wapenzi  na  wake  au  waume.... Ili  kurahisisha  zoezi  hili, kuna  forum imeanzishwa  (MZALENDO FORUM ) ambako  maombi  yote  yamewekwa  huko..... Hiyo  ni  sehemu  maalum  ya  kumtafuta  umpendaye...Jiachie  kwa  kadri ya  uwezo  wako  na  mungu  atakupa  chaguo  lako.... ----------------------------- OMBI LA

ASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI

$
0
0
Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya makao makuu ya jeshi hilo. Miili ya wanajeshi hao iliwasili nchini juzi kwa ndege maalumu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J. K Nyerere, Terminal One na kwenda kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Lugalo jijini Dar es

WATOTO WAWILI WABAKWA NA BABA ZAO JIJINI DAR

$
0
0
Ukatili wa kutisha umewakuta watoto wawili wa familia tofauti wakidaiwa kubakwa na wazazi wao huku mmoja akifanyiwa unyama huo na baba yake mzazi na mwingine baba yake mdogo. Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu, wazazi na majirani wa watoto hao zilisema kuwa wote walifanyiwa ukatili huo siku moja kwa nyakati na mazingira tofauti wilayani Temeke, Dar hivi karibuni. Watoto hao ambao

MAJUNGU YAWAFANYA "SCORPION GIRLS" WAZINGUANE

$
0
0
MEMBA wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ wametofautiana hadi kufi kia hatua ya kutukanana na kutupiana nguo nje.  Mpango mzima ulitokea hivi karibuni Kijitonyama jijini Dar, nyumbani kwa Isabela ambapo chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Isabela kumsifi a mtandaoni X-memba wa kundi lao, Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuz’ kwa kununua gari, ndipo

UFAFANUZI KUHUSU BOMU LILILOPIGWA JANA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA

$
0
0
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao aliutishia kwa lengo la kuwaelezea wananchi mrejesho wa yaliyojiri bungeni hivi karibuni na kuhamasisha wananchi kushiriki kutoa maoni kwenye

"WANAOPINGA KODI YA LINE ZA SIMU NI WANAFIKI WASIOPENDA MAENDELEO "....MIZENGO PINDA

$
0
0
WAKATI Serikali ikiahidi kutazama upya tozo ya Sh 1,000 kwa laini za simu ili kupunguza mzigo kwa wananchi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake yatakwenda moja kwa moja kusaidia kueneza umeme vijijini. Alisema hayo alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Songea juzi, katika ziara yake ya wiki moja mkoani Ruvuma, baada ya

UBAGUZI WAZIDI KUIANGAMIZA CHADEMA

$
0
0
UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini ya Chadema, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko vyama vingine vya upinzani Tanzania Bara. Uundwaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, ulitokana na msimamo wa Chadema yenye wabunge wengi bungeni, kukataa kushirikisha vyama vingine vya upinzani,

POLISI MKOANI MWANZA YAFAFANUA KWA KINA KUHUSU VIELELEZO VYA KESI VILIVYOIBIWA KITUONI HAPO

$
0
0
WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika stoo ndogo ya Kituo Kikuu cha Polisi Kati, Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza baada ya kuvunja madirisha.Tukio la wizi huo lilifanyika Julai 15, mwaka huu, majira ya usiku wa kuamkia Jumatano katika jengo la Polisi Wilaya ya Nyamagana.Akizungumza na gazeti la MAJIRA jana, Kamanda wa Polisi Mkoa Naibu Kamishna wa

"ONGEZEKO LA KODI YA INTERNET NI MZIGO KWA WANANCHI"...HII NI KAULI YA TIPSA

$
0
0
CHAMA cha watoa huduma za mitandao (intaneti) Tanzania (TISPA) kimeilalamikia sheria mpya ya kodi na ushuru wa bidhaa hiyo iliyotangazwa hivi karibuni na serikali kwa kusema itachangia ongezeko la gharama za huduma hiyo kwa watumiaji wa kawaida.Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa TISPA, Gregory Almeida, alisema kuongezeka kwa gharama hizo kutafanya

PICHA ZA RAIS KIKWETE ALIPOWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WANAJESHI WALIOFARIKI DARFUL

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan Julai 13, 2013 kutokana na shambulizi la ghafla, wakati wa zoezi la kutoka heshima zao za mwisho kuaga miili ya askari hao leo katika Uwanja wa Wizara ya Ulinzi Upanga jijini
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images