OFISA Afya wa Kata ya Nyasubi wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Mkola Vedastus (27), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa maharage ya moto yaliyokuwa jikoni.
Tukio hilo lilitokea juzi wilayani hapa baada ya ofisa huyo kumwagiwa maji hayo na shemeji yake, Anna Makula.
Akizungumza juzi akiwa Kituo cha Afya cha Igalilimi alipolazwa, Vedastus alisema alikutwa na mkasa huo jioni wakati
Ofisa afya amwagiwa maharage ya moto
↧
↧
CCM Yatangaza Tarehe za Vikao Vyake Vikubwa Vitakavyofanyika Mjini Dodoma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua
jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es
Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia
kuingiliana na Mkutano wa Baraza la Wawakilishi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye Akizungumza
na waandishi wa Habari leo ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na
kubadilika kwa tarehe ya
↧
Vanessa Mdee Reveals Why She Quit Her Radio Presenting Job
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841";
google_ad_slot = "3088887306";
google_ad_width = 336;
google_ad_height = 280;
The lovely Vanessa Mdee is no longer on radio. Well, her songs are, but she will no longer be hosting her show at Choice FM.
Before she embarked on her musical career the lass was working as a
presenter and she had attracted a
↧
Raza aibukia sakata la Escrow .....Ataka SUKI kuwaangukia wahisani
MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi na Mbunge wa Uzini, Zanzibar, Mohamed Raza, amesema ataishauri Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKI), kuwaandikia barua wahisani ili kuwaeleza namna sakata la Tegeta Escrow lisivyowahusu Wazanzibari.
Alisema amefikia uamuzi huo ili kushawishi wahisani waendelee kutoa misaada yao kama kawaida.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
↧
Profesa Lipumba aibua mapya BVR
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeibua madai mapya katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki (BVR) linaloendelea katika mikoa ya Kusini.
Chama hicho kilitembelea mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara na kubaini kuwa katika baadhi ya maeneo kadi ya mpiga kura inasomeka tofauti na kituo alichoandikishwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar
↧
↧
Wanawake 140 hufariki kwa uzazi Sengerema
HATUA ya wanawake wengi kuchelewa kwenda hospitali kwa wakati pindi wanapokuwa wajawazito, imewafanya 140 kufariki kwa mwaka katika Mkoa wa Mwanza kwa uzazi huku 53 kati yao wakitoka katika Wilaya ya Sengerema mkoani hapa.
Kauli hiyo imetolewa jana na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Ismael Sarumbo, wakati wa uzinduzi wa chumba cha upasuaji na wodi ya wazazi katika Hospitali Teule ya
↧
Njaa yabisha hodi Wilaya ya Chamwino
WANAWAKE wa Kijiji cha Suli Kata ya Fufu wilayani Chamwino mkoani Dodoma, wameiomba Serikali iwape msaada wa chakula cha dharura kutokana na kukabiliwa na baa la njaa wilayani humo.
Kutokana na hali hiyo, wananchi hao wameanza kwenda maporini kutafuta ubuyu kwa ajili ya chakula.
Wakizungumza kijijini hapo kwa nyakati tofauti, walisema hivi sasa hali imekuwa mbaya kwao na
↧
Diamond Platnumz' Superhit Show In London.
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841";
google_ad_slot = "3088887306";
google_ad_width = 336;
google_ad_height = 280;
Yesterday Diamond Platnumz had a successfull music show in London. Here
are some photos although they are not clear but we promise to bring to
you clear pics when we get them.....
google_ad_client = "
↧
Rais Pierre Nkurunziza Ahutubia Hadharani......Akwepa Kuzungumzia Jaribio La Mapinduzi, Atoa Onyo Kwa Al Shabaab
KWA mara ya kwanza tangu kuwapo jaribio la kumpindua Rais wa Burundi,
Pierre Nkurunziza, kiongozi huyo jana alijitokeza hadharani kuzungumza
na waandishi wa habari.
Hata hivyo, licha ya wanahabari wengi kutarajia kuwa atazungumzia
jaribio la kumpindua, lakini mazungumzo yake yote hakugusia jambo lolote
linalohusu mgogoro wa kisiasa, badala yake alizungumzia tishio la
al-Shabaab.
↧
↧
Rais Pierre Nkurunziza Atimua Na Kupangua Baraza La Mawaziri
Siku sita baada ya jaribio la mapinduzi kutofanikiwa, rais wa Burundi
Pierre Nkurunziza amefanya mabadiliko katika serikali yake Jumatatu wiki
hii.
Mawaziri watatu ikiwa ni pamoja na Waziri wa Ulinzi, Jenerali Pontien
Gaciyubwenge, Waziri wa Mambo ya Nje, Laurennt Kavakure pamoja na Waziri
wa Biashara, wamefutwa kazi.
