Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 5 Juni 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 5 Juni 2015
↧
↧
Ngeleja ajitosa urais, aikimbia Escrow......Akana Kuvuliwa Uwaziri Kwa Kashfa
MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja ametangaza rasmi
nia yake ya kuwania urais wa Tanzania, huku akiweka wazi kuwa yeye
hakuhusika na kashfa ya Escrow kwa madai kuwa wapo watu wanaoitumia
kashfa hiyo kwa lengo la kumchafua kisiasa.
Ngeleja alitangaza nia yake hiyo ya kuwania urais jana jijini Mwanza
katika Ukumbi wa Chuo cha Benki Kuu (BoT) , akiwa ameongozana na baba
↧
Bracelets/culture za kisasa Zinauzwa: Kama Unahitaji Wapigie kwa Hii Namba Watakuletea Popote Ulipo
Wauzaji wa bracelets/culture za kisasa kutoka nchi mbali mbali wanakuletea popote ulipo ukinunua bei zao ni poa kabisa .....wale wapenda culture mpige 0653765078 .
↧
Urais: Magufuri achukua fomu ya Kugombea Urais
Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuri akionesha fomu ya kugombea urais 2015
Waziri wa Ujenzi Dk. John Pombe Magufuri jana alichukua fomu ya
kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi.
Akizungumza mara baada ya kupokea fomu ya kugombea Urais Magufuri
alisema kwamba hajui kwenye fomu hizo kimeandikwa nini hivyo kuomba
muda zaidi wa kuzisoma na
↧
Fredrick Sumaye, Siyatemi wachukua fomu za kugombea urais
Waziri wa awamu ya Tatu Fredrick Sumaye akichukua fomu ya kugombea urais mwaka huu.
Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya Tatu Fredrick Sumaye pamoja na
Amos Siyatemi jana wamechukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya chama
cha Mapinduzi makao makuu ya CCM Mkoani Dodoma .
Pazia la kuchukulia fomu lilifunguliwa na Amos Siyatemi majira ya nne akifuatiwa na Sumaye
↧
↧
Edward Lowassa, Dk. Bilal wachukua fomu za kugombea urais
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa mara baada ya kuchukua fomu jana jioni.
Edward Lowassa katika ukumbi wa Nec makao makuu ya CCM Dodoma.
Mbunge wa Monduli Edward Lowassa pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya muungano wa Tanzania wamechukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya
chama cha Mapinduzi .
Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuchukua Fomu
↧
Jini Kabula: Sijawahi kulala gesti na mwanaume
STAA wa Bongo movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ametoa kali kwamba
katika maisha yake ya mapenzi hajawahi kulala na mwanaume kwenye nyumba
za wageni.
Kabula alisema wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi walipotaka kumpeleka
katika nyumba hizo aligoma na badala yake aliwataka wampeleke wanapoishi
kama hataki hapati kitu.
“Siwezi kuficha, ukweli ndio huo kama huamini basi,
↧
Ray Ateswa na Picha za Uchi
Supastaa wa Bongo Muvi, Vincent Kigosi, ‘Ray’ anateswa na tuhuma
anazopata kutokana na mtu asiyejulikana kufungua akaunti feki ya
Facebook yenye jina la Ray kisha kuposti picha za utupu.
Ray amesema kuwa japokuwa ametoa
ufafanuzi kupitia mtandao wake wa Instagram kuhusu picha hizo na akaunti
hiyo feki, anashangaa kuona watu wanamuandama na kukomalia kwamba yeye
anahusika.
↧
Mahakama yawaonya Prof. Lipumba na Halima Mdee
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaonya Mwenyekiti wa CUF, Profesa
Ibrahimu Lipumba na wenzake kwa kuchelewa na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee
kwa kutohudhuria mahakamani.
Washtakiwa hao walionywa kwa nyakati tofauti jana wakati kesi zao zilipokwama kuendelea kusikilizwa kwa sababu yao.
Kesi inayomkabili Profesa Lipumba na wenzake 31 ilitakiwa kuendelea
kusikilizwa, lakini
↧
↧
Lowassa: Sina mpango wa kushindwa, Mimi sio Fisadi.....Mwenye Ushahidi Anitaje maana Siasa za Fitina na Matusi Zimenichosha
Lowassa, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia
Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku akisema hana mpango wa kushindwa.
Lowassa aliwasili katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana saa 10:20
jioni akiambatana na mkewe, Regina huku akisindikizwa na wabunge
mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM.
Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wanachama waliokuwapo
↧
Urais 2015: Sitta achukua fomu, ataka miaka 5 tu kuwang’oa mafisadi
Waziri wa Uchukuzi Samweli Sitta akionesha fomu ya kugombea urais mara katika ukumbi wa NEC makao makauu Dodoma.
Waziri wa Uchukuzi Mh. Samweli Sitta akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuchukua fomu leo.
