Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Padre na Wanafunzi sita Wateteketea Kwa Moto

$
0
0
WANAFUNZI sita wa Sekondari ya CTC Kigonsera inayomilikiwa na Misheni ya Mbinga mkoani Ruvuma na Mkuu wa Shule hiyo, Padre Yazint Kawonga, wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia bondeni kisha kuwaka moto na kuiteketeza miili yao. Akizungumza na Mpekuzi jana shuhuda wa ajali hiyo, Makarius Nchimbi, alisema ilitokea juzi saa tisa alasiri katika mlima uliopo karibu

CCM Yawabana Wagombea Urais.....Yawazuia Kushiriki Midahalo, Kubandika Picha Magari Yao wala Kufanya Kampeni

$
0
0
WAKATI Watanzania na hasa viongozi wa sekta binafsi, wakijiandaa kupima uwezo na uelewa wa watangaza nia wa CCM, katika masuala muhimu ya kiuchumi kwenye mdahalo ulioandaliwa kesho kutwa, chama hicho kimepiga marufuku watangaza nia hao kushiriki midahalo hiyo.   Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya chama hicho mjini hapa jana, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC

Urais 2015: Mwigulu achukua fomu,Asema Kikwete ni Rais wa Mwisho Kutawala Tanzania Masikini

$
0
0
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba pamoja na Mke wake katika ukumbi wa makao makuu ya CCM Dodoma.   Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa NEC Dodoma. Mke wa Mwigulu Nchemba akiwasalimia Waandishi wa Habari. Naibu waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba katika mkutano na Waandishi wa Habari mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea

Mangula amsafishia njia Msambatavangu

$
0
0
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu, amesema anayo nia na uwezo wa kumwangusha Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa (Chadema) katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba.   Kauli hiyo aliitoa mjini hapa jana ikiwa ni siku tatu baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM (Tanzania Bara), Phillip Mangula, kumaliza mgogoro wa kisiasa uliosababisha baadhi ya wanachama wa chama hicho

Wabunge Wamtoa Jasho Simbachawene

$
0
0
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene, amepata wakati mgumu bungeni, kutokana na wabunge wengi kutoridhishwa na utekelezaji wa mipango ya wizara yake.   Simbachawene alikumbwa na hali hiyo jana baada ya kuwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara yake ya Sh bilioni 536.960 kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016, huku wabunge wengi wakizungumza kwa hisia kutokana na kusuasua kwa miradi

Msafara wa Makongoro Nyerere Wapata Ajali

$
0
0
MSAFARA wa Makongoro Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere, umepata ajali wakati mwanasiasa huyo akiwa katika harakati za kutimiza masharti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kutafuta wadhamini ili aweze kuwania nafasi ya urais.   Ajali hiyo iliyojeruhi watu watano waliokuwa kwenye msafara huo, ilitokea jana katika eneo la Tekniko, Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma baada

Midahalo Watangaza Nia CCM Ruksa......Kinana Asema Nafasi Wanayoomba ni Kubwa, Ataka Wahojiwe wananchi Wawasikie

$
0
0
SIKU moja baada ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Mohamed Seif Khatib kupiga marufuku pamoja na mambo mengine makada wa chama hicho waliochukua fomu kuwania urais kushiriki midahalo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana amepinga msimamo huo.   Badala yake, Kinana ameruhusu makada hao wanaoomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwa nafasi ya urais

Askofu Kanisa Katoliki Amuunga mkono Lowassa .....Asema azma yake ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana ndiyo iliyomkuna

$
0
0
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge –Ngara, Severine Niwemugizi, amesema anaunga mkono azma ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.   Sambamba na hilo, amewataka Watanzania kumwomba Mwenyezi Mungu ili awawezeshe kuchagua kiongozi bora na kuonya kauli yake isichukuliwe kuwa ni kumpigia kampeni Lowassa katika safari yake ya matumaini.  