Alain Nyamitwe, kaka wa Willy Nyamitwe, Mshauri Mkuu wa rais
↧
Majambazi Wakamatwa Wakitaka Kuiba Katika Benki ya NMB Tawi la Sinza Mori-Dar
Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi
wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo
Sinza-Mori, Dar.
Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika Benki ya NMB tawi la
Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika
harakati za kutekeleza tukio hilo.
Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi
↧
Shilole Ajitetea..... Adai Amesikitishwa na Mtu Aliyempiga Picha Huku Maziwa Yake Yakining'inia NJE
Baada ya picha chafu za Shilole kusambaa mtandaoni hadi kupelekea BASATA
kumuandikia barua ya onyo, muimbaji huyo wa ‘Nakomaa na Jiji’ amevunja
ukimya.
Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani
wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati
mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.
Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili
↧
Wema Sepetu And Aunty Ezekiel End Their Hostility And Become Friends Again.
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841";
google_ad_slot = "3088887306";
google_ad_width = 336;
google_ad_height = 280;
Since last week there have been constant news about Wema Sepetu and
Aunty Ezekiel's friendship coming to an end.
Even yesterday some newspapers,
and blogs had news of the two celebs swearing not to bury each other
when they
↧
↧
Mkosamali Aisasambua Ofisi ya Rais, Amgomea Waziri Mkuchika
MBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR-Mageuzi) jana alimgomea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika ambaye alimtaka kufuta kauli yake ambayo alidai inamdhihaki rais wa nchi.
Mkosamali alibishana na waziri huyo katika mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2015/2016 mjini Dodoma jana.
Mkuchika aliomba mwongozo kwa
↧
Lady Jaydee azungumzia maisha ya utoto, alivyoanza muziki, changamoto za umaarufu na mengine
Na Fred Bundala,Bongo5
Hii ni mara ya kwanza nakutana na Lady Jaydee na kumfanyia interview
ndefu. Kwangu nimeichukulia kama heshima kubwa kwa mwanamuziki huyu
mkongwe kuamua kutafuta muda na kuja kuchill na mimi.
Kabla sijaanza kuongea naye, namuambia Lady Jaydee kuwa hii itakuwa
interview ‘positive’ zaidi kuwahi kuifanya katika miaka ya hivi
karibuni.
“Sisi kwetu tumezaliwa
↧
Mawaziri wa Afrika Mashariki Watoa Maazimio Matatu Kuhusu Mgogoro wa Burundi
MAWAZIRI wa Afrika Mashariki kutoka nchi tano za Jumuiya ya Afrika
Mashariki (EAC), walikutana jana kwa saa 1:08 asubuhi jijini Arusha
kujadili hali ya uchaguzi nchini Burundi kutokana na maazimio matatu.
Miongoni mwa maazimio hayo ni kuitaka Tume ya Uangalizi ya Uchaguzi
wa Burundi kutoka nchi za EAC, inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba
kuendelea na kazi hiyo nchini humo mara moja
↧
Hukumu dhidi ya Freema Mbowe ni Julai 17
HUKUMU ya kesi ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe, iliyotarajiwa kutolewa jana katika mahakama ya Wilaya ya Hai, imeahirishwa hadi Julai 17 mwaka huu baada Mbowe kushindwa kufika mahakamani.
Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),ilidaiwa alishindwa kufika mahakamani
↧
↧
Mahakama:Watoto wa Vigogo BoT Wanaokabiliwa na Tuhuma za Kughushi Vyeti Wana Kesi ya Kujibu
WAFANYAKAZI wanane wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wanaokabiliwa na tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne wamekutwa wana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo ulitolewa jana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kupitia ushahidi wa mashahidi wanane wa upande wa mashtaka na kuona kwamba kuna haja kwa washtakiwa kujitetea.
Washtakiwa katika kesi hiyo ni Justina Mungai, Christina
↧
Mgonja Kuanza Kujitetea Leo.......Anatuhumiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Kuisababishia Serikali Hasara ya Bilioni 11.7
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja anatarajia kuanza kujitetea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7.
Washtakiwa hao walipanda kizimbani jana mbele ya Mahakimu Wakazi Sam Rumanyika na Saul Kinemela, wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya Mgonja kuanza
↧
Ikulu Yatengewa Sh bilioni 20
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani, amewasilisha makadirio ya bajeti ya Sh bilioni 585 kwa ajili ya ofisi yake kwa mwaka wa fedha wa 2015/2016.
Kati ya fedha hizo, Sh bilioni 20 zimetengwa kwa ajili ya Ofisi ya Rais (Ikulu), ikiwa ni matumizi ya kawaida kwa ajili ya ofisi hiyo na taasisi zake.
Akiwasilisha makadirio hayo bungeni jana,
↧
More Pages to Explore .....