Waziri wa Uchukuzi Mh. Samweli Sitta leo amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi makao makuu ya CCM yaliyopo White House Dodoma
↧
Wafanyakazi wa ndani ( House Girl/ House Boy ) kulipwa kima cha laki moja
Serikali ya Tanzania imeweka mkakati wa kuandaa muswaada utakaosaidia
sekta ya huduma ya wafanyakazi wa majumbani ili kuweza kupatiwa
mishahara stahiki ikiwemo kutoa muongozo na usimamizi na haki za
wafanyakazi hao.
Hayo
yamesemwa bungeni katika kipindi cha maswali na majibu na naibu spika
wa wizara ya ajira na kazi Mh. Makongoro Mahanga ambapo amesema
serikali imechukua hatua
↧
Linah ashtushwa na uhusiano kati ya ex wake na Wema Sepetu
Linah Sanga amesema taarifa kuhusu uhusiano kati ya Wema Sepetu na aliyekuwa mpenzi wake umemshangaza.
Akiongea kwenye kipindi cha Ala za roho cha Clouds FM, Linah alisema
yeye na mpenzi wake waliachana rasmi miezi miwili iliyopita.
“Hata mimi nasikia kuwa sasa hivi anatoka kimapenzi na Wema Sepetu,”
alisema Linah. “Unajua mtu kama alishawahi kuwa mtu wako lazima upate
mshtuko,
↧
↧
Jokate na Alikiba Sio MAKOMBO Tena.......Wazidi kuuweka hadharani uhusiano wao, mashabiki waupa tick
Alikiba na Jokate Mwegelo wanaendelea kukusogeza karibu katika
muungano wao wa hivi karibuni.
Wawili hao wanaonesha kuelemewa na uzito
wa penzi lao kiasi cha kuanza kujiachia na kuualika ulimwengu kwenye
dunia yao mpya.
Jokate amepost picha Instagram akiwa na hitmaker huyo wa Chekecha na kuandika:All The Best Chèr.
Mashabiki wanaonekana kuufurahia uhusiano huo na wengine
↧
Sakata la Picha za UCHI: BASATA Wamsamehe Shilole
Shilole a.k.a Shishi bybee sasa anaweza kupata usingizi mnono bila
mawazo, sababu lile sakata la kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa
wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji mwezi uliopita hatimaye limemalizika
vizuri.
Sakata hilo lilifika hadi bungeni ambapo Naibu Waziri wa
Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia alisema serikali
ililiagiza Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA
↧
Lowassa atua jijini Mwanza kusaka wadhamini...Mamia Ya Wananchi Wampokea Huku Wakimwita Rais...! Rais!!
MAELFU ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, na wakazi wengine wa jiji la Mwanza, leo Ijumaa Juni 5, 2015, walifurika kwa wingi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Nayamagana na ile ya Ilemela, wengine wakitaka kumuona na kupeana mikono na wengine kwa nia ya kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, alipofika jijini Mwanza kutafuta wana CCM wa kumdhamini katika safari
↧
Nyama ya Punda Yasindikwa Nchini
SERIKALI imekiri kuruhusu uanzishwaji wa kiwanda cha kusindika nyama ya punda kilichopo hapa nchini.
Imekiri hivyo baada ya Mbunge wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), kuibua hoja hiyo juzi jioni wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka wa fedha 2015/2016.
Katika hoja yake, alitaka kujua juhudi zilizofanywa na Mamlaka ya Chakula, Dawa na
↧
↧
Vijana watakiwa Kuwaepuka Wanasiasa Matapeli
VIJANA wilayani Tarime wametakiwa kuepuka baadhi ya wanasiasa wanaowatumia na kuwafanya kuwa daraja la kupandia ili kupata vyeo kwa maslahi yao binafsi.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mfaume Ally Kizigo, wakati wa ziara yake ya kuhamasisha uhai wa chama wilayani Tarime.
Alisema kuna haja vijana kuepuka wanasiasa
↧
Bodaboda Kuanza Kukatiwa bima Kubwa
KAMPUNI ya Bima ya Zurich Brokers (EA) Ltd imeanza mchakato wa kuwaondoa waendesha bodaboda jijini Mwanza katika bima ndogo ya Sh 10,000 hadi Sh 125,000.
Akizungumza Mwanza juzi, Meneja wa Zurich Insurance Broker (EA) Ltd, Kanda ya Ziwa, Curtis Mukami, alisema wameamua kumsafirisha kiongozi mmoja wa bodaboda hadi Dar es Salaam ili kufanya mazungumzo ya kuwasaidia kukata bima ya Sh
↧
Watu saba wakamatwa na Bunduki na Risasi 59 jijini Da res salaam
JESHI la Polisi limefanikiwa kukamata Silaha, watuhumiwa wa uhalifu wa kutukia silaha katika oparesheni iliyoendeshwa kwa nyakati tofauti katika Jiji la Dar es Salaam.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Jiji la Dar es Salaam(DCP), Simon Sirro alisema baadhi ya silaha hizo ni pamoja na bunduki aina ya SMG na jumla risasi 59.
Sirro alisema kuwa tarehe Juni 3 mwaka huu mtuhumiwa
↧
More Pages to Explore .....