Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Silaa: Akina mama Msiwakimbie Wenzi wenu kuna Baridi

$
0
0
MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, ametoa mpya baada ya kuwataka  akina mama wasiwakimbie wenzi wao wakati huu wa baridi kwa sababu wanajenga hospitali maalumu ya mama na mtoto.   Hospitali hiyo itakayokuwa na vitanda 200, itajengwa eneo la Chanika kwa msaada wa watu wa Korea.   Akizungumza mwishoni mwa wiki na wakazi wa Mtaa wa Mbondole, Kata ya Msongola, Meya huyo alisema msaada

Zari And Diamond Go Baby Shopping (Photos)

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; Celebrity couple Zari The Boss Lady  and  Tanzanian Musician Diamond recently went baby shopping  in London in readiness for their bundle of joy that is expected to be welcomed  sometime in September this year.   The baby who is

Vifo vya Watoto Kanisani kwa Gwajima Bado ni Utata.

$
0
0
MKAZI wa Mbezi Juu David Oturo, amesema yupo katika maandalizi ya kuwasafirisha watoto wake wawili  waliopoteza maisha  Mei 17 mwaka huu  baada ya kupigwa shoti ya Umeme   katika Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika Viwanja vya Tanganyika Peakas Jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na jana baba mzazi wa watoto hao Oturo alisema kuwa anatarajia kuwasafirisha watoto wake ambao ni Sarah

Rais Kikwete Kufungua Mkutano wa Mpango wa Uendeshaji

$
0
0
Na Beatrice Lyimo-MAELEZO RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa anatarajia kufungua mkutano wa Kanda ya Afrika kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa  Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP). Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dar es Salaam jana ilieleza kuwa kuwa mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Utawala Bora Unaozingatia Uwajibikaji na Uwazi” utafanyika Mei 20 hadi 21, mwaka huu

Rais Wa Msumbiji,Fellipe Jacinto Nyusi Alihutubia Bunge la Tanzania......Aahidi Kuendeleza Ushirikiano

$
0
0
Rais wa Msumbiji Fellipe Jacinto Nyusi jana amelihutubia bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo alisema ziara yake imelenga kuja kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya mataifa haya mawili tangu enzi za harakati za ukombozi. Rais Nyusi alisema hayo jana wakati alikilihutubia bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa ni siku ya mwisho ya ziara yake ya siku tatu nchini

Photos: Faiza Ally Spends Good Time With Her Alleged New Millionaire Boyfriend In Dubai.

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; After staying lonely for months following her separation wit baby daddy and Mbeya Mjini member of Parliament Sugu Joseph Mbilinyi, finally actress Faiza Ally is in a relationship again.    Faiza has been in Dubai since last week

Tanzanian Irene Kiwia Wins Woman of The Year Africa Award.

$
0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; Africa Reconnect (http://www.africareconnect.com), a platform for women who have made remarkable contributions to the growth and development of the various nations in Africa has today awarded 11 Africans whose contributions to

Wanafunzi wa chuo kikuu cha UDSM wagoma kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu.

$
0
0
Maelfu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani wameanza mgomo kuingia darasani kwa madai ya kutopewa fedha za kujikimu kwa zaidi ya wiki 11 huku wakitaja gharama za maisha zikiwa zimepanda mara dufu.   Wakiongea katika viwanja vya chuo kikuu jijini Dar es Salaam kwa kile walichokiainisha kuwa ni njaa kali pamoja na kueleza kuendelea na mgomo hadi fedha zitakpoingia

Kipindupindu Chalipuka kwa wakimbizi wa Burundi Walioko Katika Kambi ya Kigoma.

$
0
0
WAKATI hali ya usalama nchini Burundi ikiwa bado tete, wakimbizi 558 walioko katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wanaugua ugonjwa wa Kipindupindu.   Ugonjwa huo ulilipuka hivi karibuni baada ya wakimbizi hao kuingia nchini wakikimbia machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini humo.   Akizungumza jana, Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Steven Kebwe, alisema hadi sasa

Rais Pierre Nkurunziza Asogeza Mbele Uchaguzi wa Wabunge Kwa Siku 10

$
0
0
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amesogeza mbele uchaguzi wa wabunge kwa siku 10 hadi Juni 5 mwaka huu kufuatia jaribio la mapinduzi. Msemaji wa Rais, Willy Nyamitwe ameliambia Shirika la Habari la AFP kuwa kufuatia jaribio la mapinduzi la wiki iliyopita na vurugu zilizofuatia ni bora kusogeza mbele uchaguzi huo kwa muda.   "Uchaguzi huo wa wabunge ulikuwa umeratibiwa kufanyika

