Plot for sale Bunju B. Plot size Sq 2000 meter and its located in cool neighborhood just 1km from tarmac road with clean tittle deed access is good for residential house,Dawasco water and power is available!!.
It is located in a prime area.More details see the pictures and call +255784333968.
Plot for sale.......Kinauzwa!!!...Kinauzwa!!!.....Kiko Bunju B. Changamkia Dili
↧
↧
MWANZA : Takukuru yawaburuza kortini vigogo watatu wa Serikali
TAASISI ya Kupambana na Kudhibiti Rushwa nchini (TAKUKURU) imewaburuza mahakamani vigogo watatu wa Serikali kwa makosa mawili ya matumizi mabaya ya madaraka na kutumia nyaraka mbalimbali kumtapeli mwajiri wao.
Vigogo hao ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Mkoa wa Shinyanga, Patrick Karangwa (45), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Ntinika Paul
↧
Waziri: Waganda ngono kwanza chakula baadae
Waziri wa maadili nchini Uganda Simon Lokodo amedai kuwa ongezeko la
maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi yanazidi kuongezeka zaidi kutokana na
waganda wengi kufanya ngono mchana badala ya kula chakula cha mchana.
Pia waziri huyo aliendelea kwa kusema kuwa inabidi wapenzi waaminiane
zaidi na kuelekeza macho yao kwenye kupunguza ngono zembe,na kuiambia
kamisheni ya kuzuia maambukizi ya
↧
Siwema adaiwa kujirudi kwa Nay wa Mitego
Mzazi mwenzake mwanamuziki nchini Tanzania, Emmanuel Elibariki ‘Nay
wa Mitego’ Siwema, anadaiwa kuanza kurudisha majeshi kwa mzazi mwenzake
baada ya kutengana na kunyang’anywa mtoto.
Inadaiwa kuwa sambamba na maneno machafu aliyotoa mwanadada huyo kwa
mwanamuziki Nay, ameonesha kujishusha baada ya mambo yake kwenda ndivyo
sivyo baada ya kutengana kwao.
Inadaiwa kuwa ndugu
↧
Dina Marious afunguka ya moyoni, akanusha bifu na Zamaradi
Mtangazji wa redio nchini Tanzania, Dina Marious, baada ya kuwa kimya
bila kusikika katika vipindi vya redio muda mrefu amejitokeza na
kufunguka siri ambazo watu wengi walikuwa hawajui baada ya kuulizwa mara
kwa mara sababu za kutosikika redioni.
Kupitia mtandao wa kijamii amesema “Katika haya maisha hamna kitu
kibaya kama kumuonea na kumnyanyasa mtu ambaye hana hatia.Kwa kutumia
↧
↧
BASATA wambana Amanda Poshi, wazuia shoo yake
Msanii wa filamu nchini Tanzania, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta
katika wakati mgumu baada ya BASATA, kumzuia kufanya shoo aliyopanga
kufanya wiki iliyopita kutokana na kualika vikundi vya burudani ambavyo
vipo kinyume na maadili.
Amanda, amesema kuwa shoo hiyo ilikuwa ifanyike katika ukumbi wa
Mzalendo, Kijotonyama jijini Dar es Salaam, lakini ilishindikana
kutokana na kupokea
↧
Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni..Lulu Adai Diamond Ampe Kazi
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua
gumzo kwenye mitandao ya kijamii ambapo msanii huyo
aliipost kwenye ukurusa wake wa instagram.
Video hiyo inamuonyesha
msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond
platnums,
↧
Shilole awatolea uvivu wanaojipitisha kwa mpenzi wake
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
Mwanamuziki nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewatolea
uvivu wanawake wanaomshobokea mpenzi wake kwa kuwapa mkwara mzito endapo
wataendelea na tabia hiyo kwani hawajui wametoka wapi.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya mwanamke mmoja kujitokeza katika vyombo
vya habari na
↧
Askari wa JWTZ watakaowapiga raia kukiona
Uongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), umesema
utawafukuza kazi askari wote watakaojihusisha na vitendo vya utovu wa
nidhamu ikiwamo kuwapiga raia wanaokosana nao mitaani.
Mkuu wa Utumishi jeshini, Meja Jenerali Vicent
Mritaba alitoa onyo hilo mjibi hapa juzi alipokuwa akifunga mafunzo ya
awali ya askari wapya katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa la Oljoro.
“Jeshi
↧
↧
SMZ yaanza Kuwasaka Wahamiaji Pemba
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendesha operesheni ya kuwasaka raia wa kigeni wanaoishi hapa nchini kinyume cha sheria, hata kama raia hao wameolewa au kuoa Watanzania.