Mama amchoma mikono mwanae kwa madai ya kuiba ugali

$
0
0
Stamili Mponzi mkazi wa kijiji cha Ikule wilayani Kilombero,  mkoani Morogoro anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchoma mwanae na kumjeruhi mikono kwa madai ya kuiba ugali. Mama huyo alimuunguza mwanaye  Joseph Chawala, akimtuhumu Kuiba Ugali, kwa mujibu wa watendaji  mbalimbali wa kata ya Mng’eta.   Wakizungumzia tukio hilo Jerome Chulu na Jeneth Hetela,  walisema unyanyasaji huo 

Urais 2015: Benard Membe Kutangaza Nia Ya Kugombea Urais Leo Saa Sita Mchana

$
0
0
Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernad Membe leo anatarajia kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi ateuliwe kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Membe Atangaza Nia ya Kugombea Urais ......Aahid kuipeleka Nchi kwenye Uchumi wa Viwanda

$
0
0
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ametangaza rasmi kuwania urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM}, huku akitamba ataipeleka nchi katika uchumi wa viwanda unaobebwa na kilimo na kuahidi kujenga serikali ya waadilifu.   Licha ya Membe, wana CCM wengine wawili jana walitangaza pia kugombea urais nao ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia

Mtoto Wa Malecela Ajitosa Urais CCM

$
0
0
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.   Dk Mwele kesho amepangiwa na CCM kuchukua fomu za kuomba kugombea urais. Ratiba ya CCM iliyotolewa jana Makao Makuu ya chama hicho mjini hapa inaonesha kuwa licha ya Dk Mwele,

Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).   Msambatavangu aliyasema hayo jana ikiwa ni wiki moja tangu Makamu Mwenyekiti wa CCM (Tanzania Bara), Phillip Mangula afike mjini

CHADEMA Wamtaka Mwandosya Ajiunge UKAWA

$
0
0
NAIBU Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim, amesema Profesa Mark Mwandosya, ajiunge na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ili awe mshauri kuliko kuendelea kuwepo CCM.   Akizungumza jana kwenye mkutano wa hadhara aliofanya katika Jimbo la Rungwe Mashariki linaloongozwa na Mwandosya, alisema CCM imekosa mwelekeo hivyo msomi kama Mwandosya hatakiwi

BUKOMBE: Viongozi Waonywa

$
0
0
MKURUGENZI  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, Jemes Ihunyo, amewaasa viongozi wa vyama vya siasa wilayani humo kuacha kuhamasisha wahamiaji haramu kujiandikishwa katika  daftari la kudumu la wapiga kura, anaripoti Makunga Peter.   Alikuwa akizungumza  na viongozi wa vyama vinne vya siasa ambavyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (

SHINYANGA :CRDB yasaidia madawati

$
0
0
BENKI ya  CRDB Shinyanga imetoa madawati 100 katika Shule ya Msingi Mwenge yenye thamani  ya Sh milioni 10  kuisaidia Serikali kupambana na changamoto ya uhaba wa madawati, anaripoti Kadama Malunde. Msaada huo ulikabidhiwa juzi na Meneja wa Benki ya CRDB, Tawi la Shinyanga,  Saidi Pamui kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro katika shule hiyo yenye wanafunzi 1180.

SENGEREMA : Takukuru yawaonya wagombea

$
0
0
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  nchini (TAKUKURU)  imewaonya viongozi wote wa siasa wenye lengo la kuingia madarakani kwa   rushwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, anaripoti Anna Ruhasha. Onyo hilo lilitolewa jana  na  Kamanda wa Takukuru Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Protas Sambangi akisema yeyote atayebainika kutoa rushwa  kwa njia yoyote  au kutoa msaada ambao  una

TARIME: Mwenyekiti CHADEMA mbaroni Akidaiwa kuiba Mlingoti wa bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Kijiji cha Sokini mji mdogo wa Sirari wilayani Tarime, Denisoni Makanya (44),  amepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu, Gibogo Wenje, akidaiwa kuiba mlingoti wa bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wenye thamani ya Sh 80,000. Mwendesha Mashtaka wa Oolisi, George Lutonja, alidai  mshtakiwa  alitenda kosa hilo usiku Mei 29,

MWANZA: Meya Matata ajiengua Chadema, Arejea CCM

$
0
0
HATIMAYE Meya wa Halmashauri ya Ilemela jijini Mwanza, Henry Matata, amejiengua ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uamuzi aliufanya juzi katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Minazi Mitatu Kata ya Kitangiri Manispaa ya Ilemela ambako alikabidhi kadi yake ya Chadema kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu na kupewa ya

KAHAMA : Bodaboda 100 wapatiwa mafunzo Kahama

$
0
0
WAENDASHA pikipiki 100 wilayani Kahama Mkoa wa  Shinyanga wametakiwa kuacha kuchukulia mambo ya siasa katika mafunzo wanayopewa na wataalamu wa usalama barabarani kwa vile elimu wanayoipata iatawasaidia katika kujikinga na ajali  zisizokuwa za lazima. Hayo yalisemwa jana na Diwani wa Kata ya Kahama Mjini,  Abas  Omary  alipofunga mafunzo ya siku mbili ya bodaboda yaliyotolewa na wataalamu
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images