Polisi Wapambana na Wananchi Njombe

$
0
0
JESHI la Polisi jana lililazimika kutumia zaidi ya saa 5.00 kupambana na wananchi waliokuwa wakiandamana bila kibali wakitaka kuchukua maiti ya mmoja wa wakazi wa Njombe aliyedaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa jeshi hilo wakati wa msako wa wanywa pombe. Mtu huyo   inaelezwa alifariki dunia  juzi na mwili wake kuhifadhiwa katika  Hospitali ya  Kibena.   Inaelezwa wananchi hao

Wabunge wa CUF Wapata Ajali

$
0
0
WABUNGE wawili wa Chama cha Wananchi (CUF) wamepata ajali   walipokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma  kushiriki Bunge la bajeti linaloendelea. Wabunge hao,   Mbunge wa Wete, Mbarouk Salim Ally na Mbunge wa Viti Maalumu, Riziki Omar Juma, walipata ajali hiyo ajana asubuhi katika eneo la Mikese mkoani Morogoro, baada ya gari lao kupinduka.   Mbunge wa Ole, Mohamed Rajabu

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi

$
0
0
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo. Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.

‘Sheria ya Takwimu haiwazuii watafiti’

$
0
0
MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa, amesema Sheria mpya ya Takwimu ya Mwaka 2015 haina lengo la kuzuia taasisi au watu binafsi kufanya utafiti wao  nchini ila inalenga kuweka misingi imara ya shughuli za takwimu na utafiti. Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutungwa sheria hiyo mpya  na Bunge Machi mwaka

Mwigulu awaomba radhi wanafunzi elimu ya juu

$
0
0
SIKU moja baada ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kile cha St Joseph vyote vya   Dar es Salaam kuanza mgomo kutokana na kukosa fedha za kujikimu, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amewaomba radhi.    Nchemba aliomba radhi bungeni jana baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya (CCM) kuomba muongozo, akihoji sababu za Serikali kushindwa kupeleka fedha hizo vyuoni.    

Wananchi wamgomea mkuu wa wilaya

$
0
0
MKUU wa Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Christina Mdeme, amepata wakati mgumu wakati alipokuwa akitaka kuzungumza na wananchi wa Tarafa ya Mtimbira.   Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita katika Kijiji cha Mtimbira, Thomas Likoko, ambapo wananchi hao waligoma kumsikiliza mkuu huyo wa wilaya kwa kile walichosema kuwa ameshindwa kutatua mgogoro wa wakulima na wafugaji uliosababisha

Anti Lulu Awatishia Wake za Watu

$
0
0
Staa wa Bongo Movies na mtangazaji mwenye vituko vingi na kujiachia kwa sana amekuja na mpya nyingine ya kuwakanya wanaomtukana katika mitandao ya kijamii kila anapoweka picha zake.    Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinazomuonesha maumbile yake  ni wanawake.   "Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kunitukana nikiweka picha zangu za

Wafanyabiashara wanawake, wanamgambo wapigana

$
0
0
VURUGU ziliibuka jana katika kituo cha Mabasi Posta Mpya    Dar es Salaam baada ya askari wa Jiji ambao walikuwa wamevaa nguo za kiraia kufika kituoni hapo na kuwakamata wafanyabiashara wadogo wa vitafunwa wanaofanya biashara pembezoni mwa kituo hicho.   Askari hao wakiwa na magari mawili walifika kituoni hapo saa 1:30 asubuhi na  kuwakamata wafanyabiashara hao   na bidhaa zao.  

Mbaroni kwa kukutwa na milipuko 90

$
0
0
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga, linamshikilia mkazi wa Simanjiro mkoani Manyara, Daud Mwangomile (50), baada ya kukutwa na vipande 90 vya milipuko aina ya super power.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Zuberi Mwombeji, alisema jana kwamba, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa kwenye basi la Kampuni ya Ngorika alipokuwa akitoka Mererani kuelekea wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga.   Kamanda

Tanzania yaadhimisha kumbukumbu ajali ya Mv Bukoba....watu takribani 1000 Walifariki Dunia

$
0
0
Mnara wa kumbukumbu ya eneo ambalo walizikwa watu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Bukoba hiyo mnamo Mei 21.1996.   Leo ni tarehe 21 mei, siku ambayo kila mwaka watanzania wanaadhimisha tukio la ajali mbaya iliyowahi kutokea katika nchini iliyohusisha   kuzama kwa meli ya MV Bukoba ndani ya ziwa Victoria. Leo ni miaka 19 tangu kutokea ajali hiyo   Ajali ya kuzama kwa Mv
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images