Katika mkutano wake na waandishi wa habari, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed, alisema zipo fununu za kuwepo kwa raia wa kigeni Visiwani Zanzibar ambao wanaishi bila kuwa na
↧
Wanaoficha watoto wenye vichwa vikubwa washauriwa kuacha
JAMII imeshauriwa kutowafungia ndani watoto wenye vichwa vikubwa, badala yake wa wawapeleke hospitali ili kupatiwa matibabu.
Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto Wenye Vichwa Vikubwa (ASBAHT), Abdulhakim Bayakub, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kujadili changamoto zinazowakabili watoto hao.
Alisema watoto wenye vichwa vikubwa
↧
Mussa Zungu ataka Rais ajaye Alikabili Tatizo la Ajira
MBUNGE wa Ilala, Mussa Zungu (CCM), amesema kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira linalowakabili vijana wengi nchini, ni lazima rais ajaye awe na ajenda maalumu ya kukabiliana nalo.
Zungu alisema hayo juzi jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) waliomaliza ngazi ya Cheti, Shahada na Astashahada ambao ni makada wa chama hicho.
↧
Waziri Lukuvi Ashusha kodi ya Ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amesema wizara yake imehuisha viwango vya kodi, ada na tozo mbalimbali za ardhi kwa lengo la kupata viwango vinavyopangika.
Lukuvi alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana, wakati akiwasilisha makadirio na matumizi ya wizara yake kwa mwaka 2015/16.
Alisema kodi ya pango la ardhi imepungua kwa wastani wa asilimia 30 na
↧
↧
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama Alipuliwa Bungeni
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, amehusishwa na tuhuma za kutaka kumiliki ardhi kwa njia za kifisadi katika maeneo mbalimbali, ikiwamo Wilaya ya Rombo mkoani humo.
Kutokana na hali hiyo, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imemwomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuzuia mchakato wowote haramu utakaofanywa na Gama kuhusu ardhi.
RC Gama, alitajwa
↧
Dk.Slaa Asaka Ubani wa Urais Ulaya
WAKATI vuguvugu la kusaka mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) likishika kasi, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, ameondoka kwenda barani Ulaya kusaka ubani wa urais kwa muda wa siku nane.
Dk. Slaa ambaye amekuwa akitajwa kuwa anaweza kuteuliwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kugombea urais Oktoba mwaka huu kutokana na rekodi yake, anafanya ziara hii ikiwa ni
↧
Membe Akanusha kuwa na Undugu wa Damu na Kikwete
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekanusha uvumi ambao umekuwa ukienezwa kuwa yeye na Rais Jakaya Kikwete ni ndugu wa damu.
Membe amesema kuwa japo wanafanana kwa sura lakini hawana uhusiano wowote wa kibaiolojia.
Mhe. Membe alikanusha uvumi huo jana Mjini Dodoma wakati akichukua fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM, ambapo pamoja na mambo
↧
Polisi Iringa yakamata DVD za Mafunzo ya kigaidi
Jeshi la polisi mkoani Iringa limekamata mikanda ya DVD yenye mafunzo ya kijeshi yanayohusiana na kikundi cha ugaidi cha Al shaabab cha nchini Somalia zilizokuwa zikitumika na watoto wa mitaani wanaodaiwa kuwa walikuwa wakichukua mafunzo kwakutumia DVD hizo.
Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ACP Ramadhan Mungi ametoa taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari akieleza kuwa mikanda hiyo
↧
↧
Habari Zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Juni 9, 2015
Habari Zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Juni 9, 2015
↧
Mabomu Yatumika Kuwadhibiti wanafunzi KIU
POLISI na askari wa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Fujo (FFU) wamelazimika
kutumia mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha
Kampala (KIU) baada ya wanafunzi wa Fani ya Afya kugoma kuondoka chuoni
hapo wakifanya mkusanyiko kulalamikia kuwa fani wanayosoma
haijasajiliwa.
Askari hao walifika na kuwatawanya wanafunzi kwa mabomu ya machozi na
maji ya kuwasha jambo
↧
Mangula Ataja Vigezo 13 Vya Mgombea Urais wa CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Philip Mangula
amesema vigezo 13, vitatumika kuwachuja wanachama wa chama hicho ambao
wameomba kugombea urais CCM.
Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Aliwakumbusha watangaza nia kuwa hawaruhusiwi kutoa rushwa, kushawishi au kushawishika kuwapa rushwa wale
↧
More Pages to Explore .....